FULL HIGHLIGHTS: YANGA SC 4-3 STAND UNITED (TPL - 16/09/2018)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2018
  • Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC leo imepata ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Stand United katika mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam.
    Katika mchezo huo uliokuwa mkali na wa kusisimua, Yanga imeanza mapema kutikisa nyavu za Stand baada ya Mrisho Ngasa kuitanguliza kwa bao la dakika ya 2, kabla ya Stand kusawazisha kupitia kwa Alex Kitenge dakika ya 15.
    Mchezo ulizidi kuwa mkali ambapo Yanga walipata mabao mawili ya haraka haraka kupitia kwa Ibrahim Ajib dakika ya 32 na Andrew Vincent dakika ya 35 matokeo yaliyodumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika.
    Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Yanga kutangulia kufunga bao la nne kupitia kwa Deus dakika ya 57 akiitumia vyema pasi aliyopewa kwa kichwa kutoka Ibrahim Ajib, lakini Stand United walijibu na kufunga bao la pili dakika ya 59 kupitia kwa Alex kitenge tena.
    Wakati wengi wakidhani kuwa matokeo ni 4-2, Alex Kitenge aliifungia Stand bao la tatu na kufanikiwa kuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat-trick msimu huu, matokeo yakiwa 4-3.
    Matokeo hayo yanaifanya Yanga ifikishe pointi 6 baada ya kushinda mechi zake zote mbili ikiwa nafasi ya saba huku Stand wakiwa nafasi ya tisa na pointi 6.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 54

  • @lifetimecombowithcobby3055
    @lifetimecombowithcobby3055 5 ปีที่แล้ว +31

    Kama wewe ni mwana yanga moja piga like hapo kwaajili ya timu yetu

  • @francklaurentmpogole5100
    @francklaurentmpogole5100 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera Kwa hat trik Alex kitenge⚽⚽⚽

  • @africanboy3160
    @africanboy3160 5 ปีที่แล้ว +5

    hongera ajib hat trick of assist

  • @francklaurentmpogole5100
    @francklaurentmpogole5100 5 ปีที่แล้ว +1

    Man of the match Kindoki...

  • @Officialmasaikhan
    @Officialmasaikhan 5 ปีที่แล้ว +4

    Goalkeeper mwenyewe hajakaa Kama Ni goal ndo Mana amefungwa hata Kama mpira umeingia nyavuni angejirusha

  • @mabulandomelo47
    @mabulandomelo47 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi xana dar young African lakini imeniuma xana kupigwa hat trick na kitenge

  • @boscomseso2724
    @boscomseso2724 5 ปีที่แล้ว +7

    Saf Sana mwendo wa kipigo had hiyo tarehe 30 mwendo wa doz

  • @peterpet8319
    @peterpet8319 5 ปีที่แล้ว +4

    goal keeper hajanivutia

  • @kingayo999
    @kingayo999 5 ปีที่แล้ว +1

    yanga bdo sana kutoa droo na ndanda kwao

  • @juyakablayawazo7443
    @juyakablayawazo7443 5 ปีที่แล้ว +4

    mwaka wetu hu hila tuchangie

  • @ibnhajar8600
    @ibnhajar8600 5 ปีที่แล้ว

    Yanga mara hii Hamna cheni

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 5 ปีที่แล้ว

    Yanga tumchukue Alex Kitenge wa Stand United anatufaa sana,mwenyewe kesha funguka,anaitaka Yanga kwa sababu ameshaona Ana nafasi ya kucheza Yanga. Tusichelewe ni mchezaji muhimu.

    • @meryciananyankena7590
      @meryciananyankena7590 5 ปีที่แล้ว

      Huna akili kila anaeifunga yanga asajiliwe utasajili wangap

  • @denicefrances9099
    @denicefrances9099 5 ปีที่แล้ว +1

    migomba

  • @matildachatila734
    @matildachatila734 5 ปีที่แล้ว +3

    hayo yote ni moja ya mchezo hivyo tulishinda point3 tukachukua

  • @rahimlaki1778
    @rahimlaki1778 5 ปีที่แล้ว +1

    hahah defence mbovu sana,mechi imeruhusu goli 4

  • @jofleyshiuga5573
    @jofleyshiuga5573 5 ปีที่แล้ว

    Apa wana yanga hatuna kipa bora beno

  • @alexkisiri1286
    @alexkisiri1286 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kipa atufahi kabisa

  • @markosirikwa3874
    @markosirikwa3874 5 ปีที่แล้ว +1

    hakuna kpa pale Yanga

  • @elishadamas5245
    @elishadamas5245 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mtangazaj uuuuyu

  • @bernardchibwana495
    @bernardchibwana495 5 ปีที่แล้ว

    Kindoki ndombolo ya solo!!! Hana jipyaaa

  • @neemacollin7488
    @neemacollin7488 5 ปีที่แล้ว +3

    Kamayanga wana bahati ww bahatizako zipo wap.

    • @angelamndolwa1927
      @angelamndolwa1927 5 ปีที่แล้ว

      Wabahatike na wao

    • @mussamchomvu1569
      @mussamchomvu1569 5 ปีที่แล้ว

      Yanga asanten kwa kunipa laha sana lakin kwa kipa huy sijamuerewa kabia bora angedaka kakolanya au dogo kabwili so kwa huy

  • @augieanaugent47
    @augieanaugent47 5 ปีที่แล้ว +1

    simba wajiandae 30. tunakuja

  • @festochizenga
    @festochizenga 5 ปีที่แล้ว

    Paziaa beki pazia golikipa

  • @bernardchibwana495
    @bernardchibwana495 5 ปีที่แล้ว +3

    Yanga huna timu yakupambana NA simba beki hizo golikipa huo poleni sana

    • @enockkitomarys4909
      @enockkitomarys4909 5 ปีที่แล้ว

      Bernard Chibwana jipe moyo2 ndanda ndo size yenu

    • @bernardchibwana495
      @bernardchibwana495 5 ปีที่แล้ว

      @@enockkitomarys4909 kweli ila kwa timu yako hiii kaka hakuna kitu yaani ALEX KUTENGE NA YANGA hahahaha hatrick nyumbani umefungwaa

    • @bernardchibwana495
      @bernardchibwana495 5 ปีที่แล้ว

      Golikipa wako mwangalie vzr mnafukuza mapema tuuu huyo, kipa wakimataifa ndio anakua hivyooo

    • @betherichoir2823
      @betherichoir2823 5 ปีที่แล้ว

      Bernard Chibwana saiz yenu ni ndanda wala si yanga

    • @bernardchibwana495
      @bernardchibwana495 5 ปีที่แล้ว

      @@betherichoir2823 kwakujifariji tu mko vzr, sisi tumedroo ndanda ila we MTU mmoja tu ALEX KITENGE ndio kawachezea anavyotaka, huna beki huna kipa ushaweka historia yako

  • @japhetmasunga6327
    @japhetmasunga6327 5 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆nimecheka xana goli la kaseke kama analia mtagazaji mikia fc mjiandae trh 30 makamboooo

  • @thereal_mtangojr2634
    @thereal_mtangojr2634 5 ปีที่แล้ว +1

    huuu uzii wa yangaa kama wa Dortmund

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 5 ปีที่แล้ว

    Meryciana Nyankena,wewe sio mwelewa. Alex Kitenge alisema mwenyew ana nia hasa kuichezea Yanga. Kwangu Mimi yalikuwa maoni baada ya mhusika kusema,sasa kukosa Kwangu akili ni kupi. Nafikiri humpendi Yanga .

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 5 ปีที่แล้ว +1

    Gongowazi mechi 2 mumefungwa goli 4😂😂😂 tukutane tarehe 30 mutafurahi

    • @betherichoir2823
      @betherichoir2823 5 ปีที่แล้ว

      dawa yao sahiz yenu ni ndanda msijifananixhe na yanga mpak sasa Tuna goli 7 nyie mnagoli kamp Kweli nyie ni mbumbu

    • @dawayao2837
      @dawayao2837 5 ปีที่แล้ว

      @@betherichoir2823 umemsahau nyoni alichowafanya?na pazia lenu golini pale mbona mtafurahi 😂😂

    • @robertfabian3030
      @robertfabian3030 5 ปีที่แล้ว

      Ww je

  • @boscojmseso7072
    @boscojmseso7072 4 ปีที่แล้ว

    Wadau ajibu akijiagalia hapa huwa anahis vip