Bertin I'm so glad that you've finally visited my region. I'll be following you wherever you go as I have been doing... Planning to visit burundi as you have already paved a way to me... Be blessed
For sure Tanzanians we have a lot to thank GOD for our country. Mungu ametupenda sana kutupa nchi hii, kila mahali (mkoa) ni pazuri, na zaidi ya yote mtu anaweza kwenda kuishi popote atakapopenda maana kila mkoa utakuta makabila mengi kama si yote yapo. Mimi nikitafakari naona tunasababu ya kumshukuru MUNGU sana bila kuchoka wala kuacha na kuzidi kuiombea nchi amani. Pamoja na madhaifu madogo madogo ambayo hayakosekani popote, lakini kweli MUNGU ametupendelea kwa mengi wa Tz. Asante sana kwa ku share video nzuri ya mkoa wa Kigoma, such a nice region among others in Tz.
Kigoma is the future of Tanzania when the exploitations of oil and gas start 2030 in the lake of Tanganyika as planned by the government of Germany, Congo and Tanzania.
Kigoma mji wote asilimia 95 umepimwa. Mpaka uswahilini. Mbeya sehemu nyingine hakuna barabara. Vilima vyote vya Kigoma mjini vimejengwa nyumba nzuri as opposed to Mwanza City na Mbeya. Ukienda Mwanza na Mbeya kuna ujenzi holela saba kwenye miinuko.
Chuki zako hazikufikishi popote. Kwani watu si wanaona barabara nzuri zilivyojengwa. Usikariri Kigoma mjini inabadirika kwa kasi sana. Kigoma asilimia 95 imepimwa.
Najivunia kua mzawa wa kigoma licha yakua imebaki chimbuko langu napenda sana Tanzania 🇹🇿 yangu💪❤❤❤❤
Tanzania is so beautiful please keep the country safe&clean
Tanzania is also known for their good music, the whole world is listening to Tanzanian music🎶 now.. Congratulations to them!! We love their music
Wow..Congratulation to TANROADS kigoma region🤝
Kigoma has better roads than morogoro and Mwanza. Definitely giving Rwanda vibe. Big up Kigoma ppl kwa usafi 💪🏾
Asante Mungu kwa kuzaliwa Kigoma napapenda sana
Kigoma iko vizuri Sana aisee, SIYO Ile ya zamani. Kuanzia mjini mpaka vijijini KUMEKUCHA.
Hapajamwangusha Makamu WA Rais, bravo KIGOMA!!!
Kigoma somehow looks like a place on the outer ring of Dar because of this clean organized road and the blue sky in the background
Bertin I'm so glad that you've finally visited my region. I'll be following you wherever you go as I have been doing... Planning to visit burundi as you have already paved a way to me... Be blessed
Beautiful city clean not crowded;
Mother Africa continue to take care of self.
Huwezi amini KIGOMA ina barabara nzuri kuliko MWANZA. Na pia hakuna ujenzi wa hovyo wa slums
kigoma ni miongoni mwa miji ya waswahili iliyopo bara yaani pamoja na tabora 🎉🎉🎉
Bora hata Mwanza, huku Mbeya hali ni mbaya sana
Kigoma barabaran chache @@iskiji1240
Siyo kwel9
You have great content watching from Nairobi
Kigoma is looking so nice I remember last time to visit it was 2017 🇹🇿🇹🇿
Much love from Uganda
Home sweet home
Asante kaka kwa kutupa utalii kwenye Cm zetu
Big up Brother…❤🎉😊
I was born their sasa amenifanya nipamiss MASHAALLAH
Asante sana, Nzuri sana, nitaenda kwa angalia
Sheesh,what a picturesque place!🔥
Nyumbani kwetu❤
For sure Tanzanians we have a lot to thank GOD for our country. Mungu ametupenda sana kutupa nchi hii, kila mahali (mkoa) ni pazuri, na zaidi ya yote mtu anaweza kwenda kuishi popote atakapopenda maana kila mkoa utakuta makabila mengi kama si yote yapo. Mimi nikitafakari naona tunasababu ya kumshukuru MUNGU sana bila kuchoka wala kuacha na kuzidi kuiombea nchi amani. Pamoja na madhaifu madogo madogo ambayo hayakosekani popote, lakini kweli MUNGU ametupendelea kwa mengi wa Tz. Asante sana kwa ku share video nzuri ya mkoa wa Kigoma, such a nice region among others in Tz.
kigoma ni kama miji ya pwani Lindi, Mtwara bagamoyo yaani umepangwa ❤❤❤❤❤
Mji huo upo kando kando na fukwe za ziwa tanganyika
Safi sana good content kigoma imepangwa sana
BEUTIFULLY CITY KIGOMA, PANA PENDEZA ASANTE KWA UPDATE ZA KIGOMA, BONGO KILA SEHEMU PAZURI
Kigoma looks super modern I am impressed honestly! Bro i am also loving ur drone shots!! amazing scenery
am not good in english ,lakn nashukuru kwa kaz nzuri kuhusu mji wangu ,am from Kasulu town
very good brother, please visit katavi region🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Next time
nicely done video
❤
what a beautiful region
Beautiful town kigoma
Nice
kigoma ipo well arranged kwenye mitaa kuliko hata baadhi ya semu ndani ya dar es salaam
Wow KIGOMA has changed, was there in 2002, if it wasnt for the train station i wouldnt have recognized it.
Fanya ufike kasulu
Next time
nyumbani jamani 🥰🥰we still need so much improvement in our region one example is our airport 🤦♂and so on
Usisahau na tabora kupita😊
What like Tanzania is its uniformly development unlike Kenya where development concentrated on certain partt
Brotha, i am a part east afrikan as a Amerikan Afrikan. I am considering tanzania as the best landscape in east Afrika
You are welcome
Muda wa kushoot Kigoma haujafika Bado.
Kigoma is the future of Tanzania when the exploitations of oil and gas start 2030 in the lake of Tanganyika as planned by the government of Germany, Congo and Tanzania.
Do you have any idea why the explanation has to wait until 2030?
Panachangamka. Ila bado sana aisee. Nimeishi hapo muda fulani, nnachopenda ni samaki wapo wa kutosha.
Mwanzo sijaona daradara baskel ani...
Sio mbaya japo wazawa wanaukimbia mkoa wao
Kigoma paovyo sana nyumba za kinyonge ujenzi duni kama mbeya tu
Kigoma mji wote asilimia 95 umepimwa. Mpaka uswahilini. Mbeya sehemu nyingine hakuna barabara. Vilima vyote vya Kigoma mjini vimejengwa nyumba nzuri as opposed to Mwanza City na Mbeya. Ukienda Mwanza na Mbeya kuna ujenzi holela saba kwenye miinuko.
Kigoma mjini kuna barabara nzuri
Not really.
@@StephenNkenguye-l3dHii takwimu umeitoa wapi? Nimgependa kufuatilia zaidi.
Mkoa wa Kigoma kinachonivutia hakuna maharufu ya hovyo hovyo na wanajali miti sana. Nimeishi takeiba ni miaka 2
Hii kigoma mbona kama uwa haiongelewi vizuri aisee,mbona pameendelea kuliko hata morogoro😂
Wanajua vitu vzr Tanzania lazima viwe karibu na Dar😂
Hakuna kitu kama hicho, usifananishe Moro na Kigoma
@@mbwizax87Wewe una comment tu. Barabara za Kigoma ni nzuri kuliko zilizopo Morogoro. Hiyo haipingiki
Ata mimi na shangaa ku zuri sana du
watanzania wengi hatuijui nchi yetu vizuri ila hii nchi nzuri sana😄
Uzuri wa kigoma barabara za mitaa ni pana kama barabara kuuza za mji
Hizi video zisiwadanganye Kigoma ni kubaya sana, tena sana, kuliko town zote za TZ
Chuki zako hazikufikishi popote. Kwani watu si wanaona barabara nzuri zilivyojengwa. Usikariri Kigoma mjini inabadirika kwa kasi sana. Kigoma asilimia 95 imepimwa.
@@StephenNkenguye-l3d naishi Kigoma boss
Mna service vizuri ya maji una weza kunywa ya bomba direct na umeme uko stable pia barabara zikoje ndani ndani...
Sio kweli kigoma sio ile ya zamani sasa hivi imeendelea sana
Room mbaya yako Tupac kuleeè
Mwaka gani huo mlioibiwa tar ngapi ilikua inaitwej
Kigoma ilikuwa inchi ya burundi zamani mulituiba nyiye wa Tanzanie inchi yetu
Province*
No 😂 Burundi 🇧🇮 and Rwanda zilikuwa ndani ya Tanganyika western provinces though 🙄
Tanganyika
Mipaka imewekwa na wazungu, waha, wahangaza, warundi na wanyarwanda ni watu walewale tu
Africa is amazing.