KATIBU MWENEZI CCM WILAYA YA RUNGWE AVULIWA UONGOZI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024
  • KATIBU MWENEZI CCM AVULIWA UONGOZI.
    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mbeya imemvua uongozi Katibu mwenezi chama hicho wilaya ya Rungwe kutokana na utovu wa nidhamu kama anavyo fafanua katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Mbeya Christopher Uhagile.

ความคิดเห็น • 1

  • @lydiamakula3803
    @lydiamakula3803 หลายเดือนก่อน

    kazi nzuri mkuu afazari mmeliona hilo