Haiwezekani mana naona big Brothers wana shiliki Rwanda 🇷🇼 na m23 ,napia wana shiliki congo 🇨🇩 ili mlad wafaidike wawo huku wa Africa tuwuwane wenyewe wenye faida ni wao
Empire ya wa hutu yenye kuanzishwa na Kikwete imefeli nyamanzani hamutatumaliza sisi watutsi na sisi tumewumbwa na mungu. Kagame amekwisha kuwa nyimbo ya wenye chuki kwa wa tuttsi wa TZ saba saba mumetuma ila hatukuyisha. Uyu lofa wa Burundi tukimutaka ni dakika moja. Murikuja wote sasa ivi mumeweza????
Subirini mtaona mwisho wa mambo atakapo sababisha vurugu yenyewe Burundi maana ni munafiki mkubwa madini yakongo yatamutokea puani hatutamuchelesha kama inavyomukodolea macho congo😂.
Plan ya mtutsi ni kuitawala Africa mashariki na kati yote. Wakuu wetu wa nchi wanaona kama vile target ni Congo pekee😢😢 no, haipo hivo. Akishaikamata Congo atapata hela nyingi za kupitia madini. Ataliimarisha mno jeshi lake na atahamia kwetu. Viongozi wetu wapo usingizini tu😮😮
Watu waliokuwa wanaufatilia huu mgogoro toka kitambo au watu wanachimba sana ndiyo wanajua ubaya wa Kagame lakin wanaufatilia baada ya mgogoro kulipuka tena mwaka huu hawawezi elewa zaidi watasema Kagame wanamsingizia lakin Kagame ni mshenz lengo nikujifanya kama Israel pale Mashariki ya Kati kutaka nchi zinazomzunguka ziwe zinamskiliza yeye au aweke utawala anaoutaka yeye SASA viongozi wa Africa Mashariki inatakiwa wake macho na huyu jamaa licha yakutumika ila hata yeye anampango yake
Uko sahihi kabisa plani ya kagame na mseveni wakishakamata kongo ataingia tanzania baada hapo wataingia kenya na kumalizia burundi. Wakumbuke mtoto wa mseveni alichokisema .
Nakupenda rais Wangu 🔥🔥🔥 huyu mwamba wetu Anajuwa nipale tu warundi tunahitaji kuwa kama wao wakati kipindi wao warikuwa wanajijenga sisi huku kwetu kulikuwa machafuko ndomana hapendi viita irudi kwasababu tushaanza kuinuwa inchi yetu kwahali na Mali na musimamizi ni Rais wetu alafu musimamizi Mkuu ni Mungu 🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥
@@BUSHASHASWITCH fanya kazi kaka acha kulalamikia serekali Africa ni bara ambalo bado Lina kuwa pia bado kuna fursa nyingi na maitaji mengi , Africa ni sehemu ambayo mtu mwenye ficra za utajiri anaweza kutengeneza pesa nyingi sana .
@@sundaystanley5322Nyie ni mbwa Koko mnamoka tu!! Simjaribu kumtoa !! Rwanda sio nchi wakuchezea tunajua sehemu tulitoka !! Nyie mbweke mumokeee !! Tuko tayari kwa lolote!!
Paul Kagame ni kibaraka mkubwa wa Nato na US. Nchi ya Rwanda inajengwa na Mali kutoka DRC je ikiwa wewe utakubali ushenzi uendelee!? M23 ni Jeshi la Rwanda wawatoe na sio hivyo nitarudi jeshini mpaka kieleweke.
Sisi kama warundi tumesha jipanga vijana wote wakirundi tupotayari kupambana nanyinyi magaidi wakinyarwanda ulizeni somalia alshababu hadi leo wapo wapi hata vicocoroni tumewajia kwahio aceni mbwembwe zakitusi mtaweza kweli hata mkiungana
Huyu nae atuache hatutaki vita sisi nja itutese vitu vipande bei arfu naye atulete vita hapana kwakweli kwani kupigana ndio solution yamatatizo yenu kweli
Thank you Burundi for standing for the truth and justice
As a proud Burundian 🇧🇮 I'll stand with my president
Brother sky you have a unique style of story telling
Mm nashaur kagame awekewe vikwazo vya kiuchumi atanyooka tu
Haiwezekani mana naona big Brothers wana shiliki Rwanda 🇷🇼 na m23 ,napia wana shiliki congo 🇨🇩 ili mlad wafaidike wawo huku wa Africa tuwuwane wenyewe wenye faida ni wao
@@ThisboyisgreatThisboyisg-in4gx kama kweli wanashiriki itakuwa ni ngumu sasa
I agree with you 💯 %
Nous kurie Burundi ❤❤ najibu nikiwa fizi !
Shuja wa Amani bravo Ndayishimiye, eeeh Mungu ilinde Burundi proud of you President 👏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Shuja anauwa watu na njaa
@ramadhaniilali6114 ulisikia nani amekufa nanjaa?
Asante Viva Congo 🇨🇩 Viva Burundi 🇧🇮 ❤❤❤💪💪💪
Merci Mon president Evariste Ndayishimiye🇨🇩
From 🇧🇮 kagame anatumika na wa zungu
Anatumika na mabeberu kabisa
President wa burundi sio kibalaka wawazungu kama paul kagame but us burundians tumeamua kumushugulikia hadi kieeleweke
Si kieleweke mbona hamfanyi kitu !! Rwanda ni Danger
Kagame ni Kaburu mweusi na nyuma yake wako makaburu weupe hilo liko wazi na halipingiki @@RichardRutembesa-ns1kn
Rwanda ni ❤️🔥❤️🔥❤️🔥@@RichardRutembesa-ns1kn
Wanasema kagame wanamsingizia. Ivi kila mtu akusingizie wewe kagame ana shida
Empire ya wa hutu yenye kuanzishwa na Kikwete imefeli nyamanzani hamutatumaliza sisi watutsi na sisi tumewumbwa na mungu. Kagame amekwisha kuwa nyimbo ya wenye chuki kwa wa tuttsi wa TZ saba saba mumetuma ila hatukuyisha. Uyu lofa wa Burundi tukimutaka ni dakika moja. Murikuja wote sasa ivi mumeweza????
Huyu ndayishimiye mwenyewe mwaka jana kasema kua anataka kupindua serekali ya Rwanda, Leo analia nini ?! KWa hio mlitegemea kagame asifanye kitu?!
@@royalfaith1978
Kwani Rwanda mna nini nyie bila kuiba mali za drc congo😂😂, Rwanda mna nini?
As Burundian I will stand with my president no matter what
Alafu Kuna watu wako bize Kusema Kagame wanamsingizia😂😂😂
Huwa wanashangaza sanaa aisee.. 😂😂😂
Yaaani huwa siwaelewi kabisa.!😂😂
He is used to violence ,People just pretending while they know the truth
It just their political way to justify their crimes.
@@Bagi873Is it true that Kagame is who is?
Rahisi Wangu ❤❤🇧🇮🇧🇮🙏🏽🙏🏽
Comédien 😂😂
Raisi Evalist songa mbele
@@IbrahimAmaniAl-Husayn comédien😂😂
@@Evangelical_VoiceTV1 Unachokiongea hukijui!!
❤❤❤❤❤❤❤❤nilikuwa nasubiri iyi abari kwa hamu asante sana Kaka Bundala🎉🎉🎉
Safi Sana huyu ndo mwanaume anaeongea ukweli bila kuogopa
🎉🎉🎉🇨🇩 tuko na nyinyi ndugu zetu warundi
Ndahushimye ni chuma kweli kweli afadhali umeongea Baba ✊🏽✊🏽✊🏽
M23 force🫡 from Ethiopian 🇪🇹we support you
Kagame ni wakala wa nchi za ulaya watu wanapiga hela kupitia huo mzozo na kagame ndio wakala wao
Ni vizuri kusimama kwa haki na ukweli. Innocent citizen suffer because of these wars.
Jambo la kufurahisha ni kwamba kuna WATU wa Kongo, Rwanda na Burundi na wote wanatumia lugha ya kiswahili kutoa maoni Yao 🙌
Hilo linadhihisha kwamba kiswahili ni lugha nyepesi, yeyote anaweza kuongea
@@BizindavyiNicolasSi jambo jema Hilo?
We stand with you brave president ndayishimiye
Rwanda tusipochukuwa hatua mapema Africa mashariki atakuwa tishio. Nivema kungana tumtoe. Huyu nyoko
Huyo kagome wenu ndio sisi kwa hii incii ya warundi sasa subirini tunasubiri tu mayowe nahapo ndio mtageuka wakimbizi
We Ni mjinga sana
Mmalizeni bas wengine tufurahi
@@hamzasimbar3465mnajuwa Kusema tumeshazoea Nyie Fanyeni kweli Sio kubweka tu
Kagame achukuliwe hatua kali
Hongera Sana rais ndayishimiye Kwa msimamo
Hiyo ndiyo kweli
Yuko sahihi kabisa Ndayishimiye kagame ashimamishwe kabisa 😢
Maneno ya Rais wa Burundi yaweke akilini kagame hana nia njema na EAST AFRICA
Hongera sana Ndaishimiye
Kama anataka kutawala bara la Africa ameyakanyaga,kagame
Kwa Burundi 🇧🇮 hawezi Maana anawajua hawanaga ujinga
Kweli kabisa Mr Ndayishimiye
Asante sana mr president
Wa kwanza leo
Congo ingekuwa na Raïs kama NDAISHIMIE michezo tunayoshuhudia Nchini Congo isingekuepo.
Subirini mtaona mwisho wa mambo atakapo sababisha vurugu yenyewe Burundi maana ni munafiki mkubwa madini yakongo yatamutokea puani hatutamuchelesha kama inavyomukodolea macho congo😂.
Huyu kagame ana shida 😅
Plan ya mtutsi ni kuitawala Africa mashariki na kati yote. Wakuu wetu wa nchi wanaona kama vile target ni Congo pekee😢😢 no, haipo hivo. Akishaikamata Congo atapata hela nyingi za kupitia madini. Ataliimarisha mno jeshi lake na atahamia kwetu. Viongozi wetu wapo usingizini tu😮😮
Watu waliokuwa wanaufatilia huu mgogoro toka kitambo au watu wanachimba sana ndiyo wanajua ubaya wa Kagame lakin wanaufatilia baada ya mgogoro kulipuka tena mwaka huu hawawezi elewa zaidi watasema Kagame wanamsingizia lakin Kagame ni mshenz lengo nikujifanya kama Israel pale Mashariki ya Kati kutaka nchi zinazomzunguka ziwe zinamskiliza yeye au aweke utawala anaoutaka yeye SASA viongozi wa Africa Mashariki inatakiwa wake macho na huyu jamaa licha yakutumika ila hata yeye anampango yake
Uko sahihi kabisa plani ya kagame na mseveni wakishakamata kongo ataingia tanzania baada hapo wataingia kenya na kumalizia burundi. Wakumbuke mtoto wa mseveni alichokisema .
@@anosiata8242I am so happy to see people who understand the politics that is going on.
Source ni wapi hii habari?
@@ce-08kweli
Ndomaana nakupenda sanaaa presente wnguuuuuuuuii
Good job ndahiyeshimie
Viva CONGO viva Burundi viva Tanzania
Jamani, mshugulukiye kagame
Yangu macho
Shughulikia Mama Ako kwanza
Nakupenda rais Wangu 🔥🔥🔥 huyu mwamba wetu Anajuwa nipale tu warundi tunahitaji kuwa kama wao wakati kipindi wao warikuwa wanajijenga sisi huku kwetu kulikuwa machafuko ndomana hapendi viita irudi kwasababu tushaanza kuinuwa inchi yetu kwahali na Mali na musimamizi ni Rais wetu alafu musimamizi Mkuu ni Mungu 🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥
@@BUSHASHASWITCH fanya kazi kaka acha kulalamikia serekali Africa ni bara ambalo bado Lina kuwa pia bado kuna fursa nyingi na maitaji mengi , Africa ni sehemu ambayo mtu mwenye ficra za utajiri anaweza kutengeneza pesa nyingi sana .
@@Onge-shabani1994 Asante ndugu yangu Kwa ushauri Wako namimi Niko kazini kama kawaida Yangu 🙏🏾🔥
Namsapoti Rais wa burundi,huyu kagame ashughulikiwe
❤❤❤❤❤❤❤❤
..peace in East Africa
Hii ndio shda kagame kukaa miaka ming madarakan hujiona wanaweza kufanya lolote hata kama ni jambo baya
Kwa kira mruanda kaagame yuko sahiii
@@Uchukhan_amna kitu kama icho ngoja tuone mwisho wake
Ukiona ivi juwa kuna anguko kubwa linakuja kwa dictector fulani anaeishi kwa kunywa damu asa za wa congo. Mwisho wake umewadia
Kabisa,siku zote nimekuwa nikisema kagame ataondolewa rwanda kwa kumuua kabisa
@@sundaystanley5322Nyie ni mbwa Koko mnamoka tu!! Simjaribu kumtoa !! Rwanda sio nchi wakuchezea tunajua sehemu tulitoka !! Nyie mbweke mumokeee !! Tuko tayari kwa lolote!!
I don't care who is right or wrong but as a Burundian ,i will go with ndayishimiye😉
Well explained
Tusipo mukambili kagame ata fika ata TZ na kenya
Yeye anataka atawale African zima 😢
He is King 👑 mutajuwa soon 🔜 😇
@@marthanyamurama4129 King huko kwenu Rwanda..mnaroho mbaya sana nyie 😂😂😂...watusi wanaroho ya kinyama alaf wanapenda kumiliki
@ utajijuwa sisi tuko sawa na Mungu anatupenda hamutatufanya kitu hata kidogo 😎
Jichanganyeni na kagame wenu muiguse tz mtachapwa na hamtakaa muisahau tz .
King huku bongo amebaki ni king kiba tu kagame ajalibu kutia ugokowake kwenyempaka wowote wa tz aone madini tunayo na harambi hata vumbi
Ruto na yeye kampigia Rais wa Ufaransa
Kuna mwingine naye kaenda kukemea
Cheki chuma hicho kinatoa mambo wazi..
Aisee pk no tatizo
I think ss mwisho wake unaanza
❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Our President 🇧🇮🇧🇮
Urwanda like kuko twiteje imbere hio niwivuu
Muda wake umefika… michezo ya juvenile isije ikajirudia…he has to go down!!!
Huu ndo ukweli halisi rais wa burundi 🇧🇮 azingatiwe
Kweliii baba
Mungu wangu
Président wa Rwanda anataama mbaya
Kabisa, Kagame anatumika vibaya
@@JoeZeno-q1banatumikia nyie au Sisi!! Jiangalie ni nchi zenu
@@RichardRutembesa-ns1kn Kagame ni Kibara wa Marekani na ufaransa
Paul Kagame ni kibaraka mkubwa wa Nato na US. Nchi ya Rwanda inajengwa na Mali kutoka DRC je ikiwa wewe utakubali ushenzi uendelee!? M23 ni Jeshi la Rwanda wawatoe na sio hivyo nitarudi jeshini mpaka kieleweke.
Una bweka au unamoka kenge we
@@RichardRutembesa-ns1kn Kunitukana haiwezi kukusaidia chochote , nijibu kwa hoja kama huwezi , kojoa ukalale
Ndoo raisii mwenye anaingea pont na ukweli
Mnamuchukia kagame lakini hakuna kitu mtafanya huyu ni hasira kubwa ya wanajeshi wake karibu 200 wamekufia congo
Jifunze kiswahili hakuna neno la kiswahili wamekufia
🇧🇮🇧🇮🇨🇩🇨🇩✌️💕
facts
Mseveni na kagame wana mpango kuitawala eastafrica, ndio maana kuna nchi zimeingizwa eastafrica bila kuja madhara yake
Uko sahihi bosi
Kagame apewe haki yake
Apigwe aache kiburi
Huyu Kagame siyo wakufumbia macho anatakiwa abanwe kisawasawa.
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏Mungu teteya waliyowako baba inataochaaa
Rais anayevamia nchi nyingine Kwa kutumia vikundi vya wahasi, huo ni ujambazi. Ni vyema akashughurikiwa haraka
Un président saga
# tumekuchoka kagame tutakuludisha kimbali 1994
Shindwa kwajina la yesu
🇿🇲🇿🇲🇧🇮🇧🇮🇧🇮1️⃣💯💯💯💯
Uhoga nao ya nini?
Urusi alipewa vikwazo milioni moja na laki tatu ,,,mwaka jana huyu mbwaa kagame east Africa wampe vikwazo milion 5,,,
Lazima apigwe
Ulete Mama Ako na mbwa zenu zote tuone kama mtaweza
Sasa Congo 🇨🇩 juu ya ukubwa wote wa nchi yao wanashindwaje kuimaliza hii Rwanda ya meili sita tu... mi naona 🇨🇩 wenyewe wana matatizo...
Sisi kama warundi tumesha jipanga vijana wote wakirundi tupotayari kupambana nanyinyi magaidi wakinyarwanda ulizeni somalia alshababu hadi leo wapo wapi hata vicocoroni tumewajia kwahio aceni mbwembwe zakitusi mtaweza kweli hata mkiungana
Kama vp zipigwe,kwani wanaogopa Nini?
Huyu kagame kuna nchi nashuku zinampa support... nashuku ni China
Chaaah kata tamaa We wamarekani wafaransa waingereza unawaacha unaiwaza china watu wanajishuulisha …
Naona kinakata kinuke mwaka huu😢
Bravo my country burundi
Burundi 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 one love
Allah anusuru ichi zetu😊
Amiin. Amiin
Wa Rundi njo wasawa Yao wananyooshanaga sana
Kagame mbaya sana
Hamuwezi Rwanda not sure if you your???
❤❤❤🎉🎉🎉
Huyu nae atuache hatutaki vita sisi nja itutese vitu vipande bei arfu naye atulete vita hapana kwakweli kwani kupigana ndio solution yamatatizo yenu kweli
🙌🙌🙌🙏
Kagame ni mbaya sana
Wakati kagame anafunga makanisa alijua yuko juu ya Mungu sasa anakwenda kuanguka kwa aibu
Malanyingi najiuliza M23 wanatowaga wapi silaha kali kama zile?? Ikiwa hawaungwi mkono na nchi mbalimbali za apa EAC?
Kagame adhibitiwe
❤😂😂😂😂😂😂❤
safi sana rwanda inabidi ipirwe kwasababu nijirani mubaya sana
Wanajeshi waki wanafanya nn Congo
Na Yeye Anaogopa nn wakati Wanajeshi wake wapatao 10k wako Congo
Uyo akuna mtu anampenda achiliy mapema ajatimuliwa
Safi❤❤❤❤
Miongoni mwa ma Raisi wehu huyu pia yumo...................
Ahubwo umusazi niwew urashobora kuvuga.umuntu mutangana NGO numusazi politic wew ntabwo Uzi ikintu nakimw wombwira igituma murwanda ariho honyene ID bashireko ubwoko (umututsi canke umuntu)
Rwanda inatengenezwa iwe kama izrael kujitanulia maeneo kwa manufaa ya wamarekani na England na magharibi yote
Hutu vs Tutsi.
Hao ndo viongozi wanaostahili
😢😢😢😢😢