DUA ya SHEIKH MKUU DSM Yawashangaza WATU, Aomba kwa JINA la YESU na MTUME, Ni kama SHAIRI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 926

  • @ds7891
    @ds7891 4 ปีที่แล้ว +16

    Mungu hawafichi wanafik. Hafai huyu hata kusali nyuma yake
    مَا كَانَ لِلنَّبِيِّ وَالَّذِينَ آمَنُوا أَن يَسْتَغْفِرُوا لِلْمُشْرِكِينَ وَلَوْ كَانُوا أُولِي قُرْبَىٰ مِن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمْ أَنَّهُمْ أَصْحَابُ الْجَحِيمِ
    Tauba 113

    • @abasamwame6583
      @abasamwame6583 4 ปีที่แล้ว

      اظن انه لم يرا هذه الاية
      شترون اياة الله بثمن قليل
      بلبسون الحق بلباطل
      يقولون مالا يفعلون
      اين علماءنا كي يخرونه من الظلمات الي االنور؟
      لقد ضل سواء ااسبيل
      سبحان الله!!!

  • @seraphinamassawe6774
    @seraphinamassawe6774 4 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe hongera sana mathayo 10:33 itakutetea siku ya mwisho usisikilize maneno ya watu msikilize mungu

  • @hamiduhamadi9511
    @hamiduhamadi9511 4 ปีที่แล้ว +29

    nimeshindwa niseme nini .ALLAH ATUPE SUBIRA WAISLAM

  • @asmaabubakar2614
    @asmaabubakar2614 4 ปีที่แล้ว +29

    Inna llillahi wainna illayhi rajiuun ama kweli huu ni mwisho wa dunia tutaona mengi

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 4 ปีที่แล้ว +2

      Tusiwe washabiki tuwe MAKINI katika kusikiliza.

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว +2

      ndio kazi ya Bakwata hiyo wanao kutangazieni mwezi

    • @abdulazizmwipi9750
      @abdulazizmwipi9750 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ziadasadiki8196 mamb ypo waz kabsa yan hpo katia haki na batili alaf kachanganya

    • @khatwabisadathil3423
      @khatwabisadathil3423 4 ปีที่แล้ว +3

      We ziada inawezekana ht madrasa kujui huwa wanakaa vp ili wasome.hujitambui.hujielewi.ckia ww uislamu imekamilika hauna marekebisho.we unaona hy shekh wk yupo sawa????.poke Yk.ngoja tukuhurumie maana elimu ya dini imepitia miguuni.kwanza nijibu swali unaweza kumuombea dua muuza bang??au mchawi.??je dua hy itakubaliwa na Allah???.ukiona huna elimu kaa kimya .

    • @twahamachozi8018
      @twahamachozi8018 4 ปีที่แล้ว +1

      Alhadi njaa ya tumbo umeamua kuipeleka kichwani umefeli sana pole mungu akuongoze mwalimu wangu

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 4 ปีที่แล้ว +23

    Ole wao wanaopindisha HAKI EEE MOLA WETU yote aliyoomba Shehe yawarudie AMEN

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 4 ปีที่แล้ว +2

      Amen

    • @victorngunga9007
      @victorngunga9007 4 ปีที่แล้ว +1

      So that you are telling us Jesus should not be preached by Muslims go and read properly what quaran says about him

    • @Haleem_07
      @Haleem_07 4 ปีที่แล้ว +1

      Amiiiiiiiiiiiiiin..... 🤝🏻 yarabil aalamin..

    • @silimahamza4866
      @silimahamza4866 4 ปีที่แล้ว

      Subhannallah Allah, M/ Mungu anakuona na nia yako mbaya

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 4 ปีที่แล้ว +3

      @@silimahamza4866 Kwani mimi ndio sijaelewa au? Issa bin MARYAM katajwa lakini kwa baraka za Mtume MUHAMADI SAW TUNAKUOMBA EWE MOLA wetu. Aliyeombwa hapa ni MOLA wetu sasa ni kipi kakufuru? Issa bin MARYAM ni Mtume wa ALLAH lakini kwa baraka za Mtume MUHAMADI. Hajaombwa Issa hapa kaombwa MOLA wetu. Wenzetu wao wanaomba kwa Issa/Yesu. Tukiwa na mihemko tutashindwa kuwaongoza wenzetu

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 ปีที่แล้ว

    Yesu ni Yeye na Yule Yule.....Anapendwa na Watu wote kama Mtume wanamtaja Wakristo vinywani mwao.... Upo sawa Kristo akutunze Shehe....

  • @tamimwatamim3427
    @tamimwatamim3427 4 ปีที่แล้ว +36

    MNAFIKITU HUYU SIYO SHEHE""
    MAJANGA KWELI.

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 4 ปีที่แล้ว +3

      JAMANI kasema Issa bin MARYAM wao wanamwita Yesu kwani kipi kina Rushwa hapo. Kasema kwa Baraka za Mtume Wetu MUHAMADI SAW tuna muomba Mwz MUNGU. Sasa kipi kipwa hapo hata angetajwa Nabii IBRAHIM MUSSA ADAM kikubwa hapo anayeombwa ni MWZ MUNGU tu kwa Baraka za Mtume. ACHENI USHABIKI, Darasani tutafeli tukipewa chemsha bongo kidogo tu HOI

    • @abdulazizmwipi9750
      @abdulazizmwipi9750 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ziadasadiki8196 ckia khs kuomba kuomba dua kuptia baraka za mtume Muhammad inafaa Ila haifai kuomba dua kwa kusema kwa jina LA yesu hlo limektazwa maana Allah anasema tumuombe kwa jina lake yy Allah ndy maana jambo lolote lile kuna bismillah rahmanir arrahiim

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 4 ปีที่แล้ว +3

      @@abdulazizmwipi9750 Aliyeombewa nani pale? Uislam ni Hekima na Busara. UTAWALA una hekima zake tuache . CHAMSINGI HAJAKUFURU HAKUNA ALIYEPEWA CHEO CHA ALLAH. UTAWALA NI BUSARA ISIKILIZE VIZURI UTAJUA UISLAM NI HEKIMA.

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndio sisi sisi tukipewa Utawala mwaka mmoja tu AMANI INATOWEKA. Uislam ni hekima siyo Mihemko. Busara ni muhimu sana AMANI yetu TANZANIA ni jambo la Msingi sana. Wao wana DINI yao nami nina DINI YANGU. Muhimu kuomba kwa Jina la MOLA Wetu na kwa Baraka za Mtume wetu MUHAMADI SAW. Tusipandikizwe Mihemko kila mmoja wetu ashike DINI yake kwa MAGEGO Mtume wetu MUHAMADI SAW alishamaliza Hukumu ni ya ALLAH ndugu zangu. 🙏👏

    • @abdulazizmwipi9750
      @abdulazizmwipi9750 4 ปีที่แล้ว

      @@ziadasadiki8196 nakuelewa ziada aliyeombewa pale ni rais kwan shekh hakushndwa kuomba dua kawaida bila kutaja jina la yesu maana hpo kaingiza shub hat na ujue ukhty ktk dini ya uislam kuna mipaka yke jmn shekh akubali kuwa kateleza hpo maana hta bakwata wenyew wamecktishwa na kitend cha shekh je we ambye una elim ya kuwazid hao viongzk was bakwata unamtetea

  • @fctlinesfactlines2817
    @fctlinesfactlines2817 4 ปีที่แล้ว

    Yupo sawa kabisa Yesu Kristo ndio Mungu Muumba wa mbingu nanchi.. Imeandikwa kila kinywa kitakiri na kila goti litapigwa mbekezake.. Shehee Mungu wangu na akubariki na kwakumkiri kwako ikakumbukwe hata Siku ile kuu

  • @ramadhanimasudi6904
    @ramadhanimasudi6904 4 ปีที่แล้ว +7

    Kiuhalisia mtu mwislaam anapoomba na kusema "ashindwe kwa jina la yesu ni makosa. Kwa sababu kiimani waislaam tunaamini ni Mungu pekee ndio mtoa shari. Na hivyo kwa kupitia Mungu pekee mtu hawezi kupatwa na shari! Ila pia nikimuangalia shekhe, pengine ni mapenzi yake binafsi makubwa alionayo kwa raisi wetu na hivyo ili kuweka usawa na hasa ukizingatia dini ya raisi ni mkristo ndio maana akaomba katika mlengo huo. Sasa kama kakosea ama yuko sawa, sisi hatujui na wala si ni wenye kuhukumu! Ila Mungu peke yake ndio anaejua!

  • @شيخنيف
    @شيخنيف 4 ปีที่แล้ว

    Innalillahi wainna ilayhi raajiun, Duh unamuombea Kafiri azidi kutumaliza Waislam au Sio

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 4 ปีที่แล้ว +45

    Askofu sheikh akiomba dua ya kipekee😂😂😂

  • @junaytadarwesh4708
    @junaytadarwesh4708 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaomba kwa jina la Yesu ili umfurahishe nani!!! Dah! Si ungesema tu unamuomba Mwenyezi Mungu. Mola anakuona wewe!!! Yarabbi tusameh na utustiri. Si ungesema tu kwa baraka lakini kwa jina tena!!!! Unafik.

  • @phillipmsamire937
    @phillipmsamire937 4 ปีที่แล้ว +4

    Mimi mkenya lakini nampenda viongozi watanzania wanavyofanya kampeni na amani kwa kuheshimu dini ya kila mmoja wao

  • @marwaabdalla9306
    @marwaabdalla9306 4 ปีที่แล้ว +1

    Hatuombi dua kwaniaba ya mitume, shenzi wewe lana za Allah zikushukie wewe, Maghufuli na ccm wote, Amiin

    • @rachelnelson4032
      @rachelnelson4032 4 ปีที่แล้ว

      Ushindwe kwa Nina LA yesu

    • @marwaabdalla9306
      @marwaabdalla9306 4 ปีที่แล้ว

      @@jurassa9588 Akirudi kwa Allah atasamehewa ila maghufuli, ccm na huyu sheikh ni washenzi tu sioni kuwa ni watenda haki Laana ziwe juu yao, amiin

    • @marwaabdalla9306
      @marwaabdalla9306 4 ปีที่แล้ว

      @@rachelnelson4032 wewe yesu ni mtume wa Allah na mie nampenda na sio Mungu. Maghufuli na washenzi wenziwe walaaniwe na Allah , amiin

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 4 ปีที่แล้ว +8

    Astaghfirullah astaghfirullah astaghfirullah wanatubuika. Ya Allah tuepushe na adhabu zako na watu wanaokufuru kama hawa. Amin

    • @alimsemakweli1376
      @alimsemakweli1376 4 ปีที่แล้ว

      ALLAHUMA Ameen

    • @ahmed59122
      @ahmed59122 4 ปีที่แล้ว

      Atuepushe sisi na amuhathibu yeye huyu mkulima wa dhambi..laana iwe juu yake kwa hizi duaa za kumtharirisha Muhumba wa vitu vyote na asiyekuwa na mshirika.. pesa kweli mtoto wa haramu wstu wanabadilisha mtindo wa dini kama mitindo ya nguo au Music?..dah hatari

    • @chakubanga1
      @chakubanga1 4 ปีที่แล้ว

      HAJAKOSEA, NA KASEMA KWELI KABISA KAMA IPASAVYO NA QURAN. MUNGU HAJAMWEKA MBELE MTUME YOYOTE, ILA, WAMEKUJA KWA KUTANGULIANA. Hizi Ayya mbili ndio ushahidi..
      2/136
      قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      English
      Say, [O believers], "We have believed in Allah and what has been revealed to us and what has been revealed to Abraham and Ishmael and Isaac and Jacob and the Descendants and what was given to Moses and Jesus and what was given to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [in submission] to Him."
      Swahili
      Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa MUSA na ISA , na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
      3/84
      قُلْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      Sahih International
      Say, "We have believed in Allah and in what was revealed to us and what was revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob, and the Descendants, and in what was given to Moses and Jesus and to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [submitting] to Him."
      Swahili
      Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

    • @ahmed59122
      @ahmed59122 4 ปีที่แล้ว +1

      @@chakubanga1 mkipenda kitu mnabadilisha hata haya za dini zetu Wa Tz wakati.....haya hapo.mimi siendi tena na utonisikia tena sababu umesababisha niangalie Quran wakati nipo chooni. Tetea tu wewe na Mola.wako .

  • @salmaomen4943
    @salmaomen4943 4 ปีที่แล้ว

    Innalillahi wainnailaihi raajun,shekh ,Ilunga Allah amrehem aliyasema enzi za uhaiwake,,,ukumbi wa jubilee ,,,,,viongozi wetu hadi Leo hawajitambui,

  • @samo5315
    @samo5315 4 ปีที่แล้ว +12

    Waislam tuwanapenda mitume wote. Lakini nionavyo mimi dua kama hio haifai, WALLAHU AALAM.

    • @chakubanga1
      @chakubanga1 4 ปีที่แล้ว

      HAJAKOSEA, NA KASEMA KWELI KABISA KAMA IPASAVYO NA QURAN. MUNGU HAJAMWEKA MBELE MTUME YOYOTE, ILA, WAMEKUJA KWA KUTANGULIANA. Hizi Ayya mbili ndio ushahidi..
      2/136
      قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      English
      Say, [O believers], "We have believed in Allah and what has been revealed to us and what has been revealed to Abraham and Ishmael and Isaac and Jacob and the Descendants and what was given to Moses and Jesus and what was given to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [in submission] to Him."
      Swahili
      Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa MUSA na ISA , na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
      3/84
      قُلْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      Sahih International
      Say, "We have believed in Allah and in what was revealed to us and what was revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob, and the Descendants, and in what was given to Moses and Jesus and to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [submitting] to Him."
      Swahili
      Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

    • @samo5315
      @samo5315 4 ปีที่แล้ว

      Ahsante. Jazakallah kheir. Allah atujaalie kila la kheir na atuongoze kwenye njia sahih. Amin Ya Rabil Al Alamin. 🤲

    • @abdulqareemseif9050
      @abdulqareemseif9050 4 ปีที่แล้ว

      @@chakubanga1 hivi hii aya ulioitoa hapa ndo dalili ya kutaka kutuambia ndio dalili ya hichi alofanya huyu. Hivi hujui km njia zetu na zao ni tofauti? Na huoni kumuweka reheni mtume ni kosa kwa wasompenda mtume na ni ipi faida ya hapo inayopatikana zaidi kwa Sie waislam

  • @rabiethmosha8006
    @rabiethmosha8006 4 ปีที่แล้ว

    Ufirauni huu upo mwishoni na naamin MUNGU anajibu maombi IPO siku Uhuru Wa weng utajibiwa japo utachelewa ishahllah

  • @bahsanbahsan1828
    @bahsanbahsan1828 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah atuongoze na atuepushe na upotevu

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 4 ปีที่แล้ว +2

    Lazima watu wajue kuwa Yesu Ni Bwana na mwokozi wa maisha yao

    • @ellykibale190
      @ellykibale190 4 ปีที่แล้ว

      Kweli na amina

    • @farisytanzania6566
      @farisytanzania6566 4 ปีที่แล้ว

      Matendo 5:31) Hakuja kukuokoa wewe, na husitegemee. Waisrael peke yao. Ufunuo 21:13)

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว

      Lazima watu wajue km makafiri na wanafiki ndivyo wanavyompigania Yesu mtu awe bwana na muokozi wa maisha yao. Hasbunallahu waniimal wakiil. Allah atuepushe na ukafiri na unafik, Amiin.

    • @madamloveness7274
      @madamloveness7274 4 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796 Yesu hapiganiwa anajipigania mwenyewe ewe mtoto wa kambo wewe

    • @ambrosiamlinga8402
      @ambrosiamlinga8402 4 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796 makafiri! Hiyo simu na youtube unayotumia imetoka kwa makafiri sasa itupe hiyo simu yako na ifunge youtube yako kwani ni haramu

  • @mwinyitoreira2339
    @mwinyitoreira2339 4 ปีที่แล้ว +18

    Ukweli ni kwamba! Dua hii HAIPO! Na haijawahi KUWEPO! DUNIANI! Mpaka AKHERA!!! 😭😭

    • @allymuhammad325
      @allymuhammad325 4 ปีที่แล้ว +1

      Uzuri kashasema dua yakipekee

    • @alimsemakweli1376
      @alimsemakweli1376 4 ปีที่แล้ว

      Laana tullahi aleikum

    • @chakubanga1
      @chakubanga1 4 ปีที่แล้ว +3

      HAJAKOSEA, NA KASEMA KWELI KABISA KAMA IPASAVYO NA QURAN. MUNGU HAJAMWEKA MBELE MTUME YOYOTE, ILA, WAMEKUJA KWA KUTANGULIANA. Hizi Ayya mbili ndio ushahidi..
      2/136
      قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      English
      Say, [O believers], "We have believed in Allah and what has been revealed to us and what has been revealed to Abraham and Ishmael and Isaac and Jacob and the Descendants and what was given to Moses and Jesus and what was given to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [in submission] to Him."
      Swahili
      Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa MUSA na ISA , na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
      3/84
      قُلْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      Sahih International
      Say, "We have believed in Allah and in what was revealed to us and what was revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob, and the Descendants, and in what was given to Moses and Jesus and to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [submitting] to Him."
      Swahili
      Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

    • @banjuta2186
      @banjuta2186 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha

    • @abdulqareemseif9050
      @abdulqareemseif9050 4 ปีที่แล้ว +2

      @@chakubanga1 usitupe ushahidi usioendana na alichokisema. .ili ukufuru lazima upitie vipengele 4 .kauli vitendo itikadi na shaka huyu kwa kauli yake anasema kwa jina la yesu washindwe na walegee hivi mtu akishindwa ni kwa jina la yesu au ni kwa uwezo wa Allah

  • @manzilijuni1616
    @manzilijuni1616 4 ปีที่แล้ว

    Namkumbuka kwaher shekhe ilunga mungu amuweke mahala pema pepon tuyashuhudia yale ukioyasimamia leo tuyaona kwa macho yetu

  • @chakubanga1
    @chakubanga1 4 ปีที่แล้ว +3

    HAJAKOSEA, NA KASEMA KWELI KABISA KAMA IPASAVYO NA QURAN. MUNGU HAJAMWEKA MBELE MTUME YOYOTE, ILA, WAMEKUJA KWA KUTANGULIANA. Hizi Ayya mbili ndio ushahidi..
    2/136
    قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
    English
    Say, [O believers], "We have believed in Allah and what has been revealed to us and what has been revealed to Abraham and Ishmael and Isaac and Jacob and the Descendants and what was given to Moses and Jesus and what was given to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [in submission] to Him."
    Swahili
    Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa MUSA na ISA , na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
    3/84
    قُلْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
    Sahih International
    Say, "We have believed in Allah and in what was revealed to us and what was revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob, and the Descendants, and in what was given to Moses and Jesus and to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [submitting] to Him."
    Swahili
    Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

    • @abubakarzamir6276
      @abubakarzamir6276 4 ปีที่แล้ว

      Angalia dua alivyoiomba kuamini mitume na vitabu vyao ni haki ila hakuna dua ata shekhe mmoja wa kijamii aliewahi kuomba mwanzo akamtanguliza yesu

  • @japharyamiry6272
    @japharyamiry6272 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyeez mungu wewe unajua cha kumfanya huyu mtuu anae jiita ostadhi ya Allah tulipie kwa baya hili. Analo tufanyia waislam🤲🤲Amen

  • @immanuelmwaipopo1605
    @immanuelmwaipopo1605 4 ปีที่แล้ว +4

    Ukubali ukatae Yesu ndio mwanzo ndio mwisho wengine wote watahukumiwa na yeye Yesu na taratibu tumeanza kuelewana

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 4 ปีที่แล้ว +1

      Yesu ndye mkubw was manabii wote walikuw watangulizi wake.

  • @enuelabunimkali9529
    @enuelabunimkali9529 4 ปีที่แล้ว

    Katika jina la yesu nakupongeza sheik alhaji mussa kwa dua safi umetimiza maandiko;; yahya14:13-14 pia yahya 16:24 : ni kwa jina la yesu ndilo lina uweza : jina la bwana yesu lipewe sifa:: a

    • @farisytanzania6566
      @farisytanzania6566 4 ปีที่แล้ว

      Yohana 14:13 ina makosa. Kasingiziwa Bwana Yesu. Soma Yohana 10:25) na Yohana 17:9) Hilo jina la Mungu ni lipi? Baba siyo jina

  • @khalfanabasi7766
    @khalfanabasi7766 4 ปีที่แล้ว +7

    Mashekhe njaa hao kwa jina la yesu tangu lini

    • @omariabdallah6207
      @omariabdallah6207 ปีที่แล้ว

      Ww ndo hujui k2 mamuma mkubbwa mtume mwenyewe kamtaja yesu kuwa yy ndo ishala yakiyama kwann mtume hakusema mm ndo ishala lakn akamtaja yesu soma usikimbilie kupga makelele wakati hujui lolote

  • @greenzabron5107
    @greenzabron5107 4 ปีที่แล้ว

    Huyu shee anaijua kweli ajabagua mungu ampe kibali kwa jina la yesu kristo asante mungu kwa ostazi huyu mpe maisha marefu.

  • @hashimthuwein5412
    @hashimthuwein5412 4 ปีที่แล้ว +7

    Dooh Subhanallah kuipenda dunia ni kichwa cha kila Makosa
    Huyu kweli nikiongozi wa kiislam tz poleni sana ndio tuna sema yoyote alie tumbukia ktk uzushi basi ukaribu wake na Ukafiri auko mbali

  • @wamanja5572
    @wamanja5572 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mtihani sana Unajinasibisha. Unamtanguliza Mtume issa wakati Rasollah wallah ndio Muombezi wetu siku ya kiama. Kwa uchache wa elimu unaona Makosa mengi Allah Atujaalie nyoyo za kumpenda mtume muhhamad s.w.a

  • @kassimsuleiman733
    @kassimsuleiman733 4 ปีที่แล้ว +3

    Inshallah Allah hatomuhifadhi huyo na wewe mwenyewe Allah akupe la kukupa mashekhe wanafiki nyinyi
    mumewaweka mashekhe ndani na wewe mnafiki shekhe gani wewe Mungu akulaani kwa ushirikina wako hasfu wahed

  • @mulhatramadhan9425
    @mulhatramadhan9425 3 ปีที่แล้ว

    Allah (S.A) aliwaona wanafk km hawa na akawapiga mihuri kwenye nyoyo zao, Laanatullah.

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 4 ปีที่แล้ว +5

    Ole ni ya Mungu pekee sio ya kibaraka kama shehe.
    Nakumbuka siku moja jamaa moja aliyekuja kwangu kuomba msaada nimwazime laki 1 kuwa ana matatizo lkn kabla hajaomba alianza kunipa sifa zangu nilivyo na kuwasaidia watu na kumponda jamaa moja alikuwa rafiki yangu nakumbuka nilimpatia hiyo hela na hakurudisha mpaka leo na tumepishana sana kwa maneno kisa hiyo hela.
    Na alipokwenda kwa yule rafiki yangu tena akampa sifa kedekede na kunisema mm vibaya zaidi ya yale alioniambia kumhusu yule jamaa na hapo tena akamuomba laki 5 lkn akapewa 4 na hakurudisha alipodaiwa ilikuwa shughuli pevu mpaka mahakamani
    Sasa swali langu sishangai kuona shehe anamsifia magufuli mbele yake nakumsema vbaya upinzani kwa kuwa sifa kubwa ya mbea ni hiyo sio shida kibaraka siku zikikuishia au ukija kudaiwa utazitapika mkunduni

    • @furahamwajeka7463
      @furahamwajeka7463 4 ปีที่แล้ว

      Noo mungu anajua mioyo yet u na ndo anayo deal nayo

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 4 ปีที่แล้ว

      Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya

  • @ikramallyikran5212
    @ikramallyikran5212 4 ปีที่แล้ว +2

    Subuhana allah . Mtihan huuu yaarab tupe mwisho mwema

  • @chatualiy5346
    @chatualiy5346 4 ปีที่แล้ว +7

    Inaaalillah wainnaa ilayhrrajiuun

  • @asyahamad4424
    @asyahamad4424 4 ปีที่แล้ว

    Inalillahi waina ilahi rajiuuun. Enyi mashehe hemu jieleweni kesho kwa Allah mutakwenda kuulixwaaa

  • @shadyamataralmamari5590
    @shadyamataralmamari5590 4 ปีที่แล้ว +11

    Inalillah Waina llayh Rajiun

    • @عباسعباس-ش9ه4ت
      @عباسعباس-ش9ه4ت 4 ปีที่แล้ว +1

      Shekh upo sawa kabisa mgufuli yy ayupo kanisan wala msikitini

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 4 ปีที่แล้ว

      @@عباسعباس-ش9ه4ت dah nlidhan una jina la kikiristo lkn jina la khadija alf unasema sawa mhh

    • @عباسعباس-ش9ه4ت
      @عباسعباس-ش9ه4ت 4 ปีที่แล้ว +1

      Unajua lmani ni ww mwenyewe tu

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 4 ปีที่แล้ว

      @@عباسعباس-ش9ه4ت Haiswiii kisheria amekosea,, Ni shiriki kuomba kwa jina lolote isipokuwa la ALLAH,

    • @tareqhilal6750
      @tareqhilal6750 4 ปีที่แล้ว +1

      @@zuheraaziz9343 hao wachumia tumbo Zuhera waache tu

  • @karimulahiabdullahi6816
    @karimulahiabdullahi6816 4 ปีที่แล้ว

    Makafiri wanaitikia Amin ya Askofu Alhadi kwakuwa wamekuwa radhi naye kwa vile ashakubali mila yao.

  • @abdulmalksukary5552
    @abdulmalksukary5552 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwanza huyo kwa maneno yake si muislamu ,
    Ameritadi Bila yet kujua sababu amenasibisha yes Ni mungu ingawa ajasema yesu mungu.
    Kitendo Cha kisema washindwe Kean jina la yesu, na yesu kwetu si mungu,itikadi hi Ni ya wakrsto katika iman yao na wanamuomba yesu badala ya mungu.
    Ajabu kwa mtu Kama huyu kuongea maneno haya na anajua fika mungu Ni yupi na yesu Ni Nani.
    Aslimu upya huyu shekh na aimpasi kujishughulisha na Jambo lolote la dini mpaka atakapolejea upya.

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 4 ปีที่แล้ว +12

    Halafu huyu ndie ati atutangazia Mwezi, ni kweli Allah Ametuelekeza kuwafuata viongozi wetu wa dini ya Uislam lkn c kama huyu Mpotofu
    Cjawahi kufuata mwezi wa nchi yoyote mpaka tuone hapa ama tutangaziwe na wao lkn In Sha Allah mara hii mpaka niuone kwa jicho langu c kutangaziwa na walaanifu Kama hawa

    • @salumhamad4099
      @salumhamad4099 4 ปีที่แล้ว

      Mashekhe wa Bakwatwa hao

    • @seifmassoud2686
      @seifmassoud2686 4 ปีที่แล้ว

      @@salumhamad4099 hawa si mashekhe wa Bakwata na makuhani wa Kupakatwa 💪💪😁😁😂

    • @hashimthuwein5412
      @hashimthuwein5412 4 ปีที่แล้ว

      Ikiwa Itikadi yake kama hiyo anadhamana gani ya kuwatangazia watu Mwenzi, lakini Masheikh wetu walio enda kusoma Mabrui, Itikadi zao ni zakuunga unga tu

  • @furahamwajeka7463
    @furahamwajeka7463 4 ปีที่แล้ว

    Cjaona tatizo katika sala hii ya sheee iko sawa kabisa ...mnao ikoment vibaya hebu msikilizen vizuri...

  • @abdallaali5467
    @abdallaali5467 4 ปีที่แล้ว +4

    Na 'Allah anayo majina mazuri basi ombeni kwa majina hyo'..Subuhanallah sheikh anaomba kwa jina la Yesu

  • @aminahhamadi6214
    @aminahhamadi6214 4 ปีที่แล้ว

    MIMI NAFIKIRI SHEKHE KWA ULIMI WAKE AMEDHAMIRIA DUA HIYO YA KEPEKEE KWA MASLAHI TU YAKE YA DUNIA (NJAA) NA SI LOLOTE SI CHOCHOTE ILI AMFURAHISHE ALIYE MBELE YAKE ILA MOYONI MWAKE ANAJUA FIKA HAKUNA DUA KAMA HIYO NA ANAWAOMBEA MASHEHE WAFUNGULIWE MAGEREZANI. NA NDIO MAANA IKABIDI ASOME DUA YA KIPEKEE.

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 4 ปีที่แล้ว +3

    Vya MUNGU mpeni MUNGU vya kaisari mpeni kaisari

  • @lumumbasankara6388
    @lumumbasankara6388 2 ปีที่แล้ว

    Subhana llah kweli maneno yake utakuja kuulizwa cku ya kiama

  • @SalmanKhan-eb7pt
    @SalmanKhan-eb7pt 4 ปีที่แล้ว +10

    Mashekh wengine wako zaidi kwa maslahi ya kidunia....
    Kwani angemuelekea Allah s.a kwa kuwa yeye ndie anaempa pumzi mpaka muda huu angekwama wapi.
    Tusihofie viumbe wenzetu kwa ajili ya madaraka.... Hakika wakati mwengine tunahafilika mpaka siku ya mauti ikifika ndio tunakuwa na majuto ambayo hayatomsaidia kiumbe yeyote....Yote hiyo inatokana kwa kutokuisoma dini na kuifahamu kiundani zaidi.

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว +1

      sishangai kwakuwa Bakwata ndio Tawi lao

  • @abdallahkawambwa9041
    @abdallahkawambwa9041 4 ปีที่แล้ว

    Hawatakua radhi mayahud na manasar mpaka mfuate mila.zao inshallah na ww tunakuombea mwisho mbaya allah akutie motoni

  • @khamissaid5525
    @khamissaid5525 4 ปีที่แล้ว +6

    Inalilahii wainailaihii rajiunii masakini hajuii alitendaloo mungu amtabahishe huyuu kwakwelii

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว

      Tuambie wewe unayejua kakosea wapi?

    • @jumachilundajr4853
      @jumachilundajr4853 4 ปีที่แล้ว

      @@J4UPro yapi waulize hao

    • @alimsemakweli1376
      @alimsemakweli1376 4 ปีที่แล้ว

      Na laana zimfikee huyu jahili wa kiislamu

  • @yaqoobalhinai3805
    @yaqoobalhinai3805 4 ปีที่แล้ว +1

    Nduguzagu waislam nawaombeni musiende kuswali katika misikiti ya bakwata ni kumshirikisha mungu

  • @abdulqadirqasim2172
    @abdulqadirqasim2172 4 ปีที่แล้ว +6

    Kweli dunia imekwisha....

  • @hashimthuwein5412
    @hashimthuwein5412 4 ปีที่แล้ว

    Ninaimani Tz ktk dini wanapeana vyeo kama wanopeana vyeo viongozi wa kisiasa, pamoja na sheikh huyu kuipenda dunia niko na shaka kubwa sana na Elimu yake ya dini, au Amekosa msingi wa AQIDAHi Swahihi, ni jjukumu la Masheikh wenzake wamuite na kumkalisha chini na kumrekebisha, kuna kauli au msamiati nyengine ziko kinyume na dini yetu (( Yesu jina hilo alija tumika ktk dini yetu ya Kiislamu japo wano litamka na kulitaja wanamkusudia Issa)) pili mtamshidi ya kuomba yako kinyume na Itikadi aifai kumuomba Allah kwa matamshi haya ((kwa jina la Issa au kwa jina la Muhammadi nakuomba Allah utujaalie jambo kadhaa kwa kweli sio sahihi)) Masheikh wajitathimini kwani watajidharaulisha wenyewe bila ata kudharauliwa na wengine.

  • @gideontebuye2205
    @gideontebuye2205 4 ปีที่แล้ว +6

    Kashaomba dua , hayo mabaya mnayomtakia yatawarudia ninyi,

    • @ummesaniyah
      @ummesaniyah 4 ปีที่แล้ว +1

      ... Hayo yanayomtokea ndio yanamtokea yeye tayari na si sisi. Uislamu ni dini yake Allah. Sote tunaifuata kwa msingi na kanuni zake Allah pekee kwa mujibu ya mafundisho sahihi ya Mtume na si vinginevyo. Allah ataendelea kumdhalilisha yeye, aendelee tu kuomba dua zake kwa Jina la yesu... Hakuna kanuni hiyo ndani ya uislamu. Facts 💯

    • @hassansugha5935
      @hassansugha5935 4 ปีที่แล้ว

      Kwn aliposema hio kauli alikua hajielewi au amesema hvyo kwa akili yke timamu v8 simchezo ww

  • @josephnyarobi3913
    @josephnyarobi3913 4 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ni zaidi ya Allah hilo ndo jibu.

    • @salumsaid6572
      @salumsaid6572 4 ปีที่แล้ว

      Wendo walewale

    • @josephnyarobi3913
      @josephnyarobi3913 4 ปีที่แล้ว

      @@salumsaid6572 Yesu ndiye Njia ya kweli na Hope. He loves you so much with unconditional love

    • @marwaabdalla9306
      @marwaabdalla9306 4 ปีที่แล้ว

      @@josephnyarobi3913 yesu huyu aliyelia kwenye msalaba, Mungu analia jamani kweli nyie wagonjwa

    • @josephnyarobi3913
      @josephnyarobi3913 4 ปีที่แล้ว

      @@marwaabdalla9306 36 Yohana 3:34Amwaminiye Mwana yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia. Yesu ni Mungu ila alikuja kwa mfano wa Mwanadamu akafa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu

    • @marwaabdalla9306
      @marwaabdalla9306 4 ปีที่แล้ว

      @@josephnyarobi3913 wacha uongo wewe dhambi gani? Mungu alete mtoto wake kuja kufa kwa ajili ya dhambi zetu, ikisha walipotaka kumuua akawaanakimbia asiuliwe? sasa wewe umeletwa ufe kwa dhambi unaogopa nn? upuuzi mtupu

  • @allysalim2497
    @allysalim2497 4 ปีที่แล้ว +16

    Njaa tu hivyoooo inakusumbua Allah atakupa stahiki yako mwehu mkubwaaa ww

    • @lavianaalbert9038
      @lavianaalbert9038 4 ปีที่แล้ว +1

      Hivinyinyi hua mnatukana viongozi wenu wadini????yawezekana amekoseatu mbona hamna hekima ya mungu basi???????mtu akiwa kiongozi sio amekua malaika jamani!!!!!kuweni na nidham basi

    • @lavianaalbert9038
      @lavianaalbert9038 4 ปีที่แล้ว

      Kwa nabii issa ni nani??sindo yesu

    • @francisfredrick6267
      @francisfredrick6267 4 ปีที่แล้ว

      Huioni pepo ww acha kumkashifu JESUS is lord

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 4 ปีที่แล้ว

    Daaah mapenzi ya Dunia shekhe ana mkufulu mungu daaah kwa Jina LA yesu ni hatari

  • @issaal-busaidi4479
    @issaal-busaidi4479 4 ปีที่แล้ว +7

    Astaghfirullah, Astaghfirullah, Aibu, kila moja aombe dua kutokana na dini yake, kwahivy mufti wetu anadini mbili??????????

    • @alirashid1727
      @alirashid1727 4 ปีที่แล้ว

      Ni msiba kwa waisilam tanzaniya hatuna kiongozi wa waisilam na atae weza kuuteteya uisilam inauma sana.😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @henrylugongo632
      @henrylugongo632 4 ปีที่แล้ว

      Huyo ameakilisha MAOMBI ya waisilam na wakristu jamani badala ya kwenda watu wawili ,amewakilisha mtu mmoja,tusiwe watu wa kuhukumu

    • @sundaymakungu2500
      @sundaymakungu2500 4 ปีที่แล้ว

      tena kamuweka yesu mbele mtume mohamad nyuma,,,,,,,, yaani yesu kwanza

    • @henrylugongo632
      @henrylugongo632 4 ปีที่แล้ว

      @@sundaymakungu2500 nyinyi mnapata tabu ya kuhukumu mwachieni,MWENYE Kazi Ya Kuhukumu,Ahukumu Ambaye ni MWENYEZI MUNGU.Alafu Shekhe kawawakilisha Wakristu Pia,sababu angeenda mchungaji asingeweza kuzungumza kwa Dini ya kiislamu,ndo maana kaenda shekhe,ili azungumze kwa pande zote mbili,sasa nyinyi tatizo lenu ni lipi,kutajwa kwa YESU KRISTU,( ISSA BIN MARIAMU), AU Nini ? Na kama mmeona kakosea basi subirini Muone kama SALA Na MAOMBI Yake hayatasikilizwa,Na MWENYEZI MUNGU. Na sio kutoa mapovu kama nyinyi wajuzi wa MAOMBI .

  • @latifamlete5889
    @latifamlete5889 4 ปีที่แล้ว

    Amina rabiamina shekhe magufuli safiiii

  • @sangadaniel7735
    @sangadaniel7735 4 ปีที่แล้ว +9

    Innalillah wainnaillaih rajiun

  • @brillianthalisi2259
    @brillianthalisi2259 4 ปีที่แล้ว +1

    Shehe nimekuelewa wewe unajielewa sana shehe ubarikiwe

  • @shabaazbikorwa2580
    @shabaazbikorwa2580 4 ปีที่แล้ว +4

    Inalilah wa Inalilah Rajuun😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Njaa sio poa uyu ni unafiqi wa khali ya juu Allah akulani hufai kua sheikh Mshenzi wewe subiri fimbo ya Allah

  • @jacksonrock6535
    @jacksonrock6535 4 ปีที่แล้ว

    Mungu Alishasema Jina Lenye Nguvu YESU Waminio Na Wasioamini Wanalitaja

  • @fadi_bl
    @fadi_bl 4 ปีที่แล้ว +4

    Inna Lillahi Wainna ilaihi raajiun!!!

    • @maangazaabdull7533
      @maangazaabdull7533 4 ปีที่แล้ว

      Haya mnavyomsemaga mzee yusuph maskini haya na hayo je?😁

  • @matipukamatipuka2197
    @matipukamatipuka2197 4 ปีที่แล้ว +2

    Bal tuu'sirunal hayaatad dunyaa, suratul Al-a'laa aya ya 16_ Lakini ninyi mnapenda zaidi maisha ya dunia. Hii aya inamuhusu

  • @fatumahamis166
    @fatumahamis166 4 ปีที่แล้ว +10

    EE MUNGU NJAAA SIO RAFIKI UYU SHETANI ANAYE JIITA MUISLAM ILA TUMBO MBELE KAMA MIMBA

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣

    • @jescaifunya1762
      @jescaifunya1762 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyo ni mpakwa mafuta wa Mungu anachokibariki kinabarikiwa na anachokilaani kinalaaniwa

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว +1

      Nilijuwa tu mtamsemea mabaya

    • @jumachilundajr4853
      @jumachilundajr4853 4 ปีที่แล้ว

      @@mariamm2724 sisi ndio watanzania aidha kupinga au kuliza yote yetu sisi watz,,kila mmoja katafasiri kimpango wake ajue n Mola pekee je kakosea wapi? Usishangae dada sisi ndio watz anaelaumu hajui anajua hasemi

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว

      @@jumachilundajr4853 kweli aisee kila kitu kukosoa tu hao ndoo watz

  • @sadiqnaassib4507
    @sadiqnaassib4507 4 ปีที่แล้ว

    Tatizo tumbo na tumbo hilo hilo Mtume MUHMMAD SALLALLAHU ALAYH WASSALLAM amesema ukisha kufa katika viungo viwili vya mwanadamu vya kwanza kuharibika katika usiku wa kwanza pale kaburni ni viungo vya siri na Tumbo ni hatari sana kisa dunia SUBHANALLAH ALLAH. AMSAMEHE hajui atendalo.

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 4 ปีที่แล้ว +3

    Hajielew tena uyu duh subhanallah Mungu anakujua dhamira yako shekh askofu 😂

  • @mtejawangu1737
    @mtejawangu1737 4 ปีที่แล้ว

    Mtume Muhammad saw alikuwa akiswali kipindi kirefu cha usiku, na Mwenyezi Mungu alimpa kufanya hivyo, bi maana alimwuonyesha UMMA wake wakati huu, kuwa ITAFIKIA WAKATI UMMA WAKO WATAIACHA QURAN, WATAFUATA MIENENDO YA TAWALA ZAO. TOOBA . ZAMA ZA MWISHO.

  • @kumulwa
    @kumulwa 4 ปีที่แล้ว +6

    Inalillahi wa inna Illehirajiuun

  • @nasrynnassor1492
    @nasrynnassor1492 4 ปีที่แล้ว +2

    Shekh twajua njaa hiyo inayokusababisha ukufuru innalillah wainna ilyhi raajiuun

  • @princeragy7700
    @princeragy7700 4 ปีที่แล้ว +5

    Wewe sheihk ndie ulikua unakataza viongozi wa dini wasi ingilie siasa hili ww ukapigie kampeni magu. Mwambie afungue masheihk wenzako sio unapiga maombi siasi hayata jibiwa

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว

    EE mungu tupe moyo wa shukurani ktk matendo yako tusiwahuzunishe wajumbe wako wala wewe muumba watu amina

  • @almassylivester4691
    @almassylivester4691 4 ปีที่แล้ว +4

    KWA HABARI YA KUKIRI KUWA YESU NI MUNGU, HILO HATA MSIWE NA SHAKA, ZUNGUKEN, TEMBEEN, TUKANEN, LAKN KUNA SIKU MTAKIRI YA KUWA YESU NDIYE MUNGU. HATA MUHAMAD ANALIJUA HILO.

    • @abdulqareemseif9050
      @abdulqareemseif9050 4 ปีที่แล้ว

      Kama yesu ni mungu alikua wapi wakati mama yake anazaliwa? km yesu ni mungu mbona hii dunia kaikuta? Km yesu ni mungu mbona kulikua na watu kabla yake? Km yesu ni mungu mbona kafanana na binaadam kwanini asiwe na umbo lake tofauti kaa ufikiri

    • @almassylivester4691
      @almassylivester4691 4 ปีที่แล้ว

      @@abdulqareemseif9050 haya maswali yote kayajib YESU (MUNGU) kwenye vitab vinne vya injili ukisoma biblia

    • @rashidjumamohamed3437
      @rashidjumamohamed3437 4 ปีที่แล้ว

      Mungu kafa ana miaka 33
      😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
      Hata baba yako kampita umri

    • @abdulqareemseif9050
      @abdulqareemseif9050 4 ปีที่แล้ว

      @@almassylivester4691 nijibie ww wapi yesu kasema yy km kaumba

    • @almassylivester4691
      @almassylivester4691 4 ปีที่แล้ว

      @@rashidjumamohamed3437 Tito 2:13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, MUNGU MKUU na Mwokozi wetu;

  • @jjbornagain813
    @jjbornagain813 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa maombi yako shehe ifike mahali uislamu na ukristo uwe moja love you shehe kwa upendo wako

    • @farisytanzania6566
      @farisytanzania6566 4 ปีที่แล้ว

      Haiwezekani na haitotokea. Bwana Yesu Muislamu na Muhammad Muislamu. Ukristo biashara tu ya wazungu huko ulaya. Ndio maana mnamsingizia Bwana Yesu Mungu. Poleni sana.

    • @jjbornagain813
      @jjbornagain813 4 ปีที่แล้ว

      @@farisytanzania6566 acha unafiki mkweli ni Mungu Wewe umewahi fika ahera ukajua Nani mkweli

    • @farisytanzania6566
      @farisytanzania6566 4 ปีที่แล้ว

      @@jjbornagain813 Uislamu tu ndio ukweli, ndio Dini ya Manabii wote! Soma Qur,an 42:13) na Waislamu kweli wameahidiwa peponi milele starehe. Soma Qur,an 43:68)

  • @mohamedhalifambela6419
    @mohamedhalifambela6419 4 ปีที่แล้ว +5

    Njaa mbaya sana sasa mtume kafundisha dua hizo lini?

  • @OmanOman-bh4yh
    @OmanOman-bh4yh 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani njaa mbaya uyu baba Kesha potea masikin

  • @binqalid6569
    @binqalid6569 4 ปีที่แล้ว +4

    Inna lillah wainna ilahi raj'un

  • @awadhhadi446
    @awadhhadi446 4 ปีที่แล้ว

    Shekhe mungu akusamehe kwa ďua yako muombe mola wako msamaha

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 4 ปีที่แล้ว +4

    Maslai ya tumbo

  • @nassoralinassor1698
    @nassoralinassor1698 4 ปีที่แล้ว

    Hapa shekhe umekwanga toba inakuhusu umemshirikisha mwenywezimungu hebu tizama tena na tena huwenda ukaona hapo mwanzo jisafishe kwa umma tu ila toba inakuhusu

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 4 ปีที่แล้ว +6

    Dua la kuku hilo halimpati mwewe

  • @abubakarmzee3374
    @abubakarmzee3374 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakulipa kile atachoona yeye kitakufaa kukulipa ila Njaa zetu zisitukufurishe Mungu mlipe huyu kilo unacho kiona wewe

    • @abubakarmzee3374
      @abubakarmzee3374 4 ปีที่แล้ว

      Kuna tofaut unaweza kufanya kosa ukawa hujuwi kama kosa ila kufanya kosa kwa makusudi ni mtihani

  • @twalibsaid9573
    @twalibsaid9573 4 ปีที่แล้ว +22

    Haimpasi shekhe kama huyu kusema "washindwe kwa jina la yesu"
    Kauli yake hii ni nzito sana kwasababu ya mambo mawili:-
    1. Tukiwa na ombi lolote tunatakiwa kumuelekea allah na sio kiumbe na yeye alipaswa kusema "washindwe kwa jina la allah" kwani allah ndio muumba wetu.
    Na wala hatakiwi kusema hata washindwe kwa jina la muhammad na wote tunajua kwa mtume wetu kipenzi ndio bwana wa mitume wote.
    Sasa ikiwa haitakiwi kusema kwa jina la muhammad basi kwa jina la yesu ndio haitakiwi zaidi.
    2. Hio sentensi inaonesha kama kuridhia kwake kwa dini ya kikristo. Lakini allah hakuiridhia dini ya kikristo bali kairidhia dini ya kiislamu pindi aliposema kati sura ya 5 aya ya 3 "na nimekuridhieni UISLAMU uwe ndiyo Dini".
    Namuomba allah atuongoe katika njia iliosahihi آمين.
    Salamu zangu kwa waislamu wote ulimwenguni

    • @rashidjumamohamed3437
      @rashidjumamohamed3437 4 ปีที่แล้ว +2

      Uko sahihi
      Je niulize 'Si amekufuru huyu'
      Haki ya Allah kampa kiumbe kufurahisha viumbe

    • @binsultan6981
      @binsultan6981 4 ปีที่แล้ว +2

      Hawa wanaona aubu kumtaja Allah mbele ya mabosi wao

    • @jamilambarouk4746
      @jamilambarouk4746 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rashidjumamohamed3437 Dah shekhe kajikanyaga jmn yallaaa

    • @mohammedsururu4047
      @mohammedsururu4047 4 ปีที่แล้ว +3

      Njaa mbaya

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 4 ปีที่แล้ว +2

      Wote nimitume yamwenyezi mungu

  • @issakara7624
    @issakara7624 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapa shekh hajakosea ameomba dua kwa Isa masikh sio yesu

  • @salehali976
    @salehali976 4 ปีที่แล้ว +3

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun. Huyu kweli ni msomi wa dini au kanjanja.
    Mbona anatetemeka, wewe mjinga sana Allah anakuona.

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 4 ปีที่แล้ว

    Shkh umeritadi...sefle wahed

  • @suleimansuleiman2436
    @suleimansuleiman2436 4 ปีที่แล้ว +3

    Mafuriko yote yaliyotokea Jana, wewe bado wauza dini kwa njaa yako iliyokua haimaliziki? Huyu Sheikh au Sheha? 🍗🍗🍗🍗🍞🍞🍞🥪🥪🥪🍔🍔🍔🎤🎤🎤🎸🎸🎸

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 4 ปีที่แล้ว

      Mafuriko hayajawepo kabla ya magu kuwa madarakani

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 4 ปีที่แล้ว

      Shekhaaaa

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Shehena huyo

    • @bindawood978
      @bindawood978 4 ปีที่แล้ว

      @@ukhtyalpha1344 kumbe upo naona kimya sijaona vitu vyako

  • @abulghareebzimbawy790
    @abulghareebzimbawy790 4 ปีที่แล้ว

    Wewe ni shida kubwa katika wiislamu ..hufai kuitwa Maalimu wa kijiji wacha SHEIKH

  • @badarbinthabit7967
    @badarbinthabit7967 4 ปีที่แล้ว +4

    Sindo umoja wakizushi huo

  • @furahamwajeka7463
    @furahamwajeka7463 4 ปีที่แล้ว

    Thanks Shee...hiii ndo tz safiiii

  • @zachariabin5400
    @zachariabin5400 4 ปีที่แล้ว +11

    Innalillah wainnailaih rajwn.....

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 4 ปีที่แล้ว

    Allah anasema ukiaca sema kweli ataleta wengine wakusema kweli jina la yesu ni kufuru mutu anaomba kwajina la Allah ata nabi isa kuna maneno anawaambiya wanafunziwake wasimuombe yeye ila aliyeju wa lakini anawaambiya nifate ninaco waagiza kutoka kwa mola wetu SUBHANALAH

  • @jumasaalim9455
    @jumasaalim9455 4 ปีที่แล้ว +15

    🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆😂din yetu imeingiliwa na vibaraka

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว +1

      Dawa yake ipo

    • @subrasalim8927
      @subrasalim8927 4 ปีที่แล้ว

      eee mungu tunusuru huu mtihani kwel

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว +1

      @@subrasalim8927 kuna muislam asiyejua kuwa BAKWATA ni chombo cha Dola?watumishi wake lazima wawe Agent wa wambea.nani hajui hilo?nawaonea huruma wale wanao jipoteza kipindi cha mwezi muwandamo na siku ya Arafa

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 ปีที่แล้ว

      Kama wewe usiyejitambua

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 ปีที่แล้ว

      @@ibnhassan9980 ipo Yesu anaokoa ndo dawa

  • @alexmussa2598
    @alexmussa2598 4 ปีที่แล้ว

    BAWASILI/HEMORHOID.
    hii ni hali inayotokea baada ya kuvimba kwa mishipa midogo (vena) inayozunguka sehemu au tishu za tundu la haja kubwa.
    Bawasili zipo za aina mbili kulingana na sehemu inapotokea... Inaweza kuwa ndani au kwa nje.
    SABABU
    -👉mtu akiwa anahara sana
    👉kuwa na kinyes kigumu mara kwa mara
    👉ujauzito
    👉kuwa na uzito kupita kiasi
    👉kufanya ngono kinyume na maumbile
    👉kula sana vyakula vya kukoboa
    👉kuchuchumaa mda mrefu wakat wa haja
    👉mtu mwenye tatizo la ini huweza kupata pia
    DALILI
    👉damu kinyesini
    👉maumivu wakat wa haja kubwa
    👉kuwashwa kwa tundu la haja
    👉kujitokeza kinyama kwenye tundu la haja kubwa
    Nb
    Ni watu wengi wanao ugonjwa huu ila huona aibu kujionesha na hatimaye huenda kupasuliwa.... Usiogope endapo unalo tatizo au unamjua alienalo mfahamishe kuna bidhaa ataweza kuzitumia na hatoweza kupasuliwa coz zinaondoa kabisa na huo uvimbe hautarudia tena kama ambavyo angeenda kupasuliwa
    Contact us ☎
    Whtsp/call 0744481111

  • @zoyarobert5794
    @zoyarobert5794 4 ปีที่แล้ว +4

    hiyo inamanisha watanzania hatuna ubaguzi wa dini ndo maana kaomba kwa jina la YESU hayo ndo matunda ya rais wetu kipenzi cha watanzania JOHN POMBE MAGUFULI

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Njaaa kali huyo Sheikh mnafiki asitubabaishe sie

    • @lusamhamanish7055
      @lusamhamanish7055 4 ปีที่แล้ว

      @@ukhtyalpha1344 wewe @Ukhty Alpha acha kuropoka hem kasome kwnzaa

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 4 ปีที่แล้ว

    waislam kuna kipindi walikuwa wanajinadi YESU ni mwislamu leo hii SHEKHE kasalisha kwa jina la YESU wanabwata au walikuwa hawajui walisemalo YESU akiamua kujidhilisha anajidhilisha tu! haitaji msaidizi au kumtetea yeye mwenyewe anatosha 🤣🤣🤣🤣🤣 asante shekhe 👏👏👏👏

  • @abdimanundu
    @abdimanundu 4 ปีที่แล้ว +11

    Mnafiki mkubwa shehe Ubwabwa

  • @jonas.fadhila
    @jonas.fadhila 4 ปีที่แล้ว +1

    “Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
    ” ILA JINA YESU
    - Matendo ya Mitume 4:12

    • @rashidjumamohamed3437
      @rashidjumamohamed3437 4 ปีที่แล้ว

      Yesu ni. Kiumbe
      Mama yake mzazi. Ni mariam
      Shkh kachemka kaomba kwa. Majina ya viumbe
      Yesu. Na. Muhamad.
      Wewe na shkh ngoma droooo

    • @farisytanzania6566
      @farisytanzania6566 4 ปีที่แล้ว

      Unaleta nyaraka au Barua za Paulo. Imani ya wazungu weka mbali na Yesu.huo ni uzushi na ushirikina. Jina la Allah ndio pekee. Allah ndiye kamuumba Yesu na wengine. Qur,an 4:171)

  • @allysalim2497
    @allysalim2497 4 ปีที่แล้ว +14

    Wewe sio Sheikh ni muhuni tu na wenzako usilete kufuru na shirki pumbavu mkubwa ww

    • @phillipmsamire937
      @phillipmsamire937 4 ปีที่แล้ว

      Muhuni kwa kuwa kalitaja jina la yesu eeeh

    • @mwambamkombozi4672
      @mwambamkombozi4672 4 ปีที่แล้ว +4

      @@phillipmsamire937 Yesu alikuwa muislamu kwahiyo sio sababu sababu ni kuomba kwa jina la Yesu au Muhammad SAW, mtu unaomba kwa Mungu mwenyewe sio kwa watu aliowaumba ambao wao wenyewe wanamtegemea Mungu. Kwahiyo kwetu sisi waislamu ni kufru hiyo na kwa yeyote anaeamini Mungu ni mmoja tu peke yake na wala hana mshirika....na hiyo ndio maana yake...

    • @augustinomwamasinga2200
      @augustinomwamasinga2200 4 ปีที่แล้ว

      @@phillipmsamire937 akiri yake imeziba

    • @alimsemakweli1376
      @alimsemakweli1376 4 ปีที่แล้ว

      Huyu kalaanika.

    • @alimsemakweli1376
      @alimsemakweli1376 4 ปีที่แล้ว

      @@phillipmsamire937 huyu kalaanika

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 4 ปีที่แล้ว

    Binafsi nimemuelewasana Huyu Sheikh ana hekimasana pia najitambuasana nimetiwa Moyo na Dua hii Ushindiiiii ni lazima Ccm Oyeeee Mora akupe maisha malefusana Sheikh wangu.

  • @gilbertmgana7894
    @gilbertmgana7894 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamani....linaloendelea hapo ni utimilifu wa bibilia