UMEONGA MANENO MAFUPI LAKINI , YAMETIBU HOFU NA TAALUKI ZA WATU, nikweli tijifunze kupenda taasisi nasio mtu, na nikweli kama kuanguka chadema ingeanguka kipindi cha dr slaa au Zito,
Mi nadhani wala tusiumize kichwa, ukweli msigwa alishachoka, kichwani kwasasa nikama zero, anaongea hajui hata anaongea nini, isitoshe chadema inawaatu wengi wanahitaji nafasi pia
kwani kikundi Cha CCM hakina msemaji? mbona wewe unahoji? aidha mbona kwenye mitando mingi wanaccm wengi wanampongeza msigwa kuhamia ccm je haikutosha tu Samia kumpongeza??
Safi sana Ngogo.
Point
Kweli kabisa
Achana nae huyo ni msakatonge,Acha akabebwe
Msigwa alikuwa ccm toka kipindi cha akina waitala
Na atubu hata kwa Mungu kwa kweli
Kaka that is true
Kuipenda taasisi ni jambo jema sio mtu.Binadamu hubadilika
Umeongea point sana
Kweri msigwa ni chizi njaa aina dleva
Muacheni aende, ni mchumia tumbo.
UMEONGA MANENO MAFUPI LAKINI , YAMETIBU HOFU NA TAALUKI ZA WATU, nikweli tijifunze kupenda taasisi nasio mtu, na nikweli kama kuanguka chadema ingeanguka kipindi cha dr slaa au Zito,
Amehuza utu wake kifo kupo tutazihacha izo kazi bure
Mi nadhani wala tusiumize kichwa, ukweli msigwa alishachoka, kichwani kwasasa nikama zero, anaongea hajui hata anaongea nini, isitoshe chadema inawaatu wengi wanahitaji nafasi pia
Wala tusiwaweke akilini hawo ndiyo wasaliti
Kwani hiki kikundi hakina msemaji?
kwani kikundi Cha CCM hakina msemaji? mbona wewe unahoji? aidha mbona kwenye mitando mingi wanaccm wengi wanampongeza msigwa kuhamia ccm je haikutosha tu Samia kumpongeza??
Hata mimi ninashangaa chadema haina spokesman. 😂
We msenge kakiulize kikundi cha mboga mboga kinachoogopa kuweka tume huru kikiogopa kugalagazwa kwenye uchaguzi
@@aliyageorge6794chadema ina watu wengi makini na ina wasemaji wengi tu usilinganishe na kikundi cha mboga mboga ambacho kina msemaji mmoja
Kaka that is true