ความคิดเห็น •

  • @Emmanuelsulle-hq4hx
    @Emmanuelsulle-hq4hx 3 วันที่ผ่านมา +5

    Kamanda uwachane ukweli wao

  • @user-kt8jf8uy8r
    @user-kt8jf8uy8r 3 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana kamanda wangu

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 3 วันที่ผ่านมา +3

    Kweli mchangokwa SATIVA ni sehemu ndogo mno katika ulimwengu wa haki na amani. Agizo la Rais kwa IGP kuhusu utekaji lingekuwa suluhisho kwa hayo yanayoendelea. Kama tulivyosema kuhusu uhuru wa vyombo vya habari kwamba kauli tu bila kubadirisha sheria ni bure, kubadirisha jina la Tume ya uchaguzi bila kubadirisha sheria yenyewe ni bure na ndivyo tunaunga mkono wazo la Mhe Lema kwamba kauli ya Rais kwa IGP itakuwa na faida zaidi kuliko mchango.

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mhe Lema Huu Mkoa ulikuwa unamilikiwa na CUF lakini baada ya kusambalatika wengi hawakuwa na mahali pa kwenda , hivyo CCM wakajipatia kiota sasa tunaamini kwamba baada ya CDM kukumbuka Mkoa huu mambo yatabadirika

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 3 วันที่ผ่านมา +2

    mh Lema akili kubwa sana nakukubali kiongozi unapont kiukweli

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 2 วันที่ผ่านมา +1

    CHAMA IMARA KABISA SINA SHAKA NA CHADEMA

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z 3 วันที่ผ่านมา +2

    Lema tusaidie kuwakamata baba

  • @sautiyanoti5242
    @sautiyanoti5242 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nchiii yanguuuuuu Tanzanian

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 3 วันที่ผ่านมา +2

    Lema ni kichwa kikubwa Sana chenye akili