ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

ENG. HERSI KUONDOKA YANGA ?, MAHAKAMA YATOA AMRI YEYE NA VIONGOZI WAACHIE NGAZI, KATIBA YAVUNJWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 pmbet.co.tz/en...
    NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL
    TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE TH-cam CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
    INSTAGRAM @pmtvtz
    TWITTER @Pmtvtz
    TIKTOK @officialpmtv

ความคิดเห็น • 19

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 หลายเดือนก่อน

    Simba Chakavu wanaumia sana Kiumbe Jemedari anafurahi sana

  • @Adrianolaurian
    @Adrianolaurian หลายเดือนก่อน

    Wazee hatuwataki 💪

  • @user-ul2qg8ds6f
    @user-ul2qg8ds6f หลายเดือนก่อน +2

    Enjia anatoka labda ni yule wa mabarabara sio hyo Tena hyo mahaka iniangalie sana

  • @user-jd5ru7dr2r
    @user-jd5ru7dr2r หลายเดือนก่อน

    Huyo mzee aje tupige mimba

  • @AlfredMwakabana
    @AlfredMwakabana หลายเดือนก่อน

    Tatizo jaa zao na njama za simba kwenye uchanguzi njooni na ulinzi vinginevyo Mtakula fimbo nyingi

  • @WistomJulius
    @WistomJulius หลายเดือนก่อน

    Forever injinia awezi kuondoka yanga huo ni ufisadi tyu wa watu wa simba wanataka kuivuruga clumb

  • @SAKINAJUMA-ey8qd
    @SAKINAJUMA-ey8qd หลายเดือนก่อน

    Kweli nimeamini mtu akishakua mzee akili inaludi kuwa ya kitoto😢😢😢😢😢

  • @user-mz4gx2ek9y
    @user-mz4gx2ek9y หลายเดือนก่อน

    Mahakama ikapambane na mafisadi ipeleke ukuma wake huko au wanataka tukazitie moto

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 หลายเดือนก่อน

    Arf nani awe raise ? Wazee muache uhuni, musitake turudi nyuma.

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su หลายเดือนก่อน

    Yatakwishwa

  • @SeuriMollel-im5yw
    @SeuriMollel-im5yw หลายเดือนก่อน

    Nyie waandishi wa habari mnatengeneza habari za uongo acheni ujinga landa wakwenu

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 หลายเดือนก่อน

    Halafu waandishi wa habari hayo mambo sio ya kushanglilia yanarudisha soka letu nyuma

  • @abasalfred1617
    @abasalfred1617 หลายเดือนก่อน

    Huyo magoma hat pesa ya kumlipa nkane hana, huo ni ujinga sana wapinga maendeleo

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j หลายเดือนก่อน

    Ndio mjute kumrubuni chama....

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 หลายเดือนก่อน

    Hao wazer wnakadi halali ? Wafukuzwe uanachama au wametumwa na simba?

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 หลายเดือนก่อน

    Kama Ni kweli Basi. Hawa Wazee hawaitakii mema tanzania.na haswaaa ki mpira.tuache utani viongozi Hawa Ni wazuri..Tena wazawa wenzetu..huwezi kywafananisha na mamluki wa Simba..na sijuwi Wazee Hawa nguvu wanaitoa wapi? Kwani tff na FIFA swala hili wanalichukuliaje? Kwa Nini Wazee hawakupeleka shauri hili FIFA?

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 หลายเดือนก่อน

    Acheni ujinga jamani yanga yenyewe ina mafisa wao wa habari vipi nyinyi muwe wa kwanza kuziwa taaruki hivi huu ni uchonganishi uwepo wa engenea Heres saidi hunatambulika kikatiba na ndiyo masna yupo pale na tunatambuwa mchango wake mkubwa ktk timu ya yanga ivyo hizo ni propaganda huzushi ili kuibomoa yanga tuu na amta fanikiwa kamweer

  • @MathewKaduma-ns6yv
    @MathewKaduma-ns6yv หลายเดือนก่อน

    Huo ni uzushi Tena nyie mnatakiwa kukamatwa, ivi mnatengeneza skendo za kijinga kwani mchakato wote unafanyika walikuwa wapi? Wajinga kbs nyie.