TUNDU LISSU AFUNGUKA BAADA YA USHINDI WA MWAMBUKUSI “NIMESIKITISHWA SANA NA INAITIA SIMANZI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 200

  • @saulocharles9306
    @saulocharles9306 2 หลายเดือนก่อน +21

    Asante mungu kwakusikuliza ombi la watuwengi hatimae umetuji sawsw natulivyo omba. Mungu umlinde mwabukusi na umpebusala ktk uwongozi wake🙏🙏♥️

  • @LivinusMwinuka
    @LivinusMwinuka 2 หลายเดือนก่อน +31

    Nimefurahi sana kwa uchaguzi huu, Tanzania kwasasa tunahitaji kupata viongozi wenye mihemuko namisimamo ,huyu mwambusi yuko vizuri.

  • @richardogara8258
    @richardogara8258 2 หลายเดือนก่อน +25

    Hongera sana Mh Bonifas Mwambukusi kwa ushindi wa kishindo ,hunijui bila shaka nimi sikujui ila nakujua katika harakati nimependa sana theway ulivyo pambania haki yako na hatimae Mungu akasimama upande wako na kuweza kushinda,naitwa Mr Richard Ogara kutoka Mwanza.

  • @MonicaMushi-z8s
    @MonicaMushi-z8s 2 หลายเดือนก่อน +8

    Hongereni sana watu wa Mungu mlioweza kufanya maamuzi sahihi kutupa hawa watu wawili. Mwabukusi na Tundulisu. Naona mwanga unaanza kuiangaz ia Tanzania yetu Tusisahau kuwaombea ulinzi wa Mungu kila siku. Pia hawa watu wanahitaji kuwekewa ulinzi mkubwa kabisa maana kuna wale wasiojulikana na hawajulikani mpaka leo. MUNGU UWATUMIE MALAIKA WAKO WA ULINZI WA WALINDE VIONGOZI HAWA KWA WIVU MKUBWA. Atakayejaribu kuwagusa kwa hila Mungu ajuwe anacheza na mboni za jicho lako . Mungu waongoze katika haki yako AMIIINAAAA,

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 2 หลายเดือนก่อน +27

    Leo nimefurahi mno, viva mwabukusi Baba, tuvushe watanganyika

    • @gilbertfuria5817
      @gilbertfuria5817 2 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu jamaa ni mtanganyika halisi

    • @emanuelnisetas7510
      @emanuelnisetas7510 2 หลายเดือนก่อน

      Nimefurahia sana na mungu amtangulie aje akomboe Tanganyika yetu

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 2 หลายเดือนก่อน +25

    Mungu amesimama na atasimams kwenye haki na kweli .hongera mwabukusi mdogo

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 2 หลายเดือนก่อน +9

    hongera saana mtu.....mwabukusi...God be with u all the way...ushauri wangu..ishi maneno yako mdogo wangu

  • @mkorinto7629
    @mkorinto7629 2 หลายเดือนก่อน +9

    Safi.Hongera wakili msomi,jasiri na mzalendo

  • @maryjustertarimo9858
    @maryjustertarimo9858 2 หลายเดือนก่อน +14

    Mungu akusimamie Mwabukusi, hata walipo taka kukuondoa Mungu alisimama na wewe kuhakikisha unarudia, Onyesha ulicho nacho na Mungu akubariki

  • @gideonulimboka460
    @gideonulimboka460 2 หลายเดือนก่อน +17

    Hongera sana Mwabukusi, Mwenyezi Mungu akujaalie Kila lenye kheri.

  • @samweldenis1681
    @samweldenis1681 2 หลายเดือนก่อน +25

    Hongera sana Mwabukusi kwa ushindi.

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 2 หลายเดือนก่อน +5

    Utukufu na heshima zina wewe bwana hongera shujaa ukumbuke na vijijini watu wananyanyasika hawana Hela hawana wa kutetea barikiwa mungu akupe afya njema

  • @KwiniJoel
    @KwiniJoel 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana kaka Mwabukusi
    Nimefurahi sanaaaaaaaaaaaaaaaa!
    Nakuombea Kwa mungu akulinde
    Kwa sababu wewe ni mhimu mno katika taifa hili.

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kaka ongela sana mungu akutangurie kaka. nilitamani ushinde mungu awe pamoja nawe

  • @ankowaah
    @ankowaah 2 หลายเดือนก่อน +7

    Yaan mwabukus nlikua namuombea sana hatimae mungu amejibu maombi yang

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp 2 หลายเดือนก่อน +11

    Nimefurahi sana Mungu amejibu maombi yangu

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana sana ndg yangu na rafiki yangu Adv Bonifasi Kajunjumele Mwabukusi, kwa ushindi wa kishindo. Wewe ni Jasiri sana TLS imepata mtu sahihi sana.

  • @mzambulileo
    @mzambulileo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutangulie Mwabu. Tunakupenda sana

  • @chiizadomician3775
    @chiizadomician3775 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri brooooo.

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Boniphance

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 2 หลายเดือนก่อน +18

    Uyu mirad ayo mnafiki imekuaje Leo hii kupost Jambo letu siku zote upo wap mnafiki wewe acha habar zetu

    • @benitorichard1520
      @benitorichard1520 2 หลายเดือนก่อน +3

      Habari zenu nanani?

    • @OscarKasalile-u4k
      @OscarKasalile-u4k 2 หลายเดือนก่อน +4

      Umeongea ukweli yani anajifanya hamuoni yani kuna midea zingene zinatumika na watawala nizakuja kuzifuta tuu

    • @polycarpykavishe9001
      @polycarpykavishe9001 2 หลายเดือนก่อน

      Nasisi..." yamkubwa sii ya mtoto" ​@@benitorichard1520

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tena mnafki aliyekubuhu,mim skuiz simfatilii maana ni media ya watawala sisi habari zetu tushazoea kuzipata Chanzo Tv na kwingneko

    • @shabanponera2895
      @shabanponera2895 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@benitorichard1520akikujibu nijulishe

  • @hamzakasebele5251
    @hamzakasebele5251 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hii nzuri sana hongereni sanaa

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwabukusi mbele daima MUNGU AKUJALIE HEKIMA!!

  • @petermgaya8840
    @petermgaya8840 2 หลายเดือนก่อน +4

    Alishinda tangu alipozuiwa kupigiwa kula..💪

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana mheshimiwa Mwabukusi.Mungu na azidi kukubariki na kukulinda.

    • @YasintaAloyce-kf6bx
      @YasintaAloyce-kf6bx 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera sana.jembe mungu akulinde roho mtakatifu akuongoze katika majukumu yalioko mbele yako. Naamini sasa malaika wa vita wamekaa upande wetu viva Mwabukusi!!

    • @AMOSIWILSON
      @AMOSIWILSON 2 หลายเดือนก่อน

      Hogera sana naamini utasimamia haki kwa wanyonge

  • @severinmmassy7627
    @severinmmassy7627 2 หลายเดือนก่อน

    Asantee munguuu

  • @revocatuskatunzi6647
    @revocatuskatunzi6647 2 หลายเดือนก่อน

    Congrats Mwabukusi

  • @PeterWilliam-mn5bh
    @PeterWilliam-mn5bh 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mh mwabukusi kazi ianzieehapo katika ukombozi ya nchi.

  • @nickoalfredy6664
    @nickoalfredy6664 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu mlinde mwabukusi

  • @PrinceKelvin-ht2hm
    @PrinceKelvin-ht2hm 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana ndugu kiongozi mwabukyus

  • @TitusNgogolo
    @TitusNgogolo 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kiongoz hakika we mfano wa kuigwa

  • @kharidkasango4282
    @kharidkasango4282 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka mkubwa tunakusubili mbeya kukupa mauwa yako kwa kupita katika Kula nyingi kuliko watangulizi wako

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 หลายเดือนก่อน

    Mwabukusi vs tundu lisu ni chuma kwa chuma safi sana

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulation brother

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana 🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 2 หลายเดือนก่อน

    Makini sana

  • @agreycosmas1053
    @agreycosmas1053 2 หลายเดือนก่อน +1

    HAKI IMESHINDA🎉🎉🎉🎉

  • @simonhussein4848
    @simonhussein4848 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Kamanda wangu, Mungu ndiyo muweza wa yote
    Nimejifunza kitu, kwamba wanasheria wetu wanajua wanachokifanya. Ila huwa wanaogopa kuongea ukweli. Ndiyo maana leo wameamua kumpitisha wakuwasemea kwa niaba Wamemuona anafaa, anaweza na ni jasiri asiyeogopa kuikosoa serikali.

    • @MkudeSimba-fg1sf
      @MkudeSimba-fg1sf 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa wanaogopaga ndugu Sasa jembe limetangulia

    • @MkudeSimba-fg1sf
      @MkudeSimba-fg1sf 2 หลายเดือนก่อน

      🇹🇿🇨🇩 pamoja ongera mwabukusi kwa ushindi

  • @Richkinji-n1g
    @Richkinji-n1g 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mwabukusi Mungu akuongoze🎉

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 2 หลายเดือนก่อน

    Tundu nakupendaga sana

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mtu wa mbeya mwenzangu mwabukusi

  • @salomeshongola1697
    @salomeshongola1697 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika mungu amejibu
    Maombi yetu.🎉🎉🙏🙏🙏

  • @allonjoseph5467
    @allonjoseph5467 2 หลายเดือนก่อน +3

    jaman jamani nmefrahi ndoto zangu zimekamilika hongera saana kaka mwabukusi mungu akujalie ktk majukumu yako

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 หลายเดือนก่อน

      Ndoto yako kwani wewe ndie mshindi?

    • @uwezontalengwa1827
      @uwezontalengwa1827 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@fatmafatu1128acha makasriko ,,au ni chawa wa CCM nini!

    • @c.l.g.mchurch6426
      @c.l.g.mchurch6426 2 หลายเดือนก่อน

      @@uwezontalengwa1827🎉😂

    • @JosephMilinga-nl4zh
      @JosephMilinga-nl4zh 2 หลายเดือนก่อน

      Hii nchi kuna viumbe wa achabu sana watu kama nyinyi ndio mnao sababisha ccm isitoke madarakani,kachaguliwa mwingine wewe unasema ndoto yako imetimia kweli uko sawa au ndio majibu ya utafiti kati ya watu wanne kichaa mmoja😂😂

  • @VictaDaudi
    @VictaDaudi 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe inawezekana ,, hongera bonifas mwabukusi

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 2 หลายเดือนก่อน

    Sina Cha zaid nasema Asante mungu kwa kupokea Dua zangu mwabukusi rais TLS safi sana

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 2 หลายเดือนก่อน

    Kila la heli kaka mungu akulinde akutunze mwanambea nenda kawatumikie watanzania

  • @AmraniRamadhani
    @AmraniRamadhani 2 หลายเดือนก่อน +2

    TLS hongereni Kwa uchaguzi huru na WA haki, tume ya uchaguzi inalo la kujifunza

  • @WakwetuMuyungu-u3g
    @WakwetuMuyungu-u3g 2 หลายเดือนก่อน

    Nimefurai nilivyo waza ndo umekua hongera mwambuks

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 2 หลายเดือนก่อน

    Kila laher mwabukusi,

  • @petermokami2273
    @petermokami2273 2 หลายเดือนก่อน

    Haki iendelee❤

  • @edwincain849
    @edwincain849 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Ndugu Mwakabusu wewe ni mtu wa haki sanaaa.

    • @gregory6165
      @gregory6165 2 หลายเดือนก่อน

      Mwakabusu ni nani tena🤣

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AKUJALIE MWABUKUSI WEWE NI JEMBE YOU ARE A REAL LEADER

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa mwambukusi naomba kazi yako yakwanza Dai Tanganyika yenu ili tuwe na serikali 3

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nitakula jogoo wangu kwa furaha ya Mwabukusi kushinda. Tunaiona Nuru mbele.

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 2 หลายเดือนก่อน

    +MUNGU+ azidi KUKUBARIKI na kukutunza zaidi hata na uzao wako baada yako YOHANA 14:14🙏🙌🙌

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 2 หลายเดือนก่อน +1

    Usiye mpenda kaja😂😂😂

  • @RobertJonathan-jm5um
    @RobertJonathan-jm5um 2 หลายเดือนก่อน

    Asntee Mungu kwa uchaguzi huu, Umupe hekima kuongoza. Anafaa kuwa kiongozi nchi

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 2 หลายเดือนก่อน

    GLORY to good +GOD+💯🙌🙌🙌🙌🙏

  • @songombingo108
    @songombingo108 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Mawakili wamechagua wenyewe mtu wao na wanampenda na wanashangilia kupata Kiongozi wao kwanini wasiohusika wanaumia na majaribio ya kuweka mizengwe. Hii nchi ina watu wa hovyo sana

  • @nkwabimayunga473
    @nkwabimayunga473 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @amirinestory
    @amirinestory 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haki zote zifuatwe ila sio mtuletee haki ya mashoga Tanzania...

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 2 หลายเดือนก่อน

    Asante MUNGU kwa ushindi wa mwabukusi

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 🎉to him

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 หลายเดือนก่อน

    Hata ichi Anaweza sana nimefurai sana

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 2 หลายเดือนก่อน

    Nkuba hakubali,!!!

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wenye akili nyingi sana..hongera Mwabukusi asimamie haki ndani ya Tanganyika... Achana na wale Mazuzu wanasema wanaharakati!!!!

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 2 หลายเดือนก่อน

    Ni +MUNGU+ tu amefanya kwa ajili ya kutimiza kusudi lake 1 WAKORINTO 1:9🙌🙌

  • @HansChuma
    @HansChuma 2 หลายเดือนก่อน

    Unajua watanzania tunapenda viongozi bora sio bora viongozi sema tu kunamijitu inajifanya mijiwe ya FATUMA.....ndio hao inayofanya tanzania kilasiku kichwa cga wenda wazim shenz kabixa......

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 2 หลายเดือนก่อน +2

    Milad hayo jitathimini watanzania wanapoteza imani namtandao wako simama nahaki utafika mbali acha uchawa

    • @noahchepe8036
      @noahchepe8036 2 หลายเดือนก่อน +1

      Millardayo ni mwana habari, ni Moja ya kazi ake kuufahamisha umma ktk habari mbali mbali. Je hii habari imekaa ki uchawa?

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 2 หลายเดือนก่อน

    Mabadiliko ya nchi huanza kama hivi, 🙏

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 2 หลายเดือนก่อน

    Mjua sheria huyo 2:22

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 หลายเดือนก่อน +1

    HAKIKA ANASTAHILI KUWA KIONGOZI KASABABU SIKU ZOTE ANAPIGANIA HAKI NA HAKI IKITAWALA WANANCHI WOOTE HUFURAHI..

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema amesikiliza kilio chetu

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 2 หลายเดือนก่อน

    Mwabukusi ndo mwarobaini wa ujinga. Naomba awe rais wa TZ one day

  • @yussufjuma-l1n
    @yussufjuma-l1n 2 หลายเดือนก่อน

    anatosha Mwambukusi

  • @YohanaMathayo-r7p
    @YohanaMathayo-r7p 2 หลายเดือนก่อน

    Longer a mabukuzi ngaraaaaa

  • @henrymligo2440
    @henrymligo2440 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli Mungu katenda

  • @nicodemusmanyama9250
    @nicodemusmanyama9250 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekuwa na imani nanyi sasa

  • @joackimmganguzi9201
    @joackimmganguzi9201 2 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni Mwema

  • @thomasmsamikikowe2485
    @thomasmsamikikowe2485 2 หลายเดือนก่อน

    Mnyonge kupata ni mwenye nguvu kupenda

  • @mamymoria4267
    @mamymoria4267 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @Clever-l8v
    @Clever-l8v 2 หลายเดือนก่อน +1

    MIMI KAMA MZANZIBAR NIMEFRAH HUYU MTU KUPATA IYO NAFASI ATIE TAFRAN ZANZIBAR IWE SABABU YAKUPATA MAMLAKA KAMILI

    • @hawaally2308
      @hawaally2308 2 หลายเดือนก่อน

      Kumbee

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 2 หลายเดือนก่อน

      @@Sheba4651 namaanisha lengo lake yy kudai serikal ya tanganyika simaanishi kama yy ndio anaipenda zanzibar wakikinukisha tanganyika kwetu zanzibar mambo safi

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwabukusi safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @ambwenemwakyagi412
    @ambwenemwakyagi412 2 หลายเดือนก่อน

    Ila Tundulisu anajua kujibu maswali jaman

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 2 หลายเดือนก่อน

    Baada ya hapo tunatembea na Peter Kibatala

  • @zawadimpayo3839
    @zawadimpayo3839 2 หลายเดือนก่อน

    Demokrasia ya Tanzania imeanza kukua♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @emmanuelisarria6321
    @emmanuelisarria6321 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwem

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 2 หลายเดือนก่อน

    Haogopi,anathubutu,hatetereki, anasema kweli na anajiamini turudishie bandar mwabukusi

  • @EmmanuelLankama-wh6kg
    @EmmanuelLankama-wh6kg 2 หลายเดือนก่อน

    Jamn Tls sio chama cha siasa ko haimaanishi kwmba atagombea 2025

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 2 หลายเดือนก่อน

    Kama leo Ayo tv kupost habari za Mh.Tundu Lissu.Nishazoea kuzipata kweny media nyingne zisizo maarufu kama Chanzo Tv

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AMEMTETEA NA KUMPIGANIA MH. MWABUKUSI, CCM NA SERIKALI YAO WALITAKA KUMUENGUA

  • @ibramakula2303
    @ibramakula2303 2 หลายเดือนก่อน

    Mwambukusi kujari kutetea na misimamo hasa pale uliposimamia swala la bandari

  • @kambalakafuko7695
    @kambalakafuko7695 2 หลายเดือนก่อน

    Mawakil> mmejiheshimisha mmeitendea haki nchi yet asanteni sana kutuletea Mwabukusi

  • @athumaniamani5983
    @athumaniamani5983 2 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana nimefurahi mnooo

  • @ommylax7231
    @ommylax7231 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna unafki kama huu wa Ayo tv, mbona alivyokuwa kwenye harakati za kupambania mkataba wa bandari mlikuwa hamtaki hata kwenda kuchukua habari zake zozote leo hii nyie nyie ndio kimbele mbele 😂daaah kweli (TUNAISHI NYUMA YA UKWELI)

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 2 หลายเดือนก่อน

      Walikatazwa kwa malipo ,Kazi kwanza Tanzania kwisha Tumiss mwalimu Nyerere.

  • @RamadhaniMchina
    @RamadhaniMchina 2 หลายเดือนก่อน

    Safiii

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 หลายเดือนก่อน +4

    HIVI JAMANI NINYI MLIOSHUGHULIKIA KUKATA JINA LA MWABUKUSI KWA HAYA MAAMUZI MNAJISIKIAJE? JE MLIKUWA WATUMISHI WA MASHETANI? MUNGU TUNAOMBA UTUPE VIONGOZI WA KILA SEKTA WALIO WEMA SYO WAOVU.

    • @HaikaFoya-m5r
      @HaikaFoya-m5r 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa kabisa kabisa!

  • @Davidthestardavidthestar
    @Davidthestardavidthestar 2 หลายเดือนก่อน

    Maswali mazuri majibu mazuri safi sana

  • @gastonmakweta8036
    @gastonmakweta8036 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mipango ya Mungu aipangapo hakuna mwanadamu yeyote awezaye kuipangua. Hongera sana Mawakili wote kwa kuchagua vema kwa maslahi ya TLS na nchi yetu Tanzania. Hongera sana Adv. Boniface Mwabukusi kwa ushindi mnono. Uongozi wako ulete TLS mpya inayosimamia haki, wajibu na mabadiliko chanya yatakayo ondoa sheria kandamizi.

    • @patrinraura1397
      @patrinraura1397 2 หลายเดือนก่อน

      ASANTE sana Waheshimiwa Mawakili Sala zetu zimewafanya kusikiliza Sauti zetu Hakika Ushindi wa Mhe Mwabukuzi ni Ushindi wa TLS na ni ushindi wa walio wengi Ni jasiri,shujaa,Mzalendo,mpenda haki,na mtu ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya kutetea haki Tunamwombea Mungu amjalie afya NJEMA atekeleze majukumu yaliyo mbele yake

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 หลายเดือนก่อน +1

      Dunia na maajabu yake. Unaweza kuona huyo ni mkweli kumbe pandikizi. Siasa na ujasusi wa nchi hii ni hatari tupu.