Saizi ukizingua tu tunaita Media.Asanteni sana watu wa media mbali mbali nchini.Mmesaidia sana na mmeibua sana matukio mbali mbali .Bila ivyo watu wengi wangeteseka .
Waislamu Awana ndoa ni vurugu mechi tu, wengine ndoa za ramadhani, wengine ndoa ya siku moja kwisha ksi nyekundu, usifananishe ndoa ya waislamu na ndoa ya ukristo. Katika ukristo hakuna kuvunjwa kwà ndoa mpaka kifo kikutenganishe
Mimi Kristo Ila naungana mkono na mashekhe lazima mtetee wanawake pia Safi Sana na nafundisho Kwa wengine na pia wakristo wote wameng,angania Tu mpaka kifo ,👏👏👏👏👏
Kudai Tanaka kwa NGUVU KUBWA KIASI ICHO, manake Mwanamke uyo AMETESEKA NA ANAENDELEA KUTESEKA SANA NA MUMEWE UYO, NA HAEZI TENA KUVUMILIA. APEWE TALAKA YAKE.
The power of media....ahsante mungu mwanamke amepata haki yake hili jambo ilikuwa iwe simple kabisa lkn dr mwaka alikusudia kumtesa mtoto wa watu poooh.
Allahumma Amiin Yaa Rabbi , Alhamdulillahi Rabbil'Alaamina Mwenyezi Mungu ajaalie iwe salaam kwa uyoo dada na amjaalie stara iliyo na Kheri NAE Allahumma Amiin
Doctor Mwaka ulishindwa kutoa Talaka au kujipatanisha nyumbani mpaka mnaweka Mashekhe na heshima zao kuwazungumzia nyinyi? Doctor Mwaka umekosa heshima kwa Dini yako na viongozi wako wa Dini, mbona mkifanya maigizo ya ndoa mtandaoni huoni shida kujirusha? Umekosea sana, izo sifa zako za kupenda kuongelewa mitandaoni zitakutokea puani siku yake
Safi kabisa Dr Mwaka nakukubali ila kwahili hapana nipo upande waQueen ulitaka kumkomoa nyumba ulimpa kwamapenz mwsho wasiku unaanza kumdai, unataka watoto wako waishi waishi wapi sio vzur mngeachana kwaamani
Kuoana kwa wema kuachana kwa wema mwenyezimungu alilijua hili ndio akatuekea talaqa kuiona huna budi moyo unafanya maamuz Karnes yetu ni karne ya ftna sana tuombe hatma njema
Yaaani nimejifunza kitu maisha ya mitandaoni tuwaachiee jamani ni uongo mkubwa Dr. Mwaka yale majigambo kumbe Mwaka mzima hawaishi pamoja duuuuuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani wakristo tunakwama wapi.. hapa siku 2 tuu mke wa Mwaka katoa shida yake mtandaoni ndugu zetu Mashekhe, viongozi wa dini ya Kiislam wameshaingilia kati .. tena Kwa kuita kikao Cha dharura. ...sisi viongozi wetu wako tu wanalumbana Kwa issue ya Mch Kimaro mitandaoni... Tunafeli wapi? Kuna kitu Cha kuiga hapa Kwa wenzetu.. Maaskofu wetu muige mfano hapa... Sio kudhalilisha kanisa.. tusianike nguo zetu chafu upenuni.. kama Kuna mapungufu basi tutumie busara.. angalieni viongozi wanaotumia busara... Hawako kujibu mambo ya mitandaoni... One speech and it answers all the questions. ndio maana hata kwenye nyumba zetu za kuishi Kuna Bedroom
@@sarahgaula2220 ila Mashekhe waliposikia Kuna shida waliingilia kati.. sisi Sasa tulitakiwa tukae kimya.. sio karibia kila kiongozi wa dini yetu aongee kujibizana mitandaoni
Kimaro ndio alifanya kihere here kuleta mtandaoni. Huwa wanapewa likizo za kupimwa uaminifu na hakukuwa na haja ya kutangaza. Uliwahi kuona padri analalamika kwamba kapewa likizo? Wa Catholic wanafanya mambo yao kimya kimya. Huyo Kimaro mtaka sifa ndio kaharibu sifa ya ukristo
Mmefanya jambo jema . Lakini wanawake tujifunze kutoigiza maisha Na kumbe unanyanyasika. Walidanganya watanzania kua wanapendana Na kumbe ilikua Ni maigizo. Mapenzi haigawanyiki mkiwa wake wengi lazima anaependwa ni 1 wengine wanatumika mapenzi hayagawanyiki. Mme wenu aliwatumia kuwadanganya watanzania kua mnapendana kumbe ilikua ni bongo muvi.
Mbaya zaid waliungana mke mkubwa akawa hana thaman leo imekuaje acha Mungu ajibu kwa wakat,ili wajue hata mkewe aliumiwa wakati wanaungana eti wanapatana
Baraza Mjitafakari kwa sababu haya maamuzi mlipaswa kuyachukua kabla ya Mke wa Dokta mwaka kuitisha vyombo vya habari kwa namna alivyosumbuliwa watu wanaona Baraza Kuna tatizo katika kutenda haki
Yaani mpaka mlalakikaji atafute mbinu mbadsla kama Queen alipoamua kwenda kwenye vyombo vya habari ndipo bakwata ichukue hatua za haraka hii si sawa hata kidogo shk wa mkoa umejieleza na kumtaja Allah lakin msamaha unaoomba kwa Allah utauomba mara ngapi? Nawasihi na kuwaombea mbadilike. Kuna kauli mbiu ya Mufti kama sikosei "tujitambue, tubadilike na tuache mazoea" huu ni wimbo tu hakuna utekelezaji kuanzia juu mambo ni mazoea tuuu. Tafakari chukus hatua
Safi Sana ndoa imevinjwa kisheria yaimaniyetu isilamu ilaaliye tamkakuivunja Sasa niyuleyule shekhewetu aliyetukanwa na mume waqween 😀😀😀😀😀dadadeki amesanuliwa dokta mwaka Hakim wandoa yake niadui wake Subuhana llah tuishi kwakuheshimiana bandugu 😁😁😁😁😁😁😁
Kweli kabisa kama umekosana na mke kwanini uwanyanyase watoto wako mbwembwe kibao mtandaoni na mabonge wake kumbe mmoja anamnyanyasa hakuna upendo wa wake wa tatu mke ni mmoja tu moyo haugawanyiki
Wanawake nanyi Ni wakolofi Sana Mungu anawaona, shida iliyopo wengi wao wanamsemo NGOJA NIOLEWE NIKATOE NUKSI, Sasa hapo tayari inakuwa umeshamkaribisha shetani ktk maisha yako ya ndoa,Epukeni kauli sinaxokera pia lzm umwogope Mungu TARAKA SIYO NZURI, japo imeharalishwa kwa baadhi ya DINI, mnawasumbua tu watoto wenu mliopewa na Mungu
Nyinyi Hamna Mapungufu Allah Atusamehe Sisi Ndio Wenye Mapungufu Ila Allah Anachikia Sana Suwali Lataka Badalah Nyie Baraza Kuweweka Wakawapatanisha Mnawatenganisha Rudi Katika Suratil Twallaaq..
Huyu Mwaka anashida anajifanya mjuaji sana anadai kuwa angelipewa nafasi wakayaongee nyumban wakat kumbe amepewa mda wa kutosha lkn anajikuta mjuaji saaana na kuanza kuchafua usilam kwa ujinga wake acha wakale wanao juwa kutunza wanawake wao .
Nikikumbuka Alhad Alikuwa kwenye mgogoro na J. Mwaka alafu leo ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Kutoa hii Talaka ngoja ninyamaze nisije kufuru...Allah Awape Subra na Upeo wa Kujiangalia mara mbili juu ya maamuzi haya ya TALAKA
Kabisa yani! Mimi siwezi kuvumilia ujinga huo Kuna watu tibia zao haziwezi badirika hata ujitahidi kuvumilia kamwe kila siku unaugulia kwenye moyo kisa nini?hata mtu aseme vipi lakini anayeteseka ni yule anayeyapitia wengine wataishia kuongea tu kwa kua hayaja wafika.Kwanza Roho hiyo Sina.
Sheikh wa mkoa kalipiza,,hii ishu ilitakiwa iishie huko huko ndani na si nje hivi,,talaka si jambo la mchezo imma la kutangaza hiv maana litashawishi wanawake wengi kufanya kwa mifano kama hii,,,lakin sheikh Alhadi kafanya hivi ni katka kulipiza kisa chake na Dr.Mwaka
@@shaushishaushi 🤣🤣🤣 Umeona Wahuni wenzako walivotetemeka na social media instead of ALLAH 🤣🤣🤣🤣 Hawa wanafaa tu kwa Nabii Mkuu 🤣🤣😂😂 Wala sio kwa Waisilamu
Mbona hii tu inatangazwa kwani bakwata wamevunja ndoa ngapi hazijatangazwa. Hii ndoa ina nini hadi waandishi wa habari wawepo.MWANAMKE KUWA MAKINI HUENDA UMETUMIKA
Kuoana na kuachana ni kawaida mbona hatuoni watu wengine wakiitiwa waandishi wa habari? Hii haki ni kwa Dr Mwaka tu au ni kwa waislam wote? Mulijitahidi vipi kuisaidia hii ndoa isivunjike au ni kukaa na kukubali tu kuwa ivunjike. Mungu anawaona mujue.
Ndoaaaa ,nigumuuu Kwa cc wanaumeee iliii nizitooo ,usiombeee yakukuteee,mwakaa kaka Allah kasema wanawakee wengi sku ya mwishoo watakuaa motoniii ni haya shekh ,ungelikuaa hunaaa maliiii walaaaa asingefanyaa hayaaa muachieee nyumbaaa molaaaa atakuruzukuu vingineee ,ambayee ajaoaaaa atafrahiiii ,NDOA ni ngumuuu wanawakeeee wa Sasa shekh wapendaa maliiii ,fedha n hatar ,watotoo wenuu watakjaaa kuyaonaa hayaaaa
Asallam alekum warrahmatullah shekh mkuu mkoa wajumbe wa baraza na ndugu na jamma wote wapenda haki huyo mama si wa kwanza na si wa mwisho hapo ndugu zangu tatizo lipo kwa kadhi wa mkoa bwana kitogo hali uzoefu wa kazi yake na ana usiri fulani na tukiufumbia macho na masikio basi tutachekwa hadi na watu ambao hawatupendelei sheria zetu za kiislam hapo bakwata tafuteni kadhi mwenye uzoefu wa kazi sio huyo bwana mimi binafsi nazungumza haya nilikua na kesi hapo lumumba na akaitolea maamuzi mwisho akasema mbele ya baraza lake bwana kitogo kwamba hakuna pa kwenda kulalamika yeye ndio top wa maswala ya kesi za kiislam je hiyo ni haki kumwambia muislam kitu kama hicho bakwata chunguzeni kwa umakini ofisi ya lumumba ofisi nzima ni rushwa tu hapo
SASA wanaume sindio mnatoa rushwa Ili nyiye muwini kila Siku SASA ameamua kuwasikiliza wanawake na kuwatetea kosa lake lipi ,mmezoea nyiye Tu kila Siku muwini
Kuna wangapi wanadai talaka hamshughuriki nao. Kikao hicho kimevunja au kuokoa ndoa ngapi ausababu huyo ni mke wa mwaka Mke wa mwaka ktk malalamiko yake ametuhumu baraza kuwa mpaka waganye kitu ndio wapate haki yao ina maana wako wengi. Kwanini mmekaa dharura kushughulika na suala hilo la queen..wengine je au nao wafanye fujo?
Je mwaka aliitwa kabla ya kutoa maamuzi ? Je dr mwaka kapewa nafasi ya kuongea ? Na kama mwanamke kajibua je amerejesha mahari na matumizi ya mwanamme? Bakwata mna bifu na dr mwaka , mmeamua kumkomoa . Acheni unafiki bakwata
Hahahahah Ila Sheikh wa Mkoa fitna unazijua, kweli kurukaruka sio dawa ya ulimbo, Kweli Dada alipata mshauri, weka wahandishi wa habari irushwe tukae kikao cha dharula, safi
Saizi ukizingua tu tunaita Media.Asanteni sana watu wa media mbali mbali nchini.Mmesaidia sana na mmeibua sana matukio mbali mbali .Bila ivyo watu wengi wangeteseka .
Ni kweli kabisa
Ni ujinga tu hamna la maana vitu vya msingi vinaachwa kuzungumziwa lkn upuuzi ndio unazingatiwa
Mmeusafisha sana uislamu n'a waislamu miongoni mwa jamii.mmedhihirisha ninyi watu wa haki
Subhanallah yarabi fanya wepesi kwa pande zote mbili katika kuvunjika kwa ndoa hii inshaallaah
Waislamu Awana ndoa ni vurugu mechi tu, wengine ndoa za ramadhani, wengine ndoa ya siku moja kwisha ksi nyekundu, usifananishe ndoa ya waislamu na ndoa ya ukristo. Katika ukristo hakuna kuvunjwa kwà ndoa mpaka kifo kikutenganishe
@@calistustitus4566 hujitambui,
Shukrani sheikh,kwa nasakha nzuri,wabillah taufiq
Mimi Kristo Ila naungana mkono na mashekhe lazima mtetee wanawake pia Safi Sana na nafundisho Kwa wengine na pia wakristo wote wameng,angania Tu mpaka kifo ,👏👏👏👏👏
My brother Salum. Mungu Akubariki sana. Umemuokoa huyu mwanamke
Jamani waliona vizuri Leo wanakuja kuwachana kwenye vyombo vya habari dar ! Mungu wangu jamani Mimi sitaki maisha haya kabisa
@@ziadasalimu1730 amefanya subra sana angetoa tu sisi tungejua wap tatizo aliamua kumkomoa mwanamke alokuzalia huruma imeenda wap
Kudai Tanaka kwa NGUVU KUBWA KIASI ICHO, manake Mwanamke uyo AMETESEKA NA ANAENDELEA KUTESEKA SANA NA MUMEWE UYO, NA HAEZI TENA KUVUMILIA.
APEWE TALAKA YAKE.
Alhamudilah huu ugonvi umekwisha. Ndoa ni rizki rizki hii imepita Allah akufanyie wepesi Queen upate Mume mwenye kheri na watoto In shaa Allah.
Mungu Mfanyie Wepesi Shekhe Huyu🤲🙏
Asante sana watu wote wa media usika. Thanks so much for highlighting this story.
The power of media....ahsante mungu mwanamke amepata haki yake hili jambo ilikuwa iwe simple kabisa lkn dr mwaka alikusudia kumtesa mtoto wa watu poooh.
Ndio limemshuka shuu
Alidhani kwa kuwa alimbadili dini yeye mkristo angekosa Haki. Alhaji Salum na jopo lako Mungu Akubariki.
Ni Muislam si mristo
Anaitwa Alhadi c Alhaji
Sheikh Salum ni ALHAJI ANASHIRIKI HIJJA
Mwenye namba yake Huyo mama anaisaidie tafadhari,,,, Nataka Kumuonesha Dr mwaka namna ya kupenda😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
🙄🤣🤣
Usije ukayafanya kama yeye bwembwe nyingi kumbe porojo tupu
Utawezana😂
Hamu yenyewe ya kuolewa anayo sasa vituko alivyokutananavyo amekoma
Allahumma Amiin Yaa Rabbi , Alhamdulillahi Rabbil'Alaamina Mwenyezi Mungu ajaalie iwe salaam kwa uyoo dada na amjaalie stara iliyo na Kheri NAE Allahumma Amiin
Doctor Mwaka ulishindwa kutoa Talaka au kujipatanisha nyumbani mpaka mnaweka Mashekhe na heshima zao kuwazungumzia nyinyi? Doctor Mwaka umekosa heshima kwa Dini yako na viongozi wako wa Dini, mbona mkifanya maigizo ya ndoa mtandaoni huoni shida kujirusha? Umekosea sana, izo sifa zako za kupenda kuongelewa mitandaoni zitakutokea puani siku yake
Kabisa kila kitu kinachokupata mwanadamu wewe muombe mungu tuu yy ndy muweza wa yote 👏👏 Amina
Dr mwaka ulisema unaweza kumiliki wanawake zaidi ya wawili sasa imekuaje
Safi kabisa Dr Mwaka nakukubali ila kwahili hapana nipo upande waQueen ulitaka kumkomoa nyumba ulimpa kwamapenz mwsho wasiku unaanza kumdai, unataka watoto wako waishi waishi wapi sio vzur mngeachana kwaamani
Mashaallah Umepndeza Mungu Akihifadhi Lakini Hajaongoza Haki Zipo Nyingi Ila Tumezeo Kusema Mdomoni Lakini Utokelezaji Hamna..
Safi sana bakwata mkiwa waadilifu kwa wanawake .wanawake wengi wanadai haki zao hawapati
Mm namtaka uyu mdada mashallah
Jamanii Talaka ni halali ila yatikisha Arshi ya Allah 😞😓 ya Allah tukinge na kuachika amiin 🤲 ya Allah
inatengemea talaka inatoka kwa vigezo maalum ndooo maana ikawepo Allah anachukia endapo mwanamke anataka talaka pasina migogoro
Omba kukingwa na adhabu ya moto wa Jahanam!
Kuoana kwa wema kuachana kwa wema mwenyezimungu alilijua hili ndio akatuekea talaqa kuiona huna budi moyo unafanya maamuz Karnes yetu ni karne ya ftna sana tuombe hatma njema
Ameen
Umepita vizuri shekh Al had musa
Kama kapata talaka yake tunashukur Alhamdulillah nilikuwa namuhurumia sana yule dada
Mwaka kagoma kasema ajaacha
Yaaani nimejifunza kitu maisha ya mitandaoni tuwaachiee jamani ni uongo mkubwa Dr. Mwaka yale majigambo kumbe Mwaka mzima hawaishi pamoja duuuuuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa Yani maisha ya mtandaoni SI mazuri ila ALHAMDULILLAH tumejifunza kitu hapa kubwa nikuwa na khekima Allah atunusuru
Mashaa allah ila choz limenitoka allah akulipe hery hakika be huu ndio uislam na uongoz bora
Dah,Hatari Sana,!Ndoa hizi Zina Mambo Mengi Sana Aisee,Kuna La Kujifunza hapa
Ukishakubali kutaja neno Ndoa ujue ni Mke na Mume.
Jamani wakristo tunakwama wapi.. hapa siku 2 tuu mke wa Mwaka katoa shida yake mtandaoni ndugu zetu Mashekhe, viongozi wa dini ya Kiislam wameshaingilia kati .. tena Kwa kuita kikao Cha dharura. ...sisi viongozi wetu wako tu wanalumbana Kwa issue ya Mch Kimaro mitandaoni... Tunafeli wapi? Kuna kitu Cha kuiga hapa Kwa wenzetu.. Maaskofu wetu muige mfano hapa... Sio kudhalilisha kanisa.. tusianike nguo zetu chafu upenuni.. kama Kuna mapungufu basi tutumie busara.. angalieni viongozi wanaotumia busara... Hawako kujibu mambo ya mitandaoni... One speech and it answers all the questions. ndio maana hata kwenye nyumba zetu za kuishi Kuna Bedroom
Eti hawajibu mbona Dr mwaka alivyowawasha kila leo walikuwa mitandaoni. Huyo kasumbuliwa akaamua kupita waandishi.
Unajua ni kwasababu ni maarufu tu...
Kiongozi gani wa dini ulimuona analumbana? Au ni hao kina Hananja ambao walishafukuzwa uchungaji?
@@sarahgaula2220 ila Mashekhe waliposikia Kuna shida waliingilia kati.. sisi Sasa tulitakiwa tukae kimya.. sio karibia kila kiongozi wa dini yetu aongee kujibizana mitandaoni
Kimaro ndio alifanya kihere here kuleta mtandaoni. Huwa wanapewa likizo za kupimwa uaminifu na hakukuwa na haja ya kutangaza. Uliwahi kuona padri analalamika kwamba kapewa likizo? Wa Catholic wanafanya mambo yao kimya kimya. Huyo Kimaro mtaka sifa ndio kaharibu sifa ya ukristo
Mmefanya jambo jema . Lakini wanawake tujifunze kutoigiza maisha Na kumbe unanyanyasika. Walidanganya watanzania kua wanapendana Na kumbe ilikua Ni maigizo. Mapenzi haigawanyiki mkiwa wake wengi lazima anaependwa ni 1 wengine wanatumika mapenzi hayagawanyiki. Mme wenu aliwatumia kuwadanganya watanzania kua mnapendana kumbe ilikua ni bongo muvi.
kweli
Yaan walkuwa wana2fanya wengne 2onekane Co k2 yaan ukkosea ooooh muone wenzenu wapo kwenye ndoa zao
Mbaya zaid waliungana mke mkubwa akawa hana thaman leo imekuaje acha Mungu ajibu kwa wakat,ili wajue hata mkewe aliumiwa wakati wanaungana eti wanapatana
@@nasraabasi6521 MUNGU amfungulie ridhk 2nataka ndoa lakn Kuna mda inakuwa ndoana.
@@nasraabasi6521 hivi huyu ni mke wa pili?
Hawana mamlaka ya kuvunja isipokuwa mahakama tu, wao ni kutoa barua kwenda mahakamani
Hao watendaji wako ndo walikuwa wala rushwa,Nakupendaga sana Shekh hunaga ubaguxi.
Huyu ana busara sanaaa
Kwass waislamu huyo sio shehe nishehe ubwabwa
Baraza Mjitafakari kwa sababu haya maamuzi mlipaswa kuyachukua kabla ya Mke wa Dokta mwaka kuitisha vyombo vya habari kwa namna alivyosumbuliwa watu wanaona Baraza Kuna tatizo katika kutenda haki
Wangefanya haraka tusingejuwa
we mwenyewe umesikia walipewa siku kadhaa waende wakayamalize lakini mwamba alikua haendi
Lakini amezingatia misingi ya dini na hukmu ya ndoa... Allah amjaze hekma na ampe subra maana atakayopewa baadaye....Allahu ya'lam 🙏
Yaliomkuta huyu dada na mimi hivi hivi mpaka leo wanangu ninao mwenyewe namshukuru mungu Alhamdulillah
Asante Mungu Queen amepata haki yake
Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayejua hukmu ya hilo jambo, tunamuomba aidhihirishe haki mbele za macho yetu ya kawaida.
Amiiiiin Yaa Rabbill Allamiyn
Yaani mpaka mlalakikaji atafute mbinu mbadsla kama Queen alipoamua kwenda kwenye vyombo vya habari ndipo bakwata ichukue hatua za haraka hii si sawa hata kidogo shk wa mkoa umejieleza na kumtaja Allah lakin msamaha unaoomba kwa Allah utauomba mara ngapi? Nawasihi na kuwaombea mbadilike. Kuna kauli mbiu ya Mufti kama sikosei "tujitambue, tubadilike na tuache mazoea" huu ni wimbo tu hakuna utekelezaji kuanzia juu mambo ni mazoea tuuu. Tafakari chukus hatua
😀
SubhanaAllah
Hongera sn shekhe umetenda khaki hy mwaka anataka ubabe akwendereeee
Si walijifanya wanapendana hawa na wale wake zake wengine au sio doctor huyu mwaka
Anapendana na wale huyu kamchoka
Ndo yuleyule mtaalam wa mapenz walewale wanaovaa saresare 🤣🤣
Safi Sana ndoa imevinjwa kisheria yaimaniyetu isilamu ilaaliye tamkakuivunja Sasa niyuleyule shekhewetu aliyetukanwa na mume waqween 😀😀😀😀😀dadadeki amesanuliwa dokta mwaka Hakim wandoa yake niadui wake Subuhana llah tuishi kwakuheshimiana bandugu 😁😁😁😁😁😁😁
Mechekaaaa
Atimaye sakata likafika kwa mtaalamu😂 usitukane mamba kbl hujavuka😂😂
Namie nlikumbuka Hilo jamani🤣🤣🤣
😂😂 asitukane wakunga na uzazi ungalipo
Ndoa kweli haina mwenyewe#Dr Mwaka mtaalam wa mahusiano😂😂😂
😅😅😅😂
Mshauri wa ndoa naye huwa anatombewa, usisgae sana
Subhaanallah
Allah awape subra njemaa wote mke na mume kuachana sio kitu kidogo
Ameen. Kweli kuachana sio kitu kidogo lkn namateso ya kila siku hatukuumbiwa cc wanawake. Shukran
Alhamdulilah 🤲 bora
Unashukuru nini
Naskitika sanaa kwa Dadangu Queens Mungu atakupa subra na Mungu akupe mafanikie usotirike
Allahumma Amiin,Allah amsimamie na amtangulie na am linde na amfungulie milango ya heri
Mbuzi kafia kwa Muuza Supu!
Sheikh wa mkoa wa Dar….kamkamata pabaya mwaka!
😅😅😅😅
Sheikh mwenyew Sharabaro tozi ana glass
Afadhali mama wa watu kapewa talaka yake. Haki zake pia apewe hapo ndo haki itakuwa imetendeka
Kapewa talaka na sheikh 🤣🤣
Mungu akubaliki shekhe.
Dunia kijiji ndoa inavunjika mtandaon kila mtu anajionea bila kuambiwa namtu inauma bola iwe kmy kmy 😱😱
Mwaka mjinga sana unawezaja fanya hayo kwa mwanamke aliye kuzaliwa watoto
Mambo ya ndoa siyo rahisi kama unavyofikiria wewe, usimwite mtu mjinga wakati hujui mambo ya ndani ya watu.. Kwanza wewe umeoa?
Kweli kabisa kama umekosana na mke kwanini uwanyanyase watoto wako mbwembwe kibao mtandaoni na mabonge wake kumbe mmoja anamnyanyasa hakuna upendo wa wake wa tatu mke ni mmoja tu moyo haugawanyiki
Wanawake nanyi Ni wakolofi Sana Mungu anawaona, shida iliyopo wengi wao wanamsemo NGOJA NIOLEWE NIKATOE NUKSI, Sasa hapo tayari inakuwa umeshamkaribisha shetani ktk maisha yako ya ndoa,Epukeni kauli sinaxokera pia lzm umwogope Mungu TARAKA SIYO NZURI, japo imeharalishwa kwa baadhi ya DINI, mnawasumbua tu watoto wenu mliopewa na Mungu
Allahumma amiin rabbi
Sio vizuri kusema kitu ila Alhamdulillah bora ameachika🙏
SubhanaaAllah Allah kareem ☝️📿 Kila Moja na amtegemee #kuachanasivita
Mzee yusuphu njoo na huku tena tyr kimeumana😁😁😁😁
😁😁😁mkorofi wewe
Yani ingekua ndoa zote mnajitokeza km hivi ingekua tupo mbali sana lakin wanyonge hawana posho la vikao vya michongo km hivi
Nyinyi Hamna Mapungufu Allah Atusamehe Sisi Ndio Wenye Mapungufu Ila Allah Anachikia Sana Suwali Lataka Badalah Nyie Baraza Kuweweka Wakawapatanisha Mnawatenganisha Rudi Katika Suratil Twallaaq..
Riziki imekwisha,hakunaga kugangania ,kuoana kwa wema kuachana kwawema ataoa na mke ataolewa,hakuna kesi
Mambo yahovyo kweli wee ushindwe kuamua ndoa y'ako mpaka wanaume wenzio wakuamulie vitu vya ajabu sana
Tunavunja ndoa kwenye press kweli jamani viongozi wa dini zetu hii siyo sawa Kwa mtazamo wangu haya ni maoni yangu
Hao masheikh ubwabwa I wameshapikiwa bilian na mke wa mwaka wanabwabwaja ty wahuni wakubwa❤
Mpumbavu wewe usiwadhihaki masheikh wetu kwa ujinga wako
ALLAAH KAREEM
Waalekum Salam
Majina tu yanambeba mhalifu. Juma Mwaka! Yaani wiki au siku 365.
Huyu Mwaka anashida anajifanya mjuaji sana anadai kuwa angelipewa nafasi wakayaongee nyumban wakat kumbe amepewa mda wa kutosha lkn anajikuta mjuaji saaana na kuanza kuchafua usilam kwa ujinga wake acha wakale wanao juwa kutunza wanawake wao .
Ameen 🙏
😂 😂😂😂nacheka tu kwanini mpaka waandishi, sicheki kuvunjika kwao lahasha. Hongera Queen kwa kupata haki yake aliyoiomba
Nakesho kwa Allah utajibu hili
Nikikumbuka Alhad Alikuwa kwenye mgogoro na J. Mwaka alafu leo ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Kutoa hii Talaka ngoja ninyamaze nisije kufuru...Allah Awape Subra na Upeo wa Kujiangalia mara mbili juu ya maamuzi haya ya TALAKA
HUYO KADHI WA DAR ES SALAAM ANGEFUKUZWA HAFAI KABISA MSHENZI ANANUKA NJAA ANATUDHALILISHA WAISLAMU.
Pole sana, Mukiambiwa kusoma hamtaki, huenda ingekuwa nafasi yako ile,
Mara hii tutakoma.
Tuoe kwa pesa zetu talaka atutolee Alhadi,makubwa mwaka huu.
Sheria ya dini kuowana na kuachana ni jambo jema tu,hakunaga kulaumu dini yahaki
Yaaan hadi alalamike kwa mtandao ndio suluhu ifanyike,ndo mstuke kweli,ebu jalini wanawake wanapolalamika.
Kabisa yani!
Mimi siwezi kuvumilia ujinga huo Kuna watu tibia zao haziwezi badirika hata ujitahidi kuvumilia kamwe kila siku unaugulia kwenye moyo kisa nini?hata mtu aseme vipi lakini anayeteseka ni yule anayeyapitia wengine wataishia kuongea tu kwa kua hayaja wafika.Kwanza Roho hiyo Sina.
Hivi ule mgogoro wa dr mwaka na sheikh mkuu wa dsm uliishia wapi maana nilivyoona hii ishu nimekumbuka
Hahahaha,,,,,
Sheikh wa mkoa kalipiza,,hii ishu ilitakiwa iishie huko huko ndani na si nje hivi,,talaka si jambo la mchezo imma la kutangaza hiv maana litashawishi wanawake wengi kufanya kwa mifano kama hii,,,lakin sheikh Alhadi kafanya hivi ni katka kulipiza kisa chake na Dr.Mwaka
@@abdallhussein hahahaha,,,,,,ni dhana Tu, lakini inakaribiana na ukweli!!
vzr sn
Nilijua lazima dokta mwaka akaangwe!!
Kudadeki si aliwatukana masheikh.
Hayo maelezo Naona ya upande wa mwanamke tu.
Taaaqbiirrrrrr
Allaaahhu akbar
Wahuni wameona haya 🤣🤣🤣🤣🤣 kama huyo Queen hakulalamika mko pamoja na Mwaka kumchezea ujinga hamgefikia hapa WANAFIKI WAKUBWA NYINYI
Mhuni mkubwa wewe
@@shaushishaushi 🤣🤣🤣 Umeona Wahuni wenzako walivotetemeka na social media instead of ALLAH 🤣🤣🤣🤣 Hawa wanafaa tu kwa Nabii Mkuu 🤣🤣😂😂 Wala sio kwa Waisilamu
@@DesertTears hilo ndo tatizo lakuabudu binadamu akili uzidiwa hadi na ngurue
@@DesertTears tatizo lingine kuwa najaba yakizazi nakizazi hali hiyo udumaza ubongo 👂👂👂
Alhamdulillah kwa hili
DINI YA ALLAAH INAHITAJI DALILI MMEPITIA DALILI IPI
Mbona hii tu inatangazwa kwani bakwata wamevunja ndoa ngapi hazijatangazwa. Hii ndoa ina nini hadi waandishi wa habari wawepo.MWANAMKE KUWA MAKINI HUENDA UMETUMIKA
Ahahaaaa alichokoza Moto umemuwakia kichwani
Kuna watu wanamuhitaji hapo ndio maana imevunjwa haraka Juma mwaka ukisema wewe cha nini wenzio watabetua
Kuoana na kuachana ni kawaida mbona hatuoni watu wengine wakiitiwa waandishi wa habari? Hii haki ni kwa Dr Mwaka tu au ni
kwa waislam wote? Mulijitahidi
vipi kuisaidia hii ndoa isivunjike
au ni kukaa na kukubali tu kuwa
ivunjike. Mungu anawaona mujue.
Safi sana wanawake wanaonewa sana
Nani anayewaonea
Hongera dada queen masanja
Hongera yakuachika?SUBHANALLAH
Qeen masanja, kajala masanja na mke wa manara duuh, Kuna mahali hapako sawa aisee
Ndoaaaa ,nigumuuu Kwa cc wanaumeee iliii nizitooo ,usiombeee yakukuteee,mwakaa kaka Allah kasema wanawakee wengi sku ya mwishoo watakuaa motoniii ni haya shekh ,ungelikuaa hunaaa maliiii walaaaa asingefanyaa hayaaa muachieee nyumbaaa molaaaa atakuruzukuu vingineee ,ambayee ajaoaaaa atafrahiiii ,NDOA ni ngumuuu wanawakeeee wa Sasa shekh wapendaa maliiii ,fedha n hatar ,watotoo wenuu watakjaaa kuyaonaa hayaaaa
Haina shida kwa mwanamke kuomba talaka ila swali langu kwenu waumini wenzangu wa kiislam je ni sahihi kwa kuomba talaka kwa Njia hii ya public
Jaman ndoa hizi sasa mm nae taka kuingia kwenye ndio mpaka naogopa yan kutoka kwa hii talaka nimeumia 😔😔
Muombe mungu watu tumekasa hekimaa kama hujailewa mim nipo iĺ nina mke mmoja ishllhw
Haposasa kelele ndio zinaanza ktk mitandaoo nakuidhalilisha dini
Asallam alekum warrahmatullah shekh mkuu mkoa wajumbe wa baraza na ndugu na jamma wote wapenda haki huyo mama si wa kwanza na si wa mwisho hapo ndugu zangu tatizo lipo kwa kadhi wa mkoa bwana kitogo hali uzoefu wa kazi yake na ana usiri fulani na tukiufumbia macho na masikio basi tutachekwa hadi na watu ambao hawatupendelei sheria zetu za kiislam hapo bakwata tafuteni kadhi mwenye uzoefu wa kazi sio huyo bwana mimi binafsi nazungumza haya nilikua na kesi hapo lumumba na akaitolea maamuzi mwisho akasema mbele ya baraza lake bwana kitogo kwamba hakuna pa kwenda kulalamika yeye ndio top wa maswala ya kesi za kiislam je hiyo ni haki kumwambia muislam kitu kama hicho bakwata chunguzeni kwa umakini ofisi ya lumumba ofisi nzima ni rushwa tu hapo
Huyo kadhi ananuka njaa HAFAI wamtoe
Hivi unatoka kwako na kupeleka kesi ya ndoa Bakwata???hii hapa imetolewa ili Alhadi amuingilie huyu mwanamke usidhani hivi hivi
@@abdallahabdulaziz3683 sio kadhi tu hata huyo Alhadi 0 usitegemee haq
SASA wanaume sindio mnatoa rushwa Ili nyiye muwini kila Siku SASA ameamua kuwasikiliza wanawake na kuwatetea kosa lake lipi ,mmezoea nyiye Tu kila Siku muwini
Je kwa wale wasio nauwezo wakuita midia hali inakuaje, maana hapo imeonekan limeshugulikiw harak kwasababu ya midia,
Kuna wangapi wanadai talaka hamshughuriki nao.
Kikao hicho kimevunja au kuokoa ndoa ngapi ausababu huyo ni mke wa mwaka
Mke wa mwaka ktk malalamiko yake ametuhumu baraza kuwa mpaka waganye kitu ndio wapate haki yao ina maana wako wengi.
Kwanini mmekaa dharura kushughulika na suala hilo la queen..wengine je au nao wafanye fujo?
Alhamdulillah
Je mwaka aliitwa kabla ya kutoa maamuzi ? Je dr mwaka kapewa nafasi ya kuongea ? Na kama mwanamke kajibua je amerejesha mahari na matumizi ya mwanamme? Bakwata mna bifu na dr mwaka , mmeamua kumkomoa .
Acheni unafiki bakwata
Waislam tuna mtihani sana wallah hivi huyu jamaa ndiye shekh wetu wa mkoa kweli?!haya bna
Sheikh twachaguliwa na chama na sio waislamu wenyewe tutegemee nini ?
Hahahahah Ila Sheikh wa Mkoa fitna unazijua, kweli kurukaruka sio dawa ya ulimbo, Kweli Dada alipata mshauri, weka wahandishi wa habari irushwe tukae kikao cha dharula, safi
Iyo sio fitna ila jambo lianza kimitandao na wengi walikuwa wnafatilia ivyo ni Bora hukm itolewe dhair
👏👏👏👏👏👏👏😍