KanutiTV
KanutiTV
  • 29
  • 29 907
SIO KILA KILIO HUWA CHA HUZUNI
Prof. PIUS . Z . YANDA ashangazwa na mapokezi ya waumini wa MKATANGA
มุมมอง: 320

วีดีโอ

KAMA HAUIJUI KIGOMA VIZURI SIKILIZA HII
มุมมอง 416หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Wilaya Kigoma Mjini Mh. SALUM KALLI aizungumzia KiGOMA kinaga ubaga.
NAMNA UGAIDI UNAVYOANZA KWA VIJANA.
มุมมอง 216หลายเดือนก่อน
Majadiliano ya wadau mbalimbali juu ya viashiria vya uvunjifu wa Amani na namna vijana wanavyoingia katika makundi ya ugaidi. majadiliano haya yalifanyika mkoani Kigoma katika wilaya ya Buhigwe.
BARAZA LA UVCCM BUHIGWE LIMEFANYA BALAA ZITO
มุมมอง 4255 หลายเดือนก่อน
BARAZA LA UVCCM wilaya ya BUHIGWE limefanya maandalizi ya kumpokea mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
"BUHIGWE ITAKUWA TISHIO KWA SOMO LA KIINGEREZA"
มุมมอง 6047 หลายเดือนก่อน
Mafunzo kwa walimu wa somo la kiingereza wilayani Buhigwe yaliyolenga kuendana na mtaala mpya ikiwemo mbinu lukuki za ufaulishaji wa wanafunzi
"HATUOGOPI MTIHANI WA TAIFA"
มุมมอง 2698 หลายเดือนก่อน
Wanafunzi wa shule ya msingi MJI MPYA wamesema kuwa hawaogopi mtihani kwakuwa wamejiandaa vema kuukabili mtihani wa Taifa wa darasa nne 2023
HII NDIO MAANA YA NENO 'BUHIGWE"
มุมมอง 6059 หลายเดือนก่อน
Chemsha Akili ni kipindi ambacho kinadadisi uelewa wa watu kuhusiana na ufahamu wao juu ya Mambo mbalimbali.
UKAGUZI WA MIRADI NA MKESHA WA MWENGE (EPISODE 2)
มุมมอง 74810 หลายเดือนก่อน
UKAGUZI WA MIRADI NA MKESHA WA MWENGE (EPISODE 2)
MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU WILAYANI BUHIGWE 2023 - EPISODE 1 (BURUDANI na SHANGWE)
มุมมอง 1.8K10 หลายเดือนก่อน
Mwenge wa Uhuru umepokelewa wilayani Buhigwe tarehe 20 Agosti 2023 ikiwa ni muendelezo wa mbio za Mwenge kitaifa. Hii ni sehemu ya kwanza ya Mbio za mwenge ikihusisha shangwe la mapokezi lililofanyika katika kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe.
MKUU WA WILAYA YA BUHIGWE AWAKARIBISHA WANANCHI KUUPOKEA MWENGE
มุมมอง 77810 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Wilaya ya BUHIGWE Mh. KANALI MICHAEL MASALA JUSTIN NGAYALINA amewaomba wananchi kuudhuria katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Wilayani BUHIGWE.
"JAPO NINASOMA MEMKWA, NAAHIDI NITATIMIZA NDOTO ZANGU"
มุมมอง 24310 หลายเดือนก่อน
Ni jambo la kuleta faraja kuona watoto wakiongezeka kupata elimu kupitia Programu ya ELIMISHA MTOTO, hivyo tunapaswa kuwahimiza wazazi , walezi na jamii kiujumla kuwapeleka watoto shule.
"WABABA NI MARUFUKU KUNYONYA MAZIWA"
มุมมอง 13K10 หลายเดือนก่อน
MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI YALIYOFANYIKA WILAYANI BUHIGWE KATA YA NYAMGALI
TAZAMA SANAA INAVYOZIDI KUKUA WILAYANI BUHIGWE
มุมมอง 45411 หลายเดือนก่อน
TAZAMA SANAA INAVYOZIDI KUKUA WILAYANI BUHIGWE
Bonanza la maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wilayani Buhigwe
มุมมอง 61111 หลายเดือนก่อน
Maandalizi ya kuupokea Mwenge wa uhuru yamefanyika leo tarehe 29-07-2023 katika wilaya ya Buhigwe. Maandalizi hayo yalipambwa na Bonanza lililosheheni michezo mbalimbali ili kuwahamasisha wananchi waweze kujitokeza kwa wingi siku Mwenge utakapowasili wilayani hapo.
Kamati ya siasa Mkoa wa Kigoma imetembelea na kukagua Miradi wilayani Buhigwe
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
Kamati ya Siasa kwa kushiriakiana na ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kigoma imetembelea na kukagua Miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa wilayani Buhigwe
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika Kimkoa Wilayani Buhigwe kijji cha BUKUBA.
มุมมอง 378ปีที่แล้ว
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika Kimkoa Wilayani Buhigwe kijji cha BUKUBA.
MKUU WA MKOA WA KIGOMA ATOA TAARIFA KWA WANANCHI WA MKOA WA KIGOMA
มุมมอง 3.5Kปีที่แล้ว
MKUU WA MKOA WA KIGOMA ATOA TAARIFA KWA WANANCHI WA MKOA WA KIGOMA
WILAYA YA BUHIGWE YAPOKEA MSAADA
มุมมอง 769ปีที่แล้ว
WILAYA YA BUHIGWE YAPOKEA MSAADA
KATIBU WA WAZAZI MKOA WA KIGOMA AHIMIZA KUMALIZIKA KWA MIRADI YA KIUCHUMI WILAYANI BUHIGWE
มุมมอง 155ปีที่แล้ว
KATIBU WA WAZAZI MKOA WA KIGOMA AHIMIZA KUMALIZIKA KWA MIRADI YA KIUCHUMI WILAYANI BUHIGWE
CHANZO HIKI CHA MAJI KITUNZWE
มุมมอง 334ปีที่แล้ว
CHANZO HIKI CHA MAJI KITUNZWE
VIONGOZI WASHIRIKI KUFANYA USAFI SOKO LA MUYAMA
มุมมอง 492ปีที่แล้ว
VIONGOZI WASHIRIKI KUFANYA USAFI SOKO LA MUYAMA
Daraja la mawe lazinduliwa Janda
มุมมอง 244ปีที่แล้ว
Daraja la mawe lazinduliwa Janda
Ufunguzi wa mashindano umitashumta wilayani Buhigwe
มุมมอง 214ปีที่แล้ว
Ufunguzi wa mashindano umitashumta wilayani Buhigwe
Mkurugenzi akanusha taarifa za uzushi zilizotolewa na gazeti la mwananchi
มุมมอง 295ปีที่แล้ว
Mkurugenzi akanusha taarifa za uzushi zilizotolewa na gazeti la mwananchi
Mkuu wa wilaya ya Buhigwe aishukuru serikali kwa kuleta program ya ELIMISHA MTOTO
มุมมอง 197ปีที่แล้ว
Mkuu wa wilaya ya Buhigwe aishukuru serikali kwa kuleta program ya ELIMISHA MTOTO
May 7, 2023
มุมมอง 63ปีที่แล้ว
May 7, 2023
Hawa watoto ni taifa la kesho ni jukumu letu kuwaelimisha
มุมมอง 70ปีที่แล้ว
Hawa watoto ni taifa la kesho ni jukumu letu kuwaelimisha
Mkurugenzi mtendaji atembelea mto malagarasi ikiwa ni sehemu ya miradi ya wilaya
มุมมอง 865ปีที่แล้ว
Mkurugenzi mtendaji atembelea mto malagarasi ikiwa ni sehemu ya miradi ya wilaya
Mafunzo ya MEMKWA yaliyofanyika wilaya ya Buhigwe
มุมมอง 123ปีที่แล้ว
Mafunzo ya MEMKWA yaliyofanyika wilaya ya Buhigwe

ความคิดเห็น

  • @ibrahimwabu932
    @ibrahimwabu932 16 วันที่ผ่านมา

    kazi nzuri sana

  • @user13375
    @user13375 หลายเดือนก่อน

    wanajifunzia misik...

  • @joycehamka3825
    @joycehamka3825 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa elimu hii

  • @M_STARTERBOY
    @M_STARTERBOY 2 หลายเดือนก่อน

    Umetisha

  • @user-xo5bn3dd5k
    @user-xo5bn3dd5k 5 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hiyo big up bro

  • @AbduliHussein-jt7ou
    @AbduliHussein-jt7ou 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona walev kibao humu

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 8 หลายเดือนก่อน

    Waafrica mtaendelea kutawaliwa hadi mfe yani watu na akili zao mnaongea mambo ya maziwa usenge mtupu, umaskini

  • @user-qb8qr4dq8k
    @user-qb8qr4dq8k 9 หลายเดือนก่อน

    We mwamba tunakutegemea

  • @MwigaKatumpula-mi3zt
    @MwigaKatumpula-mi3zt 9 หลายเดือนก่อน

    Namna hiyo, BUHIGWE ni sehemu ambayo ina kheli 😃😃👏👏

  • @agreymwambete1998
    @agreymwambete1998 9 หลายเดือนก่อน

    unajua kwanini nachekaaa😂

    • @kanuti2021
      @kanuti2021 9 หลายเดือนก่อน

      Kwann kaka

  • @agreymwambete1998
    @agreymwambete1998 9 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @agreymwambete1998
    @agreymwambete1998 9 หลายเดือนก่อน

    mwanangu nyuma hapo kawaka mapema tuuu

    • @kanuti2021
      @kanuti2021 9 หลายเดือนก่อน

      Hahahah

  • @user-cc2li4gu6d
    @user-cc2li4gu6d 9 หลายเดือนก่อน

    mbandandu

  • @gavanaluyagwah1405
    @gavanaluyagwah1405 10 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi akinamama muache kabisa kuwapa Akina Baba Nyonyo zenu. Ninafikiri nyinyi ndio chanzo Cha janga Hilo mmewazoesha.

  • @FulahaNzenje-kz9rb
    @FulahaNzenje-kz9rb 10 หลายเดือนก่อน

    nyamugali.safi.mama.zetu.awaona

  • @user-sh2yc4kj4f
    @user-sh2yc4kj4f 10 หลายเดือนก่อน

    Saf sana mh DC nakupata nikiwa tunduma Tanzania

  • @NubisonBunera-em7oy
    @NubisonBunera-em7oy 10 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana ndugu zetu wa buhigwe burudani ni nzuri sana kiufupi mmetisha

  • @raymondngeze3461
    @raymondngeze3461 10 หลายเดือนก่อน

    Hongereni wanabuhigwe nyumbani mumeupiga sanaaa aseee sio kwa burudani hiyooo

  • @yothamlameck2973
    @yothamlameck2973 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana kiongozi wetu DC mpendwa kwa taarifa, hatutakuangusha tupo tayar kuupokea

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 na wewe pia uache kunyonya maziwa na sisi tutaacha kunyonya kama uachi na sisi atuachi ulitakiwa kusema kwanza wewe kuwa umeacha

  • @ManaseBuhanza-cl1lc
    @ManaseBuhanza-cl1lc 10 หลายเดือนก่อน

    Kigoma wazazi kero mchago ya shuleni kusababisha wanafunzi kuwa watoro na wazazi kutaharuki ,hususa kata za msambara shida sana

  • @yothamlameck2973
    @yothamlameck2973 10 หลายเดือนก่อน

    Pongezi kwa VIONGOZI kwa kampeini nzur iliyofanyika kwa kuhamisisha unyonyeshaji wa watoto ipasavyo❤❤

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 10 หลายเดือนก่อน

    Eh huyu mkuu yupo sawa kweli? hili jambo anatakiwa atoe elimu hiyo kwa usahihi, kuna kunyonya maziwa halisi kutoka ktk titi na kunyonya titi bila kuvuta maziwa na hivi vitu vinatofautiana matumizi kwa makusudioa maalum, mwanamke huwezi kumuingilia kama mbuzi au kama punda au kama kuku, mwanamke anahitaji maandalizi maalum kwa ajili ya kumueka ktk mazingira mazuri kisaikolojia ili kupokea tendo la ndoa na ktk maandalizi hayo titi la mwanamke nalo pia linahusika ktk kumuandaa, sasa anatokea mtu kiongozi kama huyu anaongea mambo ya ndani hadharani kwenye hadhara ya watu huyu kiongozi ndio miongoni mwa wajinga wasiojua ni nini ndoa au nini tendo la ndoa tendo la ndoa ni starehe huwezi kumuingilia mwanamke kama unambaka, kama huna elimu ya jambo lolote usiongee mbele za watu hata kama ni kuongozi huo ni ujinga

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 10 หลายเดือนก่อน

      Pole mana yamekukuta, sasa kwani we hujaelewa nini hapo? au ndo we unanyonya maziwi ya wanao unawanyima haki Watoto? Kukusaidia tu, umeambiwa usinyonye maziwa ya watoto kama ni hilo titi subiri muda wakua titi tupu utalivuta😂 kaaah Jmn 🤦‍♀️

  • @EdithaAlasi-wg2pt
    @EdithaAlasi-wg2pt 11 หลายเดือนก่อน

    Wang amezoea mm mwenyewe napenda San kunyonywa sijui itawekanaje kuacha

    • @jamesjahasa4726
      @jamesjahasa4726 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 11 หลายเดือนก่อน

    Wangu alivyozoea kunyonya na mimi napenda sana aninyonye sijui itakuwaje sasa?😂😂😂

    • @kanuti2021
      @kanuti2021 11 หลายเดือนก่อน

      Sasa itakuwaje hahaha

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 10 หลายเดือนก่อน

      Starehe kubwa tusiyoweza kuikosa sisi wengine, nyonyo moja tamu sukari tupu, moja chachu kidogo 😂😂😂

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 10 หลายเดือนก่อน

      @@Sheba4651 ngoja tu aendelee kunyonya kama kuna utamu mnapata🤣🤣🤣

    • @jamesjahasa4726
      @jamesjahasa4726 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @jumaevarist9103
    @jumaevarist9103 11 หลายเดือนก่อน

    Duh!

  • @ATHANASLUKEHA-ui7pq
    @ATHANASLUKEHA-ui7pq 11 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana mheshimiwa mkuu wa mkoa Kwa uwasilishaji mzuri wa miradi ya kuifanya Kigoma commercial hub.Mheshimiwa rais atusaidie pia kuzijenga Barbara za Kigoma ujiji KISASA,kama ilivyo Kwa mikoa ya kibiashara,maana Barabara Za mkoa huu zinvyojengwa,ni aibu tupu,wananchi wanajiuliza maswali mengi.

  • @raymondngeze3461
    @raymondngeze3461 ปีที่แล้ว

    Taarifa nzuri ila tungependa muwe munajitaidi kuzitoa tarifaa zote za kuhusu buhigwe haswa za pande ya tarafa ya Muyama kata ya Mugera tunazisikia kupitia watu badala ya kuzipata kwenye tovuti hii

  • @michaelkizwili2616
    @michaelkizwili2616 ปีที่แล้ว

    Genious professor mchango wake unaoendelea uko ni moja ya juhudi zake anazo endelea kufanya kuipammbania jamii ya watu wa kigoma kwa ujumla tujivunie kuwa na prof Yanda tupo dar es salaam ila uwepo wake uku uku alipo anatuoneaha upendo wa hali ya juu na kutufungulia milango ya kuuendeleza mkoa wetu. Tunahitaji akina prof Yanda wengi wengi katika mkoa wetu

  • @azaellivingston7415
    @azaellivingston7415 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana viongozi kwa kutendea haki serikali yetu

  • @godfreyochogo9086
    @godfreyochogo9086 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Mh Essau N

  • @tupolivetz4168
    @tupolivetz4168 ปีที่แล้ว

    Nice Info

  • @danielkiriku4843
    @danielkiriku4843 ปีที่แล้ว

    Naibuwamadini

  • @sadickjaphet6293
    @sadickjaphet6293 ปีที่แล้ว

    Good

  • @dausonnkeyemba3760
    @dausonnkeyemba3760 ปีที่แล้ว

    Waooooooh.. MUNGU ibariki BUHIGWE Mungu wabariki viongozi wetu... Amen

  • @didassadik8075
    @didassadik8075 ปีที่แล้ว

    Safi wana buhigwe

  • @darasiuskabida6609
    @darasiuskabida6609 ปีที่แล้ว

    Tembeleeni na maeneo Mengine jukwa hili limetoa SoMo zuri sana

    • @AlexNkamata
      @AlexNkamata ปีที่แล้ว

      Tukikaribishwa tuko tayari Sanaa

  • @goldianrudovick4734
    @goldianrudovick4734 ปีที่แล้ว

    Hakika unapambana saana boss wetu @DED BUHIGWE KAZI IENDELEEE

  • @goldianrudovick4734
    @goldianrudovick4734 ปีที่แล้ว

    Hakika unapambana saana boss wetu @DED BUHIGWE KAZI IENDELEEE

  • @goldianrudovick4734
    @goldianrudovick4734 ปีที่แล้ว

    Waaooo, inaendeza saana

  • @darasiuskabida6609
    @darasiuskabida6609 ปีที่แล้ว

    Iko vizuri Wadau WOTE washirikishwe