TUNDU LISSU AKABIDHIWA GARI LAKE NA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA, NAMBA ZA GARI YAKE ZATUMIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 224

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 4 หลายเดือนก่อน +52

    Mheshimiwa hiyo gari ungeiweka makumbusho .kizazi na kizazi kikumbuke maovu ya ccm

    • @OstakiaCornely
      @OstakiaCornely 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 4 หลายเดือนก่อน

      Umeongea maneno mazuri Sana(Sahihi kabisa )

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 หลายเดือนก่อน

      CCM ndio waliotoa msaada wa kwanza kutoa ndege kwenda Nairobi. Ubaya ipo ulaaniwe kila unapotokea.

    • @Benj722
      @Benj722 4 หลายเดือนก่อน +2

      Unakichaa wewe. Chadema walikodisha ndege hakukuwa na ndege ya bure mpuuzi wewe

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@hajihassan5433auna akili wew

  • @songombingo108
    @songombingo108 4 หลายเดือนก่อน +30

    Mheshimiwa weka gari hii kule Makumbusho.

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 4 หลายเดือนก่อน +11

    Tunaomba mlifanyie uchunguzi zaidi kama waliweza kuchukua Plat namba msitumie bila kulifanyia uchunguzi na kifaa chakugundua mabom sumu nk.jitahidini sana Mh Tundu Lisu pamoja na viongozi pole sana Lisu watesi wako watapokea malipo yao hapa hapa duniani yote kwa yote tunamshkuru Mungu🙏🤲

    • @LuganoMwakalinga-p3k
      @LuganoMwakalinga-p3k 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mh Tundu antphas Lisu Mungu ni mwema atazidi kukubaridi na utafika kaburini kama mganda wa ngano ulivyo kwa wakati wake,siku za maisha yako zitazidishwa na miaka ya maisha yako itaongezwa ktk jina la Yesu.kristo.

    • @zebedayodiganyeck2046
      @zebedayodiganyeck2046 4 หลายเดือนก่อน

      Amina.

    • @simonchristian6319
      @simonchristian6319 4 หลายเดือนก่อน +1

      Na atashuhudia mateso yao

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 4 หลายเดือนก่อน +18

    Tundu lissu mungu anamakusudi na wewe,,,mwenye haki hafanyiwi hila.

  • @NimrodLeken
    @NimrodLeken 4 หลายเดือนก่อน +12

    Legends Never Die..just like in the movies..Long live Daktari

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu ni mwema

  • @nelsonngemera9832
    @nelsonngemera9832 4 หลายเดือนก่อน +11

    Mungu ni mwema..

  • @FarajiRashidi-z8e
    @FarajiRashidi-z8e 4 หลายเดือนก่อน +10

    Acha mungu aitwe mungu

  • @NAFTALIMUNDANGA
    @NAFTALIMUNDANGA 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mheshimiwa tengeza hii gari ili uweze kuitumia, ila usizibe hayo matundu na uitumie hii gari katika safari zako zote za kifamilia na za kisiasa ili watu wote tuone, wajue na tukumbuke ukatili ya hao jamaa. Pole sana

    • @mzarendo.com9624
      @mzarendo.com9624 4 หลายเดือนก่อน

      Hiyo point
      👍👍✌✌

    • @Yussuf-b3b
      @Yussuf-b3b 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ni maoni mazuri sana ,,kwamba yasizibwe yawachwe hivyo hivyo ikiwezekana Gari liwekwe makumbusho,,,HUO NI UNYAMA WA MA CCM

  • @hamphumichael7194
    @hamphumichael7194 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akubari Tanganyika ukiwa na akili hawamtaki mtu ila tupo pamoja

  • @rosegeraldlyimo1269
    @rosegeraldlyimo1269 4 หลายเดือนก่อน +7

    Ushauri wangu ni huu.
    Hiyo gari iwekwe makumbusho kama ilivyo halafu ufanyike utaratibu wa michango ununue nyingine.

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 4 หลายเดือนก่อน

      Wazo zuri

    • @gangan4618
      @gangan4618 4 หลายเดือนก่อน

      AMINA

    • @gangan4618
      @gangan4618 4 หลายเดือนก่อน +1

      Watanzania tunaweza kumchangia mh Lissu, ili linunuliwe gari lingine; hilo likae makumbusho huenda wameliwekea SUMU MAANA CCM NA DOLA YAKE HAWAAMINIKI.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 หลายเดือนก่อน +16

    Mungu mwaminifu maana walitaka kutoa uhai lakini wamekupa tena

  • @sarahjames2287
    @sarahjames2287 4 หลายเดือนก่อน +15

    Vizuri kabisa Raisi wetu mtarajiwa

  • @thomsonmwakyanjala7536
    @thomsonmwakyanjala7536 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tafadhali weka hilo gari bila matengenezo yoyote! Nikumbukumbu ya historia ya Taifa.

  • @zebedayodiganyeck2046
    @zebedayodiganyeck2046 4 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU anabaki kuwa MUNGU na ataendelea kuwa pamoja nawe hata utimilifu wa dhahari. Mwenye utu,busara,hekima na ubinadamu hawezi furahia kitendo alichofanyiwa Lissu

  • @JohnMnzava-du2we
    @JohnMnzava-du2we 4 หลายเดือนก่อน +7

    Lisu husingeisema hiyo gari muikamate hiseme wametoa wapi

  • @gregoryogweyo4598
    @gregoryogweyo4598 4 หลายเดือนก่อน +18

    Hatari sana, Mungu akujalie maisha marefu Mheshimiwa, uisha hadi waliotenda na kufadhili unyama huu wote wapukutike

  • @petermkumbo5094
    @petermkumbo5094 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ungepitishwa mchango tu ipatikane mpya,hii ikawekwe makumbusho .Wazo langu.

  • @issayaamon5230
    @issayaamon5230 4 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera sana kamanda Lisu

  • @NimrodLeken
    @NimrodLeken 4 หลายเดือนก่อน +6

    Legends never die, just like in the movies,. long live mheshimiwa may
    God keep you safe and well for eternity to come. Amen

    • @SAMWELKATIGIZU
      @SAMWELKATIGIZU 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu akutie nguvu baba mtetezi wa wanyonge

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu ana manguvu yake

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hakika mungu mkubwaaa

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 4 หลายเดือนก่อน +1

    itumike kuzunguka nayo kwenye shughuli za kisiasa nchi nzima wananchi wajue uovu wa nchi hiii

  • @ozld4864
    @ozld4864 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu akulinde daima @Mh Tindu Lissu

  • @MichaelNyhasi
    @MichaelNyhasi 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tuko pamoja kiongozi wetu, mungu akupe uzima.

  • @Hfmmngoyafamily
    @Hfmmngoyafamily 4 หลายเดือนก่อน +3

    Gari imetoka, je! Uchunguzi wa lile tukio umefikia wapi?

    • @edwinmbelle4207
      @edwinmbelle4207 4 หลายเดือนก่อน

      Uchunguzi unaendelea mlalamikaji alikataa kuhojiwa

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 4 หลายเดือนก่อน

    Gari mpya kwa Lisu ndo haki na hili likae hivyohivyo watu waje walione na kukiri ya kuwa yupo MUNGU ANAYETAWALA.

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 4 หลายเดือนก่อน +1

    Usibadili kitu, zunguka nayo kwenye mikutano tuione please.

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ipo Haja Yakumchangia Mh Lissu Gari Anastahili Gari Jipya

  • @PeterWilliam-mn5bh
    @PeterWilliam-mn5bh 4 หลายเดือนก่อน +2

    Polesana kiongozi wetu mtarajiwa.badotuna imanikubwa nawewe.na mungu aliekukoa na katika mikno waomajambazi bado yukonawe tena kwa wivu mkubwa.kaza buti twende mbele.wanana haibu hata kukuangalia. usoni

  • @Ezekiel-xz8dl
    @Ezekiel-xz8dl 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mung akujalie afya njema tund

  • @Eliacharless-f3z
    @Eliacharless-f3z 4 หลายเดือนก่อน +2

    Achani matus uzima haununuliwi ipo siku yagtageukia kwenye familiza zenu

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nilichogundua hata polis wanampenda pia kwa Sababu Huwa anawatetea wakati mwingine Tanzania inatakiwa kuwa hivi

  • @zalendo
    @zalendo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ukuu na nguvu za Mungu vimedhihirika kupitia hili tukio. Hakuna binadamu anayeweza kuharibu mipango ya Mungu.

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wana nchi tunapendekeza hili gari liende makumbusho . Kama ni gari tutachanga upate nyingine

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ili Neno litimie🙏🏿

  • @alexbitakwate
    @alexbitakwate 4 หลายเดือนก่อน

    Kamanda rpc dodoma ama kweli nilikuelewa vilivyo kwa namna ulivyoshugulikia suala la gari la kamanda lissu,lakini chanzo cha dhahama hiyo ndo bado.

  • @michaelmeshaki9931
    @michaelmeshaki9931 4 หลายเดือนก่อน

    WACHA KUTAFUTA HURUMA NA HIYO SIO NJIA YA KUKUPELEKA IKULU JITAHD KUJENGA HOJA JUU YA MATATIZO YA NCHI NA SIO KUPIGWA RISASI

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 4 หลายเดือนก่อน

    Ipelekwe makumbusho na matundu ya lisasi hivi hivo

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji 4 หลายเดือนก่อน

    Kwamaana iyo jeshi letu lapolisi limeshindwa kuwapata waalifu?

  • @feliciankavishe6792
    @feliciankavishe6792 4 หลายเดือนก่อน

    Mmnaona hiyo gari machine nayo tumchangie amateur gari mpya yakisasa

  • @deborahlagila6351
    @deborahlagila6351 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tutachangia mweshimiwa Lisu

  • @ErasmusGavana
    @ErasmusGavana 4 หลายเดือนก่อน

    Nadhani kama Kuna yaliyotumwa uuwawe na yule muovu kibaka bsi Mungu atakuwa alishaliondoa hapa make lilikuwa jinga sana lile lilikuwa halifai kabisa

  • @evermbano5396
    @evermbano5396 4 หลายเดือนก่อน

    Hii gari asiitumie Tena tumchangie gar mpya ukakaae makumbusho

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry 4 หลายเดือนก่อน +1

    Siku ya kwenda kualishwa kuwa Rais wa hii nchi gari hii ndiyo uitumie, na Nembo/ Ngao ya ikulu ibandikwe, kisha ndio iende makumbusho.

  • @hamadimussa2119
    @hamadimussa2119 4 หลายเดือนก่อน

    Tundulisu wewe ni mwanasheria, hebu niambie nisheria gani ya Tanzania inaruhusu mwanaume kuvaa makachakacha hayo kama mwanamke

  • @ezekieljacob5795
    @ezekieljacob5795 4 หลายเดือนก่อน

    Mkishinda uongozi hiyo gari ndo ukubebe kwenda kazini

  • @josiahjosiah-MPs
    @josiahjosiah-MPs 4 หลายเดือนก่อน +2

    GOD BLESS LISU GOD BLESS TANZANIAN

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 4 หลายเดือนก่อน

    Naona kama dirsha la upande wa kushoto kioo kipo chini ina maana mvua za miaka7 maji yalikua yanaingia ndani ama ilikua imefunikwa?

  • @GerasCheketera
    @GerasCheketera 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika Mungu ni mwema sana sana sana

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 4 หลายเดือนก่อน

    Watz ni mbumbumbu...bado hawaoni sababu ya kuyakataa ma-ccm

  • @daviddsouza735
    @daviddsouza735 4 หลายเดือนก่อน

    Gari naomba liwekwe makumbusho

  • @AmosPambalaJr
    @AmosPambalaJr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wetu ana makusudi na Tundu Lissu wetu hakika

  • @boscomfundo7953
    @boscomfundo7953 4 หลายเดือนก่อน +2

    Naam! Nakubaliana na idea ya Lissu

  • @maxneemanngunda4911
    @maxneemanngunda4911 4 หลายเดือนก่อน

    Lissu ni zaidi ya usalama wa taifa, anakuaga na data kuntu ambazo hazitafutikani

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 4 หลายเดือนก่อน

    mkuu wa jeshi la polkisi dodoma hana kaz

  • @sarahstopher6209
    @sarahstopher6209 4 หลายเดือนก่อน

    Makumbusho inayotembea

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo tayari kukuchangia kabisa

  • @salomeshongola1697
    @salomeshongola1697 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli mungu ni mwema.Na ana makusudi na wewe.

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 หลายเดือนก่อน

    Huyo ndio Wakili Msomi❤❤

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana lisu, Mungu akulinde.

  • @jumaurambo9859
    @jumaurambo9859 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema Kwa kweli

  • @osodowilberforce
    @osodowilberforce 4 หลายเดือนก่อน

    Congratulations Hon.Lissu.

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 4 หลายเดือนก่อน

    It's really pathetic! Kuna binadam ni wabaya Sana! Kikubwa umepona Mheshimiwa. To God be the glory!

  • @MohamedHamsini
    @MohamedHamsini 4 หลายเดือนก่อน

    HUYU MZEE UCHWARA ANAPENDA ATTENTION....

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Ushauri wNgu hilo gari usilitumie tena liweke makumbusho kwajili ya kumbukumbu ya vizazi vijavyo

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Tindu Lissu , hilo gari tafadhali usitengeze wala kulitumia tena, ingekuua Tanzania ya mwalimu Nyerere , serikali ungekununulia gari jipya na hilo kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa, watoto wetu na wajukuu wana somo nzuri la Democracy na haki kuwa inapiganiwa haipatikana kirahisi ni kama mapambano ya kupiginia uhuru wetu.

  • @conniesivaly8501
    @conniesivaly8501 4 หลายเดือนก่อน +1

    Our God is very faithful! You are a living miracle Tundu Lissu! Long live

  • @AnordMgisha-on2mh
    @AnordMgisha-on2mh 3 หลายเดือนก่อน

    Saf San baba 🎉

  • @feliciankavishe6792
    @feliciankavishe6792 4 หลายเดือนก่อน

    Kila mwanachama mwenyemoyo wa uzalendo tuungane tumchangie buku buku x idadi ya wenyemoyo tutapata gari mpya yakisasa

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 4 หลายเดือนก่อน

    Rais wetu

  • @mussaabraham1475
    @mussaabraham1475 4 หลายเดือนก่อน

    Pole san baba angu

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo aliyechukua plate number ya gari ya mtu mwingine na kuitumia kwenye gari yake ni nani huku akijua kuwa ni kosa kisheria? Na ikawaje gari inayoshiliwa polisi kama kielelezo ktk uhalifu plate number yake ionekane imebandikwa kwenye gari jingine na mtu anatembea nayo mitaani? Je ikitokea hiyo gari imefanya uhalifu si itaonekana kuwa ni gari ya Tundu Lissu ndiyo imehusika kwenye uhalifu huo? Hapa polisi wana maswali ya kujibu. Na hili ni lazima lichunguzwe maana kuna kila dalili kuwa ndani ya Jeshi la Polisi kuna wahalifu lakini wamevaa magwanda ya polisi!

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 4 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu m Ina jibu liko wazi kweuoe. Ni raia gani ana udhubutu wa kugusa kitu chochote kikichoko kwenye police yard, sembuse kukitumia mitaa I!

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 4 หลายเดือนก่อน

      Polisi wanajua, kama hawajui kuna ya kutokua na polisi Tanzania tukae kama Vatican City.!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      Naona Kuna jambo litakuja Kuna Siri imejificha kwanini wamrudishie gari isiyokuwa na plat number? Kwanini wasiirudishe hiyo number

  • @richardnyarugenda9769
    @richardnyarugenda9769 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Tundu Lisu
    Endeleza mapambano
    Ccm wauaji

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Tundu Lisu hio gari usiitengeneze iache kama ilivyo ipeleke makumbusho ili vizazi vyetu vije kujifunza uhalisia na asili ya MUNGU alivyokuwa wa miujiza.

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 4 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli lisu Mshukuru MUNGU Kila unakokwenda Yani ndiyo maananampendaga MUNGU

  • @WinfridaCreitus-bf3zn
    @WinfridaCreitus-bf3zn 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa inakuaje gari iko polisi afu number zake zinatumika na gari nyingine sio uhalifu huo? Naomba hili life yiww kazi haiko sawa.

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 4 หลายเดือนก่อน

    Hilo like kama
    Makumbusho
    Liache ivoivo
    Na matundu yake ya risasi

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda 4 หลายเดือนก่อน

    Uncle Lisu wewe zaidi ya chuma 🛠️ mungu akutangulie rais wetu mtarajiwa malipo ni humu humu 🇹🇿 tz ✌️✌️✌️

  • @danielsighis9953
    @danielsighis9953 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii sasa imekaa sawa

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 4 หลายเดือนก่อน +1

    Usilipande hilo gali tena, ushauli wa bule

    • @rucaserasto8154
      @rucaserasto8154 4 หลายเดือนก่อน

      umewaza kama Mimi jombaaa

  • @YusufDuale-eq4kl
    @YusufDuale-eq4kl 4 หลายเดือนก่อน

    Aliyetaka kumuua ndo ameondoka kamwacha mkusudiwa.Mungu ndo anaefisha na kutoa uhai sio binaadamu.

  • @sabriabdalla9562
    @sabriabdalla9562 4 หลายเดือนก่อน

    Hii gari ingekuwa bora usiitengeneze bali ipelekwe makumbusho hivohivo ilivyo

  • @mputamputaa5347
    @mputamputaa5347 4 หลายเดือนก่อน +1

    AllahuAkbaruuuuh

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi hiyo gari inayotumia namba za Gari yako huwa inapita angani? Wakati wa kuikatia bima, na huduma nyingine kama hati ya usajili, ilipataje?? Na kama ingefanya makosa, au ilishafanya makosa,nani awajibike?

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 4 หลายเดือนก่อน

    Mbaka leo wariyo mpiga risasi risu hawajurikani wote wariyo fanya unyama huu mungu hawaachi salama atawapa azabu yake

  • @solomonjackson3827
    @solomonjackson3827 4 หลายเดือนก่อน

    Tunapoliona Gali la tukio hakika unastahili pole kubwa wapo waliowindwa kama wewe mpaka Leo hii hatunao Tena

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanadamu ni mnyama muovu sana hivi nikitu gani mh Lisu aliwakosea wakaamua wamuue?na Mungu akamkinga kwa upako na yupo hai lkn baado hawaoni utukufu wa Mungu juu ya tukio hili baado wanabishana na mpango wa Mungu aisee ishala zote hizo hamtambui utukufu wa Mungu mh Lisu ni mpangu wa Mungu acheni atimize ya Mungu hapa duniani kisha ataondoka mkimzuia mtapata ya maguful

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akakupee kila neema kwa ujasiri uliokuwa nao! Hii ikawe kumbukumbu katika Tanzania hii!
    Vyombo vya usalama mnajisikiaje kwa kutofuatlilia kikamilifu hili jambo.

  • @enocepaulkumba9362
    @enocepaulkumba9362 4 หลายเดือนก่อน

    Kamanda wa vita!.
    Mungu na akutunze.
    Katika nchi hii umefanyika baraka sana tena sana!
    Wewe ni wa pekee!
    Wenye nia ovu na maendeleo ya nchi hii walidhamilia kukuua lakini Mungu ni mwema akawaondoa wao!.
    Jina la Bwana lihimidiwe.

  • @jacksonbohbahck6307
    @jacksonbohbahck6307 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu fundi xn

  • @Eliacharless-f3z
    @Eliacharless-f3z 4 หลายเดือนก่อน

    Achani matus uzima haununuliwi ipo siku yagtageukia kwenye familiza zenu

  • @feliciankavishe6792
    @feliciankavishe6792 4 หลายเดือนก่อน

    Kuweni making nahilogari,limetoka kwa waliompiga risasi

  • @FilbertFissoo-pe2xm
    @FilbertFissoo-pe2xm 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenyenzi mungu akupe afya njema mtetezi wa wanyonge na haki uishi miaka mingi

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh, pole sana

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 4 หลายเดือนก่อน

    Ila viongozi wa serikali ya CCM 😢😢😢😢

  • @SemuAmini
    @SemuAmini 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo ndipo unapoiona nguvu ya MUNGU aliye hai .

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 4 หลายเดือนก่อน

    Inge kuwa uraya gari kma iyo inawekwa makumbusho ya Taifa

  • @ElvisTabula
    @ElvisTabula 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ni aibu kubwa mnooo gari anaichukua pasi kujulikana nani animshambulia

  • @RobertKajege
    @RobertKajege 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi MUNGU BABA MWINGI WA REHEMA NA NEEMA AKULINDE UWE NA AFYA NJEMA UZIDI KUFANYIKA BARAKA