DAKTARI ALIYEMTIBU MBOWE DODOMA AFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @morsean2591
    @morsean2591 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks 4 good work doctor

  • @rechomwaijande3273
    @rechomwaijande3273 4 ปีที่แล้ว +1

    Mhhh yupo mungu ambae ndo msemaji wamwisho mungu wangu akuponye leo

  • @jenniferkayoza9618
    @jenniferkayoza9618 4 ปีที่แล้ว +1

    mungu amponye kwakweli,mbarikiwe ma dactari

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 4 ปีที่แล้ว +8

    Hii movie staring kabugi mapema.Mwaka huu mtaigiza kila aina ya picha ila oktoba tunawafanyia mazishi rasmi.

    • @rubbeneliawonyi3364
      @rubbeneliawonyi3364 4 ปีที่แล้ว +1

      Watakufanyia kwanza ww hayo mazishi

    • @kelvinmollel7648
      @kelvinmollel7648 4 ปีที่แล้ว

      Usipende kushabikia usichokijua iyo Mov unayosemea inaitwaj

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 ปีที่แล้ว +9

    Madogta nakupeni pongezi mnafanya kazikubwa ninyi hamna siyasa watuwote wanaokufikieni niwenu hongerenisanna

  • @salummussa3094
    @salummussa3094 4 ปีที่แล้ว +7

    daktri anasema mbowe anaendelea vizuri viongozi wa chadema mwaimu kasema khali yake si nzurii...halafu walimpiga mguu tu wala hawakuona uso wala mbavu? watanzania hatuwezi kudanganyika kirahiai

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 4 ปีที่แล้ว

    Wanaokomenti kejeli na kuonyesha kuumia kwake ni sawa sijui ni watanzania wa wapi kweli, Nyerere hakuacha kizazi kibaya kiasi hiki.
    Wengine wameshafanya "conclusions" kibao polisi hawajatamka chochote.
    Ukimtakia mtu mabaya hata kama ni adui yako kiasi gani, yatakurudi. Mimi sio mwanasiasa na sipendi siasa maisha yangu, lkni kwangu ni hayo tu.

  • @kessymnkula1181
    @kessymnkula1181 4 ปีที่แล้ว

    Pole kwa Yale yote yaliyokkta, Kwan Mungu n mwema atakuponya

  • @paulfamily5587
    @paulfamily5587 4 ปีที่แล้ว +5

    Yan mtu upingwe uumie mguu jamn ata watu watafute cha kusema

  • @piusemanuel5986
    @piusemanuel5986 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wao ndio mungu wetu sote

  • @khadijachuma1653
    @khadijachuma1653 4 ปีที่แล้ว

    Kweli hawa. Watu wameishiwa sela mwaka uuh

  • @floramgaza6401
    @floramgaza6401 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe daktari duniani tunapita jmn

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 ปีที่แล้ว +3

    Hyo ndio faida ya konyag

    • @ndarogamba191
      @ndarogamba191 4 ปีที่แล้ว

      Shule uliyosoma ni Ufala!

  • @Alikibainblood1994
    @Alikibainblood1994 4 ปีที่แล้ว

    madaktari kama ameletwa mgonjwa akiwa amelewa hawawezi kumgusa mpaka kilevi kiishe mwilini kwaiyo tuweke kando siasa jamaa walimvunja mguu

  • @merysinangowidonttouchhapa305
    @merysinangowidonttouchhapa305 4 ปีที่แล้ว

    Deal limebuma kweli wangekuwa wazee wa kazi wangefanya hilo loooh aseme Pombe sio Chai 😂🤣🤣

  • @maryemanuel6122
    @maryemanuel6122 4 ปีที่แล้ว +2

    Utu kwanza siasa baadaye"kama binadamu, pole...mengine napita tu

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 4 ปีที่แล้ว

      Na uwongo na kuzusha jee

    • @maryemanuel6122
      @maryemanuel6122 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo haihusiani kabisa ,hizo ni chuki binafsi inapokuja kwenye mtu kajeruhika haijalishi hayo mengine cha muhimu afya kwanza kwake mengine watajuana

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 4 ปีที่แล้ว

      @@maryemanuel6122 alikuwa anaenda kwenye ngono tunajui halafu anataka kuisingizia serekali na Mushimiwa raisi , ubinadamu ni kuwa tuwe wakweli tusiitie inchi taswira mbaya kwa faida ya mzinifu mzee na mlevi

  • @godlistenhowcance8052
    @godlistenhowcance8052 4 ปีที่แล้ว +1

    Get well soon

  • @omarimukungwa2510
    @omarimukungwa2510 4 ปีที่แล้ว

    Sasa hayo uliyoyafanya ww pale dodoma awawezi au ni kiki tu kujifanya yupo mahututi

  • @steventambi6353
    @steventambi6353 4 ปีที่แล้ว

    Pombe tamu lakini,,,,,

  • @aloycefarmerfarmingbusines7697
    @aloycefarmerfarmingbusines7697 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole mzee

  • @nuhuallyzsung
    @nuhuallyzsung 4 ปีที่แล้ว

    Patient privacy ni jambo pana! Unavyofanya doctor ni unprofessional una mkosea sana mbowe kutangaza siri yake bila ridhaa yake pili we sio msemaji wa familia au hiyo hospital!!

  • @noelsimon3320
    @noelsimon3320 4 ปีที่แล้ว

    Amungu amtangulie

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 4 ปีที่แล้ว

    Nchi hii hatari sana

  • @anzaamenmassawe4066
    @anzaamenmassawe4066 4 ปีที่แล้ว

    Mm

  • @hendrynyaki5629
    @hendrynyaki5629 4 ปีที่แล้ว

    Doctor vp hivi ulivyomwangalia kwa ujuzi wako ni km mtu kapigwa au kavunjika kwa kutelezaa!!!?

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 Dr hawana siasa

  • @kidekeo8388
    @kidekeo8388 4 ปีที่แล้ว

    Upo makini dkt

  • @claudiangowi9585
    @claudiangowi9585 4 ปีที่แล้ว

    Alitenguka huyo

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 4 ปีที่แล้ว +3

    ORIF = Open Reduction of Internal Fixation. Tunatumaini siyo sababu m’badala wa mipango ya “yajayo”maana mtoa misaada wa huko magharibi ya mbali yuko kwenye kizungumkuti na yeye; kwa hivyo hawezi kusaidia vibaraka. Inabidi Tusubiri majirani watujuze kama walisikia mikiki au mtu mmoja kaanguka kwenye ngazi baada ya kinywaji🥴

    • @gililwise
      @gililwise 4 ปีที่แล้ว +2

      Ninyi mnaocoment kwa kumtakia mboe mabaya kumbukeni kuwa malipo ni hapa hapa duniani kama si kwako ni kwa kizazi chako.mwenzenu anapopatwa na mabaya tumwombee ili Mungu amponye.mambo mengine tumwachie Mungu ambaye atahukumu kwa haki.mpende jirani yako kama nafsi yako haijalishi ni mwema au ni mbaya kwako.kisasi ni juu ya Mungu.amina

    • @nehemiaisakwisa8604
      @nehemiaisakwisa8604 4 ปีที่แล้ว

      @@gililwise ingekua wao akina Mbowe wana .mawazo kama yako watu wasingekua wanaongea vibaya ni kwasababu wameshaanza kumtaja rais na serikali yetu kuichafua hivyo unaposema alichokifanya ni kumsaidia ili ajifunze siku ingine yeye inasemwa wazi alilewa na akaanguka kwenye ngazi

    • @danielmasolwa3931
      @danielmasolwa3931 4 ปีที่แล้ว

      So smart

  • @magejose1386
    @magejose1386 4 ปีที่แล้ว

    MI NAJIULIZA KWANI BODY GUARDS WAKE ?

  • @piusraymond8226
    @piusraymond8226 4 ปีที่แล้ว

    Afetuuu sisihatuwez kumpenda kibalaka wawanzungu mtu anaetutafutia mabaya hua na sisi tunamtaftia mabaya unyama unyama tuuu raisi magufuli oyeee anaejisikiavbaya akafiembele kwawanzungu

    • @emmanuelmogela5871
      @emmanuelmogela5871 4 ปีที่แล้ว +1

      Acha ushoo, mbona unaleta siasa kwenye matatizo, Magufuli hawezi kupendezwa na vitu vinavyoharibu hekima zake

    • @davidnicholaus5304
      @davidnicholaus5304 4 ปีที่แล้ว

      Nadhani una mapungufu saaana katika kufikilia kwako na mtazamo wako

  • @siwemaadam2
    @siwemaadam2 4 ปีที่แล้ว

    Wasemaji wa CCM akiwepo Msu - kuma, Lijua Likali, na Lusinde wanadai alikuwa mlevi sio kushambuliwa. Polisi wa siku hizi wanafanya kazi chini ya CCM kwa hiyo hawana haja tena ya kuchunguza maana Wabunge wa CCM wamefanya kazi badala ya MROTO.

    • @godlistenhowcance8052
      @godlistenhowcance8052 4 ปีที่แล้ว

      Wabunge vilaza wanacheza na afya za watu

    • @jgdghcvjvvjvbcv8032
      @jgdghcvjvvjvbcv8032 4 ปีที่แล้ว

      @@godlistenhowcance8052 hauna akili ww paka ww

    • @thelivingwordchannel9027
      @thelivingwordchannel9027 4 ปีที่แล้ว

      Wewe unataka wachunguze nini wakati umeambiwa alikuwa amepiga kilaji kikali na alidondoka kwenye ngazi akavunjika.

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 4 ปีที่แล้ว

      Waichunguze Faru!? Hahahahaha ! Makubwa! Alivamiwa mguu tu! ? Picha nalo halisomeki?

    • @ameyashey3174
      @ameyashey3174 4 ปีที่แล้ว

      Walichunguze Levi?

  • @merysinangowidonttouchhapa305
    @merysinangowidonttouchhapa305 4 ปีที่แล้ว

    Deal limebuma kweli wangekuwa wazee wa kazi wangefanya hilo loooh aseme Pombe sio Chai 😂🤣🤣

  • @aloycefarmerfarmingbusines7697
    @aloycefarmerfarmingbusines7697 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole mzee

  • @kidekeo8388
    @kidekeo8388 4 ปีที่แล้ว

    Upo makini dkt