Viongozi pambaneni Mimi nikiona kiongozi anatoka upinzani anaenda chama tawala hafai Kwa sababu mkomavu wa siasa hoja zintolewa ndani ya chama ndio ukomavu wa siasa pambana mwenyekiti wa Kanda.
Huna sera kabisa! Unaacha kuzungumzia sera za chama unazungumzia habar za magufuli mtu ambaye alipendwa na watu kwenda zako huko. Huna maana kabisa nyumbu ww
MH SUGU JAMAA YETU KAJITAMBULISHA KÙWA MWANASISIEMU FAHAMUNI KUNA WATU WAPO CDM WAKITAFUTA CHEO AKIKOSA TU ANAHAMA NI HATARI SANA NCHI HII SIJUI ITAKOMBOLEWA NA NANI.WANANCHI TUMUOMBE SANA MUNGU ATUSAIDIE KUIOKOA NCHI YETU
Safi
Safi Sana kaka sugu wewe unafaa kuwa kiongozi
Duu hatariiiii, wataipata sana mwaka huu! Kumbe nimejua kwa nini Msigwa alitaka kupandikizwa ili kuzuia nguvu ya Sugu!!
Viongozi pambaneni Mimi nikiona kiongozi anatoka upinzani anaenda chama tawala hafai Kwa sababu mkomavu wa siasa hoja zintolewa ndani ya chama ndio ukomavu wa siasa pambana mwenyekiti wa Kanda.
Kamanda pambana mwaya mwenzako amesha kimbia kwa wahuni ccm
Na tulia mbeya ajiandae kweli kweli!
Huyu jamaaa hatoshi kabisa ukimsikiliza ni pumba tupu
Huna sera kabisa! Unaacha kuzungumzia sera za chama unazungumzia habar za magufuli mtu ambaye alipendwa na watu kwenda zako huko. Huna maana kabisa nyumbu ww
Tupo pamoja Taita😂😂
Siku moja huo ujinga wa kutekana, utatuangamiza
mimi nimeshapita na mbili
MH SUGU JAMAA YETU KAJITAMBULISHA KÙWA MWANASISIEMU FAHAMUNI KUNA WATU WAPO CDM WAKITAFUTA CHEO AKIKOSA TU ANAHAMA NI HATARI SANA NCHI HII SIJUI ITAKOMBOLEWA NA NANI.WANANCHI TUMUOMBE SANA MUNGU ATUSAIDIE KUIOKOA NCHI YETU
Fedha ya abdul imemnunua mwenzio wewe wameshindwa dau?