Bonanza la maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wilayani Buhigwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ค. 2023
  • Maandalizi ya kuupokea Mwenge wa uhuru yamefanyika leo tarehe 29-07-2023 katika wilaya ya Buhigwe. Maandalizi hayo yalipambwa na Bonanza lililosheheni michezo mbalimbali ili kuwahamasisha wananchi waweze kujitokeza kwa wingi siku Mwenge utakapowasili wilayani hapo.

ความคิดเห็น • 1

  • @user-qb8qr4dq8k
    @user-qb8qr4dq8k 9 หลายเดือนก่อน

    We mwamba tunakutegemea