Donald trump 👏👏🤝🤝 naomba wasitume misaada wowote, misaada mingi inaishia kwa viongozi flani na jamii zengine.serikali na sector zake ziwajibike na ushuru tunaotoa.
Safi sana maana viongozi wa Afrika walizidi ulemavu. Kutwa kucha misaada misaada misaada wakati Mungu katupa kila kitu. Nchi kama Tanzania kilimo kikitumika vizuri tu inatosha nchi kujitegemea. Hapa bado hatujagusa fursa na raslimali nyingine. Viongozi wa Afrika tatizo ulemavu wa kufikiri umezidi.
@@fahdihasnuu9034Hao waliokomaa mbona hawajatusaidia tutoke kwenye utegemezi hadi leo? Eti hadi chanjo zetu zinatoka kwa Bill Gates. Kwahiyo Bill Gates akikataa kutupatia chanjo watoto wetu watakufa kwa surua. Tunachekesha kwa kweli. Huu utegemezi ni wa viwango vya juu sana
Hii naona safi sana,, Ili sasa tujitegemee,, maana tuwe na misimamo,, na wakitaka kurudisha na sisi tutoe mashariti yetu,, mabomu ni yao Acha tutaishi nayo waache vitisho.
Marais wa afrika wa amke sasa.wajifunze kujitegemea na siyo kukopa kopa ovyo ,....Safi sana unakuta raisi wa nchi yenye vyanzo vingi vya mapato anaachia wahujumu uchumi , lakini yeye ankimbizana na mikopo na Safari zisizo na maana 😢 Mimi binafsi nampongeza raisi wa marekani Safi sana,,
Safi sana wakome mana wanakula pesa za kodi za maskini kisha wanaomba misaada haya kila mbuzi ale na urefu wa kamba yake Magufuli alikua hayumbishwi na Wamarekani lkn saiv pazito Tz na kampeni hii mutalipa makodi ata sio alimradi watu wapige pesa zaidi poleni sana
trump Mungu amrinde unatoaje misada wakati watu marekani hawana makazi, hali mbaya kwa watu mtaani. yupo sahihi, niwakati wa kuijenga marekani, kurudisha uchumi na kuwa taifa kubwa duniani. mnamlaumu marekani mbona china hamsemi kitu.. mchina akikupa ela ni mkopo. tumpe muda ajenge mifumo thabiti ya uchumi usiotetereka wa taifa lake
Yani nafurah saana kusikia ivyo Yani viongoz wetu wanaingia mikataba mibovu inayo walenga wao tu sio wananchi nakufanya tunabakia omba omba Sasa marekani kufanya ivyo ni vzr kila nchi ianze kuishi kutumia marighafi zao na itafanya tuwe na akil usipende misaada inalemaza akili Sana
@norahmariwa8649 kweli Yani Mana tunaamin misaada kuliko kutumia lasilimali zetu vizur na kuanza kujenga nchi zetu na kuwafanya wananchi waache kuwaza wao hawawezi kuishi bila kuomba
Ni sawa.Maana tunalalamikia wazungu sio wema,hawatupendi blah bla huku tunategemea misaada.Hebu tupambane na tuache kushindana na nchi zilizoendelea.Tuendana na kasi na hali zetu
😂 *Nyie shangilieni bila kufikilia kama tunapewa misaada lakini tozo zinakaribia kuuwa watui Je, misaada ikizuiliwa unazani tozo zitakuwa namna gani!?.. Kwasasa tu watu wanatoa macho, ngoja muone yatakayojili mtaanza kuomba misaada irudi nyinyi wenyewe* 😂😂😂
Safiiii sana,go Trump 🔥💪 Kila mmoja ajitafute shenzi kabisa watu Hela wanachezea halafu wanategemea misaada Ht us walipata viongozi wazalendo wakajenga nchi
Kipand Cha general Magufuli tulivuka Kwa kishndo xo cjui Kwa sasa itakuaje maana general Magufuli alitangaza kabxa kua vita ya uchumi n ngum Lakn Cha ajabu ccm wanatuletea mapambio vitan wakat wao ndio wapo na funguo za bohar ya siraha wanaacha kumchagua general imara kama Makonda aweze kuwakabia Kwa juu wao wanatuletea mtawala vitan hakuna kupaka wanja
Bora waache tu hiyo misaada tupambane wenyewe. Misaada yenyewe inakuja na masharti ya kipuuzi, ndio mana Magu alikuwa anawachamba tu na alikuwa haendi kwao 😅 msukuma alikuwa nunda, masikini jeuri 😂 RIP 🙏
Yaan ayo ndo mambo ninayopenda kuyaskia nch za africa mmelala sana kwakutegemea msaada tutafanya kaz kwa bidiii tutalima wenyew tutakua kifikra pia nimefurah sana😅😅😅
😂😂😂😂mtemegea cha ndugu hufa maskini Afrika oyeeeee safiiii tutaziona elimu za maraisi na mawaziri kama Tanzania tuna mafrofesa tuone watume elimu zao kuendesha nchi
Huu ndio upumbavu ambao kuna mtu mwenye akili zake aliukataa sekta ya muhimu kama kilimo kweli mnategemea wafadhili huu ndio upumbavu!!! Safi sana trump
Safi sana kila nchi ipambane na hali zake
😂😂😂
Iran itatoa misada
@ShijaNshunju-s4z kaka hutuwezi kuishi kwa kutegemea misaada
@HajiKlein-so1rk ww na mm haishi kwa misada wajanja wachache madalakan kama malekan wamekataa wapewe na ilan
Awa ma president wa Africa wapambane na ali zao✊️✊️ good job Trump 🤝🤝🤝
Donald trump 👏👏🤝🤝 naomba wasitume misaada wowote, misaada mingi inaishia kwa viongozi flani na jamii zengine.serikali na sector zake ziwajibike na ushuru tunaotoa.
fact..upo vzr
Asante Sana mzee Trump watamkumbuka magufuli na Sera yake ya kujitegemea wenyewe Amina baba trump
Mno! Aliwaambia lakini hawakujali
Hii ni advantage kwa viongozi wenye maono kama traore inatoa fursa ya kujifunza na kuimarisha uwezo wa kujitegemea.
Uhakika
Safi sana hapa anapona Traore wa Burkina Faso pia akili zitaamka kwa waafrika
Moja ya silaha kubwa ni sanction.,ni powerful sana we must fight for our own💪
Safi sana maana viongozi wa Afrika walizidi ulemavu. Kutwa kucha misaada misaada misaada wakati Mungu katupa kila kitu. Nchi kama Tanzania kilimo kikitumika vizuri tu inatosha nchi kujitegemea. Hapa bado hatujagusa fursa na raslimali nyingine. Viongozi wa Afrika tatizo ulemavu wa kufikiri umezidi.
Hujakomaa ndio maana unaongelea uchumi kwa maneno laini
@@fahdihasnuu9034Hao waliokomaa mbona hawajatusaidia tutoke kwenye utegemezi hadi leo? Eti hadi chanjo zetu zinatoka kwa Bill Gates. Kwahiyo Bill Gates akikataa kutupatia chanjo watoto wetu watakufa kwa surua. Tunachekesha kwa kweli. Huu utegemezi ni wa viwango vya juu sana
@@fahdihasnuu9034traore amewezaje kufuta hadi deni la taifa na kufanya maendeleo ya nchi tena kwa muda mfupi?
safi sana tunapewa misaada mingi yote tunaingiza kwenye acount za vigogo saaa wakazitoe zirudi mahala husika
Hii naona safi sana,,
Ili sasa tujitegemee,, maana tuwe na misimamo,, na wakitaka kurudisha na sisi tutoe mashariti yetu,, mabomu ni yao Acha tutaishi nayo waache vitisho.
Huuu ndio ulikuwa muda sahihi wa makufuli
Kabisa kwanza angekuwepo angekataa mapema kabla ya wao
Magufuli pia alikopa
Aiseee, nazidi kuumia kwa kutokuwepo mwamba JPM,
@@HalfanHemedi-r8z Mokopo na Msada vipo sawa kwani
@@HalfanHemedi-r8z hz akili zako tope kabisa kuna tofauti ya msaada na kukopa
Me naona safi tuuu,,
Maana JPM alitujenga vizuri tu,, ila basiii tu
Ngoja tuone 2025 na 2030,
Alijenga barabara na vibao unakuta ni ufadhili hakuna nafuu bhana asikuambie mtu mwanangu
Jpm mwenyewe alikopa
@@YothamuMadinda Magufuli hakuzuia misaada kuja tz. Misaada iliendelea kuwepo tu hata wakati wa kipindi chake
@@rumdeesonsoa1811lakini sio Sana, wamaghalibi hawakumpenda Kwa siasa zake na alikuwa anatuambia tujitegemee tusipende misaada
@@maureenlilykiwia1515lakini alijua haya yanaweza tokea alitilia mkazo kujitegemea kiuchumi
SAFI SANAAAAA LAZIMA TUWATAFUTE WAKINA IBRAHIM TRAORE #burkinafaso 🇧🇫 , ASIMI GOITA #mali 🇧🇴 , BRAHMAN CHIANI NIGER 🇳🇪... KWANI WENYEWE DENI ZAO ZILIKWISHA JE...???? TRUMP YUPO SAHIHI
Tutumie vizuri kodi tunazo kusanya
Ukiacha kodi, rasilimali zilizopo Africa zikisimamiwa vizuri hatuna aja na misaada.
Hii nimeipenda na nilitaka misaada isije kabisa ili kila mtu afe na chake
Hahaaaaa😂
Marais wa afrika wa amke sasa.wajifunze kujitegemea na siyo kukopa kopa ovyo ,....Safi sana unakuta raisi wa nchi yenye vyanzo vingi vya mapato anaachia wahujumu uchumi , lakini yeye ankimbizana na mikopo na Safari zisizo na maana 😢 Mimi binafsi nampongeza raisi wa marekani Safi sana,,
Safi sana wakome mana wanakula pesa za kodi za maskini kisha wanaomba misaada haya kila mbuzi ale na urefu wa kamba yake Magufuli alikua hayumbishwi na Wamarekani lkn saiv pazito Tz na kampeni hii mutalipa makodi ata sio alimradi watu wapige pesa zaidi poleni sana
@@zuleikhakhamis3303 alipewa misaada sana tu barabara zinajengwa wanasema kodi pesa zetu. Vibao vimeandikwa world bank kha hakuna nani wala nani acha tupambane tujue rasilimali zetu zinafanya nini
Asante
Asante sanaaa
Naunga mkono hoja !
Safi❤
It's about time 👍👌💯
Hii ni nzuri sana na sisi afrika tujitegemee na hili Magufuri alilipinga sana enzi za uhai wake
Asilimia 70 ya kinacho endelea duniani . Mmiriki ni mmarekani hata ukibisha huo ndio ukwer
Yeah watu so wakidhani mchina na mrusi ndio the great cheki picha hili Sasa ndio linaanza
Ni kweli
@@Mahene-w1lmrusi ana vifaa vya vita tu hana kitu kingine mbona, amewekeza kwenye jeshi tu sana sana
Kilainji ijitegemee👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍
His aim is to make America great again . Good job . USA iko na watu wengine hawana makaazi na walala njaa sana. Wawasaidie ndio wake kusaidia wengine.
trump Mungu amrinde
unatoaje misada wakati watu marekani hawana makazi, hali mbaya kwa watu mtaani. yupo sahihi, niwakati wa kuijenga marekani, kurudisha uchumi na kuwa taifa kubwa duniani. mnamlaumu marekani mbona china hamsemi kitu.. mchina akikupa ela ni mkopo. tumpe muda ajenge mifumo thabiti ya uchumi usiotetereka wa taifa lake
Point kubwa mdogo wangu
sisi Tz 🇹🇿 bado tunaendelea kuwapa madini yetu sisi wapuuzi majuha 🤣🤣
😂🤣😂🤣🤣
Viongozi hwana passion na nchi yao wao nikupiga tuu mpaka mseme
Mnawapa au wanachumba kwa mikataba?
Mie nmefurahi tupambane na hali yetu😂😂😂
Tukose tu wote au sio 😂
Tanzania inajiweza kwa kila kitu ni Raisi apate washauri wazuri tu Tanzania ni nchi tajiri ni jambo la kujitambua na viongozi kupunguza ulafi tutafika
Bora Mama na kasongo wapunguze safari za kwenda marekani
Safiiii sanaaaaa Rais Trumpo 😅😅😅
Tunaombaje na mungu katupa kila kitu viongozinwachangamke xx
Trump anafaa sana😂😂 wapenda mserereko kwisha 😅😅
😂
Safi sana trump bado wanapumua piga kwenye heads zao 😂😂😂😂
Trum isn’t playing this time around 👏
Ndiyomjuwe umuhimuwa Amerika, China ,Urusi hawanauwezo wakufadhili
Nikwel
Yani nafurah saana kusikia ivyo Yani viongoz wetu wanaingia mikataba mibovu inayo walenga wao tu sio wananchi nakufanya tunabakia omba omba Sasa marekani kufanya ivyo ni vzr kila nchi ianze kuishi kutumia marighafi zao na itafanya tuwe na akil usipende misaada inalemaza akili Sana
Ukweli kabisa naungana na wewe., tuzinduke kutoka usingizini tuzalishe vya kwetu
@norahmariwa8649 kweli Yani Mana tunaamin misaada kuliko kutumia lasilimali zetu vizur na kuanza kujenga nchi zetu na kuwafanya wananchi waache kuwaza wao hawawezi kuishi bila kuomba
Vzurii sanaa tujitegemee
Trump uko sahihi kabisa majitu yanaacha rasilimali na utajiri mkubwa kucha kutwa yanaomba, ujinga gani huo, funga misaada
Dah! Hiyo inaitwa mtumai cha ndugu hufa.................
Safi Sanaa ili tusibweteke
Naona Trump ni mzee wa spana kama Makonda😂😂😂😂😂😂
Africa ni tajiri, haitaji msaada toka nje. Am with Trump 💯👌
Tumezaliwa kupambana na hali zetu na so kupambaniwa kila wakati na bila matokeo yoyote ahsante sana Donald trump ❤❤😂😂😂
Bora misaada ikome yote
Wale Kwa Hisani ya Watu wa Marekani, Wanaojilia Kuku..😂😂😂😂
Sisi wananchi wa Tanzania nimefurahi sana
asante mkuu wangu jembe l jembe
Big up Trump ... Usiwape kbs ... Maana wengi wanazitumia kwa manufaa yaoo wenyewe
Ni sawa.Maana tunalalamikia wazungu sio wema,hawatupendi blah bla huku tunategemea misaada.Hebu tupambane na tuache kushindana na nchi zilizoendelea.Tuendana na kasi na hali zetu
Safi sana
Good
Safi sanaa america Africa wamezidi kuwa omba omba uku pesa nyingi zingiia mifukoni mwa mafisadi
Yani kusitishwa leo tu na kuathilika leo kweli tuna safari ndefu ya kwenda tunahitaji viongozi wathubutu kama Thomas Sankara Ibrahim traore
Mungu akupee afya njema raisi uzidi kutenga vitu kama hivi
Safi saana hakuna dezo manaake misaada kama hii inaibiwa wala haifiki kwa walengwa kila mtu apambane na hali yake
Ndo mazara ya kutengemea misaada siku ikikata watu wanateseka
mtegemea chandugu/chakupewa hufa masikini, tuamke waafrika
@MahdouMomba kabisa kaka 🇹🇿🇹🇿🏆
Kwn kipindi Mh. Magufuli yupo hai tulkua tunapewa misahada.?
Hii imekaa poa, machawa wapungue😂😂
Safi sana.
Mazezeta pekee ndio hutanguliza kutegemea misaada zaidi kuliko kufanya kazi.
Bora waondoe misaada yote na isio na manufaa yyte
Hii iendelee sisi ni dhaifu na misaada inatudhoofisha zaidi. Trump anatuamsha
😂 *Nyie shangilieni bila kufikilia kama tunapewa misaada lakini tozo zinakaribia kuuwa watui Je, misaada ikizuiliwa unazani tozo zitakuwa namna gani!?.. Kwasasa tu watu wanatoa macho, ngoja muone yatakayojili mtaanza kuomba misaada irudi nyinyi wenyewe* 😂😂😂
Nimefurahi sana naomba azingatie zaidi kukata afrika hasa tanzania
Ibrahim Traore
For 2yrs cleared balance to zero
Aksante sana
Vizuri sana
Hata kenya kutakua na shida .....kasongo sasa sijui atafanya nini
Sasa kila nchi ijitegemee😂😂😂😂😂 ndio tujuwe Tax inaenda wapi maana pesa za misaada sio kazi inayofanyiwa
Omba omba County 😂😂 vipiiiiii hapooooooooo 😂😂😂 piga spana hapo
Safi sana ndiyo tutapata akili ya kujutegemea
Safiiii sana,go Trump 🔥💪
Kila mmoja ajitafute shenzi kabisa watu Hela wanachezea halafu wanategemea misaada
Ht us walipata viongozi wazalendo wakajenga nchi
Hapa Mimi mwenye ukimwi nimeisha😂
Kweli kwisha habar yako
Tuna watanzania wamesoma PHD kwenye kilimo hao hawawezi kufanya utafiti mpaka Marekani?
Hiyo miradi walikuwa wanajipatia kwa kujuana... Pole yao lakini... Maisha bila kufanya kazi ya maana ni magumu sana
Safari zitapungua kwa viongozi wetu wa afrika hasa kasongo na Mama kwenda marekani
sisi watanganyika tunaona ni fresh
Viongozi wa tz acheni kukopa mapesa ya wazungu tutafuteni vya kwetu
Kwa wenye akili endelevu hii ni habari njema kabisa
Kipand Cha general Magufuli tulivuka Kwa kishndo xo cjui Kwa sasa itakuaje maana general Magufuli alitangaza kabxa kua vita ya uchumi n ngum Lakn Cha ajabu ccm wanatuletea mapambio vitan wakat wao ndio wapo na funguo za bohar ya siraha wanaacha kumchagua general imara kama Makonda aweze kuwakabia Kwa juu wao wanatuletea mtawala vitan hakuna kupaka wanja
Trump wa moto sana safari hii
Naiona kodi ya kichwa ile inakuja ,nijiandae kukimbilia mlimani 😂
😂😂😂😂😂
Bora waache tu hiyo misaada tupambane wenyewe. Misaada yenyewe inakuja na masharti ya kipuuzi, ndio mana Magu alikuwa anawachamba tu na alikuwa haendi kwao 😅 msukuma alikuwa nunda, masikini jeuri 😂 RIP 🙏
Namkubali sana jpm RIP
Bora tupambane na hali zetu
Yaan ayo ndo mambo ninayopenda kuyaskia nch za africa mmelala sana kwakutegemea msaada tutafanya kaz kwa bidiii tutalima wenyew tutakua kifikra pia nimefurah sana😅😅😅
Saf trump
Bado mwaka ni siku tano tu tayari majanga yanahanza Mungu watu wako wanahangamia kwa ukosefu wa ubunifu.
Afrika ina Mali na Rasilimali nyingi kuliko Falme za kiarabu.. Viongozi wa Afrika wanawaongoza wafu😂😂😂😂
😂😂😂😂mtemegea cha ndugu hufa maskini Afrika oyeeeee safiiii tutaziona elimu za maraisi na mawaziri kama Tanzania tuna mafrofesa tuone watume elimu zao kuendesha nchi
Ivi sisi kama nchi tuna akili kweli?.
Yaana tunategemea marekani. Bora kabisa maana imeonyesha udhaifu wa sisi kama nchi
Nilazima tujifunze kujitegemea 😂😂
Watu wajitegemee... viongozi wetu walizoea vibaya ...KAZI ni kuomba omba nchi za nje wakati ushuru tunatoa ...KAZI ni ufisadi tu
Kasongo na Mama Sasa hivi safari za kwenda marekani zitakata😂
@paschalcharles3617 walikuwa wamezoea Sana...
Hapa ndo mtamkumbuka magufuli kwanini alisema tujitegemee 😢
Urus na Chinai zitajitanua sana duniani
😅😅😅 kila mtu na akili zake
Kwani mwanzo walizuiwa na nani? 😂😂😂
Tunaomba kikao na Trump tumwambie ukweli wote 😂😂😂😂
Jitu kama mwigulu linanganganiaga utalisikia mikopo nafuu mamae
Huu ndio upumbavu ambao kuna mtu mwenye akili zake aliukataa sekta ya muhimu kama kilimo kweli mnategemea wafadhili huu ndio upumbavu!!! Safi sana trump
Ombo omba County 😂😂😂 milio mingiiiii
So kila siku munasifu china basi sahi achukue hiyo nafasi 😂😂
Hana huo uwezo
Vile tulikua tunamjukia marekani
anayefurahia kuzuiliwa kwa misaada yuko timamu?
Kwaiyo wewe bado unaamin katika kusaidiwa