I say mnatuchanganya sana!! Kwani huyo sheikh mkuu wa mkoa wa Dar alivyotangaza kuvunja ndoa ya Dr Mwaka alikua hazijui sheria au alijiamulia yeye mwenyewe tu kutokana na cheo chake??mbona tena leo hii kauli umegeuka au mnekua papa mnakulana wenyewe kwa wenyewe sisi tunawaangalia eti viongozi wetu wa Bakwata mjue mw/mungu anawaona.
Huyu ni MWANAUME kamili wa kiislam asie pindisha pindisha Mambo ✅
Tupe vigezo mpaka iwe haijavunjika
Wewe si ndio ulitia sain
I say mnatuchanganya sana!! Kwani huyo sheikh mkuu wa mkoa wa Dar alivyotangaza kuvunja ndoa ya Dr Mwaka alikua hazijui sheria au alijiamulia yeye mwenyewe tu kutokana na cheo chake??mbona tena leo hii kauli umegeuka au mnekua papa mnakulana wenyewe kwa wenyewe sisi tunawaangalia eti viongozi wetu wa Bakwata mjue mw/mungu anawaona.
Tanzania sihami