JE NI HAKI KUBEMBELEZA KUPATA KATIBA MPYA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 250

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera sana tungekuwa na wakuu wa dini wenye upendo kwa watanganyika hata maccm na vyombo vya vingetii amri. Wanajeshi, Polisi force, Mahakama wote wanashirikiana kufanya watanganyika watumwa. TUMSHITAKIA MUNGU WETU. MUNGU ULIVYO NEBKADEREZAR NA FARAO WAADHIBU MACCM WOTE BABA!

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu Wanasema ujitahidi nani nitakusaidia KWA HIYO Wote tuachane na CCM

  • @samsonsengi7574
    @samsonsengi7574 8 หลายเดือนก่อน +3

    Amina, Amina, Watawala sikieni neno la Mungu huko mnakotupeleka hakufai na hicho ndio kitanzi chenu mtakipata tu maana mnakitafuta.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน +12

    Waliiba wazi wazi 2020 leo pia wanataka kuiba tena hawajui kuwa hatuna shida na CCM.. Aheri kabisa ya wakoloni kwa sababu walikuwa wanatuona watu, lakini maccm wanatuona watumwa leo Charamila ametuita wanainchi taktakata anataka kwenda kutupa hizo takataka kwenye shimo la taka. Kweli watala wa CCM ni watwana , ni wafalme ndiyo sababu hata tukiomba Katiba wanataka waweke viraka vinavyo wapa madaraka ya kifalme tena ni zaidi ya kifalme bali miungu wa duniani. Kwa kweli Kikwete ni binadamu maana kama siyo yeye hata hiyo rasmu tunayojifunia isingekuwako.Samia alikuwa msaidizi wa Warioba mbona wakati huo hakusema kuwa tuelimishwe kwanza kabla ya kutoa michango yetu? Leo kutaka kuchukuwa hiyo Rasimu iliyo andikwa kupitia wanainchi ansema ati tunaitaji elimu? Kwanini hukutuelimisha wakati huo?Rasimu iliandikwa na wanainchi leo anasema ni ya wanasiasa. Tena katika kuandika yeye alikuwa mtu mhimu leo kwa sababu ya utamu wa kutufanya wanaichi watumwa anikana. Basi urudishe pesa ulizolipwa ukikaimu hiyo nafasi mpaka mwisho. Watawala wa CCM kuazia mwanzo walikuwa hawana nia njema kwetu wanainchi. Mimi natumia wsnainchi kwa sababu sijawahi kuwa mwanacha wa chama cha siasa ila na mshukuru Mungu kunipa uraia wa kuzaliwa wala si wa kujiandiksha. Hata nkienda Inchi nyingine Tanganyika iko moyoni mwangu siku zote. Kwahiyo tunapo lia kwa mateso ya watawala wa CCM. Msidhani ni wanasiasa wengine hatuna shida na siasa kwa sababu ya yale tunayoyaona yakifanywa na wanaccm. Ukiona tu unakinai.

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 8 หลายเดือนก่อน +7

    Watu washachoka mtumishi wa Mungu anaongea kwa hisia watawala jitafakarini

  • @seifkassim5872
    @seifkassim5872 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ivi uwa najiulizaga ccm wanasema wao wanakubalika na wananchi.sasa kama wanakubalika kwanini wasikubali tu kutengeneza tume uhuru na katiba mpya.kwanini wanaogopa kuvilekebisha ivyo wakati wao wanasema wanakubalika?

  • @kenedysimon3566
    @kenedysimon3566 8 หลายเดือนก่อน +8

    Naanza kukuamini kuwa Mungu anakutumia

  • @IsackIsacksamson
    @IsackIsacksamson 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akulinde asubuhi mchana na jioni unvisible object I mean spiritual power from our almighty God be with you. God be your healer and protector ,your enemies condemned to fall under your legs,brush them with your foot that covered with a huge protective gunboot

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mchungaji ubarikiwe kwa falisafa yako.uko sawa na watu tumekuelewa.

  • @medicalamon908
    @medicalamon908 8 หลายเดือนก่อน +9

    Mimi nashangaa mpaka sasa hivi bado kuna watu wanaishabikia CCM.Ni wamelogwa,hawajitambui, wamekosa ujasiri kwa kutishwa au kuhongwa,wanajipendekeza wapate mkate au wamekamatwa na nini? Mbona maovu ni mengi yanafanywa na hawa MaCCM? Good Bishop keep it up
    Nakupongeza sana kwa kusimama katika KWELI

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009  8 หลายเดือนก่อน +1

      NI KWELI DOGO; NIMETUMWA NA MUNGU KUTETE KWELI NA HAKI MPAKA KIELEWEKE. Niombeeni nisiogope kitu chochote mbali na MUNGU.

    • @luckymsomba4818
      @luckymsomba4818 8 หลายเดือนก่อน

      m nadhani ni mashetani tu ndio wanawwza kushabikia

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 8 หลายเดือนก่อน +5

    MUNGU AKULINDE.

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ccm.sikilizeni.maneno.magumu.ya.huyu.mzee.mkikaidi.subilini.anguko.lenu.na.hii.ndio.sababu.ya.maandamano.tatehe.24.january

  • @hollojuma9538
    @hollojuma9538 8 หลายเดือนก่อน +9

    God tuko pamoja hakika tumechoka tunataka katiba mpya

  • @godfreymeagisa1871
    @godfreymeagisa1871 8 หลายเดือนก่อน +6

    Huu ndiyo uhuru unao takiwa kwa wananchi wote Ni haki ya raia kujieleza,lakini matokeo yake inatumika bunduki kuua watu wanao jieleza Kama Askofu hivi.

  • @Daudshatta-zu4kq
    @Daudshatta-zu4kq 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee na ntumishi mungu akubariki tena ubarikiwe na mungu wa mbinguni japo mm sina chama nimekuelewa na umesema kweli ccm ni majambazi katiba nihaki ya wana nchi hakika ubarikiwe amen

  • @SamsonBarazingiza
    @SamsonBarazingiza 8 หลายเดือนก่อน +5

    Uko sawa

  • @NixonGerson
    @NixonGerson 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nchi itachafuka hii jamani ..maneno haya yasidharaulike ..raisi angalia mabadiko hayana budi Kuja mtajuta ..msiposikiliza wananchi

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 8 หลายเดือนก่อน +5

    Katiba mpya si ya kubabembeleza...

  • @josephatemmanuel458
    @josephatemmanuel458 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa utaratibu huu nchi haiwe kuwa na maendelei,kwa mfano ,nikilinganisha enzi zile,china ilikuwa nyuma kimaendeleo,angalia sisi tumebaki na dhuluma,

  • @kyambokyambo5939
    @kyambokyambo5939 8 หลายเดือนก่อน +5

    Amina mtumishi wa MUNGU

  • @michaelmasanza2169
    @michaelmasanza2169 8 หลายเดือนก่อน +4

    ASANTE ASKOFU,MWENYEZI MUNGU AKUONGEZE MAISHA MAREFU HAKIKA WEWE NI KIONGOZI WA DINI HUPEPESI MANENO NA UNAJALI KONDOO WAKO WASIPOTE WEWE SIO KAMA VIONGOZI WENGINE WA DINI WANAOANGALIA MATUMBO YAO BILA KUANGALIA MATATIZO YA KONDOO WAO YAKOJE,UPEO WAKO UNAONA MBALI HAKIKA WEWE NI KIONGOZI WA DINI KWELI.

  • @emmanuellupele8129
    @emmanuellupele8129 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akubariki baba askofu

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kwakweli Mzee Umeongea Ukweli Mtupu Watanzania Ni Manyumbu Sana Upumbavu Gani huu

  • @fredymwasenga6603
    @fredymwasenga6603 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akuongezee zaidi na zaidi

  • @fredymwasenga6603
    @fredymwasenga6603 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongezee zaidi na zaidi

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ashughulike nao

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 8 หลายเดือนก่อน +3

    Bishop,hongera sana,tungepata wazee wa umri wako na wenye nafasi kama yako,kama 100 tu wakapiga kelele mitandaoni kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi,kuna kitu wange add ktk mapambano haya ya wananchi walio wengi --- " WE ARE TIERED " Bishop,sio miaka 19 --- ni takriban miaka 32 wa Tanzania wamedai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi yaani toka mwaka 1992 mageuzi yalipoanza bila mafanikio.

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009  8 หลายเดือนก่อน +1

      ASANTE KWA KUNIFAHAMISHA JUU YA MIAKA 32; nitaitumia vizuri sana ktk harakati hizi. Watu wengi wakiungana ni vizuri sana; lakini MUNGU anasema “NATAKA MTU MMOJA TU NIPONYE NCHI.”

    • @AthanasHaule-q5f
      @AthanasHaule-q5f 8 หลายเดือนก่อน

      wapo wengi, Jaji Since Warioba, Process Shivji nk lakini hawasikilizwi

    • @AthanasHaule-q5f
      @AthanasHaule-q5f 8 หลายเดือนก่อน

      wapo wengi, Jaji Since Warioba, Process Shivji nk lakini hawasikilizwi

  • @RizikiPoultry
    @RizikiPoultry 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nakubali nakubali.. hawa ndo watumishi tunawataka

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kaka

  • @AlexBabigamba
    @AlexBabigamba 8 หลายเดือนก่อน +5

    Nimekuelewa sana Bshop mungu akulinde daima. Na hilo neno ulihubili hata kanisani kwako

  • @josephmwita6012
    @josephmwita6012 8 หลายเดือนก่อน +3

    godbless u bishop

  • @joachimmahoo9786
    @joachimmahoo9786 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa Mafya walionginzwa Tanzania bila ridhaa ya watanganyika kujenga bandari ndio vikwazo. Dawa yao inachemka- Ni silaha.

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 8 หลายเดือนก่อน +2

    TUNAHITAJI TUNATAKA WATU KM HAWA..

  • @GabrielMsigiti-qz8wq
    @GabrielMsigiti-qz8wq 8 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sn baba mtumishi

  • @JsProdaction-op5im
    @JsProdaction-op5im 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante baba kwa kutuamsha na kutuonyesha haki yetu

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ni heri kusikia na kufanyia kazi kile unacho sikia usipo fanya hivo utafananishwa na mpumbufu mmoja alijenga nyumba yake juu ya mchanga pepo na mvua zilipo vuma zikaipiga na anguko lake likawa kuu mwisho wahusika wa katiba na tume hulu kwa neema ya Mungu wa mbinguni sikieni hitaji la watanzania msisubili Mungu awanong'oneze kwa sababu Mungu anasema msipo wasikia walioko duniani hata angekuja nani hamuwezi kumsikia asante

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nadhani ujumbe umefika

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 8 หลายเดือนก่อน +4

    Dah kweli kabisaa

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 8 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana baba😢😢😢tumeisha baba inukeni wana wa Mkwawa tutetee Tanzania

  • @SamwelKatabila
    @SamwelKatabila 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana baba mchungaji tungepata wachungaji kama.wewe nchi ii ingepona .

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 8 หลายเดือนก่อน +1

    Itafika cku watu wote watakuja kuwa kama huyu ndo mtataman Dunia ifunguke muingie ndani ni muda tu

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna kikundi kidogo kimejimilikisha kana kwamba Tanzania niyao ili wajimilikishe Mali za inchi hii Ila ipo wataanguka vibaya Sana na familia zao zitaishi maisha mabaya ipo siku inakuja

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee wenye kusimama ktk haki kama ww ni wachache sana

  • @Yussuph-r2c
    @Yussuph-r2c 8 หลายเดือนก่อน +2

    KWASASA BISHOP UNGANA NA BISHOP MWENZAKO MWANAKULA ILI TUZIDI KUTIA NGUVU MADAI YA WATANZANIA WAZALENDO,,TUPATE KATIBA MPYA

  • @EdsonNkinga-yn3ib
    @EdsonNkinga-yn3ib 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana Baba askofu naamini ukiungana na MWAMAKULA na BAGONZA nchi itakaa sawa.

  • @EzekielMsamba
    @EzekielMsamba 8 หลายเดือนก่อน +5

    Amen baba askofu

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 8 หลายเดือนก่อน

      siyo kila mtu ni mtakatifu au mtumishi wa mungu mbona wakristo ni wapumbavu !!, siasa na dini wapi na wapi ? na wanamuamini kama kawaida yao Loh

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wapimbavu wote anavyoongea huyu baba hawamelewi mateka wa shetani

    • @bonifacekalima5273
      @bonifacekalima5273 8 หลายเดือนก่อน

      Kumwelewa mzee watamwelewa ila halita waingia,kwasababu wamejipanga kuiteketeza nchi hii.

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan hawa hata wazee wanawazarau. Wamejisahaukabisaa

  • @bishopprofvictorchisanga2009
    @bishopprofvictorchisanga2009  8 หลายเดือนก่อน +1

    INATISHA NDUGU YANGU; kumbe madai na uhalali wa KATIBA MPYA ni tangu mwaka 1992! Maskini wamejaa mitaani; lakini WANAWALIPA WAKE ZAO MISHAHARA NA KUWAJENGEA NYUMBA VIONGOZI WA SERIKALI ZAO JEURI.

  • @richardkunambi9400
    @richardkunambi9400 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hawana nia ya kweli zaidi sana ni upigaji tu . Wasitegemee kuiona mbingu .

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ccm wamezoea vya kunyonga

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 8 หลายเดือนก่อน +1

    mtumishi wa Mungu nikukumbushe kuwa si miaka 19 ni miaka zaidi ya 30 sasa toka 1992 tulipoingia mfumo wa vyama vingi. chama cha NCCR MAGEUZI kilianzishwa rasmi kama vuguvugu la kudai katiba mpya national convention for construction and reform. Mapendekezo ya tume ya Jaji Nyalali(1996) ilipendekeza katiba mpya ili kuweka levelled ground ya ushindani. watanzania tumelilia katiba mpya kwa miaka mingi sana katiba iliyopo sasa imewapa wao kujimilikisha nchi yetu kwa niaba yetu. sasa imefika mahala mpk kuwalipa wake zao mishahara watu ambao si wafanyakazi wa serikali tumegeuzwa watumwa ndani ya nchi yetu kuwatu,ikia wao na wake zao.

  • @ElijahJohnny-sj6jq
    @ElijahJohnny-sj6jq 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde Baba

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 8 หลายเดือนก่อน

    Tumechoka sana sana. kichefuchefu tu. hadi ukisikia ccm unatamani kutapika

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 8 หลายเดือนก่อน +1

    HONGERA !HONGERA ! SANA! WATANGANYIKA NANI KATULOGAAAA!??? NCHI TUNASHINDWA KUPATA KATIBA NA TUME HURU???WATU MILIONI (60) HATUNA AKILI ??MBONA ZANZIBAR WATU MALAKI WAMEDAI KATIBA , TUME HURU NA CCM IMEWAPA BILA KUWAPIGA MABOMU???

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiona mtu anashanikia CCM ana sababu. Anakitu au anangoja cheo hata katibu kata, mwenyekiti wa kata na kuendelea
    Mashabiki wa CCM wanalipwa au hujui? Mwska kesho kila mshabiki ana mamilioni yake au che au kazi kwani mtoto wske akimaliza chuo anapewa kazi wa wanainchi wa kawaida hata kufagia tu hawezi kupewa. Uko hapo hata kama hapei pesa ataoewa marupurupi yanayoendeana na alicho fanya. Watoto wa masikini hata hiyo mikopo ni shida. Anaambiwa kuwa atapewa mkopo mpaka sasa watoto wa masikini hiyo mikopo ni ahadi tu wengine hata kwenda chuoni imekuwa shida toka mwaka jana mwezi wa tisa mpaka leo ni ahadi tu hajapewa huo mkopo lakini washangiliaji wameisha pewa kila kitu tena mkopa mkubwa unaiona hiyo kwanini wanashangilia. Cho chote kinachotokea serikalini wanapewa tena kwa kuitwa. Lanini wanainchi wengina hawana lo lote wanaambulia shs. Elfu kumi na vitambaa vya CCM na Khanga. Uko hapo? Hii Inchi ni hatari sana. Unaweza kukaa Inchi ya watu wengine ukaona administration ukashangaa. Anyway Nyerere aliharibu kwa sababu alikuwa hafuati ushauri wa wengine au kwa vile hata utalaam ulikuwa wachache wa kutoa ushauri. Unawezaje kwenda Zanzibar asubuji na siku hiyo hiyo unaunganisha Inchi mbili na kutafuta jina kwa siku chache kwanini jina alitafuta watu wafanye majadiriano lakini kuunganisha Inchi wakawa wawili tu, labda na walinzi wao utategemea na Katiba waliandika wenyewe alafu anataka kutoka anasema haya yansyotupata sasa alikuwa na uwezo wa kututayarisha kuandika Katiba mpya kwani alikuwa na haraka gani? Yeye hakuwa mwizi sasa hivi wanajigawia mali mezani

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 8 หลายเดือนก่อน +1

    WAAAOOOOOO ASANTE MZEE KWA KUTEMA NYONGO.❤❤❤❤

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 25 วันที่ผ่านมา

    Amen!!! Wewe siyo unasema ni mungu Yuko ndani yako mungu mitutu ya bunduki atawageuzia wao wenyewe sasaivi

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 24 วันที่ผ่านมา

    Ccm kama inakubarika kwani wanatuma polisi na mabunduki kwa nini mnahangaika na chadema na wasema haki IPO siku mtajuta mungu yupo

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 24 วันที่ผ่านมา

    Raisi Samia muogope mungu aliye beba maisha yetu Tupe Katina mpya mama utabarikiwa sana duniani na mbinguni

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน

    Kweli baba umeona watu wanavyonyanyadika. Hongera sana baba ubarikiwe

  • @samwelclement8108
    @samwelclement8108 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm mung aseme nao

  • @dennislihepa2247
    @dennislihepa2247 2 หลายเดือนก่อน

    Si haki kubembeleza hata kidogo ukibembeleza maanayake wananchi sio raia

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 8 หลายเดือนก่อน +2

    Baba Bishops usiogope kunena ukweli wapo Vijana na wazee wachache waliotumwa na ccm ku comment kwa matusi lakini sisi wenye akilitimamu tumekuelewa vizuri sana unacho ongea ni haki kabisa ,Wa tz zaidi ya 65% ambao ni masikini wa kutupa wanaona viongozi wa ccm ndio wenye haki kuishi vizuri na family zao, na watoto zao kusoma shule nzuri lakini wao ni haki yao kula mlo mmoja 1 yani rakaa 1 kwa siku kwahiyo watu kama hao sio rahisi kuwafahamisha haki zao ,njia pekee ni kuawaombe vichwa vyao vipate ufahamu, itachukua mda lakini inshallah watafunguliwa. 😂😂😂😂😂

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009  8 หลายเดือนก่อน +2

      NIOMBEENI NIZIDI KUWA JASIRI WA KUNENA KWELI NA HAKI; na kukemea sana sana UONGO NA DHULUMA kwa Jina la YESU.

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu หลายเดือนก่อน

    Raisi amejimilikisha nchi hi hataki kukosolewa wakosoaji wanatekwa wanauwawa

  • @valentinemutasingwa1932
    @valentinemutasingwa1932 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi CCM wanaiona hiiiiiiiiii au???

  • @charlesgasper-wo9hc
    @charlesgasper-wo9hc 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ninani mtawala wahaki tumwaaminini sasa hivi zaidi ya yule.....?wenye hekima watakujatu can you force matter for thisfrom out of nothing?

  • @SelemaniZuberi-e8x
    @SelemaniZuberi-e8x 26 วันที่ผ่านมา

    Wanatutangazia wazi sasa kua kura wanashinda Kwa wizi

  • @ShabaniNsase-v1h
    @ShabaniNsase-v1h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa sana bishop

  • @JonasMsengi
    @JonasMsengi 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee omba uonane na raisi umuulize kwa nini hamtaki katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
    Ccm waoga wa kushindwa hala ccm wamezalisha kizazi cha wizi kwa kuwa wanaamini wakiwa ccm wakigombea ubunge,udiwani watashida kwa njia wizi wakisaidiwa na tume na polisi

  • @SelemaniZuberi-e8x
    @SelemaniZuberi-e8x 26 วันที่ผ่านมา

    Mimi kwakweli CCM siipendi kabisa Kwa mambo yake

  • @SelemaniZuberi-e8x
    @SelemaniZuberi-e8x 26 วันที่ผ่านมา

    Watu wanatekwa mmekaa Kimya tu mnachekelea

  • @willisonTheonest
    @willisonTheonest 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli watawala msikilze bishop wa mungu

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akulinde sana.

  • @dismasmmasi4458
    @dismasmmasi4458 8 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji ukimtizama kiumri ni mzee
    Kama pumzi ingekuwa inakatika kwa kuzingatia umri tungesema basi Mchungaji yuko zone ya kifo maana yake amebakiza miaka Michache yakuishi kuliko vijana wengi
    Ila ametumia nafasi aliyonayo kwa jamiii kufikisha hisia za wengi ambazo kuna vijana wabichi kabisa wameshindwa kusema chochote
    Hilii linaonyesha jinsi gani ccm imechokwaaaa kwaaa kwaaaa kwaaaa

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009  6 หลายเดือนก่อน

      TUNANENA KWA NGUVU, KIBALI, NA MWONGOZO WA ROHO MTAKATIFU; na ndiye anatulinda. Bila Roho Mtakatifu watakuua; wanenogewa sana na UJAMBAZI WAO.

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 24 วันที่ผ่านมา

    Ccm tumesha wachokaa vibaya mno jamani

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee Mungu Akulinde Make Wasiojulikana Hawajalala Yaya Ma ccm Yameuza Hadi Bandari Yetu wangekuwepo Wengine Watumishi Ka ww Nnchi Ingekuwa na Maendeleo

  • @GeraldBahegwa-rn3vb
    @GeraldBahegwa-rn3vb 8 หลายเดือนก่อน +1

    Issue sio katiba mpya issue ni kupata katiba ya wananchi.

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AKUBARIKI SANA , NA AKULINDE NA KUKUONGEZEA MAISHA , SEMA USIOGOPE UPO NA WATANZANIA TULIO WENGI NASI TUTAZIDI KUKUOMBEA

  • @ConfusedDrum-qv4vx
    @ConfusedDrum-qv4vx 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli mzee

  • @joachimmahoo9786
    @joachimmahoo9786 8 หลายเดือนก่อน +1

    Katıpa mpya itapatikana tukitumia silaha. Halına mbara la kwa vile sisi wa si hi tunalinganishwa na tumbili

  • @BugayeRenatus
    @BugayeRenatus 7 หลายเดือนก่อน

    Ilo ni swali au jawabu kuomba ndiyo haki,hata uhuru tuliomba ila ukitaka hapo ujue hata kukosa kupoo

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009  6 หลายเดือนก่อน

      KWA HAPA, KUKOSA HAKUPO; KATIBA MPYA TULIKWISHA KUIANDAA. IMEZUILIWA TU NA MAJAMBAZI AMBAO DAWA YAO INACHEMKA.

  • @saulokahwa8194
    @saulokahwa8194 8 หลายเดือนก่อน

    Baba sema saa ya ukombozi ni sasa

  • @OcktavianMhagama
    @OcktavianMhagama 8 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tumechoka sasa tuko tayari tar 24/2024 jumatano.

  • @ShabaniNsase-v1h
    @ShabaniNsase-v1h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu หลายเดือนก่อน

    Magumegume

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 8 หลายเดือนก่อน

    MSUMARI WA MOTOO KWENYE KICHWA...

  • @StephanoSwai-o7x
    @StephanoSwai-o7x 7 หลายเดือนก่อน

    Wape makav hao mbwa

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Alijua katiba ni mbaya badala aibadilishe katuachia kasheshe

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo tulimwamini Nyerere ingawa alitutawala na hii KATIBA. Kwa sababu alikuwa siyo mwizi, alikuwa kwa ajili ya watu wake. Akaiacha hili likatiba mbove inayotuweka kuwa watumwa. Ati wanasema Samia kawaruhusu vyama kuwa na mikutano! Kwani waliporuhusu vyama vingi waliweka kifungu ati Raisi ndiye ataruhusu mikutano!
    Kwa kweli ni matusi hata ninyi mlio mpa asante ni wajinga. Kwani nani aliyekuwa ametoa kwa kukanyaga KATIBA. Sasa mnalianzaje kuwashukuru ccm walipashwa kupelekwa mahakama ati mbawashukuru kwa lipi. Ndiyo sababu wametufanya watumwa. Wanainchi pia wanafurahia Utumwa wakipewa hongo kidogo tu hata sahani ya wali usio na muchuzi ati wanakaa kuimbi kusifu ccm! Utumwa umewaingia vizuri. Kama wanainchi wahalalisha Utumwa. Sasa CCM WAMEKUWA WATAWALA WA WATUMWA WA WATANGANYIKA.!
    NYERERE Alikuwa anadhani hasinge zeeka alifikiri atatawala milele . Pamoja na yote waliyo jitahidi kuwafanya watanganyika watumwa aliweza. Mwisho alikuwa ameisha wawaona walivyokuwa wakiwa na uroho wa kuwafanya watanganyika. Akaona watatutesa sasa na ataraumiwa Ndiyo akajikosha kutumbia kuwa KATIBA ilikuwa mbovu. Kwanza tusingekuwa watumwa tungewapiga na mawe na kuwatemea CCM WOTE MAYE.

  • @peterantony5890
    @peterantony5890 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera

  • @jofreysaimoni4964
    @jofreysaimoni4964 8 หลายเดือนก่อน

    Tuwe tunasoma nyakati jamhuli ya Kati) haiti) sudani) congo) nigeria) somalia) tunisia misili libia nao walianza kijiinga kjiinga hivo hivo.mwishoni ikagarimu Maisha yawatu mali kuharibika munataka mpaka mataifa mengine ndiko siku take kusimamia amani tanzania? Lukas sio wenyewe bila ubinafusi tukatetea taifa letu hatuwezi? Mabila kubemberezana kila kiozi awe nauchungu nataifa

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 8 หลายเดือนก่อน +1

    🤔🤔

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee ulikuwa wapi?

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Bishop wametufanya watanzania ni wajinga sana wao ndiyo chanzo na ujinga na umaskini umaskini umezidi sana lakini viongozi wa CCM wao wanaishi maisha ya anasa kwa kodi za wananchi wanalazimisha kubaki madarakani kwa nguvu za dola wananchi wamechoka wamechoka wanaishi maisha magumu kwasababu ya CCM.

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 8 หลายเดือนก่อน

    SAMAHANI , JE tunahitaji KATIBA MPYA AU TUNAHITAJI MAREKEBISHO YA KATIBA iliyopo?? KATIBA MPYA IKO WAPI ??? Tusije tukapata KATIBA MPYA MBOVU KULIKO .

  • @leahsangawe9609
    @leahsangawe9609 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ni Bora ukolomi wa wageni kuliko ukoloni wa wazawa😭

  • @luqmankasanga-bk7nn
    @luqmankasanga-bk7nn 8 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli wanaibaga kura hiyo ni zuluma mbaya sana na moja ya dhambi mbaya ni zuluma na ukifa umezulumu ni moto unakusubili

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni ccm ila siamini ktk Katiba mpya naamini ktk maendeleo ya watu wanyonge ambao wanakandamizwa .sijaona wap

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 8 หลายเดือนก่อน

    KIPYA KINYEMI JAPO NI KIDONDA, CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA......... JAMBO ZURI SIO LAZIMA LIWE JIPYA, NA YUKINI JAMBO JIPYA LAWEZA KUWA SILO JEMA KADHARIKA....... UKICHAMBUA NA KUWAZA, HAKI YA MTU SIO JAMBO LA KUBEMBELEZA...... YALOPITA SI NDWELE TUGANGE YALIYOPO NA YAJAYO NA WASWAHILI HUSEMA ADA YA MJA HUNENA UUNGWANA NI VITENDO.............. watu hawahitaji kipya kinyemi bali wanahitaji chema kinachopendwa na kujiuza chenyewe.......... KATIBA NI HAKI YETU KWA VIFIJO NA NDEREMO Tena kwa lahaja tamu mithili ya asali mwitu.........waacheni watu waseme wanavyotaka namna ya kuishi, Kwa uhuru,demokrasia ya kweli, haki na usawa bila ubaguzi.tunahitaji utaratibu Bora na maadili mema yatakayo tuongoza. kwani waswahili husema usione vinang'ara ukadhani ni dhahabu. Kifupi WATU WANAHITAJI KATIBA NJEMA NA SIO KATIBA MPYA

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009  8 หลายเดือนก่อน

      KATIBA NJEMA NDIYO HAIKO; ILIYOKO NI YA WATU KUTAWALIWA KWA NGUVU, SIYO KUJITAWALA. HIYO KATIBA NJEMA NDIYO HIHIYO TUNAYOITAKA; NA NDIYO KATIBA MPYA. USIJEELEWEKA VIBAYA KWAMBA KWAKO WEWE KATIBA ILIYOKO YA WEZI, WANYANG’ANYI, WAUAJI, MAJAMBAZI, WAROHO, NA WENYE UBAYA ULIOKITHIRI, KUWA NDIYO KATIBA NJEMA, NA KWAMBA ILE KATIBA MPYA YA WARIOBA NDIYO SIYO NJEMA KWENU? HONGERA KWA KATIBA YENU NJEMA; SISI TUNATAKA KATIBA MPYA; HATUOMBI WALA KUBEMBELEZA, NI LAZIMA, NA NI LAZIMA.

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009  8 หลายเดือนก่อน

      KATIBA NJEMA NDIYO HAIKO; ILIYOKO NI YA WATU KUTAWALIWA KWA NGUVU, SIYO KUJITAWALA. HIYO KATIBA NJEMA NDIYO HIHIYO TUNAYOITAKA; NA NDIYO KATIBA MPYA. USIJEELEWEKA VIBAYA KWAMBA KWAKO WEWE KATIBA ILIYOKO YA WEZI, WANYANG’ANYI, WAUAJI, MAJAMBAZI, WAROHO, NA WENYE UBAYA ULIOKITHIRI, KUWA NDIYO KATIBA NJEMA, NA KWAMBA ILE KATIBA MPYA YA WARIOBA NDIYO SIYO NJEMA KWENU? HONGERA KWA KATIBA YENU NJEMA; SISI TUNATAKA KATIBA MPYA; HATUOMBI WALA KUBEMBELEZA, NI LAZIMA, NA NI LAZIMA.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 8 หลายเดือนก่อน

    Ccm ni waroho, uchu na tamaa ya madara hawataki vyama vingine viongoze nchi ya Tanzania