MBOWE AJILIPUA KUWATUHUMU POLICE KWA UTEKAJI, ATAJA ORODHA YOTE TA WATUHUMIWA WA UTEKAJKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 138

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 21 วันที่ผ่านมา +27

    Mbowe usiachie uenyekiti mpaka tupate uhuru kutoka kwa wakoloni weusi mungu akulinde kazi ngumu kwelikweli

    • @jonathanntare4787
      @jonathanntare4787 21 วันที่ผ่านมา +2

      Amina kubwa

    • @KuluthumuMsuwakollo
      @KuluthumuMsuwakollo 21 วันที่ผ่านมา +2

      Mungu amtunze

    • @elizammari
      @elizammari 21 วันที่ผ่านมา +3

      Kuna wajinga wasiojielewa wanamtukana muheshimiwa sijui akili zao zimekaa wapi

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@elizammariwanaomtukana Mbowe hawajui umuhimu wa SACCOS

    • @Ars-t2k
      @Ars-t2k 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@walidmgonja3644 wacha unafiki

  • @DaheerK
    @DaheerK 15 วันที่ผ่านมา +5

    2025 kura yangu kwako

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 20 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa sasa itabidi nihamie upinzani nashindwa kuielewa ccm yangu jmn😢😢

  • @ManuuNgingo-cs3hx
    @ManuuNgingo-cs3hx 20 วันที่ผ่านมา +3

    Safi sana mbowe mungu akupe maisha marefu

  • @ericlowasa3097
    @ericlowasa3097 20 วันที่ผ่านมา +3

    Kumbe police ndo wanaoteka watu duuh....hii ni Hatari aisee

  • @SAMWELIMOLLEL-e6z
    @SAMWELIMOLLEL-e6z 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyeti wetu tuko pamoja😂😂

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 21 วันที่ผ่านมา +3

    Mbowe anazidi kuwa kijana. Msigwa anazeeka na stress😂😂😂

  • @FrankGabriely-up5yo
    @FrankGabriely-up5yo 21 วันที่ผ่านมา +5

    Mbowe wanaotaka uachie uenyekiti ni hayo maccm sisi tunakuunga mkono mzee

  • @azaelcharles3619
    @azaelcharles3619 20 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa watekaji wanatuchafulia nchi yetu Tanzania njema

  • @KuluthumuMsuwakollo
    @KuluthumuMsuwakollo 21 วันที่ผ่านมา +8

    Bongo imekua kama Iraq 😢yarab nusuru taifa letu tuepushie vifo visivokua na hatia yarab tunaomba neema yako

    • @KudraTimbako
      @KudraTimbako 21 วันที่ผ่านมา +1

      Iraqi siku hizi haina vita walipigana hapo nyuma waksuwana na he's himalayas ikaja siku hizi watoto wao wanaishi vizuri tu

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 21 วันที่ผ่านมา +4

    iko siku Mungu atalipa kisasi kwa hawa wasio nautu dhidi ya wanadamu wengine,kwajina la yesu kristo aliye hai dam za watu hao zikawe juu yao wenyewe na vizazi vyao,daa tumefika pagum

  • @DjJohnBashir-oy7cx
    @DjJohnBashir-oy7cx 20 วันที่ผ่านมา +2

    Shida ni umasikini tulionao Pesa ndio zinafanya hivo mpaka watu wanapoteza maisha ya wenzao

  • @GerrardLaizzer
    @GerrardLaizzer 15 วันที่ผ่านมา +2

    Alafu mnaimba nchi ya amani wakati inaitwa silent killer nation

  • @FrankEdson-l2o
    @FrankEdson-l2o 16 วันที่ผ่านมา +2

    Ukisikiliza hii utaichukia CCM mpaka

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 21 วันที่ผ่านมา +8

    Tanzania hii Aman hamna Hawa makatili ipo cku Mungu atashuka juu ya hii serikali

    • @RaviShija
      @RaviShija 21 วันที่ผ่านมา

      koment kama hiz hazna faida kwnye maumivu mungu gan inabd hatua mm na ww tuchukue sasa unasubir mungu ashuke lini huo muda tunaendelea kuumia tu

    • @ayububrantaya6624
      @ayububrantaya6624 12 วันที่ผ่านมา

      Mungu nikila kitu usipuuze anaweza kufanya tofauti na unvo fikilia

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 21 วันที่ผ่านมา +4

    Ndo maana wanajifanya oh mwenyekiti jiuzuru,mbowe usitoke

  • @LaurentKamangu
    @LaurentKamangu 2 วันที่ผ่านมา +1

    Uliza yoko na kenge ni nan watu hatari au usiombe wakukute

  • @GerrardLaizzer
    @GerrardLaizzer 15 วันที่ผ่านมา +1

    Duuu Bora nihamie Gaza. Kuliko bongo mamayezao hii serikali ya kikatili

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mboqe mungu akufunike kwa damu yake

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c วันที่ผ่านมา

    Mungu aendelee kukulinda

  • @Anton-t5c2w
    @Anton-t5c2w 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyejiti tuko tayari

  • @user-ms2kf3mf3q
    @user-ms2kf3mf3q 21 วันที่ผ่านมา +7

    Mimi sipend viongoz wanao ongea tarabu lianzisheni wananchi tumechok kw kufa nini

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 21 วันที่ผ่านมา

      Lianzishe wewe taahira

    • @DeogratiusAthanazi
      @DeogratiusAthanazi 21 วันที่ผ่านมา

      Hatawewe unahaki ya kulianzisha na tukakuunga mkononkaka sio lazima aanzishe mbowe tu ili ni jukumu la Kila mtu ndugu. Tz hatua uongozi serikali unatumia nguvu nyingi kutetea usalama wa ccm sio wananchi wenye nchi Yao . Tunakibalua kiziito ndugu yangu. Lkn ususubili mbowe aseme.ndio uchukue hatua. mbowe.aauchumi lkn bado anatupigsnia cc tusiomuwa na kitu. hasida za ujinga wa serikali Yako na utekaji wao haiiraji mbowe atoe ruhusa nduguyangu ....ni susi tuliochishwa na jupotezewa time na maccm Aya.

  • @DorisNgimbwa
    @DorisNgimbwa วันที่ผ่านมา +1

    Tunateswa na watanzania wenzetu

  • @Anton-t5c2w
    @Anton-t5c2w 15 วันที่ผ่านมา +1

    Msiwapangishe mm mtt wangu akichagua kazi chafu kama ya upolisi namfukuza kwnngu

  • @JmotorsAutogarage
    @JmotorsAutogarage 7 วันที่ผ่านมา

    Mh mbowe tutafanyaje tuepukane na unyanyasaji ktk nchi yeti

  • @FieldSichalwe
    @FieldSichalwe 15 วันที่ผ่านมา +1

    Yaa unasema ukweli jeshi letu ni la kihuni

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c 20 วันที่ผ่านมา +2

    #Mbowe_4_life #Chadema

  • @susternguvila4338
    @susternguvila4338 20 วันที่ผ่านมา +1

    Sifa ya mtu dhaifu muda mwingi hana hoja ila anatumia vitisho mama uko wapi hii nchi ni ya watanzia na c ya chama fulani Mungu yupo ujue

  • @norahfrank
    @norahfrank 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa mbingu, nakusihi Ee Mfalme usilale wala usifunge macho yako kamwe.wanaohusika na utekaji huu haijalishi wana nguvu gani, Wewe ni mkuu mno kuliko miamba yote hii. Uwapige kipigo ambacho kitawagarimu na familia zao ktk Jina la Yesu. Upofu uwapige hadi wakutafute kwa ukuu wako.ni aibu sana lkn Uko Mungu.

  • @NicholausMtallo-vj9oq
    @NicholausMtallo-vj9oq 20 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka umenyooka kama rula yaan kama Mungu anatenda iposiku kitaeleweka

  • @Flvian
    @Flvian 21 วันที่ผ่านมา +1

    mistake ilianzia pale tu sativa alipo kitoroka kifo na ndie kamwaga mchele kwenye kuku wengi

  • @user-mp6kj9mq3w
    @user-mp6kj9mq3w 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kwan kiongoz mkuu si ni huyu dem wa zanzibar au ndo anawatuma

  • @athanasmongo3446
    @athanasmongo3446 9 วันที่ผ่านมา

    Lakini siogopi na sitanyamaza mkija kuniteka nawajazia nzi napambana na ninyi watekakaji mpaka kieleweke kama nitakufa nitakufa kishujaa kama chief mkwawa

  • @athanasmongo3446
    @athanasmongo3446 9 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa mwenyekiti hata mimi ni shuhuda wa mambo ambayo polisi wanayafanya ni kweli tupu hata mimi wamewahi nifanyia vitendo vya kinyama

  • @FrankEdson-l2o
    @FrankEdson-l2o 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ukimya nijibu, ukiwa rais ukakimya ktk haya manake wewe ndie muuaji na unahudika kuwatuma.

  • @zuchuNosha
    @zuchuNosha 21 วันที่ผ่านมา +1

    Police ndo watekaji Nyara police wa tanzania ni majambazi wakubwa tena hawafai kuishi majumbani mwetu hawa police tuwafukuze wapange kwenye cotta zao za police

  • @Piussimon-n4z
    @Piussimon-n4z 21 วันที่ผ่านมา +3

    Walaaniwe wote wote

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu amlinde mbowe

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mapato na matumizi yanaingilia wapi wakati roho za watu zinapotea hivyo kabisa.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 21 วันที่ผ่านมา +2

    Tumechoka sasa tumwachie Mungu.Ila mwisho wayote utaua na wewe unakufa. Nafuu tuu ungemwacha akaishi maana Kila nafsi ya mtu itaonja MAUTI.

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni fundi.Naamini muda utasema

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c วันที่ผ่านมา

    Mbona wanatekwa chadema sijasikia ccm kulikoni

  • @mathayokaimaima4578
    @mathayokaimaima4578 11 วันที่ผ่านมา

    Ngumu sana! Siwewe ulisema haki haiwezi kutendeka kwakua viongozo wote niwateule wa raisi? Itawezekana madai hayo unayo yatoa? Mungu aingilie kati

  • @danieliddo8704
    @danieliddo8704 21 วันที่ผ่านมา

    Inasikitisha sana aisee…Mungu atalipa

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 3 วันที่ผ่านมา

    Sasa tz naogopa

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awashughulikie

  • @gideonmollel4173
    @gideonmollel4173 17 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu Tanzania nchi yangu inakuhitajiiii

  • @godfreyayo7831
    @godfreyayo7831 13 วันที่ผ่านมา

    Duuh huyu mzee anajua ila kwa Tanzania hiki ni kitu kipya Sana kuteka na kuua hapana cyo utamaduni wetu huu! Mbona awamu ya kikwete kurudi nyuma haya Mambo hayakuepo!?

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu 16 วันที่ผ่านมา

    Safi sana mbowe

  • @SimonSaimon-n4f
    @SimonSaimon-n4f 6 วันที่ผ่านมา

    Uyo mafwele tuekeeni picha yake tumjue

  • @wilsonyeza8202
    @wilsonyeza8202 20 วันที่ผ่านมา

    Tunakushukuru mwenyekit mbowe tunasubili uchanguzi wawenyevit utuvushe watanzania tumeumizwa sana na wenyeviti hawa

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 21 วันที่ผ่านมา

    Dah mungu shuka please njoo uone

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l 15 วันที่ผ่านมา

    kesho sijui nani siku zina kwenda maa muzi akuna wanyonge tuna potezwa

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu tusaidie

  • @SuleimanSele-h1l
    @SuleimanSele-h1l 21 วันที่ผ่านมา +1

    Assanteee,

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 21 วันที่ผ่านมา

    CCM ni ovyo Sana pamoja na Polisi wate

  • @SuleimanSele-h1l
    @SuleimanSele-h1l 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mboetusaidie watuwanakufa kiunyamakikatili borawaambie,

  • @FrankEdson-l2o
    @FrankEdson-l2o 16 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmmmh sasa kwann mnakalia kuongea tu? Fanyeni mipango

  • @Anton-t5c2w
    @Anton-t5c2w 15 วันที่ผ่านมา

    IPo siku

  • @RaysonMtui
    @RaysonMtui 21 วันที่ผ่านมา

    Tuwe na hofu ya Mungu,Tanzania nchi yangu haya yanatokea hapa????

  • @raskise7493
    @raskise7493 20 วันที่ผ่านมา

    Mh rais wa jamuhuri anatakiwa akisimama mbele za wa Tanzania aongelee kwa kina haya yanayosemwa,,,,,,,, naomba mpelekeeni hizi taarifa kwasababu Kuna watu wa serikali wanaofuatilia hizi taarifa na kusoma comment nini Watanzania wanacholalamika

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 20 วันที่ผ่านมา

    Walishasema wakiwapoteza polic wasiulizie Sasa tunamtafuteje mchawi wakati mbogamboga walishasema Tena hadharani

  • @zuchuNosha
    @zuchuNosha 21 วันที่ผ่านมา

    Sativa alipotekwa alipelekwa karakana ya usta bey na mwenyewe kasema nilitekwa na police nikapelekwa osta bey huko kuna karakana yao ya mateso

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 19 วันที่ผ่านมา

    Mzee asaivi tumechoka nahaya

  • @HOSEAHALLAN-tt3gx
    @HOSEAHALLAN-tt3gx 20 วันที่ผ่านมา

    Tanzania 🇹🇿 yetu tunaitaji katiba pia Tanzania yetu atuna raisi sisi yani ujiga umezidi

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 21 วันที่ผ่านมา

    Jamani hakuna taifa linalofanikiwa kwa damu hakuna heshma inayopatikana kwa kudhulumu mwisho wa ubaya ni ubaya

  • @emmanuelpeter9744
    @emmanuelpeter9744 21 วันที่ผ่านมา

    All innocent blood will cry on their lives forever, Shame on them

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 21 วันที่ผ่านมา

    Yani na maneno yote ayoo serekalii ata istuki kabisaa tena ndo kwanza mambo yanaenda kubayaaa

  • @MedsonUlendo
    @MedsonUlendo 21 วันที่ผ่านมา

    Duuh wanafundisha nini watanzania wenye Tanzania yao ikiwa nao wanao fanya hivo nao niwatanzania wao au wananch nyingine😭?

  • @zuchuNosha
    @zuchuNosha 21 วันที่ผ่านมา

    Hii nchi inaeendeshwa kipambavu hii nchi haina mkuu wa majeshi wala mkuu wa jeshi la police ivi haya matukio hawayaoni na kama wanayoona mbona wapo kimyaa? Ss raia tuwaelewe vip?

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 21 วันที่ผ่านมา

    Watu wasianze kulaumu fungueni Dangulo show au Chisaka show hao watu wanatuonesha jinsi watu wanavyopotea na kutekwa kutolewa Figo na Maini nk hapa ndo mtaelewa kwamba hivi na vitu yawezekana wapo Tz kwenye misitu

  • @Anton-t5c2w
    @Anton-t5c2w 15 วันที่ผ่านมา

    Ww unaesema waongo subili apothecary mama yako

  • @RamadhanMohamedi-j3d
    @RamadhanMohamedi-j3d 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mheshimiwa mbowe mbona uchaguzi ukikaribia mukuja na utekaji?

  • @sanbellatz
    @sanbellatz 21 วันที่ผ่านมา +3

    Ivi jamani mmesikia chochote kuhusu yule kijana tuliyemchangia akatoka jela???

    • @davidpeter8099
      @davidpeter8099 20 วันที่ผ่านมา

      Daaaah sjui yupo wapi kiukweli

    • @GerrardLaizzer
      @GerrardLaizzer 15 วันที่ผ่านมา

      Jaman naye hayupo

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 20 วันที่ผ่านมา

    SERIKALI YA CCM ,NISERIKALI YAKISHENZI KABISAA,YAKISHETANI NAZAIDI MAPOLISI.😢

  • @VanLight-q9n
    @VanLight-q9n 13 วันที่ผ่านมา

    Daaah awa jamaa hatr

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu 16 วันที่ผ่านมา

    Jamani Nchi hii nibalaa

  • @MpigaDotto
    @MpigaDotto 3 วันที่ผ่านมา

    Tu

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 20 วันที่ผ่านมา

    At Kristofa yumo bro

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 21 วันที่ผ่านมา

    Mtu mwovu hawezi kuchukia waovu ili kuondoa uovu ni lazima uuchukie kwanza

  • @SuleimanSele-h1l
    @SuleimanSele-h1l 21 วันที่ผ่านมา

    Mboehongela waambie askariwetu niwamezanituu, siowadoli

  • @suzanasimonqwarsan
    @suzanasimonqwarsan 21 วันที่ผ่านมา

    Tatizo ni ccm ipo siku watakufa tu

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 20 วันที่ผ่านมา

    kwel binadam ww unamuua mwenzio wakati na ww unakufa

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 21 วันที่ผ่านมา

    hatujasikia hata mimi natamani kujua

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 21 วันที่ผ่านมา

    Mafisadi na wauaji hawawezi kutaka ukwel

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 21 วันที่ผ่านมา

    Tatizo ni kiziwi

  • @BenedictoKagoma
    @BenedictoKagoma 17 วันที่ผ่านมา

    jaman

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 21 วันที่ผ่านมา

    Itafikia hatua ukivaa nguo za CCM na Chadema ni bita

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nchi inaendeshwa KIDIKTETA, inatesa wananchi.

  • @Mwanafundi
    @Mwanafundi 21 วันที่ผ่านมา

    Polisi duu

  • @EliyaMWAIJUMBA-i1n
    @EliyaMWAIJUMBA-i1n 20 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢😢😢 😅

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 15 วันที่ผ่านมา

    Mbowe na chadema mnasema uongoooo

  • @user-mn6oy9qp3u
    @user-mn6oy9qp3u 21 วันที่ผ่านมา +1

    Waambie kwanza wanachama mapato na matumizi ya chama cha CHADEMA
    Sambamba na kuorodhesha Mali za chama

  • @RahelGrace
    @RahelGrace 21 วันที่ผ่านมา +3

    Kwani wewe Nani unasema una vyyombo vya kuchunguza mboe acha uwongo

    • @GOMBOSAMANDITO-hg3de
      @GOMBOSAMANDITO-hg3de 21 วันที่ผ่านมา +2

      Dada yangu unaweza usiumie kwa sasa sababu hujapoteza ndugu yako katika mazingira hayo

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 21 วันที่ผ่านมา

      SACCOOS WAMECHEMSHA KWENYE MAIGIZO

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai 21 วันที่ผ่านมา +1

      Malaya mkubwa weye kama hayajakukuta ngoja yatakukuta

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 21 วันที่ผ่านมา +2

      Rahel kama una upendo na Raia wetu, ungana nao kumwabia Rais kwamba kuna tatizo. CCM haijachoka kutawala. Hivyo hebu tusadie ili mama aongoze vizuri kama waliomtangulia. Kama wapinzani wanapata namna ya ubaya unavyotendea ujue hata system aikubaliani na kinachoendelea. Yesu alisema tupende adui Zetu. Vyama hivi ni washindani wa CCM. Hivyo CCM ipende washindani wao . Hawa washindani ni wa kwanza kuona mapungufu wa serikali Zetu. Unajifariji na nini uovu haukubaliki hao sio sehemu ya CCM kwa sababu katiba ya CCM haina kifungu cha kuteka au kuua. Elimu yetu inazalisha kizazi mnao waza kinyume. CCM haiko nao wapumbavu si sehemu ya CCM. Tusijidanganye tendeni mema CCM ina katiba yake. Haijafutwa.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 21 วันที่ผ่านมา

      @@sandaymgunyi6268 MAONI YANGU HAYO NI MAIGIZO

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 21 วันที่ผ่านมา

    Kama ni kweli na unavyombo vya uchnguzi si uonyeshe kila kitu

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 21 วันที่ผ่านมา +3

    Mboe achia madaraka tushaaa kuchoka wewe na CCM akuna utofauti kwanza ushanunuliwa wewe mwachie LISU nafai baki kama mshauri tuu zama zako zimepita

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai 21 วันที่ผ่านมา

      Shoga hili mbona mwalimu hakuachia madaraka mpaka tupate uhuru

    • @thomasmallya2972
      @thomasmallya2972 21 วันที่ผ่านมา

      @@JosefuSwai limtokaalo mjinga ndivyo alivyo

    • @saidmtetwa4363
      @saidmtetwa4363 21 วันที่ผ่านมา +1

      Waachie madaraka kwanza CCM waliokaa madarakani kwa miaka 60.

    • @hoseakayinga2090
      @hoseakayinga2090 21 วันที่ผ่านมา

      Unaumiaeee! Tuachie mwenyekiti wetu baki na wenu

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 21 วันที่ผ่านมา

    Mwongo wewe mwenyewe

  • @waziriwaziri4330
    @waziriwaziri4330 21 วันที่ผ่านมา

    H

  • @saidakiwale9227
    @saidakiwale9227 21 วันที่ผ่านมา

    Kama uwa upo mbona huwa hure kodi tupate ukweli muongo wapishe wenzio wewe Huna jipya muongo

  • @saidakiwale9227
    @saidakiwale9227 21 วันที่ผ่านมา

    Nyie ikifika wakati wa uchaguzi mtasema mengi sana hayo mnasababisha muongo wewe tumekuchoka

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 21 วันที่ผ่านมา

      Ngoja yakukute

    • @ericlowasa3097
      @ericlowasa3097 20 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo anachokisema ni uongo