Clatous Chama aeleza malengo yake Yanga, azungumzia Siku ya Mwananchi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • "...malengo yetu ni kuwafurahisha" - Kiungo wa Yanga, Clatous Chama anaeleza hamu aliyonayo katika kutimiza malengo yake binafsi na ya klabu anayoitumikia kwa sasa huku akiwaita mashabiki kwenye kilele cha #SikuYaMwananchi

ความคิดเห็น • 17

  • @Said13Mashakaog
    @Said13Mashakaog 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks cloutuse chama kwa ahadi unazotuahidi sisi wananchi💛💛💛💚💚💚💛💛💛

  • @GladyWilly
    @GladyWilly 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamn muach makasiriko jmn😂😂😂😂😂😂 sawa tuna wazeee Sasa shida nini bhna chama tunae na tunatamba naeee kwa kiufup tnanampendaaa😊😊💚💛💚💛💪

  • @TariqMbwambo
    @TariqMbwambo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wazee kavu sana wakati hata hela ya kununua jersey hawana wataweza kuendesha club

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 หลายเดือนก่อน

      Yanı hata kwenye kijiji ambao wanawuwa maendeleo ya kijiji ni wazee wewe fatilia vizr wazee wengi ni kikwazo kwenye vijijini vyao😅

  • @JonasWilson-u6t
    @JonasWilson-u6t 2 หลายเดือนก่อน

    Shida iko pale pale

  • @Yuleyule-u6c
    @Yuleyule-u6c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi hao wazee mnaoongelea ni hawa wachezaji au ni wale walioishtaki yanga!? Chama bado nikijana tu ng' ombe haizeeki maini.

  • @MashaKeis
    @MashaKeis 2 หลายเดือนก่อน +2

    wazee washafnya yao uku

  • @BobuMarsata
    @BobuMarsata 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee wengin hovyo kwel et timu yao apa ilipo fika tu wakipewa lazima iludi nyuma mwiko

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawategemea wapambanaji wetu

  • @GeorgePeter-s9c
    @GeorgePeter-s9c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee wa ach mate et

  • @ErastoOmari-ij1zs
    @ErastoOmari-ij1zs 2 หลายเดือนก่อน +1

    DAIMA MBELE
    NYUMA .WIKO
    WAZEE WATULIE KWANZA

  • @norisikikoti2017
    @norisikikoti2017 2 หลายเดือนก่อน +1

    th-cam.com/video/sj81xbxM8Zw/w-d-xo.htmlsi=sxhthtGPAB15zegV Tumika leo

  • @themasimbi2
    @themasimbi2 2 หลายเดือนก่อน +2

    Msaliti

  • @AnnaJayden-k4m
    @AnnaJayden-k4m 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan nikiangalia hawa wazee Hawana nuru kabisa hawajachangamka Kama vijana watu na mazingira Yao ya mazoezi mabaya ebu ngoja nitoke huku Napoteza tu mbs zangu

    • @JenniferMjie
      @JenniferMjie 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅 8/8 ndio utajua kama wananuru au hawana

    • @RhodaMloge
      @RhodaMloge 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@JenniferMjiekwakweli muache ajisemeshe nuru ataiona siku hyo