Halima Mdee kasimama tena Bungeni, katumia dakika 10

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Mbunge wa Kawe Halima Mdee (CHADEMA) ni miongoni mwa Wabunge waliosimama leo Bungeni Dodoma na kuyasema ya moyoni kuhusu Wizara ya Kilimo, mifugo na uvuvi.

ความคิดเห็น • 249

  • @suleimanmakongoro6513
    @suleimanmakongoro6513 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii nayo ni moja ya zawadi alotuletea mwenyezi mungu hapa duniani. Kawe mtumieni vizuri huyu mbunge wenu yupo vizuri sana

  • @omarymzara3925
    @omarymzara3925 6 ปีที่แล้ว +4

    Watu wa Kawe hatujutii hata siku moja kukutuma ww Bungeni. We strongly proud of you our cster.

  • @raphaelluyela5666
    @raphaelluyela5666 6 ปีที่แล้ว +1

    Ukiambiwa halima Jiwe ccm hamtaki-sikieni hoja anavojenga@safi dada Mungu hakupe zaidi ulinzi wake na afya-safi big-up

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 ปีที่แล้ว +2

    Huwa huropoki ni Mbunge unaejipanga kwa hoja na si ushabiki, nakukubali sana.

  • @imamwachenimunguatwemungum115
    @imamwachenimunguatwemungum115 6 ปีที่แล้ว +1

    Dada akina mdee mungu awabariki msiongope atawasaidia

  • @bahatevagre933
    @bahatevagre933 6 ปีที่แล้ว +3

    halima welcome rombo,mosh huku kunakufaa sana,we need a women like you mdee,ww ni kichwa na makonda.

  • @princesslupela9488
    @princesslupela9488 7 ปีที่แล้ว +14

    yaan kwajins nnavyokupenda Na hujawahi angusha watanzania hoja zako zote huwa n point big up sana cster

  • @JohnPaul536
    @JohnPaul536 6 ปีที่แล้ว +4

    Alima Mdee freedom fighter you are always my role model in the world of politics and leadership

  • @francklaurentmpogole5100
    @francklaurentmpogole5100 6 ปีที่แล้ว +1

    Upo xahih Halima, kwel upo bungen kutupigania Watanzania... tungepata wabunge hata 30 kama ww na Imani tungefika mbali xna...

  • @richardmugacostantine2791
    @richardmugacostantine2791 6 ปีที่แล้ว

    Asante sisi Kyerwa hatuna mbnge maana tunavyo nyanyaswa na Kahawa n.k atusikii utetezi wowote .

  • @omoimakori5726
    @omoimakori5726 4 ปีที่แล้ว

    A wonderful and eloquent member of parliament. She will be the best president Tanzania and Africa will never have .

  • @judithlongishu2615
    @judithlongishu2615 6 ปีที่แล้ว +1

    Point tupu big up Halima Mdee

  • @hongeramfugale5161
    @hongeramfugale5161 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu akubariki sana umeongea point tuu wambieee

  • @azamahmad3141
    @azamahmad3141 6 ปีที่แล้ว +1

    Wooooow, congration

  • @maxmillianpalangyo2081
    @maxmillianpalangyo2081 7 ปีที่แล้ว +16

    halima uko vizur big up sana Dada angu uko poa,, kilimo kwanza my xcta

    • @mussamakole2173
      @mussamakole2173 6 ปีที่แล้ว

      Mdee saw uko unatetea wananchi wako ila mmmmmmh cjui unavuta bangi inamaana hakuna kilichofanywa kizuri na ccm au ? Mm namnga mkono mbunge aliesema wabunge wawe wanapimwa akili nahic mdee hayuko timam

    • @erickfranc2861
      @erickfranc2861 6 ปีที่แล้ว

      +Mussa Makole mussa wewe ndo upimwe akili malaya weww

    • @jumapilihamis5115
      @jumapilihamis5115 5 ปีที่แล้ว

      Ww ninomaaaa

    • @zamirykumwene7747
      @zamirykumwene7747 5 ปีที่แล้ว

      watanzania tumenyimwa raa jamani kwanini lakini

  • @mmary70
    @mmary70 7 ปีที่แล้ว +19

    Huyo ndio Halima, love you big time

  • @josephatmapunda537
    @josephatmapunda537 7 ปีที่แล้ว +14

    Wabunge wengi wa ccm wavivu wa kuchambua na kusoma...wao wanacho angalia chama kwanza, they don't care about us...!!!

    • @alimassea612
      @alimassea612 6 ปีที่แล้ว

      JOSEPHAT MAPUNDA hawajui kusoma

  • @kalebumyinga7541
    @kalebumyinga7541 6 ปีที่แล้ว +1

    Hakika ww ni mtetez wa wanyonge big up sans✌✌✌💟✌

  • @madammaggie7779
    @madammaggie7779 6 ปีที่แล้ว +1

    you 've knocked on the point! honourable mdee,,big up Dada, saidiani wananchi wa tz

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 7 ปีที่แล้ว +2

    Amina Mdee Nimekusikiliza nikakusaidia kulia...Hii nchi tunakomoana kiVyama tunasahau Maendeleo hayana Vyama. Kukomoana nasio Kusaidiana. Mungu itembelee Tanzania

  • @salimuhamisj6998
    @salimuhamisj6998 6 ปีที่แล้ว +1

    Wazee na vijana (ambayo biblia inaniambia ni wenye nguvu) wanabaki kushabikia magu ili wapewe vyeo. Nakukubali halima

  • @dianaevarist6052
    @dianaevarist6052 6 ปีที่แล้ว +1

    my hero

  • @eneamwangonda2694
    @eneamwangonda2694 6 ปีที่แล้ว +1

    big apu dada

  • @consolathaconsolatha4095
    @consolathaconsolatha4095 6 ปีที่แล้ว +1

    Uko vzr mbunge wng

  • @enockmichael6066
    @enockmichael6066 6 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa kuwakumbusha hilo

  • @markomwakipesile9018
    @markomwakipesile9018 6 ปีที่แล้ว +1

    Mdee yuko vizuri sana anajua na kuelewa hoja zake vizuri

  • @eliahmethodychaula8256
    @eliahmethodychaula8256 6 ปีที่แล้ว +1

    ï appriciate u mdee love u much

  • @ndepesindeso3687
    @ndepesindeso3687 5 ปีที่แล้ว +1

    Taarifaya habariyaleo

  • @masaiculturaltours5145
    @masaiculturaltours5145 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera Halima Mdee wewe ni kichwaaaa

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว +1

    Halima love u 😍😍😍

  • @martincosmas3144
    @martincosmas3144 6 ปีที่แล้ว +2

    halima pamoja uko dr lakini unapigania wakulima maccm yamelogwa hogera sana

  • @barakamarwa1915
    @barakamarwa1915 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mbunge kijana nakuelewa saaana

  • @yohanamgungu8505
    @yohanamgungu8505 6 ปีที่แล้ว +1

    asnteee mh

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 7 ปีที่แล้ว +14

    Dada amesema points tupu. Thanks Milard.

  • @jumannemshanga3077
    @jumannemshanga3077 5 ปีที่แล้ว +1

    Wape ukweli dada

  • @barnabastanford9543
    @barnabastanford9543 6 ปีที่แล้ว

    safi sana eti mibunge mingine unaunga mkono penye kusifia sifieni panapotakiwa kupongeza pongezeni panapostahili kukosoa kosoeni alaa!Camon!

  • @kalombotv9519
    @kalombotv9519 6 ปีที่แล้ว +1

    Pitia muvi mbalimbali kutoka kigoma

  • @josephmwanda6474
    @josephmwanda6474 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwel we in mwanamke shujaa

  • @shabaniasha6363
    @shabaniasha6363 6 ปีที่แล้ว

    you are the best 😘😘😘😘😘😘👏👏👏👏👏

  • @bahatevagre933
    @bahatevagre933 6 ปีที่แล้ว +2

    uuuuuuuuuiiiiiiiiiiii,halima unanitoa machoz nikweli tumenyimwa elimu watanzania,na nikweli mbingu na ardh haviwez kutana ndichokilichopo kwa viongozi wetu sasa.

  • @sillasmichael1491
    @sillasmichael1491 6 ปีที่แล้ว +22

    kichwa kimoja cha ili jembe ni wabunge 20 wa chichiem

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 6 ปีที่แล้ว

      Sillas Michael hahaha umenikosha jaman kichwa kimoja wabunge 20 wa ccm

  • @maryjoseph5676
    @maryjoseph5676 6 ปีที่แล้ว +1

    💟💟💟💟💟💟 love love mdee

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว +1

    Dada www jembe shikamooo

  • @peterkisiri4938
    @peterkisiri4938 6 ปีที่แล้ว +2

    .....hii tanzania watu wote wangekua kama kamanda wetu halima mdee nchi hii ingekua mbal sana wambie sisters

  • @josephshangawima1585
    @josephshangawima1585 6 ปีที่แล้ว +4

    Halima naomba uje ugombee kwenye jambo letu jamani mnaoongozwa na halima mna raha sana da!

  • @vailethdaniel1241
    @vailethdaniel1241 6 ปีที่แล้ว +2

    Sina la kusema ndugu yang ila cha muhimu MUNGU akulinde

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 6 ปีที่แล้ว

    Thank you madam

  • @stellafiyao7867
    @stellafiyao7867 6 ปีที่แล้ว

    safi sana jembe langu nakukubali

  • @stephankapwellah8932
    @stephankapwellah8932 6 ปีที่แล้ว +4

    hujawahi kuwaangusha watanzania wewe⏩nakupenda.many love 4reve✌

  • @kyomamabifi7686
    @kyomamabifi7686 6 ปีที่แล้ว

    wachane tuu hahaaaa nimeikataa maana haina ishu uwiiii mbavu Zangu bigp mdeee

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana Halima Mdee
    Huwa unajua kutetea hoja na sio ushabiki.

  • @ashuraatanas5967
    @ashuraatanas5967 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mdada nampenda huko tz

  • @hamisichuma3270
    @hamisichuma3270 5 ปีที่แล้ว

    safi sana kamanda watu kamanyi nyi ndo tunawataka ndani ya mchi ya tz

  • @seadkolasnic6894
    @seadkolasnic6894 6 ปีที่แล้ว +4

    Kati ya billion 101 ambazo zikitakiwa kwenye kilimo zimeebda bil 3 alafu linatokea jitu mi nahamia ccm naunga mkono pumbavuuu

  • @peterndalu6899
    @peterndalu6899 6 ปีที่แล้ว +2

    upinzani umefika Mahala pake😂😂🙏mdee

  • @sisihaogroup1538
    @sisihaogroup1538 6 ปีที่แล้ว +1

    piga kazi mama nakupenda sana

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 6 ปีที่แล้ว +1

    hii njema sana, wapinzan mkifanya huyo, mtasonga mbele, naongea kwa dhamira njema kabisa.

  • @kasimuyahaya4010
    @kasimuyahaya4010 5 ปีที่แล้ว

    Ndio maana nimekuota Kumbe upo vizuri hivi Safi Sana

  • @Mwaka-cu5my
    @Mwaka-cu5my 6 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mara ya kwanza leo ndio nimesikia akiongea vizuri hongera sana mdee

  • @jonesgeorge3152
    @jonesgeorge3152 4 ปีที่แล้ว

    Yani mpaka nataka kulia,kwa jinsi unavyo nifungua,asante halima.tulikumis

  • @farajilusinga1038
    @farajilusinga1038 7 ปีที่แล้ว +19

    namkubal uyu Dada anajuwa wajibu wake

  • @jamesmtata6715
    @jamesmtata6715 5 ปีที่แล้ว

    Good good point

  • @evancmushisuperman8853
    @evancmushisuperman8853 6 ปีที่แล้ว

    Asanteee sister wengine Wamekaaa wanaweka tumbo mbeleee tuuu hawajui cha kufanyaa

  • @sprianikavishe9462
    @sprianikavishe9462 7 ปีที่แล้ว +4

    Asante Dada halima nakukubali sana

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 6 ปีที่แล้ว +1

    Wabunge wanunue mashamba na wao walime waonyeshe mfano,wasituletee usanii bungeni.

    • @kingresmakala2247
      @kingresmakala2247 6 ปีที่แล้ว +1

      wambie nyumbu hao Na wakwetu wamo humo wamesinzia Kahawa tunazigawa Na wabunge wetu wamelala

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 7 ปีที่แล้ว +16

    Asantee Halima mdee umemaliza yooote mizee imekaa tu kusifia wasitumbuliwe😕

    • @geofreymkopi4905
      @geofreymkopi4905 7 ปีที่แล้ว +1

      Duuuuuuu Majanga

    • @neemaswai43
      @neemaswai43 7 ปีที่แล้ว +7

      Mh Halima nakupendaje? nakukubalije? hongera kwa Mama aliyekuleta dunia. Mungu akuepushe na kila baya. Amen

    • @barnabasstanslaus6895
      @barnabasstanslaus6895 6 ปีที่แล้ว +1

      Neema Swai daaah ni kwelii kaongea yalio wazi kabisaaaa viwanda vya kuchambua zao la "PAMBA" majangaa tyuuu

  • @clementgeorge2483
    @clementgeorge2483 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbunge kichwa Sana huyu dada

  • @elizapanga9532
    @elizapanga9532 6 ปีที่แล้ว

    Hongera mama nakupenda bure uyasema yote Mungu azidi kukulinda

  • @kinguamimu3028
    @kinguamimu3028 6 ปีที่แล้ว +1

    ongea mama uko sawa kabisa

  • @sarahmwakilasa7425
    @sarahmwakilasa7425 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada wewe no Nouma!

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 6 ปีที่แล้ว

    Mtu makin nampenda sanaaaa halima wangu maisha marefu kwako

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 6 ปีที่แล้ว +1

    Hayo Mambo ya tungekuwa yashapitwa na wkt wew pendekeza nini bora kifanyeke kuisaidia serikali na Nchi kelele kapige ulikofundishwa

  • @emanuelzakayo1542
    @emanuelzakayo1542 6 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda sana halima mdee hajawahi kosea

    • @mussanalinga6849
      @mussanalinga6849 6 ปีที่แล้ว

      halima mdee jikubali mwenyewe tukipata wabunge kumi kama wewe tutasonga mbele

  • @benjamenpaul1172
    @benjamenpaul1172 6 ปีที่แล้ว +2

    well done for this mdee

  • @dazzymwakyusa6422
    @dazzymwakyusa6422 6 ปีที่แล้ว

    mmoja n mirioni moja

  • @bakarimhina6437
    @bakarimhina6437 6 ปีที่แล้ว

    Ushauri wangu kwa Mh Halima Mdee,Mbunge wa kuchaguliwa Kawe.Kiafya unauathiri mwili,unapokuwa unachangia hoja unatumia sauti ya nguvu mno.Jityuni kwasababu Mara nyingi huwa kuna vipaza sauti sasa usitumie nguvu sana.Hivyohivyo katika mikutano pia badilisha namna ya utumiaji wa nguvu sana kwani nia ni Ujumbe ufike.Mimi siko kwenye Mada unazowasilisha Mimi Niko kiafya Namuomba pia Daktari wako akushauri ifaavyo.Niwie Radhi.

  • @anorldshubi5101
    @anorldshubi5101 6 ปีที่แล้ว +2

    pomoja sana milad ayo mmi nmpongeza sana mdeee anatisha

  • @stephenmassawe218
    @stephenmassawe218 6 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ndio wanaotakiwa bungeni wanachambua, wanashauri. Ndugu zangu mliowachagua hawa turudisheni watu hawa.

  • @swaumumitimi5979
    @swaumumitimi5979 6 ปีที่แล้ว

    Upon vzr Dada sana ,wape ukwel haoooio!!!!

  • @alicegonja612
    @alicegonja612 6 ปีที่แล้ว +1

    Point tupu! Nakupend Sana Dada yetu

  • @shadrackjafety6028
    @shadrackjafety6028 6 ปีที่แล้ว

    love u SO much mdee pekee yako ujue wabunge 30 wa chichiemu

  • @martinkarata1097
    @martinkarata1097 6 ปีที่แล้ว

    Sijui nisemeje ila bigg up sana kwako halima mdee yaani we ni kichwa hpo ni wabunge 30 wa cwcw,

  • @derickdamace8615
    @derickdamace8615 6 ปีที่แล้ว

    I get you well

  • @ezralwegilila4094
    @ezralwegilila4094 6 ปีที่แล้ว

    Talking truth is some thing crucial,,,another side should change and criticize the central

  • @ccmchadema8107
    @ccmchadema8107 6 ปีที่แล้ว +1

    ujawahi niangusha my mdee

  • @frolianifaustine2261
    @frolianifaustine2261 5 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว +6

    inauma kweli wanapongezana ujinga tu wamekalia uchama

  • @jamesmadeli9814
    @jamesmadeli9814 7 ปีที่แล้ว +6

    6:20 'unaweza ucheke uzimie uvunje mbavu ufe'....Mdee

    • @adamumjomba82
      @adamumjomba82 6 ปีที่แล้ว

      Wabunge wa ccm ni Hewala mzee.

    • @adamumjomba82
      @adamumjomba82 6 ปีที่แล้ว

      Wabunge wengi wa ccm ni Hewala mzee amua unavyo onainafaa. Hilo swala limepita bilakupingwa. Hawafikiri wanaowaongoza .ni bora mzee afurahi.

  • @amudimbegalo4969
    @amudimbegalo4969 6 ปีที่แล้ว +1

    Halima hapa bangi ulikuwa huja vita big up

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama haupongezi bungeni, hunafanya nini siutoke ,

    • @abrahamkasian7024
      @abrahamkasian7024 5 ปีที่แล้ว

      Kwa mazuri yanayofanywa Ni vyema kupongezwa! Ila kwa kuwa anajua impact ya Mambo yannayoendelea ndio maana anaweka angalizo! Maana anayoyasema Ni kwa sababu anasoma takwimu

  • @mohammedsuleyman1868
    @mohammedsuleyman1868 6 ปีที่แล้ว

    Thanks jembe

  • @azzaally2285
    @azzaally2285 6 ปีที่แล้ว

    bara bara hatuna umekaa kubwata njoo utujengee bara bara

  • @estergoliama2562
    @estergoliama2562 6 ปีที่แล้ว +2

    msema ukweli mara nyingi hapendwi hongera mdee

    • @abdlazizmzee4833
      @abdlazizmzee4833 6 ปีที่แล้ว

      Ester Goliama mwanamke kujiamini big up mdee

  • @emanuelzakayo1542
    @emanuelzakayo1542 6 ปีที่แล้ว +5

    Ulienda wapi halima mdee ulikuwa kimya sna tumekumiss

    • @kyomamabifi7686
      @kyomamabifi7686 6 ปีที่แล้ว

      Emanuel Zakayo walimfumgia bungen asiingie

  • @barnabasstanslaus6895
    @barnabasstanslaus6895 6 ปีที่แล้ว +2

    daaah kaongea yalio wazi kabisa zao la pamba linachangamoto sana miundo mbinu haiko vizuri viwanda vya kuchakata zao hilo bado duni sana

    • @muhidiniame7430
      @muhidiniame7430 6 ปีที่แล้ว

      Brnabas Stanslaus sakata zanzbar
      .

  • @nasibuzuber5276
    @nasibuzuber5276 6 ปีที่แล้ว

    This is too much sema mamaaaa

  • @zarihayussuf4969
    @zarihayussuf4969 6 ปีที่แล้ว

    nakupa big up wewe nimchumi

  • @erickkihuru4529
    @erickkihuru4529 6 ปีที่แล้ว

    Hongera mdee usiwe bendera fuata upepo

  • @godfreymbwanga7750
    @godfreymbwanga7750 5 ปีที่แล้ว

    watanzania tunawaangalia nyinyi mana upande wa pili ni mazwazwa sana

  • @bonabonala7685
    @bonabonala7685 6 ปีที่แล้ว

    Halima mdee ni shidaaa anafaa kua Rais wa wanyonge jamani