Ndacha the best teacher ever,, Mafundisho yake yako sawasawa na maaandiko... We are guide by holy spirit and scripture.... Ni nini ndacha amafundisha kinyume na maandiko
Mimi nilijifunza mambo mengi sana kwa ndacha nampenda sana ametumwa na Mungu S.D.A tunapaswa kuamka Mimi ata sijawahi sikia mwingine akihubiri kama Francis amebarikiwa sanana Mwenyezi Mungu aendelee kumbariki.
Mwalimu Ndacha unapigwa mawe because of what God has put in you, continue preaching the Gospel of our Lord Jesus Christ waislam waache Muhammad wamfuate Yesu
Kulingana na mimi mwalimu Ndacha anafundisha injili ya kweli ya yesu kristo anapigania injili kama mtume shujaa Mungu ampiganie mwalimu Ndacha tunakupenda sana umewafunua wengi macho walikua gizani🙏🙏
Mwenyezi Mungu Atukuzwe kumtuma mtuma mjumbe wake kutuokoa tuliotekwa nyara na Babeli iliyojaa mafundisho ya uongo ili kupitia Mtumishi wake Ndacha watu kama mimi tuurithi ufalme wa Mungu.
Easter you should start to listen to ndacha na not just be the blind follower you really should be present at his classes na sio kuwa hapo physically but mentaly na hapo ndipo wengi hufail by the way they dont hamuskizi pastor ana sema nn mungekuwa mukk makini kusingekuwa na mkristo sai duniani
@@jei_Ibrahim sijaona ubaya ya mafunzo take kwa sababu EGW alisema Kila mtu apimwe na maandiko matakatifu Isaiah 8:20 especially about trinity so if you think you have some truth mchallenge na maandiko ambalo ndilo nguzo ya kurekebishana kama watoto was Mungu
Anachokisema mtumishi ni sahihi rafikiangu tuwe makini wengi watatoka kwetu nakuwa maadui wa ndugu zao huo ndio ukweli,ajitengae na sisi atafuta faida yake mwenyewe biblia inasema hivo...pia imetabili nyota zitaanguka ndo hivo unabii lazima utimie
Ellen white said a new organization will be formed, counting fundermental principals as false and bringing new beliefs where they have introduced their 3 Gods in one.
Ushuhuda wangu ni kwamba mahubiri ya ndacha yamenifanya nimekuwa imara katika imani tangu nianze kumfuatilia,Bwana Yesu Asifiwe Kwa kumwinua mtu Kama huyo From 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mimi uwamini bible na roho ya unabii na Ndacha ufunza vile iko the truth, but huyu unataka wakristo waendelee kuamini chochote kitokacho huko juu conference ata bila kujua kimetokana na nini, ata kama kinaenda kando na bible tuamini, please noooooo tunaongonzwa na roho wakristo sio watu waliojiingiza kwa siri kwa SDA , yuda 1 na if i may ask bona paul walipigwa na bona Stephen alipigwa mawe? Hope umeelewa so wenye roho wakrito lazima tuchunguze hicho mnacho tufunza, na if we follow bible ama neno, Ndacha speaks the truth Na Mungu amrehemu . Tumejifunza mengi ambayo tumefichwa na awa waubiri wetu...nikiangalia bible Ndacha tells only what is written
Nyinyi waislamu huu ujumbe unawahusu mini,,ndacha and his team are the only people who have shaken Kenya interms of kufungua watu macho Kwa injili wanayoipeleka,, atleast Ur making people to know him better wakienda pale wataskiza ujumbe Kwa channel ya BIBLIA NURU YA DUNIA
SDA ambayo iko under general conference sio pure SDA hakika naomba kama tunaeza msaidia Kwa pesa coast field aendelee na mafundisho wacha kumkashifu mtumishi WA mungu ww
Nilitafuta hii channel sana nione huyu mtu anahumbili Ndacha Ndacha na hasemi uongo wa Ndacha 🤣🤣🤣 Kenya mzima Ndacha ndiye anahumbili ujue ni chuki mnayo. Kweli Ndacha amekuwa shujaa wa injili kama mtume Paulo😀 anapea wahumbili wa uongo sleepless night😆😆
Nimezaliwa na Kukulia katika Kanisa la SDA, Lakini Leo hii Sipo Kule, Bali Naamini Kile Ndacha Uwa Anafuza. Mimi ni Mtumishi wa Mungu Kwa Njia ya Kristo Yesu.
Mm ni mwadventista msabato ambaye napenda ukweli na mafundisho ya Yesu, nynyi sda wa saai sii wa awali bali ni viraka tu na matusi lkn ukweli wa Mungu utasimama kupitia mtumishi wa Mungu Francis Ndacha. Nyinyi chenye mnayo ni udhehebu na ufarisayo tu lkn ukweli wa Mungu hampendi
Mimi ni muadventista pado nimepigwa na putwaa na siri ambazo Ndacha ametoa na kubainisha peupe, 1-kwa nini SDA leaders ampao tunawategemea hamjakanusha madai ya ndacha kwa hoja yani maandiko kwa mfano tuonyesheni fantamental believes za sasa hivi na fantamental principles za Ellen G.white kama kuna tofauti.
wachaneni na Mwalimu Ndacha ahubiri ukweli, kanisa ni jengo tu na Ndacha ako nje kuhubiri na kufungua macho ya kiroho ya wale waliopotea ndio tupate ukweli lakini nyinyi mwahubiri Ndacha. muacheni tafadhali na mhubiri Mungu..
I left SDA when i disagreed with the church on the doctrine of Trinity which is a fake and demonic doctrine. This doctrine is soo fake that even the pioneers rejected it. So, i agree with Pst. Dacha 100%. Waache kucheza na imani ya watu na kueneza uongo.
Ata mimi nawaomba wajungaji wa kanisa ya Seventh day wakutande na mwalimu ndacha waunde manda wangelele kusu kwanguka kwa Kanisa ya seventh day aty kileweke... Ukwe nikwamba Kanisa ya Sabato ya kisasa nimuonekano tu kwa hije lakini mafundisho yamealipika wameungana na umoja wamakanisa lakini kondoo awajui wao wanaenda tu wanajua Kanisa liko sawa lakini kwawale kondoo welefu ambao wana soma wamejua Kanisa limeanguka....Bibilia hinasema tusemesane kwa nn wajungaji musionge tujue shida iko wapi✍️
Enyi wasabato msiokubali kubadilika MUNGU YAHWEH atawaangamiza kabisaa… maana mmepotea na mmekengeuka na hamtaki kubadilika kurudi mwanzo mlivyokua… hakika mtapotea na taji yenu itabebwa na mataifa
Siku hizi kanisani hakuna mahubiri tena ni injili ya mambo laini tuu, uwakili wa utoaji, manabatiza hata wenye Rasta, kina mama ni elders, ni pastors na wanawake kuvaa trousers na miniskirts kama huu ndio mtindo hata mimi nitamfuata Ndacha
Chakushangaza nivile nimeona hio barua eti haruhusiwi mpaka kutumia nyimbo za kristo...haa mmenda saana watu nyinyi....mkp karibu kusema ata asiombe kupitia jina lamungu wadau ...kaa nyimbo nizakumsifu mungu bona mkatalie nazo...kuna pahali nyimbo na maombi sinasifu kanisa...ebu kaeni na jina sda sisi tutakaa na seventh day remnant church...hatuna haja na vita ya hio jina ingine la adventist....hio tumewaachia bure sisi nikanisa lamasalio...tutaungana kidete na mwalimu ndacha nawote mnaendelea kuvuta kanisani natutahubili hii injiri...navike mtaendelea kujaribu kutuangamiza ndivyo neno litaendelea kuenea...hamuwezi mungu namuache kushindana namungu mkistaki kanisani...pilato mwenyewe alikataa kushindana na mungu naakaosha mikono yake...acheni acheni tokeni kwa injiri potovu ya trinity na 27fandamental bliefs mmje tuungane turudishe watu katika ukweri wote
It's so sad hujui unayosema. Mama white alisema kweli juu ya GC. Ona watu kama Hawa Sasa, hivi Wewe umewahi kusikia vyenye Ndacha anafundisha? The man is fighting a battle to teach muslims about Jesus and all that, we umekaa na tumbo lako unasema anafundisha uongo. Au GC wamekupromise cheo? Let me teach you something my dear, kwanza I wasn't a sda believer before.. nilikuwa pure catholic na nilikuwa kiongozi tena wa kanda.. sio jengo la wasabato lililonifanya kuamini juu ya habari ya sabato bali kupitia biblia tena ya vitabu 72 ya katoliki niliyokuwa nikisoma ilikuwa ushuhuda Tosha.. Nenda nawe ufundishe watu about God na sio kumuongelea Ndacha. God is using him kwani amewahi kukuomba PESA ya kununulia speaker brother? I'm not trying to insult u or something but wakeup!! Siku za mwisho hizi.. Wasabato KAZI yetu ni kusaidiana kueneza ujumbe wa malaika wa tatu.
FRANCIS NDACHA IS A MAN OF GOD. HE IS PREACHING THE TRUE GOSPEL. WE ARE SUPPOSED TO SUPPORT HIM. THAT SDA UNDER GENERAL CONFERENCE HAS FALLEN SHORT OF GOD'S GLORY. GOD HAS REMOVED HIS SPIRIT IN THIS CONFERENCE.
Hapa kanisa zitakuwa mbili kwa sababu hata mm ciamini kuna Mungu roho na kuna mungu mwana na kuna mungu , hoa wote ambiwa ni mungu mmoja , hapana abandani
Sda wameacha ukweli sasa naona wameanza tabia ya rumi.Badala ya kufundisha ukweli, wameanza kuwakwaza reformers like ndacha na wengine.wanacho Kijali ni winging wa washiruki na mapato . Kweli dada white aliwaona mapema kweli, yani general conference iko na pope, na ni 100% laodicia .
Msemaji uende ukasome vzri,, ndacha is very right and to the point accordng to the bible Adventists these days are very lazy and comfortable they don't want to read for themselves they trust those going to Bugema and Baraton universities,, we need to wake up from slumber
Mimi pia niwa Sabato lakini kuna ukweli kwa ndacha maana anayo yasema yanatoka kwa Bibilia asemi kwa mtomo angekwa anasema kwa mtomo tungejua kuna uongo ata mm hivi kalibu nitajiunga nao
Huyu tumuelewe tu ukweli uuma na ni uchungu sana, yeye anatetea cheo chake kwani ataenda nacho mbinguni fuata ukweli baana ata mimi wacha ndacha mimi na elimu yangu kidogo, hakuna kitu unaeza nifunza but naweza kukufunza kulingana na vile nimekusikia..... Wachana na Ndacha wewe endelea kupoteza tu wenye Hawana elimu
Pastor Ndacha tuko nyuma tuongeze na njiri ya kweli plz pastor hiyo Mambo wa sabato wanasema eti unatupotoza kwa mahubiri Yako washindwe hatukuwambia waungane na dini iko na mafundizo ya Giza no kukataa unabii kanisani na kutuhubiria mambo ya stewardship hiyo nayo no uhubiri wokovu kwanza watu wamjue mungu mambo ya kutoa shaka na sadaka baadae mungu akulinde mwalimu Ndacha Isaya 58:1 piga kelele usiache pasa sauti yako kama trumbeta uwaambie watu kosa lao na nyumba ya Israel
I feel ndacha shouldn't be condemned just because of moving aside from the church. He should be out reached as we engage ourselves in the church and see where we have gone wrong. People have fought openly because of greed and power, imitated teachings that were previously of other churches etc, wewe unaye mchongoa, haujatoa sababu za kutosha. Mtafute mlekebishane kama watoto wa baba mmoja katika imani.
Badala ya kuongea mingi sema amefundisha mini uongo mukosoe .. bibilia inasema ubiri waambie watu makosa yao ..basi muambie kwa kumpima na maandiko.. sda was good but now it's lost
Watu ambao wanapigania Kanisa Sio watu wa mungu,unafaa ulalamike kwamba watu wameacha mungu ama SDA,hata catholic siku Moja ilikuwa Kanisa ya Mungu, ubiri injlu Wacha kuhubiri dhehebu maana hata catholic ikiandikwa SDA haitakuwa Kanisa la mungu Kwa sababu ni SDA,funza watu kushika ukweli na Sio kushika SDA
Ukweli siku zote hijisimamia hakuna awezae kuficha ukweli nawaombeni mutafute nafasi mukaechini na mwalimu ndacha Kama vile Nabii Eliya alivyofanya alafu mutowe mafundusho yote ambayo ndacha aliyofunza ya uongo mujadiliane "LIVE" tukiwa tunawatch tukichambua maandiko matakatifu Kisha kwa Imani roho wa Mungu atatufunulia kweli Ni lipi kupitia maandiko
Wewe pasta Acha kudanganya washiriki hao hilo kanisa la sda limepotea hilo nalo ni romani misaraba kanuni dogma biashara ya kambi wakuu mliojiwekea kinyume cha Mungu wewe endelea kuwapofusha washiriki utakaangwa na Mungu
Sas ukweli ni upi mbona hutuambii Yani ndacha kuwafundidha waislamu kuhusu yesu na wengine wasiomjua yesu amekua mwongo mbona watu wa mungu mnaoneana here???? Sas nyinyi wenyewe hamuelewani na waislamu watawaelewa kweli??
Mtumishi Ndacha anafundisha Kweli tupu kupitia maandiko matakatifu.Wewe ni Kati ya wale wametekwa na madhehebu na kuwapotosha washiriki.Thibitisha hoja zako na maandiko kama mwalimu ndacha na uache kupotoa andiko la 2 wathesalonike 2:3-4
Huyu pastor ni mnafik..Ndacha ni mwalimu na Biblia pamoja n aya za Quraan zinaruhusu kuelimishana kuhusu dini..huyu MTU na suti yake ni mlaghai na muongo..achana na ndacha ngoja sadaka ya bure usiotolea jasho
Kuhubiri SDA Sio kuhubiri injili ya kweli hata catholic ilikuwa Kanisa ya Mungu Hadi siku ambayo watu waliifanya kanakwamba ni Mali Yao jinsi unavyofanya
Mmebaki na SDA jina kwa maana mnafuata mapokeo ya kanisa wala si ukweli wa biblia wala hamtaki kukosolewa mwacheni ndacha hamuhusu kitu ,anapinga uongo wa kanisa
ndungu zangu haya matusi mnayo Kwa ajili dini yatawagalimu siku ya mwisho mwacheni ndacha afundishe wewe unabalikiwa Naye mfwate wewe unaona habaliki moyo wako achana naye
Ndacha the best teacher ever,, Mafundisho yake yako sawasawa na maaandiko... We are guide by holy spirit and scripture.... Ni nini ndacha amafundisha kinyume na maandiko
Mimi nilijifunza mambo mengi sana kwa ndacha nampenda sana ametumwa na Mungu S.D.A tunapaswa kuamka Mimi ata sijawahi sikia mwingine akihubiri kama Francis amebarikiwa sanana Mwenyezi Mungu aendelee kumbariki.
kweli kabisa ✅
Amen mtumishi
Walionana WAP namungu
@@frankmurimi6757 ndacha is sending to hell
WANAMATENGENEZO twamshukuru Sana Yesu Kristo mwana wa pekee wa Mungu kumleta mtumishi wake huyu Mwalimu Francis Ndacha
Mwalimu Ndacha unapigwa mawe because of what God has put in you, continue preaching the Gospel of our Lord Jesus Christ waislam waache Muhammad wamfuate Yesu
Kulingana na mimi mwalimu Ndacha anafundisha injili ya kweli ya yesu kristo anapigania injili kama mtume shujaa Mungu ampiganie mwalimu Ndacha tunakupenda sana umewafunua wengi macho walikua gizani🙏🙏
Ndacha anatumiwa na MUNGU kuubiri injili ya kweli
Mwenyezi Mungu Atukuzwe kumtuma mtuma mjumbe wake kutuokoa tuliotekwa nyara na Babeli iliyojaa mafundisho ya uongo ili kupitia Mtumishi wake Ndacha watu kama mimi tuurithi ufalme wa Mungu.
Ata wakimkataa mungu wetu hajamkataa, ndacha is special endelea kupreach.umewachallange kazi yao nikukaa kwa kanisa
Easter you should start to listen to ndacha na not just be the blind follower you really should be present at his classes na sio kuwa hapo physically but mentaly na hapo ndipo wengi hufail by the way they dont hamuskizi pastor ana sema nn mungekuwa mukk makini kusingekuwa na mkristo sai duniani
@@jei_Ibrahim sijaona ubaya ya mafunzo take kwa sababu EGW alisema Kila mtu apimwe na maandiko matakatifu Isaiah 8:20 especially about trinity so if you think you have some truth mchallenge na maandiko ambalo ndilo nguzo ya kurekebishana kama watoto was Mungu
Mwacheni mtu wa Mungu Ndacha aendelee kutenda kazi ya Mungu ninyi mafarisayo msiotaka kubadilika na mnaotunza amri za GC Kuliko kutunza amri za MUNGU.
MIMI SI SDA NIMEFUATILIA MAFUNDISHO YA NDACHA KWA MUDA SASA THIS MAN IS PREACHING PURE GOSPEL.NAOMBA MPENI SIKIO NDIO MJUE UKWELI.
Hallelujah
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌
Ndio mahali sikubaliani Na ndacha Na kukataa roho n nan Na yesu
Kweli kabisa Ako sawasawa
He is mixing truth with error..be keen and read
No one can stop ndacha he is a man of God we should support by everything including our offering
Ndacha anafundisha watu waje kwa yesu paka wasilamu
Mimi ningekuomba uende ukaeke mada na ndacha juu ndacha ana hubiri vizuri sana ndugu yangu nenda umsikize vzuri
kwa sababu anahubir iliyo kweli, Mungu ndio unapinga?
Anachokisema mtumishi ni sahihi rafikiangu tuwe makini wengi watatoka kwetu nakuwa maadui wa ndugu zao huo ndio ukweli,ajitengae na sisi atafuta faida yake mwenyewe biblia inasema hivo...pia imetabili nyota zitaanguka ndo hivo unabii lazima utimie
Wewe hujajua hata Ellen White alijitenga
Ellen white said a new organization will be formed, counting fundermental principals as false and bringing new beliefs where they have introduced their 3 Gods in one.
Tunafuata ndacha kwa maandiko.
Ndacha ndie anafundisha ukweli, SDA imetekwa na freemason siku hizi
Sema kweli!!!
That's true
Uzuri Sisi tunampenda Kama mwalimu wetu huwa anawapa maandiko Kamili sasa waislamu nmeona hivo mnaiweka hii ndo tumchukie la hasha tunampenda 2
Ushuhuda wangu ni kwamba mahubiri ya ndacha yamenifanya nimekuwa imara katika imani tangu nianze kumfuatilia,Bwana Yesu Asifiwe Kwa kumwinua mtu Kama huyo
From 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mimi uwamini bible na roho ya unabii na Ndacha ufunza vile iko the truth, but huyu unataka wakristo waendelee kuamini chochote kitokacho huko juu conference ata bila kujua kimetokana na nini, ata kama kinaenda kando na bible tuamini, please noooooo tunaongonzwa na roho wakristo sio watu waliojiingiza kwa siri kwa SDA , yuda 1 na if i may ask bona paul walipigwa na bona Stephen alipigwa mawe? Hope umeelewa so wenye roho wakrito lazima tuchunguze hicho mnacho tufunza, na if we follow bible ama neno, Ndacha speaks the truth Na Mungu amrehemu . Tumejifunza mengi ambayo tumefichwa na awa waubiri wetu...nikiangalia bible Ndacha tells only what is written
Francis ndacha amechaguliwa kuifanya kazi yake Mungu.He has got the truth.
Ndacha a true servant of God.. I trust all that he says
Nyinyi waislamu huu ujumbe unawahusu mini,,ndacha and his team are the only people who have shaken Kenya interms of kufungua watu macho Kwa injili wanayoipeleka,, atleast Ur making people to know him better wakienda pale wataskiza ujumbe Kwa channel ya BIBLIA NURU YA DUNIA
Ndacha is from God,we all know the nominal SDA as it stands today is a Catholic church worshiping on Sabbath.
very true 🤝
HUYU NI WIVU TU UNAKUSUMBUA UMEFUATILIA VIZURI UKAJUA KILE ANAHUBIRI AU NI KUPIGA KELELE
SDA ambayo iko under general conference sio pure SDA hakika naomba kama tunaeza msaidia Kwa pesa coast field aendelee na mafundisho wacha kumkashifu mtumishi WA mungu ww
Hiyo ya ndacha vile vile pia sio pure,,..kuvaa jinsi sabato, kupigiga kifua, no real health reform, an many many ills..there is no pure church

Ndacha kiboko ya Mazinge na wenzake, siku hizi wame nywea
Bwana yesu kristo iko,ndacha ni mutu wa Mungu tu
Kweli
Nilitafuta hii channel sana nione huyu mtu anahumbili Ndacha Ndacha na hasemi uongo wa Ndacha 🤣🤣🤣 Kenya mzima Ndacha ndiye anahumbili ujue ni chuki mnayo. Kweli Ndacha amekuwa shujaa wa injili kama mtume Paulo😀 anapea wahumbili wa uongo sleepless night😆😆
Ndacha is sending many sheep's to hell
Nimezaliwa na Kukulia katika Kanisa la SDA, Lakini Leo hii Sipo Kule, Bali Naamini Kile Ndacha Uwa Anafuza. Mimi ni Mtumishi wa Mungu Kwa Njia ya Kristo Yesu.
Mm ni mwadventista msabato ambaye napenda ukweli na mafundisho ya Yesu, nynyi sda wa saai sii wa awali bali ni viraka tu na matusi lkn ukweli wa Mungu utasimama kupitia mtumishi wa Mungu Francis Ndacha. Nyinyi chenye mnayo ni udhehebu na ufarisayo tu lkn ukweli wa Mungu hampendi
Kama unaakili timamu kama unamwamini mungu ndacha anafundisha kweli nasema ndacha ndio Mwalimu Wa kweli Wa imani! Msikilize vizuri utamuelewa!
mtahukumiwa pamoja na hao mnaoshangilia uongo...
MWALIMU NDACHA MAFUNZO YAKE NI KWELI..MAANDIKO HUJIELEWA NA HOJA ZAKE NI SAFI
Mimi ni muadventista pado nimepigwa na putwaa na siri ambazo Ndacha ametoa na kubainisha peupe, 1-kwa nini SDA leaders ampao tunawategemea hamjakanusha madai ya ndacha kwa hoja yani maandiko kwa mfano tuonyesheni fantamental believes za sasa hivi na fantamental principles za Ellen G.white kama kuna tofauti.
Naamini na Ndacha huyu anaongea ukwelii mnaogopa waumini wenu kupotea🙏🙏🙏 mwacheni ndacha ahubiri
wachaneni na Mwalimu Ndacha ahubiri ukweli, kanisa ni jengo tu na Ndacha ako nje kuhubiri na kufungua macho ya kiroho ya wale waliopotea ndio tupate ukweli lakini nyinyi mwahubiri Ndacha. muacheni tafadhali na mhubiri Mungu..
I left SDA when i disagreed with the church on the doctrine of Trinity which is a fake and demonic doctrine. This doctrine is soo fake that even the pioneers rejected it. So, i agree with Pst. Dacha 100%. Waache kucheza na imani ya watu na kueneza uongo.
So you are now a Sunday believer or a member of Ndacha Adventist Church?
@@godwinkatemi5157 That is what is in your to thinking.
@@WEKETV.2999 Time will tell when u r in hell with ur father Ndacha
We'we wcha jazba
Ata mimi nawaomba wajungaji wa kanisa ya Seventh day wakutande na mwalimu ndacha waunde manda wangelele kusu kwanguka kwa Kanisa ya seventh day aty kileweke... Ukwe nikwamba Kanisa ya Sabato ya kisasa nimuonekano tu kwa hije lakini mafundisho yamealipika wameungana na umoja wamakanisa lakini kondoo awajui wao wanaenda tu wanajua Kanisa liko sawa lakini kwawale kondoo welefu ambao wana soma wamejua Kanisa limeanguka....Bibilia hinasema tusemesane kwa nn wajungaji musionge tujue shida iko wapi✍️
Wewe ata unajisikiliza kweli???Ndacha is God's sent
Enyi wasabato msiokubali kubadilika MUNGU YAHWEH atawaangamiza kabisaa… maana mmepotea na mmekengeuka na hamtaki kubadilika kurudi mwanzo mlivyokua… hakika mtapotea na taji yenu itabebwa na mataifa
Siku hizi kanisani hakuna mahubiri tena ni injili ya mambo laini tuu, uwakili wa utoaji, manabatiza hata wenye Rasta, kina mama ni elders, ni pastors na wanawake kuvaa trousers na miniskirts kama huu ndio mtindo hata mimi nitamfuata Ndacha
If you think he is wrong the best thing to do mtumishi is to organize a debate with him. You are right wasabato hawasomi!!!
Chakushangaza nivile nimeona hio barua eti haruhusiwi mpaka kutumia nyimbo za kristo...haa mmenda saana watu nyinyi....mkp karibu kusema ata asiombe kupitia jina lamungu wadau ...kaa nyimbo nizakumsifu mungu bona mkatalie nazo...kuna pahali nyimbo na maombi sinasifu kanisa...ebu kaeni na jina sda sisi tutakaa na seventh day remnant church...hatuna haja na vita ya hio jina ingine la adventist....hio tumewaachia bure sisi nikanisa lamasalio...tutaungana kidete na mwalimu ndacha nawote mnaendelea kuvuta kanisani natutahubili hii injiri...navike mtaendelea kujaribu kutuangamiza ndivyo neno litaendelea kuenea...hamuwezi mungu namuache kushindana namungu mkistaki kanisani...pilato mwenyewe alikataa kushindana na mungu naakaosha mikono yake...acheni acheni tokeni kwa injiri potovu ya trinity na 27fandamental bliefs mmje tuungane turudishe watu katika ukweri wote
It's so sad hujui unayosema. Mama white alisema kweli juu ya GC. Ona watu kama Hawa Sasa, hivi Wewe umewahi kusikia vyenye Ndacha anafundisha? The man is fighting a battle to teach muslims about Jesus and all that, we umekaa na tumbo lako unasema anafundisha uongo. Au GC wamekupromise cheo? Let me teach you something my dear, kwanza I wasn't a sda believer before.. nilikuwa pure catholic na nilikuwa kiongozi tena wa kanda.. sio jengo la wasabato lililonifanya kuamini juu ya habari ya sabato bali kupitia biblia tena ya vitabu 72 ya katoliki niliyokuwa nikisoma ilikuwa ushuhuda Tosha.. Nenda nawe ufundishe watu about God na sio kumuongelea Ndacha. God is using him kwani amewahi kukuomba PESA ya kununulia speaker brother? I'm not trying to insult u or something but wakeup!! Siku za mwisho hizi.. Wasabato KAZI yetu ni kusaidiana kueneza ujumbe wa malaika wa tatu.
Uyu jitu ambiwe ukweli kama mimi n prophecy ilinipea wokovu uyu jitu n kama amepewa pesa ama amekuwa promised cheo ajane Ndacha ahubiri njiri ya mungu
Ndacha anafundishwa Na waislamu
Kama anafundisha uwongo we fundisha ukweli ili tujue tufuate ukweli huo ukweli
FRANCIS NDACHA IS A MAN OF GOD. HE IS PREACHING THE TRUE GOSPEL. WE ARE SUPPOSED TO SUPPORT HIM. THAT SDA UNDER GENERAL CONFERENCE HAS FALLEN SHORT OF GOD'S GLORY. GOD HAS REMOVED HIS SPIRIT IN THIS CONFERENCE.
Ndacha anafunza na kueneza injili ya yesu, wewe baki hapo kwa kanisa(jengo) mimi nafuata mafundisho
Kanisa ni moja la Yesu
The spirit if Elijah and Paul is operating inside Ndacha
Tuko na Ndacha 100%.
you can deny him but God can't deny him nyinyi kaa kanisani mkule sadaka mumeruhusiwa
Hapa kanisa zitakuwa mbili kwa sababu hata mm ciamini kuna Mungu roho na kuna mungu mwana na kuna mungu , hoa wote ambiwa ni mungu mmoja , hapana abandani
Mafarisayo. Wanakataa ukweli wa Mungu. Mwalimu Ndacha ni ukweli. Utatu ni funzo la kishetani.
Ndacha anafikisha ujumbe Kwa usahiii wewe nawe umetoka wapi unaijua biblia kweri
Ww mchungaji kwa heshima zote wachana na Ndacha, hero rises from different angles not by poling other hero down,
Sda wameacha ukweli sasa naona wameanza tabia ya rumi.Badala ya kufundisha ukweli, wameanza kuwakwaza reformers like ndacha na wengine.wanacho Kijali ni winging wa washiruki na mapato . Kweli dada white aliwaona mapema kweli, yani general conference iko na pope, na ni 100% laodicia .
Ninyi ndio kabisa mmeacha imani😂😂😂😂😂😂😂
Msemaji uende ukasome vzri,, ndacha is very right and to the point accordng to the bible Adventists these days are very lazy and comfortable they don't want to read for themselves they trust those going to Bugema and Baraton universities,, we need to wake up from slumber
Mwalimu ndacha yupo vizuri mbona,,, Isaiah 8:20
Mimi pia niwa Sabato lakini kuna ukweli kwa ndacha maana anayo yasema yanatoka kwa Bibilia asemi kwa mtomo angekwa anasema kwa mtomo tungejua kuna uongo ata mm hivi kalibu nitajiunga nao
😂😂😂😂😂 kwanza wew ni muongo tena sana, Dacha ni Mwalim kamili
Wewe hujui unachosema umepotoka,Rudi usome bibilia vizuri ndacha anasema ukweli Bali hawashambuli
Huyu tumuelewe tu ukweli uuma na ni uchungu sana, yeye anatetea cheo chake kwani ataenda nacho mbinguni fuata ukweli baana ata mimi wacha ndacha mimi na elimu yangu kidogo, hakuna kitu unaeza nifunza but naweza kukufunza kulingana na vile nimekusikia..... Wachana na Ndacha wewe endelea kupoteza tu wenye Hawana elimu
Pastor Ndacha tuko nyuma tuongeze na njiri ya kweli plz pastor hiyo Mambo wa sabato wanasema eti unatupotoza kwa mahubiri Yako washindwe hatukuwambia waungane na dini iko na mafundizo ya Giza no kukataa unabii kanisani na kutuhubiria mambo ya stewardship hiyo nayo no uhubiri wokovu kwanza watu wamjue mungu mambo ya kutoa shaka na sadaka baadae mungu akulinde mwalimu Ndacha Isaya 58:1 piga kelele usiache pasa sauti yako kama trumbeta uwaambie watu kosa lao na nyumba ya Israel
If u are man enough my friend can u organize a peaceful debate with him,,Tutaona muongo ni nani,,Ndacha anahubiri maandiko jinsi yalivyo ,,
Ndacha hajakosea kitu
I feel ndacha shouldn't be condemned just because of moving aside from the church. He should be out reached as we engage ourselves in the church and see where we have gone wrong. People have fought openly because of greed and power, imitated teachings that were previously of other churches etc, wewe unaye mchongoa, haujatoa sababu za kutosha. Mtafute mlekebishane kama watoto wa baba mmoja katika imani.
Nimefuatilia mafundisho yake sana sijawahi ona makosa ama uongo
Badala ya kuongea mingi sema amefundisha mini uongo mukosoe .. bibilia inasema ubiri waambie watu makosa yao ..basi muambie kwa kumpima na maandiko.. sda was good but now it's lost
Huyu anatetea kitambi chake Ndacha achana nae kabsaaa ule ni Moto mwingne
Wasabato nyiye catorike, protesitante, nyiye waislam wote mmumeubgabana na uongo mumuache ndacha ahubiri ukweri
😒 Mbona wanadamu mwapigana wenyewe kwa wenyewe na kujiwekea sharia zenu
Ndacha kafundisha uongo lini... this is soo wrong.. I am a sda but this is absolute wrong.
Watu ambao wanapigania Kanisa Sio watu wa mungu,unafaa ulalamike kwamba watu wameacha mungu ama SDA,hata catholic siku Moja ilikuwa Kanisa ya Mungu, ubiri injlu Wacha kuhubiri dhehebu maana hata catholic ikiandikwa SDA haitakuwa Kanisa la mungu Kwa sababu ni SDA,funza watu kushika ukweli na Sio kushika SDA
Ninyi muwenauoga,mtu anasemakwe mnamwita mzushi,(soma isay30:1
Ukweli siku zote hijisimamia hakuna awezae kuficha ukweli nawaombeni mutafute nafasi mukaechini na mwalimu ndacha Kama vile Nabii Eliya alivyofanya alafu mutowe mafundusho yote ambayo ndacha aliyofunza ya uongo mujadiliane "LIVE" tukiwa tunawatch tukichambua maandiko matakatifu Kisha kwa Imani roho wa Mungu atatufunulia kweli Ni lipi kupitia maandiko
Wise advice,cheers
General conference imeanguka haiwez fundisha ujumbe wamalaika watatu abadani
Ujumbe ni wa malaika watatu nyamasa SDA akona musalaba alitoa wapi.
Ndacha anafanya kazi iliomleta duniani, wew hyo ndo kazi yako kumzuia?? ata wew kazi yako ukiwa kama SDA huijuhi!
Wasabato hata Na Ellen G white anasema murisha potea Zamani hamufundishi ukweri tena mwende huko
Hilo ni pepeto na wavivu wa kusoma ndio wananaswa na pepeto za watu kama hawa wakina ndacha
Bibilia yenyewe yasema kuna mfarakani kanisani hamkusanyiki kwa kupata faida ila hasara ndio hayo sasa na bado hamuoni tu
Nyinyi ndio maadui wa watu maana mngekua sio maadui mngejibu maswali Yao wapo wazi
Wewe pasta Acha kudanganya washiriki hao hilo kanisa la sda limepotea hilo nalo ni romani misaraba kanuni dogma biashara ya kambi wakuu mliojiwekea kinyume cha Mungu wewe endelea kuwapofusha washiriki utakaangwa na Mungu
Wewe MUNGU AKUHURUMIA UIJUE KWELI NDACHA NI MUCHUNGAJI WA KWELI WEWE JIFUNZE KWA NDACHA
Sda amkeni acheni ujinga ndacha yuko sawa kabisa nyie endeleeni kuhubiri ujinga unaingia kingi ndacha pongezi zako
Hakuna dhambi takatifu tumeletewa miungu watatu tena wataka tunyamaze
Sas ukweli ni upi mbona hutuambii Yani ndacha kuwafundidha waislamu kuhusu yesu na wengine wasiomjua yesu amekua mwongo mbona watu wa mungu mnaoneana here???? Sas nyinyi wenyewe hamuelewani na waislamu watawaelewa kweli??
Mtumishi Ndacha anafundisha Kweli tupu kupitia maandiko matakatifu.Wewe ni Kati ya wale wametekwa na madhehebu na kuwapotosha washiriki.Thibitisha hoja zako na maandiko kama mwalimu ndacha na uache kupotoa andiko la 2 wathesalonike 2:3-4
Wacha chuki read the bible ndacha ni sawa.
Please leave alone Francis ndacha anafundisha injili ya ukweli kabsa
Mm ni sda mwache ndacha afanye kazi ya mungu Acha kutafuta Kiki kupitia ndacha au andaa dibet na ndacha uone Moto
muache ufala..mwalimu ndacha tunasikiliza mahubiri n mafunzo yake..tangazeni injili...mtetee imani acheni kutetea kanisa...teteeni imani
Unaweza dhibitisha kana kwamba ndacha ni muongo kulingana na mujibu wa bibilia
We'we mwenyewe hata huoni hizo comments za watu zinazo msifu ndacha ni nyingi ww Baki huko general conference
Kama vile wayaudi walivyo mkwaza yesu, ndiyo hayo GC na mafarisayo wake nyinyi mnafanya saa hii na huyo jesuit wenu mkuu kule silver spring usa.
Huyu pastor ni mnafik..Ndacha ni mwalimu na Biblia pamoja n aya za Quraan zinaruhusu kuelimishana kuhusu dini..huyu MTU na suti yake ni mlaghai na muongo..achana na ndacha ngoja sadaka ya bure usiotolea jasho
Wewe SHETANI muongo twambiye kanisa la ndacha liko wapi mimi niende
Uyo mwalim ndacha yuko sawa nayanenavyo maandiko achen porojo zenu hii dunia ss too wasafiri kwaiyo kuwen makin na maneno yenu yakipuuzi
Sasa mbona mnajisemea wenyewe ....hamjui kuwa mmetoka kwenye imani.
Trinity ni uwongo mweupe imeingia kwa kanisa yetu lazima isemwe
Wa adventiste ndio wame acha kweli walio pewa kuwa taifa chaguliwa weme ingiza mapokeo
Kuhubiri SDA Sio kuhubiri injili ya kweli hata catholic ilikuwa Kanisa ya Mungu Hadi siku ambayo watu waliifanya kanakwamba ni Mali Yao jinsi unavyofanya
Kulingana na Mimi Ndacha anaongea ukweli