“Prof Ndalichako si ungekuwa Waziri wa masifuri?” -Mbunge Goodluck Mlinga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Goodluck Mlinga ambaye ni Mbunge wa Ulanga ni miongoni mwa Wabunge ambao siku zote wakisimama kuchangia Bungeni hawakosi kuacha headline, sasa leo alisimama kuchangia mapendekezo ya taarifa mbili zilizowasilishwa Bungeni ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya maendeleo ya jamii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge kuhusu masuala ya UKIMWI. Sasa leo kashauri Bora Rais Magufuli ateue Waziri wa elimu ambaye hajasoma kabisa.

ความคิดเห็น • 409

  • @annastephen50
    @annastephen50 6 ปีที่แล้ว +4

    hongera mbunge umeongea jambo la msingi sana wewe ni mtetezi wa wanyonge naomba uliyoyaongea kwa uwezo wa Mungu yawaguse watu na yatekelezwe.

  • @pauldeogratias1037
    @pauldeogratias1037 6 ปีที่แล้ว +1

    GOODLUCK UMEONGEA VITU VYA MSING SANAA NA SERIKARI ISPO YAFANYIA MTAONA ZAIDI YA HAPO.MAANA WALIMU WAMEKUWA WATU KUDHARILILISHWA

  • @juliuskitomari3057
    @juliuskitomari3057 6 ปีที่แล้ว +3

    umesema vizuri sana kaka,kwa kweli umefanya wajibu wako kama Mbunge,hayo ndiyo mambo anatakiwa mbunge kuyasema bungeni

  • @josephmwakabungu8385
    @josephmwakabungu8385 6 ปีที่แล้ว +26

    Leo Leo Leo umeongea mambo ya msingi tangu umeingia bungeni.Ushauri wangu kwako,jitambue ww ni kijana uliyepata nafasi hii kubwa na ya heshima simama kama kijana mwenyewe dhamira ya dhati kbsa kutetea vijana wa nchi yako.Utumie ujana wako bungeni kwa hoja mzito ukiwawakilisha vijana wa nchi hii.Acha na miongozo ya kuwapotezea mwenzio point,wangalie akina Zitto,walikuwa vijana wadogo kama ww walipoingia bungeni mpk sasa wamekulia bungeni wamekomaa kisiasa wanazo hoja zenye nguvu zilizo shiba zinazomfanya mtu asimama na jambo llte analofanya ili asikilize nn Zitto amebeba kwa ajili ya nchi yake.Wapi wengi Upendo Peneza n.k jifunze kutumia ujana wako vzr ndani bunge uweke ALAMA ktk nchi yako.Leo tunazungumza hbr vzr za Mwl.J.K Nyerere ktk ujana wake angekuwa kama hivyo na mizaha yako bungeni ninaamini ktk ulimwengu wa siasa tusingemfahamu hata kdg .Lkn machachari yake yalianzia Tabora Sec.Sch.Mpk Leo hayupo lkn Mwl kaacha ALAMA,Walikuwepo akina Edward Moringe Sokoine wameacha ALAMA ktk Taifa lao,akina Deo Filikunjombe wanabeba mioyoni mwao mambo ya msingi.Deo alikuwa ni kijana bungeni jifunze kwao lkn bado tunakumbuka dhamira yake kwa vijana na Taifa lake.Dhamana hii uliyopewa nitumie vzr nitumie vzr nitumie vzr.

  • @martinempuya5974
    @martinempuya5974 6 ปีที่แล้ว +29

    Mh... Mlinga mm huwa nakuelewaga sana, wasemee Basi na walimu wa Sanaa waliotelekezwa mtaani toka 2015

    • @anitangao3135
      @anitangao3135 6 ปีที่แล้ว

      safii sana mwambiee

    • @waboreshajitv4808
      @waboreshajitv4808 6 ปีที่แล้ว

      Martine Mpuya watoto wengi zamani waliuziwa mithihani sasa hapa Nazi, pia hatutaki vyeti feki. Hugo Mlinga afikiri

    • @waboreshajitv4808
      @waboreshajitv4808 6 ปีที่แล้ว

      Sasa hivi wanatumia akili zao kwamwendo huo akuna vyeti feki

    • @ibrahimsamson8097
      @ibrahimsamson8097 6 ปีที่แล้ว

      kiukweli umeongea maneno ya Hekima sana mheshimiwa

    • @halimahashim7828
      @halimahashim7828 6 ปีที่แล้ว

      ni kweli ama jokking tu

  • @kapolesyaba3133
    @kapolesyaba3133 6 ปีที่แล้ว +1

    Mlingaaaa! duuuuh! nimecheka sana leo,,,,
    HONGERA kwa mtazamo na kuwa muwazi.

  • @ayubusanga3796
    @ayubusanga3796 6 ปีที่แล้ว +6

    Sasa hivi mlinga upo kitaifa zaidi, yaan upo vizuri sana dah!

  • @lovenessgoodluck3486
    @lovenessgoodluck3486 6 ปีที่แล้ว +5

    👏👏👏👍bora ccm muamke mana ccm imepoteza muelekeo

  • @sophiaclemence6076
    @sophiaclemence6076 6 ปีที่แล้ว +3

    Angalau Mh.Mlinga leo umeongea point sana kaka..Daah

  • @christinarobhi8263
    @christinarobhi8263 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana 👍👍👍🔥 ufaulu wa mwanafunzi n mwalim hakuna kingine wazir big up sana n kwel unachokisema on point

  • @ibrahimayoubdhahabu984
    @ibrahimayoubdhahabu984 6 ปีที่แล้ว +2

    Gooood!!! Uchangie hivyo hivyo sempre.

  • @shekhekassim6402
    @shekhekassim6402 6 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani zetu katika hilo ela serikali itatoa pamba masikioni

  • @pilycotar8448
    @pilycotar8448 6 ปีที่แล้ว +18

    Kiukweli leo umejitahidi tunataka wabunge wote wa ccm muongee point kutetea maslahi ya wanyonge

  • @dullahoroond5241
    @dullahoroond5241 3 ปีที่แล้ว

    Umeongea point .umeongea na umeona waziri mzigo. Kama kunawaziri mzigo ndalichako mzigo na hatoshelezi kabisaa katika nafasi hiyo. Alistahi awe mwalimu mkuu wa Shule ya Sekindari

  • @maxmilian9966
    @maxmilian9966 6 ปีที่แล้ว +18

    inatakiwa uwe unongea vitu mhimu kama hivi good

  • @giovannygracious3434
    @giovannygracious3434 6 ปีที่แล้ว +5

    mlinga nakupendaga bureee mie si unajua eeee!!! walimu wanakaaga kama makomandoooo

  • @emmanuelmwampashe8278
    @emmanuelmwampashe8278 6 ปีที่แล้ว +3

    Mlinga Na bashe kwa wabunge wa upande wa ccm mnatambua nini kimewapeleka bungeni hongeleni sana.

  • @festomeshack8581
    @festomeshack8581 6 ปีที่แล้ว +3

    Uko sawa mh. Mlinga

  • @ameyzayumba5628
    @ameyzayumba5628 6 ปีที่แล้ว +7

    Mheshimiwa amenena haswaaa asante kwa kututetea baba

  • @mercykimuto9882
    @mercykimuto9882 6 ปีที่แล้ว +4

    Fact mheshimiwa umeongea Kama mtanzania

  • @divinemwakapina4059
    @divinemwakapina4059 6 ปีที่แล้ว +3

    Hongera naona Leo nimekuelewa.

  • @seanthomson7005
    @seanthomson7005 6 ปีที่แล้ว +2

    safi sana, keep it up

  • @ibratanzania1328
    @ibratanzania1328 6 ปีที่แล้ว +18

    Point Tupuuuuuu Bro Mlinga

  • @pettermollel2531
    @pettermollel2531 6 ปีที่แล้ว +6

    Jamni, sante kaka, ndalichako ikuguse basi...., uonefuuu kweli me nimeonewa

  • @hassaniswedy2737
    @hassaniswedy2737 6 ปีที่แล้ว +6

    Leo umeongea points

  • @lucianodeo4103
    @lucianodeo4103 6 ปีที่แล้ว +2

    High voltage message

  • @bensonthobias8401
    @bensonthobias8401 6 ปีที่แล้ว +5

    nimekubali

  • @ozilrutebuka9659
    @ozilrutebuka9659 6 ปีที่แล้ว +2

    Exactly point'"

  • @aloycesilayo2939
    @aloycesilayo2939 6 ปีที่แล้ว +7

    Leo nimekuelewa sana

  • @gihokoramachotta3228
    @gihokoramachotta3228 6 ปีที่แล้ว +2

    Goodluck Leo nimekukubali.Kipindi kingine waeleze walivyodanganya Taifa kuwa wangepandisha walimu madaraja badala yake wakapokonya walimu madaraja ya 2015 na kuwafanya wapande 2018 ili walimu hao wasilipwe madai ya nyuma.Kwa hiyo hakuna Mwl yeyote aliyepandishwa cheo.Tunaumia sana rohoni.

  • @emmyrobert820
    @emmyrobert820 6 ปีที่แล้ว +18

    Yani point nzuri xana leo

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 6 ปีที่แล้ว +1

    Aswaaaaa!!anatutia hasira sana toka tunasoma....kila siku kubadili Grade.😯😯😯

  • @geographyteacher.2961
    @geographyteacher.2961 6 ปีที่แล้ว

    Asante mkuu umeniwakilisha kwa kile nlichokiona. Unastahili pongezi ya nguvu

  • @amosmohono4153
    @amosmohono4153 6 ปีที่แล้ว +16

    kufeli lazima walimu mashuleni ni wachache sana harafu mtaa ni wengi sana hata masomo ya sayansi wapo mtaani lakini serikari inajili kama asernal inavyosajili wachezaji

    • @psterinishayo4270
      @psterinishayo4270 6 ปีที่แล้ว

      Amos Mohono jaman mpka na timu yangu imetajwa tena humu asante

    • @edsonsibuti6914
      @edsonsibuti6914 6 ปีที่แล้ว

      na Chelsea😀😀😀😀😀

  • @aggreydominickmagombana9388
    @aggreydominickmagombana9388 6 ปีที่แล้ว +10

    lelu guyowera sana mtuwa hongera .

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 6 ปีที่แล้ว +3

    Mheshimiwa Mlinga hii ni fact...

  • @oscarmwambonja4417
    @oscarmwambonja4417 6 ปีที่แล้ว +4

    Umezungumza Hoja Nzuri #Mlinga.

  • @kennedyjaramba9693
    @kennedyjaramba9693 6 ปีที่แล้ว

    ukweli mtupu, muna bunge bora watanzaini wezangu ,God will expose corrupt leaders...................

  • @fadhilisanga911
    @fadhilisanga911 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimekupenda bule mlinga

  • @agnizzonzengo3093
    @agnizzonzengo3093 6 ปีที่แล้ว

    we we jamaa nomasana njoo uwe mubunge wetu saluti kwako

  • @burhanisadik4994
    @burhanisadik4994 6 ปีที่แล้ว +4

    kweli kaka,elimu ya Tz inasikitisha sana.

  • @WACOPALECOM
    @WACOPALECOM 6 ปีที่แล้ว +3

    Leo umetoa point za kutosha safi sana

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 6 ปีที่แล้ว +7

    Hongera brother, kwa kuliona hilo. Maziro ni mengi hadi primary achana na sekondari.
    Bora nyie mnazo hizo semina, kwa mwalimu hicho kitu hakipo. Walishakisahau. Ng'ombe anakamuliwa bila kulishwa mwisho atakamuliwa damu badala ya maziwa.

  • @amosludutu2352
    @amosludutu2352 6 ปีที่แล้ว

    that is the point ubarikiwe

  • @eliasjillanga999
    @eliasjillanga999 6 ปีที่แล้ว +2

    Hapo
    Leo umeongea Mlinga tunaonewa sana

  • @fatmashaban5557
    @fatmashaban5557 4 ปีที่แล้ว +2

    Walim wnzangu gonga like hapa

  • @frankmorgan174
    @frankmorgan174 6 ปีที่แล้ว +4

    we genous mzee mbunge fundi

  • @innocentinnosent4413
    @innocentinnosent4413 6 ปีที่แล้ว +1

    Imekaa vzr

  • @bonabonala7685
    @bonabonala7685 6 ปีที่แล้ว +4

    Hapo point ccm mkiwa hivi tutawakubali

  • @muhammedabdulla2179
    @muhammedabdulla2179 6 ปีที่แล้ว +32

    Hata saa mbovu hufika wakati ikasema kweli..

  • @peterdominick8678
    @peterdominick8678 6 ปีที่แล้ว +11

    Hahahhahahaha aiseee ni zaidi ya makomandooo daaah!!! VIVA BABA VIVAAA

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 6 ปีที่แล้ว +4

    Mi Nasemaga Uongozi na Kuwa na Elimu kubwa siku zote ni Vitu viwili Tofautii. Ndio Maana Mwl Nyerere alitengeneza mfumo wa Elimu mzuri ndio mana hata vyyo. Vilikuwa vinatoa Kozi Maalum mfano Kuanzia Uongozi Mpaka Watendaji.. Vyuo kama. Mzumbe, sua na Mzumbe nk.. ila sikuizi kila. Mtu anataka Kuwa Bosi..

  • @farajagoodluck7557
    @farajagoodluck7557 6 ปีที่แล้ว +7

    Leo umeongea kwa kweli

  • @marymarwa8428
    @marymarwa8428 6 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka umeongea vizuri ndalichako simama na shule za serikari sana!

  • @godypatrick6485
    @godypatrick6485 6 ปีที่แล้ว +1

    Yeye watoto wake wanasoma shule za pravet sisi wasendi kayumba tuta isoma namba

  • @mbishitrump5621
    @mbishitrump5621 6 ปีที่แล้ว +4

    Uyu mzinguaji sana. Ila leo atleast umetema fact..

  • @jacklinekchawele3700
    @jacklinekchawele3700 6 ปีที่แล้ว +1

    safi sana Mlinga!...leo nmekukubali umeongea point!...hahahahaaaa....eti wazir wa masifuri!..

  • @gibsonkagaye7654
    @gibsonkagaye7654 6 ปีที่แล้ว +10

    kwa Leo umejitahid

  • @lusungukitago9000
    @lusungukitago9000 6 ปีที่แล้ว +8

    UPO VIZURI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MBUNGE UMENENA VYEMA SANAAAAA

  • @thomasabwana9627
    @thomasabwana9627 6 ปีที่แล้ว +1

    Point nzuri xana mbunge

  • @laurentthomas8851
    @laurentthomas8851 6 ปีที่แล้ว +2

    nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali

  • @mvughamramba1804
    @mvughamramba1804 6 ปีที่แล้ว +2

    Mbona ya kawaida tu haya, maana kama ni utekelezaji wake labda baragumu likilia, na wafu wakifufuliwa ndipo ziro, na madai yatakaponishia hapo

  • @naominyende2141
    @naominyende2141 6 ปีที่แล้ว

    Guuud! Unaongea point tyuuuuu👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏.

  • @mwansitymbaruku1159
    @mwansitymbaruku1159 5 ปีที่แล้ว

    leo umeongea point san yaan kweli kabisa ndyo

  • @fanuelmpesa3484
    @fanuelmpesa3484 6 ปีที่แล้ว +8

    umenena vema hakika, maana kunako sasa hakuna haja ya shule za serikali maana sasa Zero tu sasa

  • @janethjackson5370
    @janethjackson5370 6 ปีที่แล้ว +29

    Ndalichako umeharibu elimu sana,aibu tupu

  • @silyadamian5708
    @silyadamian5708 6 ปีที่แล้ว

    nice, halafu huwez linganixha private na govrnmnt, ety xhule kumi bora badala ya private kivyake na government matokeo yake, Mtoto wa serkal anakula upepo xhule anarudi om wakti private wankula kitabu na mxoxi xhule.........

  • @officialpangaboymtotowamam8014
    @officialpangaboymtotowamam8014 4 ปีที่แล้ว

    Sana nimekuelewa mubunge

  • @darkenrole4062
    @darkenrole4062 6 ปีที่แล้ว +6

    Leo nimekuelewa tangu umeingia bungen

  • @khamisalirashid5174
    @khamisalirashid5174 6 ปีที่แล้ว +1

    This is a very SMART piece of analysis by MP Mlinga.

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 6 ปีที่แล้ว +8

    Kumbe wewe ninoma good for you

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 ปีที่แล้ว +3

    Hizi ndio hoja za msingi bila kujali itikadi ya vyama huyu mbunge ana hoja za msingi zinazolenga kulijenga taifa bora.

  • @kizitoleons6291
    @kizitoleons6291 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mlinga umewakilisha vizuri sana wananchi wako

  • @mnyongalugata7080
    @mnyongalugata7080 4 ปีที่แล้ว

    congratulation goodlucl

  • @saidimtenda82
    @saidimtenda82 6 ปีที่แล้ว

    Walimu wamekosa watetezi kwa Mara ya kwanza Tz mbunge ametumia muda wake kutetea walimu lkn cha kushangaza wabunge wengne wanacheka, Allah akupe maisha marefu hakuna marefu yasiyo na ncha.

  • @suzanmaswatu3814
    @suzanmaswatu3814 6 ปีที่แล้ว +1

    Toka uwe mbuge leo ndio umeongea point

  • @josephernest155
    @josephernest155 6 ปีที่แล้ว

    Hongera wabunge wachache sisiemu mnaojitambua

  • @cathymosha9652
    @cathymosha9652 6 ปีที่แล้ว

    Km sio CCM vile nice point

  • @habilmselemu4610
    @habilmselemu4610 6 ปีที่แล้ว +2

    Msione aibu teueni waziri wa elimu kutoka upinzani yapo majembe ya kutosha tena msije mkathubutu kutuletea msukuma na lusinde hao waacheni wapige kelele hukohuko

  • @festomambwe5131
    @festomambwe5131 6 ปีที่แล้ว

    Safi Sana nakubari kwa leo ungekuwa na busara za namna hii ya kutetea si kuponda cdm nitakuelewa

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 6 ปีที่แล้ว +2

    Leo umeongea point,

  • @jestamkumbwa9780
    @jestamkumbwa9780 6 ปีที่แล้ว

    mungu atusaidie tulomaliza vyuo maana hali ya ndalichako so yenyewe

  • @irmgardsamia1827
    @irmgardsamia1827 6 ปีที่แล้ว +15

    Leo mzee umeongea point!

    • @snoda8056
      @snoda8056 3 ปีที่แล้ว

      Leo kaupiga Mwingi

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 6 ปีที่แล้ว +2

    Ipo haja yakuangalia malipo ya wabunge na wafanaykazi wengine ili tuboreshe mishahara na posho za walimu.

  • @wilbardmussa8232
    @wilbardmussa8232 6 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Mbunge Wa ulanga safi sana

  • @jamesmwasambili381
    @jamesmwasambili381 6 ปีที่แล้ว

    Katika muda wote ambao nimepata kukusikia Mh Goodluck,leo umekua serious,suala la elimu liko wazi tunazidi kuporomoka,maslahi ya walimu hayatazamwi,mazingira ya kazi hayashawishi,tukitaka kutafuta suluhu ni lazima tutafute tulipoangukia,ni mpaka tutakapoamua kuwasikiliza walimu mahitaji yao ndipo elimu itarejea,inauma sana shule zilizokua zinafanya vizuri sasa zinazidi kuporomoka siku hadi siku.Wapi Mzumbe,Kilakala,Ilboru,Kibaha,Mirambo,Iyunga,Mbeya Day,Tabora Boys/Girls,Loleza,Minaki,Pugu,Ifunda n.k,inasikitisha sana,imebaki historia Top 10 hakuna,Top 100 shule nne tu za serikali.......Hongera sana Mlinga leo nimekusoma,.......Walimu wanaishi kama makomandoo ha ha ha haaaaa,inauma sana

  • @davidbalele8770
    @davidbalele8770 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera

  • @josephvicent7278
    @josephvicent7278 6 ปีที่แล้ว

    Leo umeongea point sana

  • @gezaulole7988
    @gezaulole7988 6 ปีที่แล้ว +1

    Binafsi namkubali sana mlinga huwa anaongea km comedy flan ila huwa anaongea point sana

  • @amishadykiswaga1077
    @amishadykiswaga1077 6 ปีที่แล้ว

    point mkuu uko vizuri sana

  • @issamalipa8699
    @issamalipa8699 6 ปีที่แล้ว +1

    Mlinga wewe unafaa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana nchini nakupenda sana ndio unaenifanya nisikilize bungee yani we we ni mkweli kabisa

  • @daudhenry913
    @daudhenry913 6 ปีที่แล้ว

    Good critical

  • @shedrackmdendu2758
    @shedrackmdendu2758 6 ปีที่แล้ว +5

    Naona baada yakokosa uwaziri ameamuwa kufunguka

  • @mzeewaodds.3745
    @mzeewaodds.3745 6 ปีที่แล้ว

    Jamaa anaongea kama anachekesha lakini very true points...

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 2 ปีที่แล้ว

    Hata hatumuusu👌

  • @gililwise
    @gililwise 3 ปีที่แล้ว

    Yaani umesema ukweli kabisa Mungu akuinue.

  • @adamsiwiti5470
    @adamsiwiti5470 6 ปีที่แล้ว +3

    point

  • @godblessmrema9679
    @godblessmrema9679 6 ปีที่แล้ว +2

    Daaah kweli ccm wanaanza kuwa na akili mungu awabariki mujue kutetea haki na kujua jukumu lenu....musiwe watu was ndio sasa munajifunza kujenga hoja.....

  • @psterinishayo4270
    @psterinishayo4270 6 ปีที่แล้ว

    Good speech ila angalia utachuzwa na wenzio huwa.hatakagi kuambiwa ukweli

  • @nestoryemmanuel210
    @nestoryemmanuel210 6 ปีที่แล้ว +4

    leo umesomeka