STAND UNITED 1-0 YANGA SC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 19/01/2019)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC leo wamepoteza mchezo kwa mara ya kwanza msimu huu baada kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Stand United.
    Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kambarage mjini Shinyanga, bao pekee la ushindi limefungwa dakika ya 88 na Nahodha wa timu hiyo, Jacob Masawe.
    Stand United sasa imeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza msimu huu kuifunga Yanga.

ความคิดเห็น • 182

  • @tulivu6377
    @tulivu6377 5 ปีที่แล้ว +4

    Wana simba mko wapi wekeni like

  • @yonamwanjisi3060
    @yonamwanjisi3060 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana stand utd

  • @Kimaro_Comedy
    @Kimaro_Comedy 5 ปีที่แล้ว +8

    Hii nahisi ni channel bora kabisa Tanzania kuwahi kutokea kwa habari kem kem na vitu vipya kila siku inanipa inspirations hata kwenye channel yangu pia safi sana.

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +2

      ASALI Online Tv utafika tu piga moyo konde muhimu kujituma na malengo na mipango.,bila kusahau nidhamu

    • @sondanzingulasondasam4029
      @sondanzingulasondasam4029 5 ปีที่แล้ว

      Mambo

  • @allymichael1344
    @allymichael1344 5 ปีที่แล้ว

    saaaafiii xtand

  • @yohanamasanja7109
    @yohanamasanja7109 5 ปีที่แล้ว

    Yes we can!

  • @santoskayamary8814
    @santoskayamary8814 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamaaa wa nje ndan

  • @novatisilayo9448
    @novatisilayo9448 5 ปีที่แล้ว

    kaliwa leo

  • @TheDinhoDesign
    @TheDinhoDesign 5 ปีที่แล้ว +2

    Hii mechi Yanga hamkuwa serious

  • @shakiramwenye1683
    @shakiramwenye1683 5 ปีที่แล้ว

    Stand hongeren, kelele zimepungua

  • @hashimfarsy5250
    @hashimfarsy5250 5 ปีที่แล้ว +6

    First view first comment stand oyeeeeeeeeeeeeeee

  • @judithpaul9013
    @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว +7

    Polen vyura

    • @shabangervas7527
      @shabangervas7527 5 ปีที่แล้ว

      walikuw vzr stand

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      judith paul na nyie mliokula mkono huko Kongo tusemeje mikia nyie

  • @travodavie9518
    @travodavie9518 5 ปีที่แล้ว +1

    mechi ya congo wala haiathir ligi kuu hongera stendi kwa kutoboa neti

  • @ramadhaniemanuely1415
    @ramadhaniemanuely1415 5 ปีที่แล้ว +6

    ndio mpira huo shabik wa yanga

  • @amosimilanzi68
    @amosimilanzi68 5 ปีที่แล้ว +2

    Ongeren sana stand ndo mpira

    • @travodavie9518
      @travodavie9518 5 ปีที่แล้ว

      tulifungwa tayr tushatangazw mabingwa sasa ww hata mzunguko wa kwanz na azam bado afu unamcheka shujaa aliyefia vitan na wkt teja kafia stendi,, afu inakariri maneno ya shaffie unadhan ndo sheria ya mpir et kupenda mpira kabla ya team basi wote tungekuw madrid au barc lkn wapo wanaoshangilia evarton au tanzania wote wangekuw kama ww wanaoshangilia chura lkn tupo tunaosupport chama la wana ambako tunachezaga iokote

  • @jescalyanga2965
    @jescalyanga2965 5 ปีที่แล้ว

    ilikua tamu sana vyura kutobolewa ndogo

  • @fidelsjulius912
    @fidelsjulius912 5 ปีที่แล้ว

    Ni hatar

  • @zenahgift5897
    @zenahgift5897 5 ปีที่แล้ว

    jaman polen vyura kw kufia stend

  • @hamisjuma604
    @hamisjuma604 5 ปีที่แล้ว

    hivi alie wafunga yanga ni masawe yule muigizaji au masawe yupi

  • @mwanahamisihassani1943
    @mwanahamisihassani1943 5 ปีที่แล้ว

    Amna kitu kibaya kama kandambili kukukatikia stendi Asante chama lawana kwakumtoa mtu bikra mana wangeshinda naleo hii tumepigwa amsa wangechonga sana apo atuchekani

  • @bernardchibwana2564
    @bernardchibwana2564 5 ปีที่แล้ว +3

    Nanukuuu, kutoka KWA ENOCK BWIGANE kua yanga Leo wametobolewaaaa!!!, mwisho wakunukuuu.

  • @raymilanzi9929
    @raymilanzi9929 5 ปีที่แล้ว

    Fimboooòoo 5 mikono juuuu

  • @nyandamakoye534
    @nyandamakoye534 5 ปีที่แล้ว +4

    kapatikana Leo

  • @wazaelisanka447
    @wazaelisanka447 5 ปีที่แล้ว +2

    Bora shujaa aliyefia vitani kuliko aliyefia stendi! Hata hajaufikia uwanja wa vita!!

  • @veronikayohana9901
    @veronikayohana9901 5 ปีที่แล้ว

    Mlijitahi watani hongeleni

  • @hamisjuma604
    @hamisjuma604 5 ปีที่แล้ว

    ha ha ha makambo hakumaliza dakika

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 5 ปีที่แล้ว

    Heheee

  • @thedonkunambi1879
    @thedonkunambi1879 5 ปีที่แล้ว +9

    mmetoa bikra ya yanga

  • @maulidmango1087
    @maulidmango1087 5 ปีที่แล้ว +2

    Good, virgin imeondolewa

  • @leahphilimone4890
    @leahphilimone4890 5 ปีที่แล้ว

    jaman adi aibu daa nabado Azam club kukutananao tena

  • @babdulla3779
    @babdulla3779 5 ปีที่แล้ว +9

    Wamebana weeee mwisho wameachia wenyew na bado😅😅😂

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Abdallah Juma duuh!

    • @aliditedi3695
      @aliditedi3695 5 ปีที่แล้ว

      Alizenu

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      Abdallah Juma yani nyie mnajadili ya Yanga tu ya kwenu mnayaficha mmetiwa mikia mitano huko Kongo mbona hamsemi

    • @babdulla3779
      @babdulla3779 5 ปีที่แล้ว

      Kwnini unateseka sasa

  • @sylvesterfrancis6826
    @sylvesterfrancis6826 5 ปีที่แล้ว

    Kama umewaona mashabiki wa simba wakisema yes, yes baada ya goli kuingia nyoosha mkono juu

  • @muharramtsanze1727
    @muharramtsanze1727 5 ปีที่แล้ว

    Kweli yanga hatuna goalkeeper

  • @michaeljohn5365
    @michaeljohn5365 5 ปีที่แล้ว +3

    Watani soma hiyooooooooooo

  • @hasinayusuph8890
    @hasinayusuph8890 5 ปีที่แล้ว

    Six noumer sana unapeleka mpira kama farasi do

  • @danielrukas1023
    @danielrukas1023 5 ปีที่แล้ว

    Kwahyo hawana bikra tenaaa

  • @mdkgmdfamily5063
    @mdkgmdfamily5063 5 ปีที่แล้ว +6

    Nyinyi mbona mlitobilewa mwisho wa ligi msimu uliopita na mlisema hamtotobolewa tigo mbona mliliwa ndogo na mlisema twamaliza ligi Bila ya kufungwa sidhani kama mnakumbuka msiojua mpira mwajua kupenda timu tuuuuu na 5G yenu na mlisema tutamfunga kulekule kwao Congo sasa bao tano lazima ukizaaa uzae mapacha

    • @iddymohamedy7656
      @iddymohamedy7656 5 ปีที่แล้ว

      Mdkg Mdfamily hata mm nilikukujolea tano au na ww umesahau chura ww alafu mm nimefungwa ugenini tena club bingwa

    • @ramseyrmsy3366
      @ramseyrmsy3366 5 ปีที่แล้ว

      Mdkg Mdfamily sisi tushakupiga tano kumbe ulizaa mapacha?!

    • @ramseyrmsy3366
      @ramseyrmsy3366 5 ปีที่แล้ว

      Mdkg Mdfamily usifananishe wakimataifa na mechi za mtaani

    • @saidibrahim2022
      @saidibrahim2022 5 ปีที่แล้ว

      kimoja cha nguruwe wa tt 12

    • @alfredymwakyosi77
      @alfredymwakyosi77 5 ปีที่แล้ว

      Kamoja tu

  • @abdallahmickidadi8981
    @abdallahmickidadi8981 5 ปีที่แล้ว

    haaaahaaahaaaaaaaaa cha nguruweeeeee

  • @tadeikaguo9871
    @tadeikaguo9871 5 ปีที่แล้ว

    piga yanga hao huu ni wakati wao sasa wa kutombolewa

  • @ellynaturejonas528
    @ellynaturejonas528 5 ปีที่แล้ว +2

    Niliwaambia tu wana simba wasimcheke yanga kaliwa tano

  • @mtengulerashid7868
    @mtengulerashid7868 5 ปีที่แล้ว

    john.bluno.umeionahiyo hebu soma hiyo 5 kwangapi hiyo

  • @allyhamisi6736
    @allyhamisi6736 5 ปีที่แล้ว

    Ongezeni bidii yanga vinginevo mutacheza ligi ya kichangani

  • @hashmyss-hotmail.com123
    @hashmyss-hotmail.com123 5 ปีที่แล้ว

    Watani waliogopa Jezi za Stand United

  • @frenklubago5748
    @frenklubago5748 5 ปีที่แล้ว +3

    Piga hao

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 5 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha yangwa

  • @MohdRashid-cu9qb
    @MohdRashid-cu9qb 5 ปีที่แล้ว

    Kilicho wafungisha Yanga ni kuwa waliwaogopa hawa jamaa wakidhania ni Simba

  • @deoshine777
    @deoshine777 5 ปีที่แล้ว

    zaera kama mwanamke

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 5 ปีที่แล้ว

    Hata mademu wakali huliwa na WAHUNI..😀

  • @allykipanya3082
    @allykipanya3082 5 ปีที่แล้ว +3

    mmeliwa nyie vyura

  • @BontamLee
    @BontamLee 5 ปีที่แล้ว +2

    DAH HILI BAKULI LINASIKITISHA.

  • @raymilanzi9929
    @raymilanzi9929 5 ปีที่แล้ว

    poren sAnA chimba kwakutoborewa 5 Hahah Aibuuuùuuuu

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 5 ปีที่แล้ว +3

    5G nooomaaa

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Joseph Kapinga kausha bahsi blaza kaah! 😆

    • @omarsempombe5347
      @omarsempombe5347 5 ปีที่แล้ว

      Joseph Kapinga kimoja kinauma zaidi ya sindando wahuni Sio watu poa

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Omar Sempombe hehe

    • @swaumumitimi5979
      @swaumumitimi5979 5 ปีที่แล้ว

      Sat sana stand

  • @jesebayo5645
    @jesebayo5645 5 ปีที่แล้ว +1

    Dk 89 simba 0 As vita 5 dk ya 89 Yanga 0 stand 1 nahisi ushanipata

    • @zainaamir9207
      @zainaamir9207 5 ปีที่แล้ว

      Ndo unacho kikumbuka hicho it me khalfan

    • @jesebayo5645
      @jesebayo5645 5 ปีที่แล้ว

      Wew chalii niaje As vita wameshawasili

  • @kingayo999
    @kingayo999 5 ปีที่แล้ว

    kocha wa stand utd anajua kuongea amesema kuwa yanga hawana mpira wanabutuabutua tu kama ss

  • @edisonmwambokela3364
    @edisonmwambokela3364 5 ปีที่แล้ว

    Ni uzembe wa Dante na kindoki ao lawama ziwaendee kwa kweli tunaitaji kumludisha kakolanya

  • @kabwanga83
    @kabwanga83 5 ปีที่แล้ว

    Wahuni wa Chama LA wana waitoa bkr ya Dada yetu kwenye stend ya singida jioni wakati zikiwa dk 3 tu giza kuingia.

  • @ibraharuna3045
    @ibraharuna3045 5 ปีที่แล้ว

    Chris chunguza kipa vizur wakati massawe anakwenda kupiga kichwa kipa kafanya nn

  • @hamisjuma604
    @hamisjuma604 5 ปีที่แล้ว

    bikra imefumuliwa ha ha ha

  • @peterfutwa8210
    @peterfutwa8210 5 ปีที่แล้ว

    offside ya ukweli

  • @mtengulerashid7868
    @mtengulerashid7868 5 ปีที่แล้ว

    A s vita kweli wahuni hata huruma hamna. mnapiga tu.mnapiga tu had I mkono

  • @yusuphamani72
    @yusuphamani72 5 ปีที่แล้ว +10

    Chama la wana wahuni sio watu wazur mnabaka had bikraaaaa inauma jamani

    • @robertfabian3030
      @robertfabian3030 5 ปีที่แล้ว

      Kongo vp huko?

    • @yusuphamani72
      @yusuphamani72 5 ปีที่แล้ว +1

      Robert Fabian poa tu mama kafa mchana na baba kafa usiku fresh tu

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Yusuph Amani hhh

    • @yusuphamani72
      @yusuphamani72 5 ปีที่แล้ว

      Robert Fabian
      Mama kafa mchana baba kafa usiku poa tu

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว +1

      Yusuph Amani na nyie si mmetiwa mimba huko Kongo mmepata watoto watano

  • @deusywikes610
    @deusywikes610 5 ปีที่แล้ว

    Tano du simba ndio mwisho wenu

  • @mahelesiantoni6411
    @mahelesiantoni6411 5 ปีที่แล้ว

    Hawa ndio waamuzi wa bongo, alietoa krosi ya goli kabla hajapewa mpira alikuwa offside

  • @johnbruno1043
    @johnbruno1043 5 ปีที่แล้ว +3

    vyura wamekutana na wahuni wa standi,

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      John Bruno itakuwa makambo hakucheza leo

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      John Bruno mikia wamekutana na wauni wa Kongo wote wanarudi na mimba

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      John Bruno hau Jana chama na kagere hawakuwepo so kwa kipigo kile

    • @zephaniahenry3694
      @zephaniahenry3694 5 ปีที่แล้ว

      😜😜😜😜😜

    • @josephelias3558
      @josephelias3558 5 ปีที่แล้ว

      John Bruno

  • @frankjonas1094
    @frankjonas1094 5 ปีที่แล้ว

    Uzembe wa kipa huo!!Wee mpaka mpira umefika golini bado umesimama palepale naakati angeutoa tena nafasi alikua nayo fala kweli kindoki

  • @joshuamoses6217
    @joshuamoses6217 5 ปีที่แล้ว

    michezo hudumisha miili yetu na kuwa shupavu

  • @deusywikes610
    @deusywikes610 5 ปีที่แล้ว

    Kipa Dante wabovu wote siku dante akicheza kati lazima yanga ifungwe

  • @paschalyusuph5889
    @paschalyusuph5889 5 ปีที่แล้ว

    bkr imetokleo kwa kichapo gol moja ni sawa na kichapo cha guruw moja watot 60 chama la wana 1 watt 3 ,

  • @michaellimu2332
    @michaellimu2332 5 ปีที่แล้ว

    Bikra kafumuliwaaàaaaaa

  • @hamisjuma604
    @hamisjuma604 5 ปีที่แล้ว

    wamefumuliwa marinda ha ha ha ha

  • @mtengulerashid7868
    @mtengulerashid7868 5 ปีที่แล้ว

    Donald kunambi umeiona. mkono huo AS Vita .oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee3ee

  • @robertkimario6266
    @robertkimario6266 5 ปีที่แล้ว

    azam tv mnazingua kichiz dadekiiii

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Robert Kimario kwann

    • @flumencemvula5760
      @flumencemvula5760 5 ปีที่แล้ว

      Nyie yanga hamjapigwa goli tano? tumecheza na nchi wanayojuwa mpira hatukati tamaa bado tupo yanga majungu na wanafiki

    • @dogonyuki6693
      @dogonyuki6693 5 ปีที่แล้ว

      da ndo mmefanywa wasenge sasa wahuni syo watu wazur vyura nyinyi

    • @msigwaonestudio1121
      @msigwaonestudio1121 5 ปีที่แล้ว

      Rekodi ya mnyama kamwe hamuwezi kuifikia vyura,tulifungwa ya mwisho na sio mech ga pili mzunguko wa kwanza.na bado,maana mmebebwa sana mech kadhaa zikizopita.hasa mbeya kule

  • @masudyamiry4252
    @masudyamiry4252 5 ปีที่แล้ว

    ilonikweli

  • @jeromemunisi3003
    @jeromemunisi3003 5 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kipa

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 5 ปีที่แล้ว

    malede Kabisa haya

  • @ndimbumihumphrey4149
    @ndimbumihumphrey4149 5 ปีที่แล้ว

    Mpokeaji wa wa mpira alikuwa Offside kabisa ,Halafu akaacha,,,,Duuu!!!Kweli hatuna marefa sijui ni wawapi

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 5 ปีที่แล้ว

      Akuna offside hapo.

    • @ismailhussein3170
      @ismailhussein3170 5 ปีที่แล้ว

      Ndimbumi Humphrey leo ndo umejua kuwa waamuz hawafai lakn ulishangilia goal la mkono la tambwe

  • @ibnuraashid7991
    @ibnuraashid7991 5 ปีที่แล้ว

    K

  • @mtengulerashid7868
    @mtengulerashid7868 5 ปีที่แล้ว

    Abdala.juma. umeuona mkono huo.As vita.oyeeeeeeeeeeeeeeee

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว

      Mtengule Rashid mieleka oyee, anzisheni ndondi fc

  • @hamongukecha8944
    @hamongukecha8944 5 ปีที่แล้ว

    Yanga wanaongoza ligi ya tpl mkundu wa mcmbazi wanaongoza kundi klab bngw

  • @mariamswau1903
    @mariamswau1903 5 ปีที่แล้ว

    mpira matokeo matatu mbona munaingea kama co maxhabiki

  • @ellynaturejonas528
    @ellynaturejonas528 5 ปีที่แล้ว

    sisemi kitu kule tano mbona

  • @elihurumadausson2852
    @elihurumadausson2852 5 ปีที่แล้ว

    chumnvi chumnvi

  • @jolitejolite1497
    @jolitejolite1497 5 ปีที่แล้ว +1

    Nilijua watapigwa kifulushi cha wiki baati yao wamepigwa amsa 5 wakija taifa 6 jumla 11 apo ndiyo utawajua yanga A

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Jolite Jolite hmm..mh

    • @hassanshamte1988
      @hassanshamte1988 5 ปีที่แล้ว

      Acha kujitoaa faham zungumziaai iyoo gemu ya Stend

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Hassan Shamte hpo chch

    • @emmanuelmkeba7901
      @emmanuelmkeba7901 5 ปีที่แล้ว

      Jamani tobo lilishawekwa au bado?! Na kwa nn wachezaji walitoka wameloa maka.....?!!!!!!

    • @emmanuelmkeba7901
      @emmanuelmkeba7901 5 ปีที่แล้ว

      Yaani bana mambo ni mukide na kamvua kakanyesha tumajimaji uwanjani tukawepo kuashilia tudamu mtu katolewa bikra na mtu akitolewa bikra kwa siku moja kwa mkupuo inauma anakuwa kabakwa maana hua haitoki kwa siku moja sasa hiyo imetolewa kwa siku moja wamebakwa jamani wanamaumivu pa kuyamalizia ndo maana wanawaparamia wapanda ndege za kimataifa wenye mabilioni yao ila Simba hawana hiana watawasaidia milioni 10 ktk kopo ila nahofia kopo litajaa maana limezoea kuchangiwa elfu moja moja sasa uweke milioni kumi wanaweza kugawa hata mechi ya mtani wakasema chukuwa chote mtani nakupenda!!!!!!!!!!

  • @robertkimario6266
    @robertkimario6266 5 ปีที่แล้ว +1

    machok hao yanga

  • @msyanituntufye3441
    @msyanituntufye3441 5 ปีที่แล้ว +3

    Niljua tu kwamba muda utafika tuu na bado huyo zahera mtamkataa

    • @rajabungatanda3749
      @rajabungatanda3749 5 ปีที่แล้ว +1

      Msyani Tuntufye
      Kati yetu sisi yanga kufungwa 01
      Na simba aliyepigwa 05
      Kama kasimama yupi amkatae kocha?

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Rajabu Ngatanda duuh.,ani ubadilishane na simba wapinzani wenu tuone nn kitatokea?

    • @sylvesterfrancis6826
      @sylvesterfrancis6826 5 ปีที่แล้ว

      +Mnzava Chris Simba kafungwa na timu bora Africa, bingwa wa mabingwa klabu bingwa na bingwa wa kombe la shirikisho Africa wakati yanga kafungwa na kikundi kimoja cha wahuni na wapiga debe wa pale stendi shinyanga, aibuuuuuuu, zahera out😁😁😁

    • @shijamakoye6013
      @shijamakoye6013 5 ปีที่แล้ว

      Mimi nilishawambia kindoki ni pazia tu pale golini halijui hata kukadilia mpira halijui hata mpira UPI Wa kudaka UPI Wa kupangua linadondoka kabla hata ya mpira haujafika jinga kweli hii

    • @shijamakoye6013
      @shijamakoye6013 5 ปีที่แล้ว

      @@sylvesterfrancis6826 yani katika watu wasiokuwa na fikira na wewe ukiwemo unashindwa kuelewa kuwa ulifungwa na ndanda harafu unashindwa kujua kuwa kunakufungwa na kuzalilishwa sasa jitathimini je Congo umefungwa au umezalilishwa

  • @ibraharuna3045
    @ibraharuna3045 5 ปีที่แล้ว

    kipa huyu achunguzw maana inakuwa aruke chini kabla ya mpira kupigwa

  • @emanuelmabula680
    @emanuelmabula680 5 ปีที่แล้ว

    Ahahaaa nmeona kama m2 anatembeza kibakuli huko kwamashabiki vp au macho yangu2

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Emanuel Mabula watu na kazi zao!

    • @emanuelmabula680
      @emanuelmabula680 5 ปีที่แล้ว +1

      Kazi gn ya kuomba omba

    • @travodavie9518
      @travodavie9518 5 ปีที่แล้ว

      emmanuel kaka hayo ndo maisha yetu kila mechi lazm bakul liwepo

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +1

      Trávo dâvie hivyo!

    • @emanuelmabula680
      @emanuelmabula680 5 ปีที่แล้ว

      Bhc kz mnayo ndo mnandoto ya kubeba ubingwa

  • @lichmavoko9696
    @lichmavoko9696 5 ปีที่แล้ว

    Kindoki wewe hakuna kitu nashangaa wamekuamini kukupa nafasi hii ovyo kabisa

  • @eliampenzwa3156
    @eliampenzwa3156 5 ปีที่แล้ว

    Ina maana huyu mwamuzi wa pembeni hakuiona hii offside ya wazi kabisa, au ndiyo waamuzi wetu na matokeo mfukoni

  • @mariamswau1903
    @mariamswau1903 5 ปีที่แล้ว

    mpira matokeo matatu mbona munaongea kama co maxhabiki