KWAYA KUU wamuimbia MAKONDA tulijua tu kua yatakupata haya NENDA TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 144

  • @DanieliIbrahim
    @DanieliIbrahim 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mhhh ila kama nikweli makonda amefarki na sababu hazijulikani mmm mimi yangu macho napita tuu

  • @bahatitumaini347
    @bahatitumaini347 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kutoka nakonde Zambia nampenda makonda ni kiongoz wa mfano

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 2 หลายเดือนก่อน +22

    Makonda tunakulilia😢uko wapi
    Na Rais anaziba masikio Kama chura 😢

  • @TravisNgondo
    @TravisNgondo 2 หลายเดือนก่อน +13

    Makonda watanzania wanyonge tunakulilia, tumejawa na hofu kubwa juu Yako Kwa kuwa tuliyaona haya Kwa mtangulizi wako JPM, ilikuwa kama haya haya, baadaye tukaja kusikia hatunae Tena ktk maisha haya, makonda kama upo njoo onakana tukuone, tuko gizani hatujui ninkimekupata, na uko wapi,

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jaman 😢😢 kwani kafariki mimi siamini wallah nikisikia makonda kafariki nitaria sana hao ndo watetxi wawanyonge

  • @joshuamollel4494
    @joshuamollel4494 2 หลายเดือนก่อน +5

    Vip ben sanane mbona hamkumbuki jamanii kapote miaka zimepita

  • @NeemaDainess
    @NeemaDainess 2 หลายเดือนก่อน +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭 makonda uko wap mh jaman mbona hofu inazd kunijaaa

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 2 หลายเดือนก่อน +14

    Ukweli nikisikia jina Magufuri au Makonda au Majariwa nafarijika sanaaa

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu tunakuomba msimamie na kumlinda Makonda popote alipo teketeza maadui ote wanao mpangia mabaya.

  • @getrudealoyce580
    @getrudealoyce580 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inaniuma sana makonda simsikii tena jamani tuulizane yupo wapi ajitokeze hata kwa sauti tujue yu hai ama laah

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA 2 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda Mungu akulinde

  • @benikayange2605
    @benikayange2605 2 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda wangu jaman❤❤❤

  • @CatherineAmos-zw8dx
    @CatherineAmos-zw8dx 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde Makonda

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 2 หลายเดือนก่อน +28

    Mmemuua Magufuli ,sasa mnanuua Makonda..baada ya hapo atafuata nani? Hii ni serikali ya wauaji .haina uwezo wa kutawala nchi

    • @KhadijaMzuri
      @KhadijaMzuri 2 หลายเดือนก่อน +4

      Wakimuua makonda wa 3 atafata waziri mkuu kassim majaaliwa mana nae ni kama magufuli na makonda

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 หลายเดือนก่อน

      Hivi kuweza kutunga nyimbo mpaka litokee tukio ndo muweze au!!

    • @Kimware-kb1yb
      @Kimware-kb1yb 2 หลายเดือนก่อน

      We mwenzako Mbona unamuombye mbaya or we Ndo unawauwa 😢😢 ​@@KhadijaMzuri

    • @Kimware-kb1yb
      @Kimware-kb1yb 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@KhadijaMzuri tafakari jibu lako kabla la kuliachia mtandaoni

  • @estherkibajiro3480
    @estherkibajiro3480 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona hii nyimbo imenisitua chango😭kwani makonda kafa au......Tanzania yangu jamani💔🇹🇿

    • @MartinaAgustino-fp5eo
      @MartinaAgustino-fp5eo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Apana sikiliza nyimbo vzr utaelew

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 หลายเดือนก่อน

      @@MartinaAgustino-fp5eo Amekurupuka ku comment😆😆

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wa dini na machifu tunawaomba muiombee nchi yetu amani itawale nnchini tz na afrika kwa ujumla.Na mumuombee kiongoz makonda popote alipo mungu ampesalama.tunawamben duazenu

  • @lucydaniel8304
    @lucydaniel8304 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba simama kwa hilii jmn naomba makonda aside baba❤

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj 2 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda ni mtetezi wetu sisi wanyonge yani wakijichanganya kuku poteza dam itamwagika

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tutabaki na Mpina😢😢likizo ya siku 28 sisi tunaesabu tu In Shaa Allah

  • @EliwadaKikoti
    @EliwadaKikoti 2 หลายเดือนก่อน

    Namkubali sana makonda hata akiongoza miaka elf awe rais swa tu

  • @juliusshelutete4871
    @juliusshelutete4871 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Mungu wewe wajua muinue Kwa upya mtetezi Wa wanyonge tunaonewa

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sijui kajificha wapi jaman watu wanalia

  • @PaclasLeo
    @PaclasLeo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Umri wangu mdg ila najifunza kupitia watu kama Hawa

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hao walinzi wa Kanisa walichanganyikiwa nini?. Badala ya kunusuru mtu wanasaidia kumua?. Poleni sana ndugu zetu.

  • @lucasmunyo8000
    @lucasmunyo8000 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona ungei watu wako Wanayao hamisha kia kuwa honesty

  • @WakrenoSimoni
    @WakrenoSimoni 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna taarifa ya kwamba makonda kafa kama zina ukweli julishen umma basi

  • @SamueltajiriKivuyo-pl9db
    @SamueltajiriKivuyo-pl9db 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa nimeupenda hii xana mungu awabariki nyote nimeinukaa tena mwamba niko fti sasa kwa mwenye kupostia hii video ajue niko na yeye daima napenda xana xana

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 2 หลายเดือนก่อน

      Vitu kma hivi wanafanya wenye akili baba yako hawez kuwa hapo. Kunahitajika kufikiri, kukariri na uthubutu.

  • @MagrethNjavike-hy2en
    @MagrethNjavike-hy2en 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda kama upo sema neno moja wenzio hatuna amani baba mwee jamani tunakupenda wenzio

  • @TravisNgondo
    @TravisNgondo 2 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli makonda kafa mmh, sijui nchi yetu hii, ukiwa mkweli ni shida,mmmmm!

  • @janerosambunju5670
    @janerosambunju5670 2 หลายเดือนก่อน

    Kweri

  • @MasanjaMagumba-r2c
    @MasanjaMagumba-r2c 2 หลายเดือนก่อน

    Inkwell mungu amulnde makonda

  • @MirandaThomas-n3v
    @MirandaThomas-n3v 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani msije mkasema kafa mbona tutachanaganyikiwa

  • @ZuuKijangwa
    @ZuuKijangwa 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman lumbukeni ss sote tunapita dunia hii tunamuitaji makonda salama ee mwenyez waukumu wote eanaousika kumficha uyu kiumbe chako makonda waukumu na uwambue

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 2 หลายเดือนก่อน

    Kama ni kweli aliefanya hivyo hatoboi hata!!! Mungu anaona

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t 2 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wezi hawawez kukuelewa.

  • @esthernchimbi593
    @esthernchimbi593 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli hao ni masetani mtu anajitahidi kufanya mazuri kwao ni tabu walaaniwe

  • @hamikamgaya2885
    @hamikamgaya2885 2 หลายเดือนก่อน

    Inauma Sana jamani

  • @dorismkongwe4140
    @dorismkongwe4140 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani aende wapi au jmn kunanini uwimbo wauchro hauna utukufu kwa Mungu .Kauwaje sasa.Ebu jmn Tumwite Mungu kwaajili yakesio nyimbo hapana

    • @modestapeter2997
      @modestapeter2997  2 หลายเดือนก่อน

      Aende mbele kwa jina la Bwana akapige kazi ndo maana ya wimbo huu

    • @antonychitara5707
      @antonychitara5707 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani utukufu unaonekana vipi ani???

    • @emes602
      @emes602 2 หลายเดือนก่อน

      Yan wameimba kimtegomtego tu

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 2 หลายเดือนก่อน

    Yani huyo Samia likuma kweli Lina laana

  • @lucypeter7804
    @lucypeter7804 2 หลายเดือนก่อน

    Mshindwe kwa jina la Yesu!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @VenasiaEmmanuel
    @VenasiaEmmanuel 2 หลายเดือนก่อน

    Sijui wanashindwa nanini kujulisha umma kuwa yupo.wanatuweka tu roho juu.nanyie waimbaji mbona siwaelewii

  • @bro.thobiassilas421
    @bro.thobiassilas421 2 หลายเดือนก่อน

    Yawezekana maana yeye pia ni binadamu kama wengine

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani makonda... Sielewi Hawa waimbaji

  • @babawawiltegamaso4367
    @babawawiltegamaso4367 2 หลายเดือนก่อน

    mimi kama mtanzania nauriza makonda yupo wapi kama amekufa kweli kunasiku mtasema tu na sikuhiyo mkitoa taarifa tutawakataa siku hiyo

  • @mollelyrebecah6840
    @mollelyrebecah6840 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani nikweli

  • @FilimoniSilo
    @FilimoniSilo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nikisikia jina magufuli naumia sana, pia aliyekuwa waziri wa ardhi kipindi hicho, maana sasa kesi za ardhi inatusumbua sana

  • @victorkalolo5350
    @victorkalolo5350 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ivi Kwan makonda kafa au mm sielewi

    • @floratarimo8772
      @floratarimo8772 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yani hii nyimbo,inawalakini.😔

    • @samwelandrew3852
      @samwelandrew3852 2 หลายเดือนก่อน

      Hatujui kwan hakuna taarifa rasmi

  • @AlfonceFilipo
    @AlfonceFilipo 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani hizo nyimbo mmm

  • @catherinechami5287
    @catherinechami5287 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika wa Tanzania tunakuitaji
    Upo wapi ongea kitu wewe ni Rais wetu ajae

  • @annamtapila5761
    @annamtapila5761 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani mbona mnatutusha Jamani?

  • @AllyKadege-on8zb
    @AllyKadege-on8zb 2 หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa makonda yuko wapi

  • @aidaharuna5549
    @aidaharuna5549 2 หลายเดือนก่อน

    I'll km mtamua makonda mjue mmetuua masikini wote Tanzania

  • @barakalukeha6184
    @barakalukeha6184 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba anayefahamu hii kwaya ni ya kanisa gani au kikundi gani anisaidie au ni ya watu walio andaliwa maalumu kwa kutuandaa kisaikolojia ili then ndio serikali itangaze tukio kama kweli tukio lipo?

  • @DaudiNasari-o9r
    @DaudiNasari-o9r 2 หลายเดือนก่อน

    Amujui kuandamana nyinyi

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona mwili wangu unajaa vipele vyauoga kwani kafa? EeMUNGU simama nawatanzania.

  • @ErickJeremiah-ww3ez
    @ErickJeremiah-ww3ez 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzuri mnoo, semaa aliewarekodia na Infinix kaharibu video

  • @seifntandala9137
    @seifntandala9137 2 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli kama makonda nae atakuwa amekufa kuanzia sasa sitakuwa na Imani na chama changu kwanini viongozi waadilifu ndio wafe?

  • @winfredkaroli5065
    @winfredkaroli5065 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kweli amekufa!!?

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 2 หลายเดือนก่อน

    Yani mnanichanganya mm kwani nani kasema makonda kafa jamani

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani huo ndiyo unaoitwa machawa yenyewe. Acheni kuchuria wenzenu. Lola mtu ataondoka kwa muda sahihi wa Mungu.

    • @HellenSulle-m7t
      @HellenSulle-m7t 2 หลายเดือนก่อน

      Jamani hawamaanishi kaga inamaana aende kupiga kazi kwa sana

  • @JumaKilalile
    @JumaKilalile 2 หลายเดือนก่อน

    Hatuelewi Makonda amekufa?

  • @PrinceMbwana-i5o
    @PrinceMbwana-i5o 2 หลายเดือนก่อน

    makondo MUNGU akulinde ameni ameni ameni

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 2 หลายเดือนก่อน

    Misiwaelewi..

  • @funnuelmwalukasa4506
    @funnuelmwalukasa4506 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda mkimpoteza Kwa kweli tutaandamana wanjonge tusipige kula muwe mnajichagua wenyewe Ili mmalizane

  • @ramadhaniomary7083
    @ramadhaniomary7083 2 หลายเดือนก่อน

    Mm mbona sielewi hii nyimbo ni ya nini

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ni nyimbo za uchonganishi na wala si kwamba ni kumuombea makonda, kuhani kwa njia ya maombi ni kudumu ktk maombi na siyo uchonganishi kama huu

    • @benardmagere-yu4pw
      @benardmagere-yu4pw 2 หลายเดือนก่อน

      Uchonganishi wa nini au nini ambacho huelewi

  • @selemannestory1694
    @selemannestory1694 2 หลายเดือนก่อน

    Kama makonda atapotea basi nyie watu wa CCM mjiandae

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t 2 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi bana dah!wanajidai hawatuelewi.

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile 2 หลายเดือนก่อน

    Ivi walioitwa wasiojulika ni akina nani? walikuwa wanatumwa na nani? kwa sasa wako wapi hao wasiojulikana? ni ngumu sana kuwajuwa inahitajika akili ya ziada, wanavaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali.

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 2 หลายเดือนก่อน

    Hawatuelew na wakija kugalagala kuomba kura na sie hatuwaelew kimyaa😅

  • @DanieliIbrahim
    @DanieliIbrahim 2 หลายเดือนก่อน +2

    Oyaa hii nyimbo cjaielewa kwani makonda yupo wapi jamani???????!!!

  • @NuruKanyenye
    @NuruKanyenye 2 หลายเดือนก่อน

    HII NDIO FISIEM MNAYOIKUMBATIA

  • @LenaMganda
    @LenaMganda 2 หลายเดือนก่อน

    Sielewi elewi kabisa!!!!

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa kitanzania wanataka viongozi wężi kama wao ndio utadumu

  • @edithlameck8170
    @edithlameck8170 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda wetu uko wapi jamani? Tuma hata meseji huko uliko kaka, sisi huku roho ziko juu juu

  • @jacksoncharles5411
    @jacksoncharles5411 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen ❤❤❤❤❤

  • @lawrence-xk1km
    @lawrence-xk1km 2 หลายเดือนก่อน

    Serikali si itamke neno

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 2 หลายเดือนก่อน

    Kama si kweli hawa wafungwe mwaka moja

    • @antonychitara5707
      @antonychitara5707 2 หลายเดือนก่อน

      Hacha uchawa, wao hawajaimba kafa,, ujumbe mkuu ni uongozi uliojaa Rushwa ndio chanzo cha yote hyo

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 2 หลายเดือนก่อน

      Najuchukia mtu ambae hawezi kujibu mtu kwa hoja, utasikia kila neno " UCHAWA" hilo neno limekaliliwa na wajinga wengi.

    • @antonychitara5707
      @antonychitara5707 2 หลายเดือนก่อน

      @@floraflora9490 hoja zipi unataka

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex 2 หลายเดือนก่อน

    Yupo hai

  • @henrychacha5592
    @henrychacha5592 2 หลายเดือนก่อน

    Jiandaeni kufungiwa muda SI mrefu

  • @erickkigugange5209
    @erickkigugange5209 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona siwaelewi??

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamuwaimbii walofariki kwenye mashindano ya pikipiki?Wanafiki.

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 2 หลายเดือนก่อน

    Viva bashite

  • @buchumiefremu5830
    @buchumiefremu5830 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda tunakutaka malamoja

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 2 หลายเดือนก่อน

    Nausikiliza huu wimbo huku machozi yakinitoka.

  • @vladiminlenin8883
    @vladiminlenin8883 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda hauko peke yako

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu mwenye familia, ndugu, jamaaa na marafiki, mwajiri, walinzi, anaosali nao, balozi wa nyumba kumi, na jamii inakuweje kuwa na tashwishi ya kutokuonekana? Amani yetu ifanyiwe utafiti kina Watanzania.

  • @FilimoniSilo
    @FilimoniSilo 2 หลายเดือนก่อน

    Waliokuwa na machungu na nchi wamebakia wawili au watatu tu maana alipoondoka magufuli nchi imeyumba sana,majaliwa, makonda mtupambanie sana

  • @noahemanuel7015
    @noahemanuel7015 2 หลายเดือนก่อน

    Wapumbavu hawa huu ni upuzi wa hali ya juu wamekosa kazi ya kufanya

    • @lucydaniel8304
      @lucydaniel8304 2 หลายเดือนก่อน

      Mpuuzi mwenyewe bwaaa mmoj

  • @josephwilliam4727
    @josephwilliam4727 2 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @MasanjaMagumba-r2c
    @MasanjaMagumba-r2c 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni ulimbukeni makonda bad yup

    • @samwelandrew3852
      @samwelandrew3852 2 หลายเดือนก่อน

      Hatujui lolote tunasubir taarifa rasmi

    • @antonychitara5707
      @antonychitara5707 2 หลายเดือนก่อน

      Hacha matuc,, kwani kasema makonda tembea ni makosa,,, wasikilze kwa makini husikulupke mwamba

  • @jamestocta3075
    @jamestocta3075 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mmeacha kumuimba BWANA na ukuu wake,,, mnamwimbia bin Adam

    • @samweli7985
      @samweli7985 2 หลายเดือนก่อน

      Niwatu wenye upendo nataifa lao, wanaliombea, pia nimaambatanisho yamaombi kwamungu kwaviongozi wanao wapenda, so nisahihi tu

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @joycekweka5416
    @joycekweka5416 2 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @MarthaZabron-v9b
    @MarthaZabron-v9b 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 2 หลายเดือนก่อน

    bora baba angu hayupo apo kwenye hii nyimbo mana ni upuuzi t

    • @antonychitara5707
      @antonychitara5707 2 หลายเดือนก่อน

      Hulazimishwi kuwaelewa ni chaguo la mtu kuwaelewa au ukaushe😮

  • @AllyKadege-on8zb
    @AllyKadege-on8zb 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 หลายเดือนก่อน

    Waache tu watafute sifa

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni unafiki kanisa 😢

  • @vicentjackson6538
    @vicentjackson6538 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 2 หลายเดือนก่อน

    Mpaka najiuliza MUNGU anawaona Hawa ccm ama sisi ndo mitazamo yetu iko hovyo juu ya ccm Mungu litazame hiili kwanini wajinga wanadum umeamua tuishie hivi