Magoli yote sita: Simba SC 3-3 Stand United, dimba la Taifa DSM (02/03/2018)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 มี.ค. 2018
  • Haya hapa mabao yote yaliyofungwa leo katika dimba la Taifa Dar es Salaam. Ilikuwa ni piga nikupige, wakianza Simba, na Stand kusawazisha. Simba inalazimishwa sare ya mabao 3-3.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 104

  • @stafordmpala7800
    @stafordmpala7800 6 ปีที่แล้ว +1

    safi sana nimeipenda huu ndo mpira wengi tunataka

  • @racheltugende5202
    @racheltugende5202 6 ปีที่แล้ว +1

    wao inapendeza sana

  • @anthonyluhumbika4693
    @anthonyluhumbika4693 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana chama la wana

  • @enockkitomarys4909
    @enockkitomarys4909 6 ปีที่แล้ว +10

    kumamake had raha piga nyumbu hao pumbavu et simba haaa simba au paka2 tena zingerud na nyongeza nyau kbs

  • @prinsecdayana2143
    @prinsecdayana2143 6 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha yanga oyeeeee

  • @khalfanmkumba5009
    @khalfanmkumba5009 6 ปีที่แล้ว +5

    simba ubingwa ndio bc tena+974

  • @shabanibilali9661
    @shabanibilali9661 6 ปีที่แล้ว

    Hapa shida yangu niisikie sauti ya baraka mpenjaaaaaaaaaaaa

  • @amanmhangwa9611
    @amanmhangwa9611 6 ปีที่แล้ว +3

    tushawazoea kila msimu wanaongoza point lakin ubingwa jangwaniiiiiiiiii

  • @Jordan_g9
    @Jordan_g9 6 ปีที่แล้ว +2

    Simba anatukatia viuno mbele kuweni makini vidume twaja

  • @simwanamwinga5786
    @simwanamwinga5786 6 ปีที่แล้ว

    Mmewakomesha this is stand bwana

  • @peteropanga9703
    @peteropanga9703 6 ปีที่แล้ว +6

    yanga kama vile wanamkimbiza mwizi

  • @amanipeace6007
    @amanipeace6007 6 ปีที่แล้ว

    best goal ever ever to stand united ,first goal

    • @admirabisikiduduye1516
      @admirabisikiduduye1516 6 ปีที่แล้ว

      Magoli yote ya stand ni classic,halmanusura kipa wa Sumba ajeruhiwe katika harakati za kuokoa goli la kona,

  • @MBAGOTV
    @MBAGOTV 6 ปีที่แล้ว

    #ABJTv nice wana st

  • @amanipeace6007
    @amanipeace6007 6 ปีที่แล้ว +4

    karuka km ronaldo mwenzake kavua shati km meSSI😂😂😂

  • @castrogdgfmaskalongan2357
    @castrogdgfmaskalongan2357 6 ปีที่แล้ว +3

    inapendeza tatutatu

  • @adellahmdede9384
    @adellahmdede9384 6 ปีที่แล้ว

    gem ilikua tam sana good job walume

  • @rosemaryjacka1921
    @rosemaryjacka1921 6 ปีที่แล้ว +3

    Inapendeza

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 6 ปีที่แล้ว

    hawa stendi wanahatari sana magoli yao yote mazuri.
    fight fight simba ubingwa ni wetu..point moja si haba.

  • @mfaumeseif5872
    @mfaumeseif5872 6 ปีที่แล้ว +1

    Chama la wana wanabalaaa magoli yao yote ni Kama ya ulaya ulaya....

  • @mossesmlokozi3425
    @mossesmlokozi3425 6 ปีที่แล้ว

    kona goal bora imependeza Sana pamoja stend

  • @merryrajabu2103
    @merryrajabu2103 6 ปีที่แล้ว

    #ABJTv hongereni simba ila msitegemee mteremko

  • @juliethkigalamtima4671
    @juliethkigalamtima4671 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana stand

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 ปีที่แล้ว

    wachezaji wametuangusha Sana Leo

  • @diweni441
    @diweni441 6 ปีที่แล้ว +1

    ushangiliaj wa gyan nilijua anajiandaa kunya mav ya kuharisha vle alivyokaza uso na cr7 akikuona atakushtak.

  • @ezrahtossi7793
    @ezrahtossi7793 6 ปีที่แล้ว

    simba noma

  • @bikhadijasabri2256
    @bikhadijasabri2256 6 ปีที่แล้ว

    watoto chama LA wana stend nyinyi kiboko sana hao wakiwazarau wakajiamini wamewaweza kumbe wamewezekana safi sana zarau zimewazidi mikia

  • @lucymwasaka5329
    @lucymwasaka5329 6 ปีที่แล้ว

    simba oyeeee

  • @danielmchalo4916
    @danielmchalo4916 6 ปีที่แล้ว +1

    yanga msichekeleee Sana

  • @mansourjuma3731
    @mansourjuma3731 2 ปีที่แล้ว

    Abdul swamadu 💥💥

  • @maryamsamagoal7748
    @maryamsamagoal7748 6 ปีที่แล้ว

    stand walipaform vizuri

  • @josefmorris7632
    @josefmorris7632 6 ปีที่แล้ว +5

    Hivi Simba kwanini tunafunga goli 2-0 halafu tunaruhusu magoli yanarudishwa? Wachezaji walirelax wanadhani mechi imeisha. Leo nimesikitishwa sana.

    • @mwafatimamwinyigoha2955
      @mwafatimamwinyigoha2955 6 ปีที่แล้ว

      Huo ndo mpira jamani kushinda na kushindwa msilaumu sana

    • @omaryhamis7106
      @omaryhamis7106 6 ปีที่แล้ว

      aaaah majab ay kwaiy simba wanategemea okw mmh so pow

  • @hemedsuleiman7928
    @hemedsuleiman7928 6 ปีที่แล้ว

    simba ni sawa na baskeli ya mbao inaanza kwa kasi ikifka kwenye milima inaharibika waloko nyuma wanamkaribia hatma yake wanampita

  • @alimamubakarmubakar9537
    @alimamubakarmubakar9537 6 ปีที่แล้ว +1

    CYo kichuyA Na Kona tu semeni hata Mathias Na Kona dadadeki zenu Na bado

  • @jumamatutu8343
    @jumamatutu8343 6 ปีที่แล้ว +2

    this is simbaaaaaaaaa

  • @abdalahmnyawi7156
    @abdalahmnyawi7156 6 ปีที่แล้ว +1

    Simmba bac tena.

  • @hamzahamisi4038
    @hamzahamisi4038 6 ปีที่แล้ว

    Cyo kwa cmba ya Leo wenye cmba hawakuwepo pale mbele ndio maana walifunguka stand.....

  • @subiramohd885
    @subiramohd885 6 ปีที่แล้ว +1

    simbaaa.na bado nenden singida huko mlipizwe kisasi.hahahaaaa.this is Simbaaaaaaaa fyuuu

    • @timothleonard2632
      @timothleonard2632 6 ปีที่แล้ว

      simba ni Tim ambayo naipenda lakin a achen kubweteka

  • @juliusfesto6232
    @juliusfesto6232 6 ปีที่แล้ว

    Mdogo mdogo mpaka ubingwa yanga Africa

  • @mwikombekyando1056
    @mwikombekyando1056 6 ปีที่แล้ว

    hao sio simba ni nyau

  • @dativarutta4346
    @dativarutta4346 6 ปีที่แล้ว

    pongezi kwa stand utd kuwapunguzia speed

  • @mtanzaniamwenzangu181
    @mtanzaniamwenzangu181 6 ปีที่แล้ว +4

    YanGa tuna njoo njoo nyuma ya thimbwa

  • @lymotz4982
    @lymotz4982 6 ปีที่แล้ว

    Bora stand kuliko arsenal

  • @ibrahimshaban4126
    @ibrahimshaban4126 6 ปีที่แล้ว +1

    ndugu yangu masunga wa mtopeni huwajui mpaka leo

    • @emilyhyera6457
      @emilyhyera6457 6 ปีที่แล้ว

      hahahahaha kavamia ushabiki huyo hawajui wamatopeni had leo hii?

  • @sammyseame7114
    @sammyseame7114 6 ปีที่แล้ว

    Yanga wajanja mno,ktk kuulinda ubingwa wao hawamwamini mbwa wala masai ! Wao wanamuamini simba tu kuwa mlinzi wa ubingwa wao

    • @jmahams8975
      @jmahams8975 6 ปีที่แล้ว

      Siombaya bolasale

  • @suleshileshina1578
    @suleshileshina1578 6 ปีที่แล้ว +1

    Wewe jaribu kujitambua wewe tena inabidi ujilekebishe aaya ni mashindano au ndio mnafanya.mipango na yanga timu gani mnatupangia

  • @bakaryadam9778
    @bakaryadam9778 6 ปีที่แล้ว

    Azam tv toeni hio nembo ya azam hapo kati I wekeni juu

  • @aineagobachivu588
    @aineagobachivu588 6 ปีที่แล้ว

    Magoal ya stendi ni yakibabe

  • @abelmakingi7453
    @abelmakingi7453 6 ปีที่แล้ว +2

    simba haitokuja kuchukua ubingwa kamwe timu inategemea boko na okwi bila wao wanayumba angalia wenzetu yanga wanamajeruhi wengi tena tegemeo lkn wanatumia wachezaji vijana bado wanashinda duuu simba inaumiza nataman niachane na ushabiki

  • @mandelasule4243
    @mandelasule4243 6 ปีที่แล้ว +10

    kmya kimya tunakuja yanga

  • @ibrahimshaban4126
    @ibrahimshaban4126 6 ปีที่แล้ว +1

    sishangai wa matopeni mkifurahia suluhu hii kwani matokeo siku zote ni matatu

    • @songasn4718
      @songasn4718 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Shaban wamatopenda ni wakinanani sasa

  • @samwelmalindi1083
    @samwelmalindi1083 6 ปีที่แล้ว

    Kombe la dunia 2018

  • @jamalikrv1986
    @jamalikrv1986 5 ปีที่แล้ว

    hii mech jamn ilikuwa tishio

  • @saitotilengay2361
    @saitotilengay2361 6 ปีที่แล้ว

    ila washabiki wa yanga cjui mkoje ko kudroo na stand mtachukua ubingwa?

  • @kibindamwoghu1701
    @kibindamwoghu1701 6 ปีที่แล้ว

    Tunamkimbiza mwiz kimya kimya

  • @songasn4718
    @songasn4718 6 ปีที่แล้ว

    Hii imechi ni ngumu kuisahau

  • @kibindamwoghu1701
    @kibindamwoghu1701 6 ปีที่แล้ว

    Taratiibu haooo wananyea

    • @hhhhnnn3097
      @hhhhnnn3097 6 ปีที่แล้ว

      KIBINDA MWOGHU fyf

  • @allyhelmani5281
    @allyhelmani5281 6 ปีที่แล้ว

    😢

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 6 ปีที่แล้ว

    PAKA wamekaliwa kooni akili imewakaa...!..PAKA nyie..!..💣💥

  • @daudijonathanfungameza1110
    @daudijonathanfungameza1110 6 ปีที่แล้ว

    yanga bhn Kwa kujitia moyo

  • @danielmponzi2458
    @danielmponzi2458 6 ปีที่แล้ว

    Yanga bana wanaongea kama machoko kwani ligi anaongoza nini

  • @athumanikibinda6010
    @athumanikibinda6010 6 ปีที่แล้ว

    ubingwa una wenyew nyinyi

  • @happinessjosephat6674
    @happinessjosephat6674 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwani wadhaniaa YANGA WATATOBOAA UBINGWA??

  • @omarsuley1637
    @omarsuley1637 6 ปีที่แล้ว

    mechiyaleoyasimba

  • @athanaskameja6128
    @athanaskameja6128 6 ปีที่แล้ว

    nyoko simba bgwa

  • @sangatm6066
    @sangatm6066 6 ปีที่แล้ว

    Gyan

  • @gicibertkasomo5151
    @gicibertkasomo5151 6 ปีที่แล้ว

    Poa sana

  • @geradicharles9077
    @geradicharles9077 6 ปีที่แล้ว

    Simba mnaboa

  • @rosemaryjacka1921
    @rosemaryjacka1921 6 ปีที่แล้ว +3

    Inapendeza

    • @hashimmwipallo6271
      @hashimmwipallo6271 6 ปีที่แล้ว

      Rosemary Jacka eti ooo kwa kuwa okwi ndemla na boco hawapo, mbona wenzenu kule hawana kamsoko ,ngoma,juma Abdul, canavaro,chirwa,mwashiuya, lkn wanapambana na halo yaooo

  • @bakaryadam9778
    @bakaryadam9778 6 ปีที่แล้ว

    Azam tv toeni hio nembo ya azam hapo kati I wekeni juu

  • @antonymasisye5012
    @antonymasisye5012 6 ปีที่แล้ว

    usakili wa simb wachezajo wapya

  • @eliamartin4251
    @eliamartin4251 6 ปีที่แล้ว

    smba nizaidi yayotote uszumze kit hio nisare ww ubwa