Halima Mdee Vs Goodluck Mlinga Bungeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 เม.ย. 2017
  • Hii ilitokea bungeni Dodoma wakati wakati wabunge wakichangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI ambapo Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliposimama na kuwakosoa wapinzani baada ya kukosa nafasi ya uwakilishi wa wabunge wa Afrika mashariki, Mbunge wa Kawe Halima Mdee akalazimika kusimama kuomba mwongozo.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 328

  • @melinanelson8727
    @melinanelson8727 7 ปีที่แล้ว +5

    Mmmmh Aibu mno bunge la sasa...... Mmmmh mara kuchokonowa Duuuh hivi hizi kauli na mipasho ndyo tulivyowatuma. Mungu hakusaidie TANZANIAN

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว +1

    Mlinga is best ever ....Kwan kaongea uongo hapo ? Genda NI muhimu Sana kuzingatiwa....

  • @josephaty9010
    @josephaty9010 7 ปีที่แล้ว +12

    mlinga una ubongo unaofanya kaz sana na unajua kucheza na akili za watu, mdee hakuwez kwa strong thnkng labda kwa matuc2

  • @emmanuelmpunza5404
    @emmanuelmpunza5404 7 ปีที่แล้ว +3

    Daaaaaah daaaaaaah bora hamuoneshi bunge live aiseeeeeeee bora makonda mmoja kuliko ujinga wenu bungeni.
    ingawa sio wabunge wote pole sana mh naibu spika kuwaongoza haooo watu watakulaza na viatu kwa ujinga wao.

  • @barakaboniphace4067
    @barakaboniphace4067 3 ปีที่แล้ว

    Me ni ccm but halima nampenda Sana..anaongea points kbs Tena with evidence

  • @jasparmallyashilekirwa674
    @jasparmallyashilekirwa674 5 ปีที่แล้ว

    Naibu Spika, Una kazi kubwa. Bwana Mungu akupe busara and pse. Simamia haki.

  • @nessa4899
    @nessa4899 7 ปีที่แล้ว +7

    Ndio Halima kusoma kuzuri Dada.

  • @evodiusishengoma7189
    @evodiusishengoma7189 7 ปีที่แล้ว +2

    Well said dr. tulia!

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 7 ปีที่แล้ว +5

    Hivi hawa wabunge watafundishwa mpaka lini?tuliwachagua mtuwakilishe matatizo leo ni upuuzi tu

  • @walawioutreach4055
    @walawioutreach4055 4 ปีที่แล้ว

    mungu hapendi kwakweli hivi ninyi wabunge hamjui kwamba BUNGE NI MAHALI PATAKATIFU SANA?HIVI TUMEWACHAGUA WA KAZI GANI?NDUGU ZANGU TUJIPANGE UCHAGUZI UMEFIKA TUSIWARUDISHE WAHUNI KAMA HAWA.

  • @michaelmapunda6373
    @michaelmapunda6373 7 ปีที่แล้ว +4

    kumbe mlinga unaongeaga point sometime well done

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 หลายเดือนก่อน

    Wenye masikio tumemsikia Mlingwa na Halima.Mlingwa amechanganya mada

  • @ndavidmhanuzi2130
    @ndavidmhanuzi2130 7 ปีที่แล้ว +2

    Mlinga nikilaza haijawahi tokea chini ya jua.Naibu spika anaharibu bunge

  • @emilymwashambwa8158
    @emilymwashambwa8158 7 ปีที่แล้ว +10

    mulinga yupo sawa

  • @samsonmwijage1602
    @samsonmwijage1602 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyhama Pagi mbowe alipata division zero(0) form six(vi) Ihungo sekondari- Bukoba. Baada ya hapo akafanya kazi night club(bilicanas) akakwepa kulipa kodi majengo ya NHC hadi alipofilidiwa mali na kuondolewa hapo. Mbowe uenyekiti wake chadema aliupata kutoka kwa baba mkwe wake Edwin Mtei ambaye alianzisha chadema. Mbowe amejigeuza mfalme hataki uchaguzi hadi leo.

  • @veronicshaiyo2786
    @veronicshaiyo2786 7 ปีที่แล้ว +12

    mijitu mingine bhanaa kama ........halima we songa mbele achana na huyo mla majan

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 6 ปีที่แล้ว +1

    Mlinga ahsante kwakuwapa ukwel sema wenyewe kazi nikupinga tu

  • @justinleveran6137
    @justinleveran6137 7 ปีที่แล้ว +4

    ninyi mlikulikuwa na uhakika na mkuu wa mkuu wa mkoa kutokuwa na vyeti. ....chadema wakiguswa hadi hurumaaa wanavyotoa milio

  • @Hedva255
    @Hedva255 7 ปีที่แล้ว +3

    mmmh bunge letu la tanzania hili eeh Mungu tusaidie....wanamsumbua huyu mama jamani chaaaaaaaaa.
    anaongea kama anaongea na watoto wa la kwanza kumbe watu wazima jamani.

  • @sumatotv9437
    @sumatotv9437 7 ปีที่แล้ว +5

    hahaha...safi sana hii! :)

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 6 ปีที่แล้ว +4

    naibu spika kwa mtazamo kama anakiburi!! ila ukweli Huyu sister anajitahidi sana na ana busara sana

  • @alialle6441
    @alialle6441 7 ปีที่แล้ว +16

    Kwa kweli huyu mlinga chama kinatakiwa kimuangalie sana cdhani kama ni mtu sahihi

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 4 ปีที่แล้ว +1

    YAANI NAWAHURUMIA WATU WA JIMBO LAKE..YAANI WALIKOSEA SN KUMPA HUYU MLINGA UBUNGE...5YRS ANASHINDWA MUOMBA KILOMETA 70..ATAWEZA KUSHINDANA NA HALIMA???WANA ULANGA MJIFUNZE MSIKOSEE 2020..

  • @husseinhkitambi1701
    @husseinhkitambi1701 7 ปีที่แล้ว +7

    kumbe tulia ni.mwalimu wako.halafu unamuita kilaza hahaha.jabu sana kwa hiyo.mwalimu kakufundisha ukilaza

  • @fridgeismybestfriendwhenit7149
    @fridgeismybestfriendwhenit7149 7 ปีที่แล้ว +31

    akiongea mlinga kaongea pumba wakiongea wengine Jambo hilohilo mnawaita magenious.... what a stupidity

  • @aishaabdion9802
    @aishaabdion9802 7 ปีที่แล้ว +15

    jmn embu tuachieni Mlinga wetu khaaaa Kwan vepeeeee sas kama kacngzwa acweke waz ili aeleweke inahuuu kuweka kitu moyon.
    Baba komaa wakatujengee madaraja yetu na umesahau maji yamebeba mahindi njaaaaa 😢😢 wenyew tunakukubali hakuna cha kiki wala pumba
    😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤

  • @winifridamungure8986
    @winifridamungure8986 7 ปีที่แล้ว +9

    mlinga weeeh ni less point huna jipya cjui waliokuchagua wamekutoa wapi weeeh ndo unaongoza kwa kulewa ndo maana huna point.kilaza mkubwa huna jipya

  • @amanipima5122
    @amanipima5122 4 ปีที่แล้ว

    chanzo chafulug bungeni nikutozingatia utaratibu unaotakiwa 1 .Hakunanidham 2.Hawatoi hojakamaipasavyo bainayachama cha ccm nachadema inatakiwa wapingane kwapoint 3. Mheshimiwa naibsipika inatakiwa uendeshebunge kamainvyotakiwa 4.Kitukingine inatakiwa utaratub wabunge ufatwe msiendeshebunge kimzahamzaha!

  • @edwinmoshi2523
    @edwinmoshi2523 7 ปีที่แล้ว +1

    kumbe wananchi wako wana matatizo lukuki afu unatanguliza ujinga badala ya kuwatanguliza waliokutuma.
    TUTABADILIKA LINI??

  • @divaifrank6746
    @divaifrank6746 5 ปีที่แล้ว +4

    kuna wanaume wa ccm hapo wana mambo ya kike eti 👌

  • @faridastephen6210
    @faridastephen6210 7 ปีที่แล้ว +1

    Changamoto tupuuu???mlinga un educated shida iko hapo sasa ndicho kilichopo katika mijadala ya bunge kwelii aisee!!!!ccm wanalopoka ujinga lakin hakuna anaetolewa njee ila so upinzani hii nch bana🚶🚶

  • @charlesmagere9020
    @charlesmagere9020 7 ปีที่แล้ว +6

    akiongea mlinga hovyo lakni akiongea mpinzani hata kama ni upuuz yes.....huu ni ujinga wa mawazo

    • @dr.erickenock833
      @dr.erickenock833 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna ccm anayeongea points hapo, alichosungumza mlinga kina faida gani kwa mfano?

  • @masongatz
    @masongatz 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo Bekul ndio kalewa sasa wameshawachanganya vichwa vibovu, Huyu Mlinga ndo kabisaa hata lugha hajui ahahahaa

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว +3

    Mlinga itakuwa viti maalum, sidhani kama alipigiwa kura huyu!

  • @ismailabdallah4268
    @ismailabdallah4268 7 ปีที่แล้ว +29

    tuache upumbavu kwanini akiongea wa ccm ndiyo tatizo akisema wa chadema hata kama ni mwehu mnasema tu.

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 6 ปีที่แล้ว +3

    yani huyu mbunge mlinga kama anakuwa jimbon kwangu simchagui

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 7 ปีที่แล้ว +2

    MmHg! Halima nayee pumba vilevile. Mhe. Naibu Spika mbona naye kaelezea sasa.

  • @yohanakishosha6542
    @yohanakishosha6542 6 ปีที่แล้ว +3

    Muongo ww tumekuzoea angekuwa wa chadema ungeunga mkono kuwa amekosea acha upendeleo

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah Naibu spika unachapa kaz sana 🤔🤔

  • @zinapz5251
    @zinapz5251 7 ปีที่แล้ว +3

    mlinga amnakitu

  • @raymondfelician916
    @raymondfelician916 7 ปีที่แล้ว +4

    Naibu spika nampenda sana

  • @muhammadsalim7936
    @muhammadsalim7936 4 ปีที่แล้ว +3

    Mbona mnamchokonoa Halima ?

  • @famousbox9525
    @famousbox9525 7 ปีที่แล้ว +11

    yan nikitaka kucheka naingia zangu TH-cam natafta video za bungeni yan ni kama niko na kansiime live 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @khdigahk4246
      @khdigahk4246 4 ปีที่แล้ว

      Km mimi dear😃😃😃

  • @edlineglorycutemunis4986
    @edlineglorycutemunis4986 7 ปีที่แล้ว +3

    ƴani huƴu mlinga ameƙua ƙomedi ɓungeni siƴo mchangiaji

  • @clt9914
    @clt9914 7 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni chaos inayotokana na naibu kushindwa kudhibiti Bunge. Naibu anafurahia baadhi ya maneno yeye binafsi anageuka shabiki na kuharibu kazi ya kitaifa.

  • @ahmadkhattar6760
    @ahmadkhattar6760 7 ปีที่แล้ว +3

    hawa bunge wa ccm wengi ni bendera hufwata upepo

  • @ibrahimjaphet5537
    @ibrahimjaphet5537 7 ปีที่แล้ว +1

    halima mdee ongea kweli katka hilo

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 ปีที่แล้ว +3

    naibu inaonekana upinzani anamkubali Halima peke yake

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 7 ปีที่แล้ว +1

    bunge hili rubish bora wakati wa piusu msekwa wabunge wote wahuni

  • @japharymayanga3347
    @japharymayanga3347 7 ปีที่แล้ว +3

    humo ndani mkumbuke mnatumia kodi za wananchi

  • @razackkambi5903
    @razackkambi5903 3 ปีที่แล้ว +1

    Bunge bila ya upinzani ni bubu dhaifu

  • @lucyleopold3324
    @lucyleopold3324 7 ปีที่แล้ว

    jamani Hawa wabunge wetu wanapenda kuendekeza mambo yaliyopita badala watumie fursa kutuwakilisha vyema wananchi wao wanazungumzia mambo yaliyopita wanabore

  • @justinepaulomaheomahe3582
    @justinepaulomaheomahe3582 7 ปีที่แล้ว +3

    duh mlinga aeelewiii!!!!?je jimbo kwake jama walizingatia nn hadi kumchagua

  • @jahhloveyou4462
    @jahhloveyou4462 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndiomana ndugai atakaki mchezo maana hawa kama watoto vile

  • @filbertmtui196
    @filbertmtui196 7 ปีที่แล้ว +2

    kwel nyie nyie ndio mliowashauri bongo movie waandamane, Goodluck unaweza ukawa ulkua unafaulu kuanzia kinda gate mpaka chuo kikuu ukatoka na jpa nzuri lakin usiwe na influence ya kutete hoja yako! unaweza ukawa umehtm fom four ukawa unaweza ukashawish wananchi zaid ya ww uliehitim chuo

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 4 ปีที่แล้ว

    Sidharau bunge lakini nadharau wabunge,wanachokifanya mungeni nikuonyeshana mabavu ya kujua katiba na hila tu

  • @mkambotv5418
    @mkambotv5418 3 ปีที่แล้ว

    TUTAKUMISS SANA HALIMA MDEE....BUNGE LITAPOOZA SANA

  • @moseskayan3705
    @moseskayan3705 6 ปีที่แล้ว

    Wabunge wa ccm kuweni na heshima kwa wenzenu heshima yenu ndoga sana

  • @nyhamapagi9694
    @nyhamapagi9694 7 ปีที่แล้ว +7

    kumbe mbowe ni form six zerooooooooo bashite

  • @abubakarabdulrazak5348
    @abubakarabdulrazak5348 6 ปีที่แล้ว

    Wewe Halima huna hoja unatupotezea muda huna mpango wowote nenda KAPIKE

  • @kidutasuleiman255
    @kidutasuleiman255 5 ปีที่แล้ว

    Parliament has high value, am failing to understand our parliament bcoz am trying to take the point but nothing at all, opponents are important in our country

  • @thomasikorneli3798
    @thomasikorneli3798 4 ปีที่แล้ว

    Thomasi. Korneli

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 ปีที่แล้ว +2

    kumbe mbowe nae ni six ziro ...haya.

  • @razackkambi5903
    @razackkambi5903 3 ปีที่แล้ว

    Bunge mwaka huu dhaifu

  • @chimbufredrick589
    @chimbufredrick589 6 ปีที่แล้ว +2

    Halimaaa

  • @makanikiamsanga906
    @makanikiamsanga906 6 ปีที่แล้ว

    Ukiona mbunge anaongea pumba bungeni ujue hata waliomchagua nao ni pumba tu.
    ukiona mbunge anaongea matusi ujue kachaguliwa na wavuta bangi na walevi.

  • @solomonmwisala157
    @solomonmwisala157 7 ปีที่แล้ว +2

    Huyo kichwani hamna lolote Mlinga

  • @phindustrymahoe8484
    @phindustrymahoe8484 7 ปีที่แล้ว +3

    Komeshaaaa yaoooooo mlinga duh,,,

  • @vianeyminja575
    @vianeyminja575 7 ปีที่แล้ว +4

    hii battle imekolea..

  • @renaldjohn9330
    @renaldjohn9330 4 ปีที่แล้ว

    duh mungu anawaona

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 6 ปีที่แล้ว +5

    Kwaiyo mboe Ana zero

  • @goodluckolesolomon5931
    @goodluckolesolomon5931 6 ปีที่แล้ว +1

    Dah amakweli kazi ipo huyo ni naibu speaker sio bhana

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 ปีที่แล้ว

    if you listen carefully you will hear what mlinga says... kiukwel huyo jamaa akili nyingi sana...kawavuruga hapo wameshindwa kumuelewa...kagusa issue ya Nape mara kachange ghafla karud kwa Saanane , mbowe mara kubenea.... tunachokumbuka kaomba rami, daraja na shule zisajiliwe
    😂😂😂 yuko vzur san huyu atapita 2020 bila jasho... lkn Kubenea atusaidie kuhusu Saanane jamn.

  • @solomonmwisala157
    @solomonmwisala157 7 ปีที่แล้ว +14

    hao wanao zomea ni vibaka. endelea mdee

  • @sadikimsugaru6836
    @sadikimsugaru6836 7 ปีที่แล้ว +1

    Kweli halima upo sahii

  • @yohanapetro4598
    @yohanapetro4598 6 ปีที่แล้ว

    mlinga mm uwaga sielewi unazungumzaga nn unazidiwa na msukuma dalasa la 7 muone

  • @hassanmanjoti821
    @hassanmanjoti821 7 ปีที่แล้ว +3

    Mpogoro noma

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 7 ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti ni form 6 bashite😃😄😄😅

  • @ridhiwaniomari7425
    @ridhiwaniomari7425 4 ปีที่แล้ว

    Hawa wabunge wakati mwingine wanakuwa kama watoto wadogo,wanapiga kelele kama wapo darasani

  • @florameza9529
    @florameza9529 7 ปีที่แล้ว

    ubunge kaupata baada ya mama yake kombaini kufariki anatukanaga sana yaone ccm yanazomea viti maalum vitolewe watu wagombee majimbo

  • @ahmadkhattar6760
    @ahmadkhattar6760 7 ปีที่แล้ว +1

    huyu jamaaa hajawahi kuongea point hata siku moja zaidi ya nonsense na sizani kama alipita huko bungeni

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 7 ปีที่แล้ว +6

    Nassari kalewa konyagi 😄😄😃😃😅

  • @happynessshayo6003
    @happynessshayo6003 7 ปีที่แล้ว +6

    form six zero lakini anawapeleka mchakamchaka mpaka mnakosa usingizi

  • @yassiniferuzi2867
    @yassiniferuzi2867 4 ปีที่แล้ว

    Wewe hurudi mjengoni 2020 hurudi mjengoni

  • @frankjoseph6213
    @frankjoseph6213 6 ปีที่แล้ว

    mlinga piga kazi mueke Mungu mbele

  • @florameza9529
    @florameza9529 7 ปีที่แล้ว +3

    naibu watulize wabunge wa upande wako acha upendeleo

  • @simonmwakibete5388
    @simonmwakibete5388 7 ปีที่แล้ว +4

    ssa dogo unaleta mbwembwe wakati jimbo lako lina matatizo lukuki .

  • @eliasabel1099
    @eliasabel1099 7 ปีที่แล้ว +3

    mlinga oyeee!vzr sana

  • @faustineandrew8568
    @faustineandrew8568 7 ปีที่แล้ว

    hakika bunge ingekuwa live tungefikia pabaya. lkn in normal sense kwel kuna kanuni zinafatwa kuruhusu miongozo na taarifa bungen? na je kama zipo zinzfatwa ? mm kiukwel napata waswas

  • @mamad1175
    @mamad1175 6 ปีที่แล้ว +1

    Vyeo vya kupew mama kafa mpeni hana lolote

  • @aidampuleili5827
    @aidampuleili5827 7 ปีที่แล้ว

    you can look this type of mp hataanapoingia bungeni unaona huyu naye ni mbunge enzi za mwalimu hapati haiwezekani mama anakufa Leo were unagombea ubunge wiki ijayo Ina ma a msemo wa amekufa na njaa take umetimia mlinga hoja hana s I malezi kils aksimama mbowe e bwaneee ukimuon a utacheks

  • @donathaayaga527
    @donathaayaga527 7 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha !!! Kweli ni kjua ksoma na kuandika.......

  • @evanskowero3869
    @evanskowero3869 7 ปีที่แล้ว +1

    alaf huyu naibu spika ndo anaharibu hili bunge la sasa...

  • @fetilishazomar4799
    @fetilishazomar4799 7 ปีที่แล้ว +8

    Mpare Nakupendaaagaa sana Umeongea poa Halima,. Mlinga jiangalieeeeh Nini unaongea pumba kabisa

  • @goodlucklutabila7527
    @goodlucklutabila7527 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe walianzia mbali kufikia hali waliyonayo.

  • @simbaamani1318
    @simbaamani1318 5 ปีที่แล้ว

    Mambo mazito ktk mijadala inyoendelea bungeni !!!
    M/kiti CDM kabeba zero six !!!

  • @erastongonde4508
    @erastongonde4508 7 ปีที่แล้ว +1

    mlinga zero nyingine kama zero nyingine kwakwwli

  • @deusywikes610
    @deusywikes610 5 ปีที่แล้ว

    Hao ndio ccm wapo kwa ajili ya kuvunja utaratibu

  • @danielmandama9944
    @danielmandama9944 6 ปีที่แล้ว

    halima mdee na gwajima

  • @angeljonathan7718
    @angeljonathan7718 5 ปีที่แล้ว

    Yaniiii mbunge haelewek anataka kuongeaa nn mara maswala ya jimboni kwake mara upinzani Yanii haelewek anazungumzia nin Hana point kbsaaa