Hao wezee japokuwa siwajui ni wachaw iweje waone timu inpata mafanikio ndio waanze ushenzy wao tuwachunguze nyuma yao Kuna mtu anawashika mkono njaa mbaya
Duuh, mnamuogopa Injinia kiasi hicho? Mtapata shinikizo la mioyo mpaka mpasuke ! Yanga imetoka kwenye propaganda uchwara hizo, mtalia kweli mwaka huu!!! Poleni sana
Engineer kuwa mpole mungu yuko pamoja nawe dailly
Mahakama hiyo haiyoni
Duh, htr sana! Hatupendi Mabadiliko. Mwenyezi Mungu atulie hili nalo litapita.
Wasi jidanganye hizo nipropaganda TU
Wazee wa trending ha wooh hamna kitu hapo wanataka wapite na upepo mpka siku ya mwananchi..
Jackson jambelle hamjui kusoma maandiko ya mahakama
Walioshtakiwa sio viongozi
Ni viongozi acheni kuipotosha jamiii na kuzua taharuki
Wanatumika upande wa shilingi hao,wasitutoe kwenye reli,yunafuraha zetu sisi
Ao wazee wachawi
ALLY KAMWE NAE BATILI>>>>>HA HA HAAAAAAHHHH
Inakuaje raisi wa yanga awe na uwongozi batili
UBAYA UBWELA HA HA HAAAAHHHH
Anaye wajua hao wazee tafadhali 🥺
Hao wezee japokuwa siwajui ni wachaw iweje waone timu inpata mafanikio ndio waanze ushenzy wao tuwachunguze nyuma yao Kuna mtu anawashika mkono njaa mbaya
mzee mpili kaimu rais yanga
Ataendelea kuwepo kuwa Rais Hao wazee na wapambe wao wataendelea kulia.
Duuh, mnamuogopa Injinia kiasi hicho? Mtapata shinikizo la mioyo mpaka mpasuke ! Yanga imetoka kwenye propaganda uchwara hizo, mtalia kweli mwaka huu!!! Poleni sana
Yaniwatu wawili watusumbue sisituliowengi jeewaowakipewa timuwatawezaa kuiendeshaa auwametumwaa aukwsniwanadai shinngapii wapewee aukamavipi wafutiwe uwanachama kwanisiolazima kuwamwnacha wafutiwe uwanachama hivyonivirusi
Mpira wetu hauwez kuendelea
SASA RASMI MZEE MPILI NDIO RAIS MTEULE WA UTOPOLO 😂😂
Bado amjasema nyie utopolo
Yaan nyie madudu embe nyie mnaeombea yanga shida kama yenu endeleeni na upambavu wenu
Sis tuna mtaka hawo waliolopwa na upande mwingne watasubiri san