Umesema kweli na hata hizo Lot no 3 (Makutopola to Tabora) na Lot no 4 (Tabora to Isaka) ambazo amepewa huyo Mturuki kazi anazofanya mpaka sasa hazionekani na nikama zimesimama kabisa😮😮😮😮
CCECC NDIO KAMPUNI KUBWA DUNIAN KWA AJILI YA UJENZI...HATA TAZARA,, TANZANIA ZAMBIA RAIL WAO NDIO WALIJENGA...MAJENGO AU BARABARA WAPO FASTA...CGC,,SINOHYDRO PIA NIWAZURI
Ili upate mshahara mzuri ni serikali ndo inatakiwa kukakaa na wakandalasi kabla ya kugawa tenda wawe wamelewana kuhusu mishahara ya wazawa @@christophergervas1409
Mnaota ndoto za reli nyingine wakati hii komedi bado inendelea, wajinga!! Na haya malori ya mifisidi, wataipeleka wapi? Mtasubiri hadi mpofuke. Ondoeni milori ya wanaokwamisha reli!?
@@helsingvanny3199 Mjinga aliyukuzaa na ukawa chokoraa! Kwa nini hukuenda shule? Umebaki na michezo ya komedi?! Mtaimba hilo li reli lenu kiwete mpaka MTAKOMA, halitakuja kufanuya kazi kwa Mafisadi ( litawala)
Hongereni TRC, Consultant na contractor
Hongereni sana TRC🎉
Bora mungeanza kufikiria kujenga reli Mpya kutoka Mpanda-Inyonga-Rungwa-Mtera had Kilosa badala ya kuhangaika na section ya Mpanda-Kaliua
Watu wanawaza soko la kimataifa ww unawaza soko la ndani tu
Hio ya kaliua mpanda inaenda hadi ziwa Tanganyika kupitia bandari ya kalemi DRC
Watu wanakwenda kimataifa ndani tumieni magari
hatimae TRC imefufukiakwenye SGR, hongereni sana mnaupiga mwingi sana
Good job congratulations 👏❤🇹🇿
Hongereni sana🎉
Vizuri sana.
kaziiendeleeee
Hao Wachina watamaliza vipande vyao wakati matapeli waturuki wanasuasua kipande cha dar hadi makutupola Dodoma
Umesema kweli na hata hizo Lot no 3 (Makutopola to Tabora) na Lot no 4 (Tabora to Isaka) ambazo amepewa huyo Mturuki kazi anazofanya mpaka sasa hazionekani na nikama zimesimama kabisa😮😮😮😮
Tatizo sio mturuki tatizo ni viongozi wa kusimimamia
Mbona kipindi cha magu walifanya kazi nzuri Sana
@@BrunoEmanuel-h1d tatizo ni Mturuki hawajibiki mbona LOT zingine za mchina zinaenda vizuri , mkandarasi mzuri haitaji kusukumwa sukumwa
Ila Dar Moro palikuwa pagumu, madaraja, flyover na kutoboa mahandaki ya milima.
Tusilaumu sana
Mbao tena, tuna hitaji kutunza miti
CCECC NDIO KAMPUNI KUBWA DUNIAN KWA AJILI YA UJENZI...HATA TAZARA,, TANZANIA ZAMBIA RAIL WAO NDIO WALIJENGA...MAJENGO AU BARABARA WAPO FASTA...CGC,,SINOHYDRO PIA NIWAZURI
Mshahara ndo faida yetu hata kampuni ikiwa kubwa inatoa kamshahala kadogo Hainan faida
Ili upate mshahara mzuri ni serikali ndo inatakiwa kukakaa na wakandalasi kabla ya kugawa tenda wawe wamelewana kuhusu mishahara ya wazawa @@christophergervas1409
Vipi kuhusu reli ya dar tanga arusha.....kule reli ni mbovu na hatuoni jitihada zozote za maboresho
Naon huk kumetengwa nilishasema ata uku kunahitajik sgr...kama pesa ni shida waunge kuanzia pwan waend ad arusha kwanz then baadae warud tanga mjin
Hongereni Sana TRC🎉
huku sió tz kaka..wanapeleka kusiko na tija
@@casmiraugust6853 wameshindw kufikiria mbal
Mnaota ndoto za reli nyingine wakati hii komedi bado inendelea, wajinga!! Na haya malori ya mifisidi, wataipeleka wapi? Mtasubiri hadi mpofuke. Ondoeni milori ya wanaokwamisha reli!?
Tutaona haya mapambo hadi lini?
Shida nini we mjinga? Kwaio wasioneshe mradi unavyoeendelea huko kigoma. kwa africa nzima kwa saivi Tanzania ndo inajenga mradi mkubwa wa SGR.
@@helsingvanny3199 Mjinga aliyukuzaa na ukawa chokoraa! Kwa nini hukuenda shule? Umebaki na michezo ya komedi?! Mtaimba hilo li reli lenu kiwete mpaka MTAKOMA, halitakuja kufanuya kazi kwa Mafisadi ( litawala)
@@ezekielmabwai482Vipi mzee Dua lako limegoma?