TRUMP: TUTAKUWA NA JINSIA MBILI TU MAREKANI, RUSSIA YATOA KAULI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Moscow. Uamuzi wa Rais wa Marekani kutangaza kuwa kuanzia sasa Marekani kutakuwa na Jinsia mbili pekee ambazo ni mwanamke na mwanamme, umeliibua taifa la Russia.
Trump alitangaza uamuzi wa kuwepo jinsia mbili pekee nchini Marekani, juzi Jumatatu Januari 20,2025, muda mfupi baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 47 wa taifa hilo huku akisema lengo lake ni kuondoa kinachoitwa utofauti wa kijinsia kwa alichodai Mungu aliumba jinsia mbili pekee.
Trump pia amesaini masharti ya kuondoa aina nyingine za jinsia zilizoibuka nchini humo na kuwaondolea kinga watakaobainika kuwa wamebadilisha jinsia nchini humo.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova, wakati umefika wa kuwakomesha na kukomesha vitendo vinavyoitwa uwepo wa jinsia mbalimbali uliotangazwa kwa miaka kadhaa ulimwenguni.
Imeandaliwa na Mgongo Kaitira
Kabisa haki !jinsia moja ambao mungu anajua ni mbili peke .mungu akuhifadhi kwa kuondoa hio maneno
Ombi langu mungu amelisikia asante yesu sasa mr.trampo chapa kazi tata..
Mungu ambariki sana Riis wa awamu hii teketeza uovu huu. Mmbaya mashoga na waliokubali ushoga wateketer wote ni Mungu anawaangamiza.
Kweli uo ni upumbafu bora likomeshwe ilo swara la kubadili jinsia fanya kazi tramp mungu akusimamie
Barikiwa sana mteule wa MUNGU.
Wanatakiwa wale woote wanaokataa kupingwa kwa trump wanao kuwa na mahusiano ya jinsi moja pengine nawao inaweza kuwa nawao wapo kwenye mahusiano hayo hasa viongozi wanaoshikiza kuendelea kuwa na tabia hiyo asante kwa habari nzuri
Mungu akucmamie ktk yote TRUMP🙏🙏🙏
Nakuuunga mkono mtumishi na kiongozi mkuu uliyeweza kusimama na kusema kwa sauti kuu na Dunia yote isikieeee Trump hii naamini ndiyo Kazi Mungu aliyokuitiaa nami anasema jinsia mwanaume na mwanamke tuuu jike na dume
Safi sana Trump
Hiyi ime onesha kampene ya mungu nashetani kama vile mwimbaji bukuku ali imba na ni sherti mwanga ushinde giza
Thank you God for this man Trump
Mama Samia atupe rungu na hawa mashoga wa tanzania tuwaue tu
ndio
Kabisaaa! Wanaleta laana ulimwenguni.
Magufuli alilikemea hili swala la Mashoga wakamuona hafai leo waliokuwa wanampinga Magufuli watoke tena wampinge na huyu
Mungu ni mwema
MUNGU am baliki
Good
MUNGU akubariki Trump Mtu wa maana kabisa wewe
Hapo nimekukubali futa mashoga wote mungu Alisha walaani mashoga duniani futa kabisa upumbavu huo
Trump yupo vizur kwenye ushoga jaman
Nikwe mungukaleta jinsi ya moja ongelais wamarekan ❤😢
Taifa la hovyo
President trump God be with you
Well
viva Russia viva Trump
Mutawaripa wario haribikiwa navijana wao haki zabinadamu zikowapi wajibishe ili wasiji wakaludi tena
Tz hawawezi kupinga ushoga,makamu wa rais marekani alikuja tz akashinikiza,ushoga lkn tz mpaka sasa hawajatoka hadharani,nakupinga.
Our life we must surrender to GOD
Ushoga mh wamecherewa usikute marekan wote wakabaki aslimia3 kati ya aslimia100 nahao asilimia 3 asilimia 2nanusu niwaislam zilizobak wakristo wasio kuwa nadin wamemalizika.
Akili ndogo, kwani huyo Trump ni mwislamu?
Dah hata sijui nikuambie nini Ukristo umehusika vp
Acha udini
@@aishafadhili2321 umesoma au umekurupuka.
Wanajuwa kuzichezea akili za wajinga waliona wanachukiwa wameamua kutengua kaulizao lakini kemwe msizani niwema
Samia hana nguvu yakupinga ushoga.