MGOMO KARIAKOO - MWENYEKITI CHADEMA AFUNGUKA BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA KISA WAFANYABIASHARA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มิ.ย. 2024
  • MGOMO KARIAKOO - MWENYEKITI CHADEMA AFUNGUKA BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA KISA WAFANYABIASHARA...
    Mara baada ya kukaa mahabusu kwa takribani siku moja,Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Njomnbe Rose Mayemba ameeleza sababu ya kukamatwa kwake ambapo amesema Polisi wamemuleza kuwa amefanya taharuki kwa kuandika taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X (Twitter) juu ya taarifa ambayo ilidaiwa kuwa ni ya wafanyabiashara kuhusu mgomo uliofanyika siku Jumatatu ya Leo.
    "Nilipofika Polisi wlinipa tuhuma ambazoninatuhumiwa nazo kwamba nimesababisha taharuki kwa maana ya kwamba nimefanya uchochezi lakini pia nimeandika taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii kwamba nimesambaza habari ya wafanyabiashara watagoma kuanzia siku ya Jumatatu (leo) kwa hiyo nimeatakiwa kuwasilisha vifaa vyangu vya kieletronic"amesema Rose
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 4

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 15 วันที่ผ่านมา

    Pole mwenyekt wapuuz hao wafanya biashara wamegoma had arusha kwa hiyo ww ndo umewahamasisha? Hao ni machawa promax kujipendekeza kwa viongozi tuu

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 15 วันที่ผ่านมา

    Wewe hujuwi tra Kuna mtu aliyekamatwa kua ni mwiza acha laiya waibe

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 15 วันที่ผ่านมา

    Chadema mutafuteni dr.silaa na lowasa waliotuchezea komede

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 15 วันที่ผ่านมา

      Komedy kivipi