WHO ndo sources ya magojwa mengi duniani ,ndo wafanya biashara wazuri sana za afya za binadamu "problem creator pretend to be problem solver",tunakutengenezea ugojwa alaf tunakupa tiba ,ila serikali zetu bado zimelala na ujinga ndo unatutawala.
@@obestone1188we hujui kua tatizo la kujiondoa ni sababu ya Corona? Hao ndio walisababisha Trump kupigwa chini baada ya kukataa chanjo ya Corona na hao ndio wanaweka cansa mwenye vyakula sasahivi ili kuua watu
Wanajeshi wote wa marecan waliokataa kunywa chanjo covid 19 walifukuzwa ila trump kawaludisha. Hilo shilika linatumiwa na watu ambao wanaajenda ya kupunguza idadi ya watu duniani. @@obestone1188
Trump asibadiri msimamo haya mashirika ya kidunia hayana efficiciency wala mchango wowote kwa sasa .....kwa zamani yalikuwa na umuhimu mkubwa kwa sababu nchi nyingi duniani hasa hasa za Africa na bara la Asia zilikuwa duni sana lakini kwa sasa nchi zimeendelea yaani zimepiga hatua kiuchumi,teknolojia,viwanda n.k na bado haya mashirika yanakusanya pesa kwa kusingizia kutoa misaada instead wanajikuta na pesa nyingi wakila wenyewe na kuingia vishawishi vya kutekeleza agenda zingine(ambazo ni story nyingine)....hivyo basi kwa wenye akili timamu kama trump wameliona hilo na mimi napigilia msumari Trump kaza baba hakuna janja janja tena za hawa watu.....Naomba kuwasilisha!.
WHO imekuwa Shirika binafsi la kibiashara... Bill Gates owns 30/100 of the shares, by himself... Kazi zao ni kutengeneza magonjwa tu na kufanya biashara za matibabu na chanjo... Trump ameliona hilo! 😅😅
@@donking-d4tmazur yapi ww labd kufany afrika kam sehemu ya majaribio ya madawa yao.alf n ukumbuke hakuna misaada ya bure huo ulikuwa ni upotoshaji na uwongo wa hali ya juu.ukitak kuamin anza kufatilia ss kam WHO inafany kaz kweny mataifa matajili??
KWANINI mungu Ali WEZESHA mzungu kuwa na uwezo kuliko mu Africa kwann muafrika asiwe na uwezo ili amnyanyase mzungu? Mungu siyo mjinga Uki Fuatilia undani wa hospital kubwa hapa tz zipo mikononi mwa hao jamaa hivi wa Africa wanae hospital huko USA kweli??? Vionjo vya Majibu Toka kwako Mzee wa ikulu ni mahali patakatfu
@@OnesmoEphratambona mnakosa fikra, wazungu wamegandamiza mifumo mingi ya Africa, elimu, matibabu, vyakula vya kupanda, vyakula vya kuuza inchi zao, siasa, kuunda serikali, kila kitu toka ukoloni mpaka saii wanatumia system kututawala. Kiongozi yoyote atakae jaribu kuleta twasira nzuri Africa utaskia ni dictator
Kama huna hela Kwa sasa unakufa vyema kabisa serikali iingilie kati kuhusu dawa walau hata wa sample dawa za kijadi ili kuwe na uangalau wa bei poa za dawa TANZANIA ni yetu kuwe na future kubwa sana tusipende pesa
Kaz ya who ni kula rushwa ili ithibitishe dawa za makampuni ya wazungu mtu mweusi akigundua dawa akisema tu anatumiwa watu wanampiiga kansa anakufa kama dr seby hata hio HIV wanafaidika kama ingekua inawaumiza wangezisapot maabara kubwa za watafit wa madawa ila hawataki dawa ipatikane ili waendelee kufanya watakavyo
Hawez elewa akili ndogo huyo mana Trump kasema wazi kbs China inachangia dola million 39 wkt ina idadi ya watu 1.4 billion Marekani ina watu 325 million inachangia dola 500 million ansema hakuna usawa hapo anasema dunia imeifanya marekani shamba la bibi
😂😂😂kafanya vema kuwakomowa,hawawezi kubali marekani ijitowe vikao vitakuwa vingi ni hela nyingi inayo taka kupoteya kyenyeji hawata kubali,marekani kujiondowa.
UN ni takataka,Trump kupitia Marekani hawapati faida nyuma ya ushenzi shirika hilo kama kawaida yaliyoko nyuma ya pazia ya matumizi ya shirika hilo unaotendeka kupitia wadhamini wake.
Tutamkumbuka JPM alivyowaumbuaga WHO. Wenye akili Kama Trump na washauri wake walikuwa makini na sasa wanafanya maamuzi magumu. Tutajua mengi tuwe na subira tu
Bure uko ulipo ndgu ila ukweli ukiwa na mgonjwa Mzee , mma na mtto nenda hospital yyote hpa tz bila pesa mkononi atakufia unamuona kwa macho yko makavu
Hii dunia tuna ishi kivyake kila mutu ana hustle pekeake ili aishi maisha mazuli na anavyo taka ukiwa hufanyi kazi utakiona chamoto , Donald Trump kama namelewa hivi kila mtu adili na chsngamoto na maisha yake na kila Country idili na shida zake . Jaama tutakuja kumu elewa badae kama wew una penda kujipambania utampenda jaama ,sio tuletewe chanjo ambazo zinakuwa na ma gonjwa ndani yake hayo magonjwa yanakuja kuibuka mbeleni , mbona wazee wetu waliishi vizuli na miti shamba kulikuwepo magonjwa kibao mbona walipamvana sana mpaka waliazibiti sasa dunia yaleo tuna pangiwa na watu wachache ndo wanatupq madawa wanatulisha navitu vingi tuna pangiwa nawatu wasio zid hata 20 ukikataa una letewa zengwe Donald Trump yuko sawa
WHO....KISINGIZIO MAREKANI YEYE NANI HATUTAKI KUISIKIA MAREKANI..... WAZIRI WA UJERUMANI TULIA KIWALAMBE.....MBWA NYNYI MAGHARIBI..... TRUMP ATAKI KUICHANGIA HIYO WHO ....ACHENI KUKUMBATIA UMASIKINI
Eti yy ndio mwenye dunia, hemu sikiliza aya hiii. Ama ADI amestakabari katika ardhi na akasema ni nani mwenye nguvu kuliko sisi? Kwani haoni kua Allah ambaye amewaumba wao kua ndio mwenye nguvu zaidi ya wao, na wakawa ishara zetu wanazipinga.
@@Oldskulgemini9991NDUGU IZO AYA NI ZA KWELI KABISA NA KUFAHAMU HILO QUR AN IMESHUKA KARNE 14 ZILIZOPITA ILA MPKA HAINA KASORO HATA MOJA ILA ZAID BINAADAMU NI MBISHI SO TUTAONANA BAADA YA KUFA
Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondoka kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. Thanks wazungu wanatuchezea sana Afrika.
Hawa wabongo bhana hivi mnaelewa maana ya WHO na inamaana gani duniani Shule ,Maji ,Umeme Barabara zitushinda ni afya tutaweza acheni kukoment ujinga ..
Hivi east Africa inamahana gani kweli !!!! Hivi hii migogoro inayo pitikana huko Kongo kati ya rwanda na M23 kweli hivi mupo mupo tu, hayupo mzungu atakaye kuja kusuluhisha tofahuti na east Africa!!!! Vijay’s wanapoteza mahisha kwa vita vya kipumbavu tu!!!!
Huyubmwamba anajua anachokifanya , naamin anataka kuiweka dunia free mana tumefungwa na tuna aminishwa vitu ambavyo niuongo . Siku zingine watu wakiku chukia jua una kitu unawazidi napia wanaona utavuluga mipango yao alf wanaza kuku tengenezea kampeni ili waku angushe ira mngu niwa maajabu
@@agustinokimaro1483😅😅😅😅 china na urusi hawewez kujikwez kwny hilo alf kuhusu pesa wanazo z kuendesha hilo shirika kwa maana hilo shirika mpk ss ni sehem ya biashara za watu
Nani alikuambia wachina na warussi wanatoa Hela kwa mtu ? 😂😂😂 Thubutu hata mia hawatoi ni nchi zenye mchango mdogo sana kwenye hayo mashirika , Marekani ndio nchi inayotoa pesa nyingi, ikifuatiwa na nchi kadhaa za ulaya ,hata nchi tajiri za Kiarabu hazitoi pesa huko
Hakuna msaada, ukipewa kitu cha bure unalipa kwa namna nyingine. Serikali itafute pesa za ARVs. Yaani huwezi hata kuwapa watu wako ARVs halafu unajiita serikali.
Trump ni magufuliiii aliyefufukaaaa anayeishi marekani
Mungu atusaidie maana waafrika pia tuwe kitu kimoja
WHO ndo sources ya magojwa mengi duniani ,ndo wafanya biashara wazuri sana za afya za binadamu "problem creator pretend to be problem solver",tunakutengenezea ugojwa alaf tunakupa tiba ,ila serikali zetu bado zimelala na ujinga ndo unatutawala.
ni vizuri tu wao ndio wanaleta magonjwa
Una ushahid? Tup ushahid wa kuthibitish manen uako
@@obestone1188we hujui kua tatizo la kujiondoa ni sababu ya Corona? Hao ndio walisababisha Trump kupigwa chini baada ya kukataa chanjo ya Corona na hao ndio wanaweka cansa mwenye vyakula sasahivi ili kuua watu
@@obestone1188we naye huelewi nini sasa hapo wafrica bwana
Wewe ni wakala shetan mtachomwa vibaya sana@@obestone1188
Wanajeshi wote wa marecan waliokataa kunywa chanjo covid 19 walifukuzwa ila trump kawaludisha. Hilo shilika linatumiwa na watu ambao wanaajenda ya kupunguza idadi ya watu duniani.
@@obestone1188
Kazi nzuri trump
Tujiandae na maradhi makubwa kama marekani imejiondoa hapo kuna jambo linaandaliwa
bora ata ww umewaza kama mimi aisee
Kwani kunamtu arikuwa hajui kwamba Trup angeyafanya haya namateso ario yapitia mrikuwa mnategemeya nini baada yakumchagua namritaka kumuuwa
Si mnasemaga kuna urusi na china wakowapi sasa
Ajiondoe tu ili kila mtu apambane na nchi yake maan hil rishilika linatumika vibaya vibaya sana na nchi wanao zisimamia na kiwap fedha
Trump asibadiri msimamo haya mashirika ya kidunia hayana efficiciency wala mchango wowote kwa sasa .....kwa zamani yalikuwa na umuhimu mkubwa kwa sababu nchi nyingi duniani hasa hasa za Africa na bara la Asia zilikuwa duni sana lakini kwa sasa nchi zimeendelea yaani zimepiga hatua kiuchumi,teknolojia,viwanda n.k na bado haya mashirika yanakusanya pesa kwa kusingizia kutoa misaada instead wanajikuta na pesa nyingi wakila wenyewe na kuingia vishawishi vya kutekeleza agenda zingine(ambazo ni story nyingine)....hivyo basi kwa wenye akili timamu kama trump wameliona hilo na mimi napigilia msumari Trump kaza baba hakuna janja janja tena za hawa watu.....Naomba kuwasilisha!.
Vizuli sana Tramp anajuwa mengi,watengeneza ugonjwa WHO kutangaza ma amuzi yakijinga
WHO imekuwa Shirika binafsi la kibiashara... Bill Gates owns 30/100 of the shares, by himself... Kazi zao ni kutengeneza magonjwa tu na kufanya biashara za matibabu na chanjo... Trump ameliona hilo! 😅😅
Wafrica tengenezeni Dawa zenu tulizarau vya kwetu sasa tunaisoma namba MUNGU tusaidie
Bora watoke maana limekiwa likisambaza magonjwa kijanja na hii ni mpango ili wakubali matakwa ya mmarekani
Wanajiandaa kutengeneza magonjwa mengine
Na atanyoosha uyo mzee anamisimamo htr
WHO ni shirika la ovyo kwa Africa walituchosha na kufanya Africa kama panya wa majaribio
Mazuri yao ni mengi kuliko mabaya yao kwa africa,,,
@@donking-d4t
Onesha ulivyo pima
@@donking-d4tmazur yapi ww labd kufany afrika kam sehemu ya majaribio ya madawa yao.alf n ukumbuke hakuna misaada ya bure huo ulikuwa ni upotoshaji na uwongo wa hali ya juu.ukitak kuamin anza kufatilia ss kam WHO inafany kaz kweny mataifa matajili??
KWANINI mungu Ali WEZESHA mzungu kuwa na uwezo kuliko mu Africa kwann muafrika asiwe na uwezo ili amnyanyase mzungu? Mungu siyo mjinga Uki Fuatilia undani wa hospital kubwa hapa tz zipo mikononi mwa hao jamaa hivi wa Africa wanae hospital huko USA kweli??? Vionjo vya Majibu Toka kwako Mzee wa ikulu ni mahali patakatfu
@@OnesmoEphratambona mnakosa fikra, wazungu wamegandamiza mifumo mingi ya Africa, elimu, matibabu, vyakula vya kupanda, vyakula vya kuuza inchi zao, siasa, kuunda serikali, kila kitu toka ukoloni mpaka saii wanatumia system kututawala. Kiongozi yoyote atakae jaribu kuleta twasira nzuri Africa utaskia ni dictator
Afadhali hicho kitu nilikuwa nakitaka kila siku hili shirika ni NATO nyingine
Sawa tu kila nnchi iauwezo wakupambania dawazake kuiko kutoapesa watu wanakula na familiazao
Uwiii dawa za ukimwi tutapata wapi chanjo za watoto tutapata wapi
@@ZuhuraMarande-fl2zwTutafute😂😂. Mungu katupa kila kitu tuache kuwa ombaomba.
@ZuhuraMarande-fl2zw : mumeumbwa na akili, mikono, miguu, macho .....kwa nini dawa chakula.....mtegemee kupewa🤫🤫🤔🤔
Bibi yako alichanjwa??@@ZuhuraMarande-fl2zw
Mtegemea Cha Ndugu...
Wajiondoe tuu ili Africa tujifunze kujitegemea
Hio ndio imeisha
😂😂
Bora iwe hivyo ili Tanzania irudi kwenye miti shamba iliyodharauliwa kwa muda mrefu
Ajiondoe kbs ili mataifa yajitegemee ata miti shamba tutakunywa...Trump simamia hapo hapo
Kama huna hela Kwa sasa unakufa vyema kabisa serikali iingilie kati kuhusu dawa walau hata wa sample dawa za kijadi ili kuwe na uangalau wa bei poa za dawa TANZANIA ni yetu kuwe na future kubwa sana tusipende pesa
😂😂😂😂😂
WHO toeni hizo dawa za ukimwi unazo na sio kama simekoseka but coz mnataka kupiga hela hamuwezi toa.
Hawa dabiliuhechio ndio wanaleta maradhi yoteduniani!!!
Vita afya inataka kuanzishwa
Wanatutia imani potofu tu
Mama Samia Tanzania pia tujitoe
😂😂labda angekua Magu
😂😂labda angekua Magu
@israelmwasota Akuna mtu anae nufaika wananufaika viongozi wetu walafi Bora alivyo jitoa
Mm nataka wajiondoe na kwenye mashirika mengine
Kaz ya who ni kula rushwa ili ithibitishe dawa za makampuni ya wazungu mtu mweusi akigundua dawa akisema tu anatumiwa watu wanampiiga kansa anakufa kama dr seby hata hio HIV wanafaidika kama ingekua inawaumiza wangezisapot maabara kubwa za watafit wa madawa ila hawataki dawa ipatikane ili waendelee kufanya watakavyo
N funzo,msijisahau waafrica,jitafuteni wenyewe
TRUMP GUSA ACHIA TWENDE KAZI🎉🎉🎉❤
Trump inatakiwa awape funzo viongozi wa africa maana wamezoea kuomba
Dunia haimtegemei Marekani
Fikiria mara mbili jombaa
Waafrika tutakoma . Hospital zitakuwa na bei kama hotel zakitalii
Sema utakoma ww
Mpaka waseme
Hao ndio marekani wauwaji namba moja duniani ukiina jambo wanalivaa ujue wana maslahi nalo
Ume Elewa mada au unakurupuka tu!?
Hawez elewa akili ndogo huyo mana Trump kasema wazi kbs China inachangia dola million 39 wkt ina idadi ya watu 1.4 billion Marekani ina watu 325 million inachangia dola 500 million ansema hakuna usawa hapo anasema dunia imeifanya marekani shamba la bibi
who wa hovyo sana, ni wahuni, waliikubari covid19 na kupendekeza lockdown
😂Hivi kweli MamaTz atapata mwaliko huko kwa Trump
Sisi hatutak ata huo mualiko tunatak msimamo huo huo wa trump ili tujitegemee miti shamba ipo tutakunywa na sisi ni tajir labda wakenya
Nilisema huyu atanyoosha wangese wote
Ubaya ubwela umeanza kufanya kazi kwa upande wa WHO😂😂
Hawa WHO na sera yao ya population control acha kiwalambe kwanza
Huyu jamaa nilishamuelewa kitambo toka alivyo Rais USA 🇺🇸
😂😂😂kafanya vema kuwakomowa,hawawezi kubali marekani ijitowe vikao vitakuwa vingi ni hela nyingi inayo taka kupoteya kyenyeji hawata kubali,marekani kujiondowa.
Watakula wapi sasa kama sio WHO?
Kiumbe kaingia lazima dunia ipige kelele tu
Arv waziache watu wasife
au ndo watakufa kwa kukosa hizo arv
Who ni shirika la wapigaji tu wala hawashughuliki na majanga ila kazi yao ni kututengenezea magonjwa ili wapige pesa waizi tu wacha kiwarambe
UN ni takataka,Trump kupitia Marekani hawapati faida nyuma ya ushenzi shirika hilo kama kawaida yaliyoko nyuma ya pazia ya matumizi ya shirika hilo unaotendeka kupitia wadhamini wake.
Tutamkumbuka JPM alivyowaumbuaga WHO. Wenye akili Kama Trump na washauri wake walikuwa makini na sasa wanafanya maamuzi magumu. Tutajua mengi tuwe na subira tu
NCHI ZA KIAFRICA ZITATESEKA MNO HIZO HUDUMA ZA WANAWAKE WATOTO NA WAZEE ZA BURE NDIO MWISHO MAANA MAREKANI NI TEGEMEWA MNO
Nani ka kwambia kua hizo huduma zina tolewa bure?@@WilbertMalula-vv7ml
Bure uko ulipo ndgu ila ukweli ukiwa na mgonjwa Mzee , mma na mtto nenda hospital yyote hpa tz bila pesa mkononi atakufia unamuona kwa macho yko makavu
@@WilbertMalula-vv7mllabda dawa za makali ya ukimwi itakua ndo basi
@tujifunze kujitegemea na malisetu tuache ujinga kuteseka kupotuu ata tukiwategemeaWilbertMalula-vv7ml
Utaskia mtu anasema Arv kwani Tanzania haina uwezo wakutengeneza izo Arv tena ni fursa wauze nanchi jirani watanunuatuu
Piga wimbo wa afande sele
Inawezekana kuishi bila marekani
Kila mtu apambane na Hali yake
Bado NATO japo ni ngumu kujitoa
Mama nayy asome hapa..na SS twende Sawa
Marekani anatoa Hela who wewe mtanzania unapokea kutoka who.
😂😂😂😂 wabongo wajinga sana awajui Chochote @@WireTv7
Hii dunia tuna ishi kivyake kila mutu ana hustle pekeake ili aishi maisha mazuli na anavyo taka ukiwa hufanyi kazi utakiona chamoto , Donald Trump kama namelewa hivi kila mtu adili na chsngamoto na maisha yake na kila Country idili na shida zake . Jaama tutakuja kumu elewa badae kama wew una penda kujipambania utampenda jaama ,sio tuletewe chanjo ambazo zinakuwa na ma gonjwa ndani yake hayo magonjwa yanakuja kuibuka mbeleni , mbona wazee wetu waliishi vizuli na miti shamba kulikuwepo magonjwa kibao mbona walipamvana sana mpaka waliazibiti sasa dunia yaleo tuna pangiwa na watu wachache ndo wanatupq madawa wanatulisha navitu vingi tuna pangiwa nawatu wasio zid hata 20 ukikataa una letewa zengwe Donald Trump yuko sawa
Afadhali hili genge nalo liondike tuu
MAGA
Trump kanyaga shingo bado wanapumua. Hawa watu waliticheza sana na chanjo zao za covid na lockdown😂😂😂
WHO....KISINGIZIO MAREKANI YEYE NANI HATUTAKI KUISIKIA MAREKANI..... WAZIRI WA UJERUMANI TULIA KIWALAMBE.....MBWA NYNYI MAGHARIBI..... TRUMP ATAKI KUICHANGIA HIYO WHO ....ACHENI KUKUMBATIA UMASIKINI
Eti yy ndio mwenye dunia, hemu sikiliza aya hiii.
Ama ADI amestakabari katika ardhi na akasema ni nani mwenye nguvu kuliko sisi? Kwani haoni kua Allah ambaye amewaumba wao kua ndio mwenye nguvu zaidi ya wao, na wakawa ishara zetu wanazipinga.
We endelea mwamba unaleta hadithi za vitabu vya kale wenzako wanaleta uhalisia wa sasa
Huyo Allah unamjua wewe,
Mjomba ndugu zako huko ndio wahanga wakuu we leta tu story hapa
@@Oldskulgemini9991NDUGU IZO AYA NI ZA KWELI KABISA NA KUFAHAMU HILO QUR AN IMESHUKA KARNE 14 ZILIZOPITA ILA MPKA HAINA KASORO HATA MOJA
ILA ZAID BINAADAMU NI MBISHI SO TUTAONANA BAADA YA KUFA
@@vincentcharles4385ndio anamjuwa na ww Iko siku utamjuwa big
trump ananyoosha jaman🙆🏻♀️
Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondoka kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. Thanks wazungu wanatuchezea sana Afrika.
Lengo ni kupunguza watu duniani kwa kasi ili watawale hii dunia
Watengenezaji na wasambazaji wa chanzo duniani
Hawa wabongo bhana hivi mnaelewa maana ya WHO na inamaana gani duniani Shule ,Maji ,Umeme Barabara zitushinda ni afya tutaweza acheni kukoment ujinga ..
Zinatushinda kwasababu ya viongozi. Tumgekuwa serrious kujitolea kujenga hivyo vitu sisi wenyewe tusingewategemea sana
Hivi east Africa inamahana gani kweli !!!! Hivi hii migogoro inayo pitikana huko Kongo kati ya rwanda na M23 kweli hivi mupo mupo tu, hayupo mzungu atakaye kuja kusuluhisha tofahuti na east Africa!!!! Vijay’s wanapoteza mahisha kwa vita vya kipumbavu tu!!!!
Sisi wabongo hayatuhusu. Kila mtu ahangaike na nchi yake
Bado wata juta sana sisi kama raia wa USA tuna unga mkono Raisi Trump
Arv zitatoka wapi tena
Huyubmwamba anajua anachokifanya , naamin anataka kuiweka dunia free mana tumefungwa na tuna aminishwa vitu ambavyo niuongo . Siku zingine watu wakiku chukia jua una kitu unawazidi napia wanaona utavuluga mipango yao alf wanaza kuku tengenezea kampeni ili waku angushe ira mngu niwa maajabu
Huyo muertria mwizi tu katoka africa anajifanya nzungu hovyo😅😅
Bongo bahati mbaya hauwezi elewa
Wategemehe china 😂 na urusi 😂
Nakubaliana na wewe 100,,china wachukue Ilo jukum au urusi tuona kama hawajaanguka kiuchumi
@@agustinokimaro1483😅😅😅😅 china na urusi hawewez kujikwez kwny hilo alf kuhusu pesa wanazo z kuendesha hilo shirika kwa maana hilo shirika mpk ss ni sehem ya biashara za watu
Nani alikuambia wachina na warussi wanatoa Hela kwa mtu ? 😂😂😂 Thubutu hata mia hawatoi ni nchi zenye mchango mdogo sana kwenye hayo mashirika , Marekani ndio nchi inayotoa pesa nyingi, ikifuatiwa na nchi kadhaa za ulaya ,hata nchi tajiri za Kiarabu hazitoi pesa huko
@ watajijua wenyewe sisi wa merekani tunachotaka ni kujiondoa basi
Hamjui kama pesa za marekani ndo zinawafanya hadi nyie watanzania mnapewa misada ya madawa bure kama ARV nk
How did you know kama dawa serikali inapewa bure,,,amka mwafrika
Je unajua lengo la msaada huo? Tanzanian inajiweza kwa mambo mengi tu
Hakuna msaada, ukipewa kitu cha bure unalipa kwa namna nyingine. Serikali itafute pesa za ARVs. Yaani huwezi hata kuwapa watu wako ARVs halafu unajiita serikali.
Kila mtu anunue naela yake
Wajinga wanasikitka laki. Wao hawana uwezo wowote