- 975
- 1 640 661
IPINDA ONLINE TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 30 ต.ค. 2021
This channel consist Of Entertainment ,news and different programs about society, Reaction and normal story telling video where explain the details with commentary.
วีดีโอ
"NCHI IMEGEUKA KUWA NCHI YA MACHAWA IMEKUA NCHI YA AJABU SANA" MASAGA KALOLI MKT CHADEMA MKOA MBEYA
มุมมอง 1725 ชั่วโมงที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE TV.........Asante kwa kuchagua Ipinda Online Tv......Usiisahau Kusubscribe Channel yetu
MBOWE,GODBLESS LEMA MOTO WAO HAUPIMIKI KASKAZIN NI BALAA ZITO
มุมมอง 1.6K15 ชั่วโมงที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE TV..........Asante kwa kuchagua Ipinda online tv..........Usisahau kusubscribe Channel yetu
CCM WAMEJICHANGANYA KWA SHEKHE "MTU ANAKWAMBIA CCM IMENILEA KWANZA HUNA FADHILA KWA WAZAZI WAKO"
มุมมอง 5K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE TV........Asante kwa kuchavua Ipinda Online tv........Usisahau kusubscribe Channel yetu
MWAMBIGIJA AMUONYA MSIGWA "USIJE UKANYANYUA MDOMO WAKO KUISEMA CHADEMA TUNAKUJUA VIZURI SANA"
มุมมอง 7K3 วันที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE TV.............Asante kwa Kuchagua Ipinda online tv............Usisahau kusubscribe channel yetu
VITA YA POLICE NA CHADEMA TANGA GODBLESS LEMA AWATUKANA WAZIWAZI,MBOWE ACHACHAMAA
มุมมอง 48K3 วันที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE TV....Asante kwa kuchagua Ipinda Online tv......usisahau kusubscribe Channel yetu
ROSE MAYEMBA AENDELEA KUKIWASHA JIMBO LA MAKETE ATOA ELIMU KWA WANANCH KUELEKEA CHAGUZI ZA KISERIKAL
มุมมอง 1.7K4 วันที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE TV.....Asante kwa Kuchagua Ipinda online tv........Usisahau kusubscribe Channel yetu
"MAISHA YETU YANAPANGWA NA WANASIASA, SIASA NI MAISHA" MCH.HAMON MWASHITETE MKT CHADEMA VWAWA
มุมมอง 4044 วันที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE..........Asante kw kuchagua ipinda Online tv......usisahau kusubscribe Channel yetu
MDUDE ATEMA NYONGO AITAJA SERIKALI YA CCM AAHIDI KURUDI VWAWA KUJIJENGA KISIASA
มุมมอง 5K4 วันที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE TV..........Asante kwa kuchagua Ipinda online tv.......Usisahau kusubscribe Channel yetu
BISHOP USWEGE MWAKANIEMBA NA UJIO WA KITABU KIPYA
มุมมอง 844 วันที่ผ่านมา
SUBSCRIBE TO GET DAILY UPDATES, THANK YOU FOR CHOOSING IPINDA ONLINE TV Copyright Disclaimer Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for "fair use" for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational or personal use tips th...
KUBWA KUTOKA KWA MWANGOBOLA ENTERTAINMENT
มุมมอง 1374 วันที่ผ่านมา
SUBSCRIBE TO GET DAILY UPDATES, THANK YOU FOR CHOOSING IPINDA ONLINE TV Copyright Disclaimer Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for "fair use" for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational or personal use tips th...
NGOGO"MSIGWA AMEENDA KUANGUKA YEYE NA ANGUKO LAKE,NAWASIHI WANACHAMA KIPENDENI CHAMA SIO MTU.
มุมมอง 2.8K4 วันที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE TV........Asante kwa kuchagua Ipinda online Tv.......usisahau kusubscribe Channel yetu
MWAKAJOKA,MDUDE,HAONGA,MWALUSANYA,MCHUNGAJI MWASHITETE NA VIONGOZI WENGINE WA CHADEMA WAAPA....
มุมมอง 4.5K4 วันที่ผ่านมา
SIASA NI MAISHA MSIKUBALI MTU ACHEZE NA MAISHA YENU
MASAGA-"TULIPATA UHURU WA BENDERA MWAKA 1961 CHINI YA MWALIMU NYERERE TULIAMIN TUNAENDA KUJIKOMBOA"
มุมมอง 7734 วันที่ผ่านมา
IPINDA ONLINE TV..........Asante kwa kuchagua Ipinda Online Tv.........Usisahau kusubscribe Channel yetu
BAADA YA MSIGWA KUHAMA CHAMA(CHADEMA) VIONGOZI WA CHADEMA MIKOA YA MBEYA NA SONGWE WATOA YA MOYONI.
มุมมอง 16K5 วันที่ผ่านมา
CHADEMA NDIO CHAMA PEKEE CHAKUWASEMA WANANCHI
SAHIHI KABISA MWAMBA.
Hawa ccm ngoja tu
Kuna baazi ya miaskar ya hii nchi kama kama misenge iv ety
Sugu wenye akili wanakuelewa sana mazuzu hawakuelewi wao nikidumu chama chamapinduzi dawa hospital hakuna
Polisi acheni uonevu
Kwanini mnaendelea kunyanyasa wananchi
Yaani jeshi la polisi linaongozwa kitoto utazani hawana shughuli muhimu za kufanya ili kulijenga taifa lao
Kweri umeongea Mh Lema
Achana nae huyo ni msakatonge,Acha akabebwe
Safi sana Shekhe, umesema kweli kabisa
Kama cdm ni ya wachaga basi hata ccm ni ya pwani, maana viongozi wakuu wenye sauti ni wa ukanda wa pwani
Kadogoo heshima kwako wakati mwingine wakupangie mkutano wako.
Unajua shekh unajua, wenzako Wana wivu unaeleweka
Hao walioondoka ccm acha waondoke sisi hatuna shida nawananachama
Tokeni zenu hapa kwani hana Chama?? Mhe Ana Chama na wana utaratibu wao, kila siku kuleta taharuki kwenye jamii, Janja yenu mbona inajulikana, acheni haya maujinga , eti wananchi ? wa wapi? Mbeya au Shinyanga?
Hii nyongeza ya utumbo inahangaika tu na kutafuta umaarufu, tutaona mwisho utakavyo kuwa, hata uropoke nini Chadema hawawezi kukupa Uenyekiti au Kuwa Mgombe Urais , wamejipanga
Kiongozi yoyote unae muona anaisifia ccm ujue anakula keki ya taifa tofauti nahivyo yoyote masikini wa nchi anaeishabikia ccm ujue ni tahila maana akipeleka ndugu yake hospital ya serikali hakuna dawa shule za masikini nchi hii wanafunzi eluf moja mia 2 matundu yavyoo kumi dalasa moja watoto mia 40 alafu mtu mwenye maisha magumu kabisa anakwambia ccm oyee nchi hii watu wanalaana vichwani mwao
CHADEMA MUWE MAKINI NA MAMLUKI , INATAKIWA WAONDOENI HAWAFAI"
mama yake amesha muhamisha yupo Dar.
Acheni uonevu askari
Mhhhhh!!! 😊🙉🙉
Siyasa ya cdm tunaiyerewa xan xhida jexhi rimekuwa rakujipendekeza
Huyu ni sheikh kweli. Naweza hata kumsindikiza msikitini nikaswali nae!! Anajitambua
Piga kaz jembe le2 augu
Kadogo mbona humakizii gari la miloni miatani la kifahari inambeba mtu wa kilo 80 or 90 105 wengine km kina acson tulia ndio kilo 70 labda Bora hiyo pesa wangenunua miradi ya ccm lngewasadia wana ccm wenzao waliochoka mbaya
😂
Huyu sheikh anaongea points sana yaani unashawishika.Mungu ambariki sana.
Nondo za maana sn mkuu,umeeleweka
Good presentation of facts
chadema mkipata watu kama hawa 5 ccm inaangukaa ,lisuu na mbowe wanatakiwa wapunguze maneno nwapewee hawaa
Hongera sana shehe kwa kuwajuza raia juu ya nchi inavyo liwa na CCM
MH Ally kadogoo elimu imepenyeza ndani ya vichwani mwa watanganyika waliopo mbele yako imeelewa, Mungu yupo pamoja nawe
At least hata robo ya wananchi wangekuwa hivi nchi yetu ingekuwa mbali sana.
Noma Sanaa
Shekhe unafaa kuwa katibu mwenezi
Nimekukubali sana 2
Washa Moto Shekhe Hawa CCM Wametufikisha Pabaya Mpaka Tuwaondoe Tumechoka Kuongozwa Kienyeji "
mama pitisha katiba mpya tunaomba
ccm jaman mumekula xana waachieni nao chadema hata miaka 5
Mwigulu andhalau sana
Waooooooo ipinda moja hiyo love sana kwe2
Ahsanteh sana fimbo ya musa Mungu awatie nguvu kaz nzuri sana. Ni kweli hapa dunian 2napita
Tatizo mnapaniki ongeeni kwa utaratibu mtafika
Hata ingekuwa we ungepank kwan kuna baaz ya miaskar ya hii haijatambui
Tatizo mnapaniki ongeeni kwa utaratibu mtafika
Huyu polisi kajituma atashitakiwa binafsi kwa chochote atakachofanya kinyume!
Ujinga mtupu chadema ndyo nan? Nenda katunze mumeo huko
Ulikuwa mgambo kituo Cha polisi meta kumbuka ulivyoo kuwa unasumbuwa raiya wewe eti ni nabii na mtetezi WA haki za binadamu tushike lipi ukumbuke uliyo yafanya huko nyuma acha kuwachafuwa askari wetu wanafanya kazi vizuri tu pale iwambi na Mbalizi acha kutuchonganisha na askari wetu. Taperi wewe unatafuta kichaka Cha kujifichia nabii faki mchungaji feki tumekujuwa mzurumaji
Hapana usiwape lawama matrafki Hilo Loli lilipata itrafu. Ya mfumo WA break wewe mchungaji feki unajifanya mtetezi WA haki za binadamu mbona wewe ni tapeli kunakesi iyunga unataka kumzurumu mtu haki yake ulimkopa pesa ukawekea gari lako alafu unamshitaki wakati ujamlipa pesa zake wewe acha kuchonganisha serikali na raiya ulikuwa wapi muda wote Sheria zipo
Shujaa sana
Vita wataileta hao machawa ccm