SHEIKH MUHAMMAD IDDI AS-SALAAMU'ALAYKUM WA RAHMATUL-LAAHI WA BARAKAATUH,,, SHUKRAN JAZAAKAL-LAAHU KHAYRAN,,, NIME ONA YULE SHEIKH MKUBWA KABISA WA MKOA AMEKUTUKANA SANA ILA HILO LISIKUFANYE URUDI NYUMA KWANI KILA MWENYE KUZUNGUMZA HAQ-QI HAKOSI KUCHUKIWA,,, KWA HIVYO ENDELEA KUTUELIMISHA SISI WAHITAJI .
Sheikh, Mungu akuongezee hekima, ufasaha,maarifa elimu,ujuzi na ujasiri Wa kila namna katika kusema ukweli kwa ajili ya Allah. Mungu akuvue woga na akulinde yeye mwenyewe kama alivyolinda mitume wake. Wazazi na Masheikh Wako pamoja na marafiki wema mliyolelewa pamoja Mungu awasamehe Mapungufu yao. Amiin! Amiin! Allahuma Amiin!
Alhamdulillah sheikh umeliona hilo nilijua unamkosea kishki lkn hapa umenifurahisha umetimiza wajibu wako m mungu akujaalie na akupe afya njema.Nimekuelewa vizuri Sana sheikh kumbeeee mmeona udhaifu wa bakatwa kupeana ushekhe bila waumin kumchagua.
Sheikh Abuu Iddy Leo umenifurahisha sana na kwa ajili ya furaha hii nakuombea dua Allah katika mema yako yote uliyo yafanya na hili la kusema ukweli juu ya hili Jambo iwe ni sababu ya wewe kuingia peponi, ifike hatua tuambizane ukweli na kupeana naswaha hii ni Dini ya Allah sio dini ya kikundi Cha watu flani ambao wanajiskia kusema yale wanayoyapendeza kwao sababu ya maslahi ya kidunia na kunyamazia Yale yanayowachukiza kwakuwa hayana maslahi kwao.
Maashaallah maashaallah Sheikh Abuu IDD Allah akulipe kwa hili maana limezua taharuki kubwa mno miongoni mwa waislam. Na kwenye Yale mwaswali uliyoyauliza mwishoni namna ya kupata hao masheikh ndio matatizo yanapoanzia.
Shukran sn Sheikh Wangu naungana na wewe nimegombana sn na baadhi ya masheikh wanaomtetea Sheikh wa daressalam. anautia doa uislam naingiza shirki zake katika uislam.. Sikua na sehem ya kufikisha ila Nakushkuru sn kwa majibu yako kwa majibu yako mazuri uloyatoa kwa niaba ya waislam walosikitishwa na dua yenye shurki ndani...Allah akuhifadh.. Na ikiwezekana atolewe ushekhe huo
Huyo sheikh wamkoa nikawaida yake mm ninayo clip alio kua anamsifu makonda enzi nimkuu wa mkoa alimwita makonda nizaidi ya mtume nizaidi ya Allah anaeitaka anitafute whatsup 0653326771
Mashallah Allah Atuwekee shaikh wetu na kaka yangu Sh. Muhammad Iddi ambaye hainyamazii batili na anaitetea haki ni muhimu kuwa na mapenzi juu ya mtu kama huyu mwenye kujitoa muhanga najua kinachofata ni kujibiwa ovyo au matusi Allah amhifadhi na amruzuku umri mrefu في خير ولطف وعافية وبركة
Unapomuona mwenzio amekosea basi mrekebishe,km alivokosea sheikh ponda ,masheikh wakasimama kumkosoa kwa alichokifanya,maoni yangu itakua vizuri na huyu alhad akosolewe na wenye elmu kwa alichofanya.inshaallah kheir .
Sheikhe Muhammad Idd mimi nakukubali kabisa katika mahubiri yako na katika mijadala mingi unayoyafanya katika vipindi vingi . Kwa hakika wewe ni mcha Mungu , msema ukweli na sio mnafiki. Uko vizuri ssna kujenga hoja ya kweli sio kama wengineo wa dini nyingine mnaoshirikiana katika mahojiano. Mungu akubariki
Wamemshobokea shekh ponda lakini kwa huyu aliyeomba kwa jina la yesu mashekh wengi wamenyamaza kimia shekh simamia ukweli shekh mungu akuongeze nguvu,,
Jazzakallahu khayrah sheikh wetu,na Tunamuamba Allah sw akuzidishie ulinzi wake,coz umejitoa kwelikweli,na bila shaka tayari umeshajitengenezea maadui wa serikali na wengine kutoka bakwata.
Wallah wallah wallah roho inaniuma Sana dini yetu inaelekea wapi?Allah anayaona haya namuomba Sana asichelewe kulipa huu udhalilishaji kwa dini yake tukufu...Eeeeh Allah tunakuomba waja wako waonyeshe na uwadhalilishe Kama wanavodhalilisha dini yako tukufu...Amiin
Maashallah shekhe wetu abuuid Allah akupe umli mlefu kwa kuutetea haki Mambo ya CCM hayamsu ilitakiwa asome dua pekee kwa mujbu wa Imani yake tatizo bakwata CCM
Hta shekhe ponda pia amekosea nduguyngu sio aungwe mkono ponda kwasababu yupo kwenye maslahi ya watu hyu aliomba kwa jina la yesu kakosea,ponda pia amekosea huu ni uislaam sawa nduguyngu kwahio Allah hakubali duwa zetu watanzania kwasababu hatutamchagua lisu kwahio sasa lisu hyupo madarakani duwa zetu zinapokelewa na nani
@@abdallahmuttaq7306 wote wamekosea ila kile kikundi hakikuwah kuongelea habar za sheikh wa Darusalaam kama kakosea wao walijiunga kumzungumzia Ponda tu au kuna pahala umewaona wameluongelea hili la Alhad Uislam unahtaji kukumbushana unapokosea
@@noshadmadini5768 hyo ndio makosa wa mashekhe kiukweli mitandao inawaingiza kwenye mitihani na mashekhe maslahi yao wanataka kuyafanya yaendane na dini kitu ambacho hakiwezekni
@@abdallahmuttaq7306 ktk uislam hakuna dua ya Yesu, Alhad yeye ametoka kabisa katika Aqida, huwezi kufananisha na Ponda labda Kama humpendi anae mpigia debe
Hivi hata mufti hatujamsikia anaongea lolote juu ya mashehe walioko kizuizini Bila kufanyiwa kec halafu eti mufti kiongozi mkuu wa waislamu Tanzania mbona kuna ukakac huyo ni kiongozi mkuu wa bakwata full stop
Mashallah Shekhe Mohammad Idd Allah akupe afya njema na umri mref! Mtume Muhammad s.a.w alisema ukiona jambo ovu ondosha kwa mdomo ukishindwa ondosha kwa mkono ukishindwa chukia!!!
Asante Sheikh... Mwambie asome sura za wanafiq Atajifahamu namna alivyo.. Au Asome suratul MUNAFIQUUNA... Inamuelezea huyo ulomtaja.. Au wewe msomee vizuri Yote hiyo sura... zaidi Aya.. No ..1..2..3..4..5..6...
Sheikh Abuu Idd Allah akulinde na akuhifadhi dhidi ya wanaokusema vibaya.Uko juu ya mstari.Alhadi anajipendekeza kwa " mfalme " wake ili kulinda tonge isije ikanyakuliwa na mwengine..Alhadi tunakwambia sisi waislamu wa kweli hatuko pamoja na wewe kwa kuomba dua kwa " jina la Yesu "Subiri utakapoingizwa kwenye mwanandani uwajibu malaika wa huko maswali yao.
Shukran Shekh Muhammad Idd, wa jazaakallahu khayra, ttz kuna mashekh wako kwny dini mseto na kuna kikundi maslahi tumbo hawa ndio wanatukwamisha, Mufti hawezi kutoa kauli kwn ni wakala wake na walikuwa wote Mtoro wakati anajaribu kujitetea
Mm siku zote natao Comment ya kuwa dini na Siasa ni vitu viwili tofauti kwa tutafanya shirki tu hapo iwe CCM ama ACT, Chadema ADC alimradi tu mashaka ushauri wangu Dini ibaki kuwa Dini tusichanganye na mengine tutakufuru
Sheikh naona mm unazunguka tu na nahc mnaogopana sijui kwa nini, ila Kwa ufupi tu katika uislamu tunafahamu kuwa dua huombwa Mwenyezi Mungu pekee (Allah) na si Mtume au Nabii au Swahaba!
Allah azidi kukubariki na kukuhifadhi, Aameen. Huyo sheikh Al-hady si angesema tu kwa uwezo wa Allah. Kwa sababu Allah ndo anaendesha ulimwengu, Mfalme wa wafalme, Mwenye Arshi Tukufu, Mwenye Huruma na mwingi Wa kurehemu. Allah amekamilika, mwenye mamlaka ya kukiamrisha kitu "Kuwa" na Kikawa 💯💯💯
Asante abuu idd.alhadi.amezowea kuleta maneno ya ajabu ndani ya khutba zake rudisheni kumbukumbu nyuma mtaona maeneno mengi ya ajabu.alishasemam maneno mengi.na hapo alipo akufuru tayari kama wewe unaa mini kuna muumba mwengine zaidi ya Allah. unasubiri nini katika uislam?.
As.aleykum..... sheikh kuna miaka ya hivi karibuni sheikh alhaj alikuwa akitetea dini mseto kwa kuwa italeta amani katika jamii ' alikuwa kwenye tv nilistaajabu sana.
@@saidisimba7982 Sidhani kama hajafatwa lakini vile vile Kumbuka dua hiyo ilisomwa hadharani na watu huenda wakamfuata na kuona ni sahihi Kumbe ni makosa makubwa. Chakuongeza tu ni hao watu waliouliza maswali maana hawaoni kukosolewa kama alivokosolewa sheikh Ponda maana wamejitokeza hadharani
@@saidisimba7982 kuna kitengo kimoja cha sheria ktk dini ukimtukana au kumdhalilisha mtu hadharani au vyombo vya habari bac kumuomba radhi nako ni hadharani au vyombo vya habari.sio unamtukana mtu mbele za watu halafu unamfwata kwake kumuomba radhi hiyo sio sheria.unatakiwa kuanzia hadharani ndio umfwate kisirisiri.na huyu kafanyia mtandaoni na arekebishwe mtandaoni
MASHAALLAH ALLAH akuzidishie elimu wewe na familia yako na jamii zote za kislam
SHEIKH MUHAMMAD IDDI AS-SALAAMU'ALAYKUM WA RAHMATUL-LAAHI WA BARAKAATUH,,, SHUKRAN JAZAAKAL-LAAHU KHAYRAN,,,
NIME ONA YULE SHEIKH MKUBWA KABISA WA MKOA AMEKUTUKANA SANA ILA HILO LISIKUFANYE URUDI NYUMA KWANI KILA MWENYE KUZUNGUMZA HAQ-QI HAKOSI KUCHUKIWA,,, KWA HIVYO ENDELEA KUTUELIMISHA SISI WAHITAJI .
Sheikhe Allah akulipe kwa nia yako na akulinde katika dunia na Akhera.
Sheikh, Mungu akuongezee hekima, ufasaha,maarifa elimu,ujuzi na ujasiri Wa kila namna katika kusema ukweli kwa ajili ya Allah. Mungu akuvue woga na akulinde yeye mwenyewe kama alivyolinda mitume wake. Wazazi na Masheikh Wako pamoja na marafiki wema mliyolelewa pamoja Mungu awasamehe Mapungufu yao. Amiin! Amiin! Allahuma Amiin!
Amiin
Alhamdulillah sheikh umeliona hilo nilijua unamkosea kishki lkn hapa umenifurahisha umetimiza wajibu wako m mungu akujaalie na akupe afya njema.Nimekuelewa vizuri Sana sheikh kumbeeee mmeona udhaifu wa bakatwa kupeana ushekhe bila waumin kumchagua.
Kweliiii kabisaaa huo ushekheee wa mkoa kapew na waislam gani huyoooo
Mungu akuongoze shekhe Muhammad id
Sheikh Abuu Iddy Leo umenifurahisha sana na kwa ajili ya furaha hii nakuombea dua Allah katika mema yako yote uliyo yafanya na hili la kusema ukweli juu ya hili Jambo iwe ni sababu ya wewe kuingia peponi, ifike hatua tuambizane ukweli na kupeana naswaha hii ni Dini ya Allah sio dini ya kikundi Cha watu flani ambao wanajiskia kusema yale wanayoyapendeza kwao sababu ya maslahi ya kidunia na kunyamazia Yale yanayowachukiza kwakuwa hayana maslahi kwao.
Yule shehe wamkoa mpumbavu sanaa
Acheni malumbano
Tatizo njaa ndio zinatufanya tukufuru hii ni aibu kwa shekhe wa mkoa tena wa dar...
Shukran sana sheikh...
Allah atuongoze sote katika kufanya yenye kheri, na atulinde sote katika kuyaendea ya shari
Wallahu aa'lam
Maashaallah maashaallah
Sheikh Abuu IDD Allah akulipe kwa hili maana limezua taharuki kubwa mno miongoni mwa waislam.
Na kwenye Yale mwaswali uliyoyauliza mwishoni namna ya kupata hao masheikh ndio matatizo yanapoanzia.
Sheikh wangu Sheikh Mohammed Idd Mwenye-ezi Mungu akuongoze katika kheri Inshaa- Allah
Shukran sn Sheikh Wangu naungana na wewe nimegombana sn na baadhi ya masheikh wanaomtetea Sheikh wa daressalam. anautia doa uislam naingiza shirki zake katika uislam..
Sikua na sehem ya kufikisha ila Nakushkuru sn kwa majibu yako kwa majibu yako mazuri uloyatoa kwa niaba ya waislam walosikitishwa na dua yenye shurki ndani...Allah akuhifadh..
Na ikiwezekana atolewe ushekhe huo
Huyo sheikh wamkoa nikawaida yake mm ninayo clip alio kua anamsifu makonda enzi nimkuu wa mkoa alimwita makonda nizaidi ya mtume nizaidi ya Allah anaeitaka anitafute whatsup 0653326771
Na cjui kitu gn kunamsumbua Al ahad Kila ktu anajua kbsaa
@@abowsudes210 SUBHANALLA. Ajiuzulu umufti haraka. Waislamu sio kiongozi wetu tena
Allah amsameje j
Asalam Alaikum Sheikh Muhammad Idd 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤲🤲🤲 myoshe huyo kunguni mwenye kutufyonza damu zetu sisi wa Islam.
Mh naona weshapatana ndiyo walivyo watu wabatwil wanajuana
Mashallah Allah Atuwekee shaikh wetu na kaka yangu Sh. Muhammad Iddi ambaye hainyamazii batili na anaitetea haki ni muhimu kuwa na mapenzi juu ya mtu kama huyu mwenye kujitoa muhanga najua kinachofata ni kujibiwa ovyo au matusi Allah amhifadhi na amruzuku umri mrefu
في خير ولطف وعافية وبركة
Kama ulijua vile kajibiwa na matusi juu
Subhaanallah Kama ulijua vile ..
Jazakallaaahu khaira fiddunia wal aaakhera
( أَلَا إِنَّهُمْ هُمُ الْمُفْسِدُونَ وَلَٰكِن لَّا يَشْعُرُونَ )
البقرة (12) Al-Baqara
Hakika wao ndio waharibifu, lakini hawatambui.
ALLAH akupezaidi nazaid.naakulinde nasharizote Abuu Idi.Na tutakua shahid mbele za ALLAH.kuwa umefikiha
Dua ya kusema ashindwe na analegee ni maneno ya wahuni sio maneno wa watu walioaminiwa na jamii
Wako wengi,matatizo yao ni tumbo lazma ujipendekeze kwa kaisari
Shukran Sana Sheikh Kwa Ufahamisho Ila Mimi Nahisi Aombe Radhi Na Waislam Wamsikie Kufuta Kauliyake
Huyo anaitwa shekh maslai (shirk ya wazi wazi)
Amezidi kujipendekeza mpaka anajishau mimi mwenyewe nilishangaa sana
Unapomuona mwenzio amekosea basi mrekebishe,km alivokosea sheikh ponda ,masheikh wakasimama kumkosoa kwa alichokifanya,maoni yangu itakua vizuri na huyu alhad akosolewe na wenye elmu kwa alichofanya.inshaallah kheir .
Asante Sheikh kwa kutuelimisha kwa busara na hikma zako
Abuu Iddi kwa hili nimekupenda sana kwa ajili ya Allah
Nipigie
Mola awe nawe MashaAllah
Shukran sana kumjibu huyo hadi siwezi kumwita shk
Huyo siyo sheikh kaungaunga tuu mpk kufika hapo. Mjanjamjanja tuu wa mjini
Angesema kwa jina la mwenyezi mungu) ndo muweza ya yote na ndiye mjuzi! Allah atuhifadhi na atunusuru, na mitafaruku ya kiimani!!
Allah akulipe na akulinde shekhe .
Umefanya jambo muhimu sana alhamdulillaahi hivi ndivyo inavyotakiwa. Ushafikisha ujumbe
umejitahid allah nishahid asante kwahili
Njia sahihi haikutumika
Amin mungu akuweke muda mwingi uturekebishie wanaomkosea MUNGU Kwa mapana yote na bila aibu na hofu ya mungu
Ubarikiwe mpenzi huyo sheikh alikuwa anafurahisha viongozi tu alimwacha Mungu kitambo hajitambui
Huyu shehe Alhadi mshenzi tu
Ivi kwanini mashekh kamaninyi mnakuwa wachache daaah!! Mwenyezimung akuhifadh yaashekh
Mashaallah Mashallah Asante Allah atakulipa kwa Hili shekhe Idd
Ameen
Thank you sana sheikh.......
Allah akuhifadhi shekhe,uko sahihi kabisa,
Wallah wallah!! Sheikh muhammad iddi huwa nakupenda kwa holo.huwa hujali lawama za mwenye kulaumu.
Kwel sheikh iddi
Mchane.mshamba.yule
Alhamdulilah shekhe umeongea vyema sana msione ane aibu kwenye mambo ya dini
Umenena sahii shekh wangu mashekh wengi wanajar maslay yake yeye bnafsi aujielewi kabisa uyo shekh wa mkoa
Namuona Marehem Sheikh Illunga kwenye maneno yako. Jazakah kheir
Sheikhe Muhammad Idd mimi nakukubali kabisa katika mahubiri yako na katika mijadala mingi unayoyafanya katika vipindi vingi . Kwa hakika wewe ni mcha Mungu , msema ukweli na sio mnafiki. Uko vizuri ssna kujenga hoja ya kweli sio kama wengineo wa dini nyingine mnaoshirikiana katika mahojiano. Mungu akubariki
Allah akulipe kher na akupe afy na umri mref shekh wetu muhamad
Wamemshobokea shekh ponda lakini kwa huyu aliyeomba kwa jina la yesu mashekh wengi wamenyamaza kimia shekh simamia ukweli shekh mungu akuongeze nguvu,,
Mashekhe wetu ndugu njaa zinawasumbua
@@mbishitariii8311 nikweli wanashindwa kusema kwaajil ya njaa zao
Kweli aisee walimshambulia sana sheikh ponda.
Mashallah Mashallah Mashallah, Baarakallahu laka fiiiha Abuu Iddy Mohammad Iddy
Dua leo kwa yesu kesho kwa Paulo
Hahahahaaaa true kabisa
Allah atuongoze duniani ni mapito
Jazzakallahu khayrah sheikh wetu,na Tunamuamba Allah sw akuzidishie ulinzi wake,coz umejitoa kwelikweli,na bila shaka tayari umeshajitengenezea maadui wa serikali na wengine kutoka bakwata.
Wallah wallah wallah roho inaniuma Sana dini yetu inaelekea wapi?Allah anayaona haya namuomba Sana asichelewe kulipa huu udhalilishaji kwa dini yake tukufu...Eeeeh Allah tunakuomba waja wako waonyeshe na uwadhalilishe Kama wanavodhalilisha dini yako tukufu...Amiin
Maashallah shekhe wetu abuuid Allah akupe umli mlefu kwa kuutetea haki Mambo ya CCM hayamsu ilitakiwa asome dua pekee kwa mujbu wa Imani yake tatizo bakwata CCM
"Leo n Dua kwa Yesu kesho n Dua kwa Paulo"
Dah sheikh iddy sijuinikupe zawadi gani maana umenifurahisha saaaana na Allah akupe kheri nyiingi na akupe pepo ya juusana Allahumma Amiin
Hongera Sana mzigua kwa kuliweka wazi hilo,
Asante sana Sheikh Muhammad Iddy kwa kutuelimisha.
Allaahu akuzidishie kheri
Afadhali umejitoa muanga mungu atakulipa
Mwenyezi mungu akuzidishie umri uzidi kuwepo shekhe idd
جازك الله الخَير وبعدالخير جنات النعيم
Shukran shekhe kwa ukarimu wako Allah atakulipa kheir kwa rehma zake
Wewe sasa ndo umeongea ukweli sheikh sio kile kikundi cha waganga wao wameshupalia Sheikh Ponda tu ukweli wanauficha
Hta shekhe ponda pia amekosea nduguyngu sio aungwe mkono ponda kwasababu yupo kwenye maslahi ya watu hyu aliomba kwa jina la yesu kakosea,ponda pia amekosea huu ni uislaam sawa nduguyngu kwahio Allah hakubali duwa zetu watanzania kwasababu hatutamchagua lisu kwahio sasa lisu hyupo madarakani duwa zetu zinapokelewa na nani
@@abdallahmuttaq7306 wote wamekosea ila kile kikundi hakikuwah kuongelea habar za sheikh wa Darusalaam kama kakosea wao walijiunga kumzungumzia Ponda tu au kuna pahala umewaona wameluongelea hili la Alhad
Uislam unahtaji kukumbushana unapokosea
@@noshadmadini5768 hyo ndio makosa wa mashekhe kiukweli mitandao inawaingiza kwenye mitihani na mashekhe maslahi yao wanataka kuyafanya yaendane na dini kitu ambacho hakiwezekni
@@abdallahmuttaq7306 ktk uislam hakuna dua ya Yesu, Alhad yeye ametoka kabisa katika Aqida, huwezi kufananisha na Ponda labda Kama humpendi anae mpigia debe
@@solemba595 sahihi kabisa
Shukran kwaku|tumia khima mungu akulipe mungu hachoki wala halali mungu anasema musiogopen niogopen mm
Yule ni mshirikina t....
Ameshamshirikisha Allah(s.w) kuomba dua kwa jina la Yesu hata kama n jina la Issa bin mariam badala ya Allah(s.w)
Kuna clip alhad amemjib inaumiz maan anamtuka shekh wetu 😭😭
Ni kibri....
Me naona bora abadilishwe t
Shekh umejitahid kufunza umma mungu akulipe kheri na akupe husnul hatima kwa pamoja tukiwa pamoja na mtume wetu MUHAMAD.
Wallah sheikh umeongea makubwa mazur mashaallah..
Mashaallah yani ninacho kukufurahia kumrekebisha mtu kihekma mashaallah allah akupe kila la kher
Shekh wetu ALLAH akulipe kheri!! Ila dumu na udhu na adhikali za asubuhi na jioni!! Hawachelewi kukutupia JINI!!!
🤲🤲 kwajili yake tuko pamoja kwadua na sala
انه الله وملائكته يصلون على النبي صلى الله عليه وسلم
Kartad kwa7bu kakili kuwa YESU ndiye wa kuombwa Atowe shahada lasivo atenguliwe cheo maramoja
Hivi hata mufti hatujamsikia anaongea lolote juu ya mashehe walioko kizuizini Bila kufanyiwa kec halafu eti mufti kiongozi mkuu wa waislamu Tanzania mbona kuna ukakac huyo ni kiongozi mkuu wa bakwata full stop
Shaban Idd nikweli kabisa aisee
Asante shekhee
Mashallah Shekhe Mohammad Idd Allah akupe afya njema na umri mref! Mtume Muhammad s.a.w alisema ukiona jambo ovu ondosha kwa mdomo ukishindwa ondosha kwa mkono ukishindwa chukia!!!
SHEKH WA MKOA MM N MKRISTU LAKN AMEKOSEA SANA KIUKWELI.
Acha umbeya wewe
@@kuchimillionaire6683 umbeya upi ndugu? Muislam anakuwa na hekima na busara
Mkristu wa wapi wewe
@@michaelthobias9967 walio like wengi wamekubali lakin wewe mbuzi mmoja ndo hujataka kuelewa kabisa
Asante Sheikh... Mwambie asome sura za wanafiq Atajifahamu namna alivyo.. Au Asome suratul MUNAFIQUUNA... Inamuelezea huyo ulomtaja.. Au wewe msomee vizuri Yote hiyo sura... zaidi Aya.. No ..1..2..3..4..5..6...
HUU NDIO UISLAMU TUNATAKA SIO KUCHEZEANA KWA ALLAH SW.
Jazakallahu khyra yaaa akhiii Qareeeem shukrani saaana shekhe wetu mpe dwa mungubakulipe juu ya hili inshaaaaaallah 🙏🙏🙏🙏
Ww na sheikh Ponda na wengine wanaosimamia ukweli mko sahii Mungu awabariki sana 🙏
Mimi shehe ponda simwamin
Sahihi kabisa sheikh uko vizuri Sana mwenyezi mungu akuepushe na kila Shari.
Leo shekhe umesema ukweli kabisa kisheria huyo alhadi aondolewe kwenye wadhifa wa shekhe wa mkoa
Atokeeeee🗣🗣
Haswa
Sheikh Abuu Idd Allah akulinde na akuhifadhi dhidi ya wanaokusema vibaya.Uko juu ya mstari.Alhadi anajipendekeza kwa " mfalme " wake ili kulinda tonge isije ikanyakuliwa na mwengine..Alhadi tunakwambia sisi waislamu wa kweli hatuko pamoja na wewe kwa kuomba dua kwa " jina la Yesu "Subiri utakapoingizwa kwenye mwanandani uwajibu malaika wa huko maswali yao.
ATOKE ATUFAI TUCHAGUE SHEKH KASHAMZALAU MUNGU
Shukran Shekh Muhammad Idd, wa jazaakallahu khayra, ttz kuna mashekh wako kwny dini mseto na kuna kikundi maslahi tumbo hawa ndio wanatukwamisha, Mufti hawezi kutoa kauli kwn ni wakala wake na walikuwa wote Mtoro wakati anajaribu kujitetea
Mm siku zote natao Comment ya kuwa dini na Siasa ni vitu viwili tofauti kwa tutafanya shirki tu hapo iwe CCM ama ACT, Chadema ADC alimradi tu mashaka ushauri wangu Dini ibaki kuwa Dini tusichanganye na mengine tutakufuru
Huyo sio ni ndugu Alhadi msimwite shekhe Hana nyadhifa ya kumwita shekhe huyo
Shukran sana nimekuelewa
Mungu akujalie kila la kheri Insh allah
Swadaqta maalim wangu ABUU iidi
Maashaallah! Allah akulipe kwa kuizungumza hii haki.Namuomba Allah akupe subra kwa yatakayo tokea.
Ifike pahala tu waislamu mkubali kuwa YESU ndo njia pekee ya kuufika ufalme wa MUNGU 🙏🙏
Shukran Sheikh. Umeweka usahihi mwema.
Hao ndio masheikh wa Bakwata
Hawajali kumuudhi Allah muhimu kwao ni kuwafurahisha mabwana na kulinda tonge.
Ahsante sheikh kwa kututoa kwenye utata Allah akupe umri mrefu na afya njema tuzidi kufaidika nawe
Sheikh naona mm unazunguka tu na nahc mnaogopana sijui kwa nini, ila Kwa ufupi tu katika uislamu tunafahamu kuwa dua huombwa Mwenyezi Mungu pekee (Allah) na si Mtume au Nabii au Swahaba!
Nice
Hongera shekhe kwa kuwa na msimamo dunia mapito
Umesema kweli bwana sheikh wangu jamaa anashida kashajisahau na nafasi alio pewa ya sheikh wa mkoa kashalewa anaitaji dua
Kuna uwezekano mkubwa akawa sio muisilamu ni pandikizi kuweni makini mtoeni kwakua tume shtuka wopowengi hao bakwata kwao
Uyu mtu sio muisilamu akasilimu Kama anaupenda uslamu asituletee mtafaluku huyu
Allah akupe jazzaa njema sheikh Idi akupe taufiq ya kusimama na haki.
MashaAllah,,, huyu ni SHEIKH mwenye qauli sahih....
Kwa nini asifukuzwe na akaajiriwa ccm?????
AU akaajiliwe CHADEMA au CUF
@@babylonyNgwembe Haijuzu kusannif mambo ya dini. Huyo wa (wao M) anamtusi Mtume SAW
Allah azidi kukubariki na kukuhifadhi, Aameen. Huyo sheikh Al-hady si angesema tu kwa uwezo wa Allah. Kwa sababu Allah ndo anaendesha ulimwengu, Mfalme wa wafalme, Mwenye Arshi Tukufu, Mwenye Huruma na mwingi Wa kurehemu. Allah amekamilika, mwenye mamlaka ya kukiamrisha kitu "Kuwa" na Kikawa 💯💯💯
Mna kazi!
Sema kweli hata kama inauma?
Uko sawa sheikh wangu Allah atakulipa wala usiogope kusema kweli
Yule ni ccm halafu sio muislam mwenyezi Mungu anatuonyesha mapema
Asante abuu idd.alhadi.amezowea kuleta maneno ya ajabu ndani ya khutba zake rudisheni kumbukumbu nyuma mtaona maeneno mengi ya ajabu.alishasemam maneno mengi.na hapo alipo akufuru tayari kama wewe unaa mini kuna muumba mwengine zaidi ya Allah. unasubiri nini katika uislam?.
Dunia imemtawala alhadi muombeeni duwa sana madaraka yanalevya sana mange kimambi alisema ana kasoro huyu alhadi ni kweli kabisa.
Alisema anakasoro zileee
@@tareqhilal6750 😂😂😂
@@tareqhilal6750 😂😂😂😂
Maashallah Allah akuhifadhi na akuongoze zaid
As.aleykum..... sheikh kuna miaka ya hivi karibuni sheikh alhaj alikuwa akitetea dini mseto kwa kuwa italeta amani katika jamii ' alikuwa kwenye tv nilistaajabu sana.
Hakika unafiki ni jambo linaoathiri pakubwa uislamu.Ahsante sana Shekh.
Mashaallah , Mungu akunariki ktk kurekenesha Masala ya kidini, inshaallah
Shekh mkuu yule ni kilaza na kibaraka wa CCM sasa na Mungu kaanza kumuumbuwa,kubwa jinga ✌✌✌
Ila wote mnamakosa maana ilitakiwa umfate umwambie ndio tulivyo fundishwa sasa ww kwanini unazungumza ovyo tu ujui anakokaa nenda mwambie
@@saidisimba7982 Sidhani kama hajafatwa lakini vile vile Kumbuka dua hiyo ilisomwa hadharani na watu huenda wakamfuata na kuona ni sahihi Kumbe ni makosa makubwa. Chakuongeza tu ni hao watu waliouliza maswali maana hawaoni kukosolewa kama alivokosolewa sheikh Ponda maana wamejitokeza hadharani
@@saidisimba7982 km alilifanyia hadharan bas aambiwe hadharan hakulifanya akiwa faragha kwahio shekh iddi yuko sahihi
@@busnaoman9981 kweli Kabisa
@@saidisimba7982 kuna kitengo kimoja cha sheria ktk dini ukimtukana au kumdhalilisha mtu hadharani au vyombo vya habari bac kumuomba radhi nako ni hadharani au vyombo vya habari.sio unamtukana mtu mbele za watu halafu unamfwata kwake kumuomba radhi hiyo sio sheria.unatakiwa kuanzia hadharani ndio umfwate kisirisiri.na huyu kafanyia mtandaoni na arekebishwe mtandaoni
Allah akupe maisha marefu
Allah atupe wepesi
Atolewe kwe ushekhe wa mkoa
Kapoteza sifa teyar ataupotosha umma
Tumefundiswa kuombeana dua njema.
Allah akujalie Kila la heri shekhe wetu
Upo sawa ustadh, sheikh wa mkoa ni maslahi buree kabisa.
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuhu nimefurahi saana shekh muhammad idd ahsante saana kwa kusema ukweli iliniuma saana
Safi shekh IDD ww sio mnafiki kama wale waganga kina shekh Sharif majini
Kbsaa
Sheikh ww ndo sheikh
Alhamdulillah nashukuru shekhe umeona Hilo na ukajitokeza kueka mambo Sawa yule shekhe amekosea kwli