PROPHET IPM AGOMA KUMZUNGUMZIA NABII KIBOKO YA WACHAWI, ATOA NENO WALOKOLE KUWA MATAJIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • SEHEMU YA PILI YA MAHOJIANO NA PROPHET IPM AKIZUNGUMZIA BAADHI YA WACHUNGAJI KUWA WACHAWI NA KUWAVUTA WAUMINI KICHAWI KISHA KUWAPIGA PESA

ความคิดเห็น • 30

  • @JamesPeter-y3w
    @JamesPeter-y3w 26 วันที่ผ่านมา +1

    Amna

  • @jenipherkachecheba8097
    @jenipherkachecheba8097 25 วันที่ผ่านมา

    nakukubali Prophet

  • @user-pw9pz5gj3s
    @user-pw9pz5gj3s หลายเดือนก่อน

    Nakukubari sana ipm

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu naye ni NDUMILA KUWILI ni mjanja mtafutaji
    Mwa aliye funuliwa na Mungu anakuwa ha na haja ya kusoma maandiko vitabuni, anapaswa kueleza NENO kisha waumini wao ndio wataangakia maandiko. Mtumishi wa Mungu anakija na NENO siyo kusoma mistari vitabuni..

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 28 วันที่ผ่านมา

    Walokoke mpoooo msikikize huyu mchungaji upate maarifa

  • @annanamuyala
    @annanamuyala หลายเดือนก่อน

    Chuo siyo ndiyokitakacho kuingiza ufalime wa mbinguni apana nia duniani yani ukiitwa nikujiongeza tu

  • @HenryRuharara-l5r
    @HenryRuharara-l5r หลายเดือนก่อน +1

    Mafuta,,,ya upako na maji ya upako uko sawa,,,,usiache kusema ,,,wapenda kweli tuko nyuma ysko

  • @danielkamau2987
    @danielkamau2987 หลายเดือนก่อน

    Alika Ndacha akufundishe bibilia.

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤t is a 🌷❤🙏🙏🙏🙏

  • @suzanagilbert2523
    @suzanagilbert2523 12 วันที่ผ่านมา

    Hakuna miujiza feki

  • @danielkamau2987
    @danielkamau2987 หลายเดือนก่อน

    Debate na Ndacha tunjue ukweri wa bibilia..

  • @marymassawemassawe
    @marymassawemassawe หลายเดือนก่อน

    Mch kuwa makini YESU anarudi hili jambo la kutoa kafara kuchinja linatoka wapi jamani mtuache tu jamani tusimame kwa zamu zetu wenyewe yule unaeona afadhali kumbe hakuna kitu

  • @marymassawemassawe
    @marymassawemassawe หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa nakukubali kwa kiasi Ila kwa kafara umeniacha mbali sijakuelewa

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 หลายเดือนก่อน

    IPM unyoke na mambo y'ako hueleweki unaongea vitu ambavyo havieleweki mara.biblia inaonyesha kila.kitu mara umechunguza miaka.3 walokole hawana hela mara kuvaa suruali wanawake sio dhambi angalia kudandia gari kwenye kibini.utagongwa baba.mkwe dunia haziko mbili waumbaji.hawako wawili.chagua Moja usimhubiri Mungu kama hajakutokea huwezi kumpendeza Mungu pasipo kumwamini.kuwa.anaweza kutenda

  • @chamaibra5966
    @chamaibra5966 หลายเดือนก่อน

    Yani hawa wachungaji wizi mtupu eti ana degree kumi na gwajima anatunga vitabu anauza Korea wizi mtupu

  • @user-eb9ni9sb3n
    @user-eb9ni9sb3n หลายเดือนก่อน

    Sasa elimu ya Dunia itakufikisha kwenye ufalme?

  • @FrancoisMangala
    @FrancoisMangala หลายเดือนก่อน

    SASA WEWE KAMA UNAPEWA UDUMA ALAFU UNA SHINDWA KUKEMEA WENGINE HAUFAI,HEKIMA YAKO NI YA KIDUNIA AO UNAJUWANA NA KIBIKO YA WACHAWI......BIBLIA INASEMA ONYA,KEMEA,KARIPIA

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 หลายเดือนก่อน

      @@FrancoisMangala hakuna mtumishi wa mungu ni wakala wa shetani

  • @MkuuKuu
    @MkuuKuu หลายเดือนก่อน

    Mchungaji anayejua kuongea kiarabu na swala za kiislamu kuliko mistari ya Biblia! Mti hujulikana kwa matunda yake. Bora arudi alikotoka.

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 หลายเดือนก่อน

    Uho ndo unafiki hakuna hekima ya kutokesema ukweli

  • @user-ob2ik5gy1b
    @user-ob2ik5gy1b หลายเดือนก่อน

    Jpm umefeli kwakuwa umetoka kwenye njia sahii yenye mafundisho ya Mungu wa kweli ukafuata mafundisho ya watu

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 หลายเดือนก่อน

      @@user-ob2ik5gy1b njia sahihi ni uisilamu hapana ndo maana mnaomba mwisho mwema amna njia sahihi

  • @seveboytz
    @seveboytz หลายเดือนก่อน

    Degree 10 hongera baba mchungajiiiiii

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j หลายเดือนก่อน

    Kiboko ni mwenzie anasemaje?

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 หลายเดือนก่อน

    Hapo unatulisha matango poli ya mungu hayasomewi ni uongo wa dhahili kabisa

  • @swedijuma-rn4kr
    @swedijuma-rn4kr หลายเดือนก่อน

    Wajinga ndio waliwao umetoka katika din ya haki wakamue hao maana dunia ndio pepo yako akhera huna kitu.

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 หลายเดือนก่อน

      Akhera ataensa sujudu motoni.
      Maana mila nafsi yenyewe Ina alama ya usaliti huzidiana kutokana na elimu ya shetani katika uovu. Huyu amezidi mno.
      Nabii wa Mungu anapo kuja hana haja ya kushika kitaabu, yeye hunena neno tu.

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 หลายเดือนก่อน

    Mwislamu aliyejiongeza aliyeamua kupiga pesa kupitia ukristo. Endelea kukamata wajinga kupitia degree zako 10

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 หลายเดือนก่อน

    IPM unyoke na mambo y'ako hueleweki unaongea vitu ambavyo havieleweki mara.biblia inaonyesha kila.kitu mara umechunguza miaka.3 walokole hawana hela mara kuvaa suruali wanawake sio dhambi angalia kudandia gari kwenye kibini.utagongwa baba.mkwe dunia haziko mbili waumbaji.hawako wawili.chagua Moja usimhubiri Mungu kama hajakutokea huwezi kumpendeza Mungu pasipo kumwamini.kuwa.anaweza kutenda