Kamati ya siasa Mkoa wa Kigoma imetembelea na kukagua Miradi wilayani Buhigwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Kamati ya Siasa kwa kushiriakiana na ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kigoma imetembelea na kukagua Miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa wilayani Buhigwe

ความคิดเห็น • 2

  • @raymondngeze3461
    @raymondngeze3461 ปีที่แล้ว

    Taarifa nzuri ila tungependa muwe munajitaidi kuzitoa tarifaa zote za kuhusu buhigwe haswa za pande ya tarafa ya Muyama kata ya Mugera tunazisikia kupitia watu badala ya kuzipata kwenye tovuti hii

  • @ManaseBuhanza-cl1lc
    @ManaseBuhanza-cl1lc ปีที่แล้ว

    Kigoma wazazi kero mchago ya shuleni kusababisha wanafunzi kuwa watoro na wazazi kutaharuki ,hususa kata za msambara shida sana