KUHUSU KIFO MANENO YA MWISHO YA RAIS MAGUFULI | MANENO MAZITO KWA KIJAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024
  • KUHUSU KIFO MANENO YA MWISHO YA RAIS MAGUFULI | MANENO MAZITO KWA KIJAZI
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 717

  • @anesiusrweikiza4850
    @anesiusrweikiza4850 3 ปีที่แล้ว +31

    Kifo ni fumbo kubwa sana,Mwenyezi Mungu tusaidie tuvuke salama kwenye hii dunia tunamuombea jpm apokelewe kwa amani huko mbinguni😭😭

    • @DottoMloso
      @DottoMloso 2 หลายเดือนก่อน

      🎉❤😮🎉❤😮🎉❤😮🎉❤😮😊😊😊🎉❤😮😢🎉❤😮🎉❤😮🎉❤😮😢😊😮😊😮❤🎉🎉❤😮🎉❤😮🎉😊🎉❤😮🎉🎉❤😮🎉😊🎉❤😮😅😢🎉😢🎉😊😮🎉🎉❤😮😊🎉❤😮

  • @abelahadi1838
    @abelahadi1838 3 ปีที่แล้ว +15

    Bwana tusaidie watanzania tunapita katika wakati mgumu sana ulitupatia ndg.yetu kipenzi ndg.Dr john Joseph pombe magufuli kuwa rais wa taifa hili teule la Tanzania lkn ghafla sana tukiwa tunamhitaji zaidi ndipo nawe umeamua kumtwaa ,Bwana ulitoa na umetwaa jina lako libarikiwe hakika wewe ni mungu hatuna cha kusema Amen.....

  • @omarymalema8739
    @omarymalema8739 3 ปีที่แล้ว +12

    Umetuacha njia panda mpendwa baba yetu tutakukumbuka kila siku kwa mema uliyo tutendea Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amen

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว +8

    Mwenyezi mungu akuweke mahala pema peponi aaamin,na Raha ya milele umpe eebwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, aamina, Nilikupenda zaidi ya Sana

  • @furahabeatrice2057
    @furahabeatrice2057 3 ปีที่แล้ว +35

    Pumzika kwa amani daima, tulikupenda sana baba. Ulale salama, MUNGU akupe pumziko njema ya milele 😭😭😭😭

  • @elijahgichumbi9971
    @elijahgichumbi9971 3 ปีที่แล้ว +61

    RIP Baba mpenzi Rais Magufuli. Wamekuondoa. Watajua tayari ulitunywesha maadili mema. Watajua mawazo yako tutayapeleka mbele.

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 หลายเดือนก่อน

      We naye nani alie muondoa mungu mwenyewe kamuitaji

    • @elijahgichumbi9971
      @elijahgichumbi9971 3 หลายเดือนก่อน

      @@aishaarusha894 hatutabishana aisee

  • @jmeliasshanelle4303
    @jmeliasshanelle4303 3 ปีที่แล้ว +13

    Nawaomba Watanzania WOTE jueni Kama vile Rais Magufuli alivyo waambia jueni Raìs Magufuli aliweza kuwatendea mambo mengi mema, sio kwa ajili ya uwezo wake, bali kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Mkisahau Mwenyezi Mungu mtadidimia. Rais wenu amewaachia mfano mzuri wa vile kuendelea, mkianza kuwasikiza Wazungu mtapotea. Poleni familia na nyinyi nyote

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว

      It'is true,wakumbuke hilo sana

    • @meryanmwailakale670
      @meryanmwailakale670 3 ปีที่แล้ว

      Watanzania baadhi wanafurahia sasa yabaadae hawajui, pumzika kwa AMANI Raisi wa wanyonge kazi umeifanya

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 3 ปีที่แล้ว +7

    Baba magufuli baba umetacha nimeumia mimi baba namuomba mwenyezi mungu akuweke mahala pema

  • @abdulbora3961
    @abdulbora3961 3 ปีที่แล้ว +15

    😭😭😭😭😭😭😭ewe mwenyezi mungu nakuomba mpokee babaetu magufuli kwenye uzima wa milele amin.lala salama baba🙏🙏

    • @mariamuhussein1407
      @mariamuhussein1407 3 ปีที่แล้ว

      Pumzka salama raisi wetu tulikupenda Sana Ila mwenyeezmungu amekupenda Zaid mungu akjlaze mahali pema peponiii

  • @nectasummary1298
    @nectasummary1298 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu ailaze roho ya marehemu john Joseph magufuli maala pema peponi, tangulia mbele ya haki, ukaketi katika kiti cha enzi tulikupenda ila mungu kakupenda zaid

  • @tiffahkidoti8954
    @tiffahkidoti8954 3 ปีที่แล้ว +13

    Allah ailaze Roho ya Hayati JPM mahala pema peponi kwa huruma na wingi wa REHEMA zake. Amin

  • @theo-xc3rz
    @theo-xc3rz 3 ปีที่แล้ว +7

    Huna doa baba pumzika kwa amani mwenyez mungu atawaadhibu mmoja mmja walioamua kutuzimia shujaa wetu wew ni kiongoz bado hadi sahv sjaoona wakukufikia.Baba we pumzk me napitia tu speech zako naon bdo unaongz nchi

  • @lydianyamoma3866
    @lydianyamoma3866 3 ปีที่แล้ว +12

    😭😭😭pumzika baba umelala magufuli Mungu akulipe sawasawa na matendo yako, usamehewe dhambi za sirini na hadharani 🙏

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akupe pumziko la milele baba Mimi nakukumbuka kila inapoitwa leo .na nitakukumbuka na kukuombea kila siku

  • @pacifiqueheri1767
    @pacifiqueheri1767 3 ปีที่แล้ว +19

    Suja wa Africa île sauti hatutaisikiyaka tena, hongera kwa kazi ulifanyiya Tanzania na Africa kwa ujumla. Uko mufiya Africa

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว +26

    "Unapoona tatizo huliwezi kulitatua mlilie Mungu"

  • @amanimwidowe4632
    @amanimwidowe4632 3 ปีที่แล้ว +16

    NI ngumu kuelewa hata kuamini kumbe hata msiba wa kijazi ulikuwa hata huumwi Nini kimeingia hapa kati kati rais wangu hii Dunia iniambie bas wapi inatupeleka angalau nijue maana imetubeba basi iniambie inamaana Mungu ndy alikupenda Zaid magu 😭😭😭😭 Mungu huna hasira wewe unajua mengi kuliko tujuavyo Pumzika kwa Amani Magufuli.

  • @berthambizo4646
    @berthambizo4646 6 หลายเดือนก่อน +1

    Baba alikua mnyenyekevu huyu Daaaa...Mungu ampe pumziko la Milele Dr John Pombe Josephu Magufuli

  • @jessicarasigu2220
    @jessicarasigu2220 2 ปีที่แล้ว +27

    Mlio muuwa magufuli,machozi ya WATANZANA wanyonge 😭 😭😭😭 na Africa kwa ujumla imewalaani wote waliousika na kifo chake JPM wetu make bado tunamlilia tu sana, naamini hanna Amani miyoni mwenu,

    • @chomasongidion6047
      @chomasongidion6047 2 ปีที่แล้ว +3

      Nawao watakufa tena vibaya

    • @williumjackob8361
      @williumjackob8361 2 ปีที่แล้ว +5

      Hakika hatutaacha kumlilia kwamwe na mungu awape adhab isiyo na mwisho

    • @rajabjuma277
      @rajabjuma277 ปีที่แล้ว +1

      Unao ushahidi au unakurupuka

    • @amanmyolo5359
      @amanmyolo5359 ปีที่แล้ว +2

      Mungu anawaona na hawana amani na mungu wameachana njia wenyewe kwa wenyewe mungu ni mwema

    • @user-io1lt7my4i
      @user-io1lt7my4i 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa walanchi wamefulahi na wanakula tuu nchi inasikitisha😭😭😭

  • @rosenelima8618
    @rosenelima8618 3 ปีที่แล้ว +16

    Rip shujaa wa Africa,😭😭😭😭mungu akulaze mahala pema raisi mpendwa😭😭😭😭😭😭😭

  • @user-rn3fk1kd3f
    @user-rn3fk1kd3f 8 หลายเดือนก่อน +3

    Tumekukumbuka sana

  • @user-ot4uk1rz5i
    @user-ot4uk1rz5i 12 วันที่ผ่านมา

    Pumzika Kwa Amani shujaa wetu tunakukumbuka mungu ailaze roho yako mahali pema peponi AMINA.

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 ปีที่แล้ว +1

    The most clever leader in Tanzania and Africa time running out R.I.P Magufulification of Africa.

  • @user-dv4xl2fn1t
    @user-dv4xl2fn1t 9 หลายเดือนก่อน +1

    Le président John Pombe Magufuli a marqué toute l'Afrique en général,et en particulier la Tanzanie,pays qu'il a dirigé pendant plus ou moins cinq à six ans

  • @marthagwelino1897
    @marthagwelino1897 3 ปีที่แล้ว +9

    Tunakukumbuka sana rais wetu

  • @sarahnzwala5315
    @sarahnzwala5315 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe pumziko lanmilele mbinguni raha ya milele umpe ebwana 🤲 na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amin 🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🙏🙏🙏❤️🤍

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 2 ปีที่แล้ว +6

    Ukweli,uvumilivu,ukarimu,unyenyekevu ni vipaji kutoka kwa mungu,havifundishwi shuleni,bali vyote vya toka Kwa mungu tuvipokee Kwa furaha kwani hata mazuri mbona twashukuru,hata magumu na mabaya tusimchukie mungu,bali tumshukuru.

  • @ashrafakimaro2427
    @ashrafakimaro2427 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dr.Magufuli he was a good president he ofeared Allah and he loved his country

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amlaze pema peponi Wajna wangu Maalim Seif Sharif Hamadi (Amin)

  • @Pen960
    @Pen960 2 ปีที่แล้ว +4

    Yani hapa mzee alikua anaonesha kujikaza kabisa!!! Hata sura ilishaanza kubadilika. He was a best leader!

  • @uwasemaureenangel477
    @uwasemaureenangel477 3 ปีที่แล้ว +17

    RIP magufuri. Hatutokusahau kamwe. Wewe urikuwa shujaa na mukakamavu pia na mapenzi kwa Tanzania.

  • @rashidymhina824
    @rashidymhina824 2 ปีที่แล้ว +39

    Tanzania tunakumis Sana baba yetu. Kila nikisikia sauti yako ninafarijika. Rest in peace MAGUFULI.

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 3 ปีที่แล้ว +7

    Kweri Rais magufuri uliamua kutufia watanzania

  • @KiyumbiEmmanuel-zc4hv
    @KiyumbiEmmanuel-zc4hv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tulikupenda sana lakin mungu kukupenda zaid R.I.P our best leader ever JPM we still ❤❤❤❤ you

  • @user-fq2xj9nt3g
    @user-fq2xj9nt3g 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uncle magu jamani katuacha wanyonge mungu akulaze mahala pema peponi umecha historia ya milele

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 3 ปีที่แล้ว +28

    kweli kizuri hakidumu daah 🙏🙏🙏

  • @robertnyandwaro8040
    @robertnyandwaro8040 2 ปีที่แล้ว +20

    This Man, president JPM, a man of the people. An exceptional leader. This world is not our permanent home for sure. Am a Kenyan citizen but i loved the type of a leader he was.....

  • @PantaleoBundala-tl2kd
    @PantaleoBundala-tl2kd 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika tulipoteza hazina kubwa sana hizi za Taifa. Mungu awape pumziko la milele........Amina

  • @user-nl8ej7le2c
    @user-nl8ej7le2c 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tu étais un président exemplaires

  • @dianamahendekamahendeka1344
    @dianamahendekamahendeka1344 2 ปีที่แล้ว +6

    Dar nashindwa niangalieje naishia kulia maana hapa ulikua umebajiwa na siku chache sana 😭😭😭😭😭😭😭

  • @paulmkimani6134
    @paulmkimani6134 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa Imani kwa Mwenyenzi Mungu! Lala pema Mhe Rai's.

  • @juliethhope7281
    @juliethhope7281 3 ปีที่แล้ว +16

    Jmniii kamfata rafik yake.alimpenda sana mwenzie..inaumiza mno jmn😷😭😭😭

  • @JoyceMwita-vm3pv
    @JoyceMwita-vm3pv ปีที่แล้ว

    Mimi ni mkenya lakini nmlilia Mzee John pm magufuri namuombea mungu ailaze roho yake pema pazuri naitwa chacha mwita kutoka Kenya county ya migori

  • @user-sc8un9qh3t
    @user-sc8un9qh3t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe wepesi ktk safar yako baba

  • @EvalistChriss-fk8yj
    @EvalistChriss-fk8yj 8 หลายเดือนก่อน +1

    Habari nzuri sana kwa kunisikiliza na kujua BY WU&YTCNEWS

  • @mimimoop2617
    @mimimoop2617 3 ปีที่แล้ว +4

    Pumnzika kwa amani magufuli wetu daima tutakukumbuka amina

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante mungu kwa zawadi ya huyu baba najua ulimleta hapa duniani ukatuonyesha mazuri yake baba kidogo ukamchukua.🙏 Asante kwa zawadi za huyu baba.

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 2 ปีที่แล้ว +5

    Tutaendelea kumuenzi uncle Magufuli milele daima 😭😭😭😭

  • @jessicastephano5974
    @jessicastephano5974 3 ปีที่แล้ว +43

    Rais John pombe magufuli. Shujaa wetu mtoto wa Africa mpambanaji asie teteleka pumzika kwa Amani Baba yangu mpendwa nilikupenda sana,

    • @ustzhadilimuhamadi3028
      @ustzhadilimuhamadi3028 3 ปีที่แล้ว

      Amen mungu amlaze mapema

    • @jacklinjosam5566
      @jacklinjosam5566 2 ปีที่แล้ว

      Dah kamaunaishi vile, ila wewenishujaatuuu halitapingikahilo, rest in peace our Dady

  • @marrymenas
    @marrymenas 3 ปีที่แล้ว +6

    Hapo ni yy alikuwa akiongea lakini kwa nguvu za roho mtakatifu alimshukia kimiujiza bila hata yy kujua...Tutakukumbuka daima Baba 💔🙏

  • @benjaminsamuel4641
    @benjaminsamuel4641 3 ปีที่แล้ว +14

    We 'll never forget you.may God Rest in peace, bodly we're not together but spiritually we shall meet.MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI BYE BYE.umetuacha ktk majonzi na simanzi kubwa jemedali wetu.

  • @trissateddy9909
    @trissateddy9909 2 ปีที่แล้ว +11

    May your soul Continue to resting in eternal life...🙏🙏😔😭😭😭😭

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 3 หลายเดือนก่อน

    Magufuli anaonekana amechoka hapa mwonekano wake hauridhishi, Mungu amlaze mahali pema peponi ❤🎉

  • @alimdoe8307
    @alimdoe8307 3 ปีที่แล้ว +10

    R.I.P,Jpm!! Hakika nchi imeumia sana!! Sasa hivi tuko na makamu wako,haya!!

  • @HadijahussenimolaHadijah-jg4sj
    @HadijahussenimolaHadijah-jg4sj 8 หลายเดือนก่อน +1

    😢❤ nitakukumbuka daima jpm uliyewapa ujasiri watanzani mungu akulaze pema peponi aamiin

  • @faithmbeyela9553
    @faithmbeyela9553 2 ปีที่แล้ว +4

    Mawazo na maneno yako yanaishi nasi Kila siku upumzike kwa Aman tulikupenda sana rais wetu, tumekumisi mno

  • @zidani-p4u
    @zidani-p4u 14 วันที่ผ่านมา

    Eee mwenyez mungu ilazeroho ya rais wangu mahala pena peponi amina

  • @SimonKitaly
    @SimonKitaly 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu sio dhalimu..

  • @damasmwinyihali1855
    @damasmwinyihali1855 8 หลายเดือนก่อน +1

    Africa mzima atutakusaau ayati Rais Magufuli.Pumzika kwa Amani

  • @secyngweta5710
    @secyngweta5710 ปีที่แล้ว +1

    l miss you magufuri pumzika kwa amani tunakukumbuka watanzania.😭😭

  • @hesbonombati9991
    @hesbonombati9991 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika huyu ni rais aliyempenda Mungu kweli, ndugu zetu watanzania walipoteza kinyozi mkuu kweli

  • @faustineathanas8311
    @faustineathanas8311 2 ปีที่แล้ว +2

    Rest in peace Dady Dr John Pombe Magufuli, Tanzania missed you 😭😭😭😭

  • @lucymumbimuriithi1416
    @lucymumbimuriithi1416 3 ปีที่แล้ว +20

    😭😭😭😭😭huyu prezo alikuwa shujaaa RIP

  • @FahamLongo-tp3yb
    @FahamLongo-tp3yb 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakumbuka sana baba yetu atutakusahau kamwe

  • @kulwammbwambwa4089
    @kulwammbwambwa4089 3 ปีที่แล้ว +14

    Mwenyezi mungu mpokee mwanao

  • @ChristerJotham-gr6ww
    @ChristerJotham-gr6ww 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimemkumbuka sana baba yetu magufuri

  • @annerafaela407
    @annerafaela407 3 ปีที่แล้ว +17

    Nikama ndoto naota, kama nawaona wapiga pesa wanavyosherekea

    • @user-bf3hc6we7j
      @user-bf3hc6we7j 3 ปีที่แล้ว +1

      acha tu nawao ila wakubuke kuwa wataziacha tu zina mwisho

  • @annamtapila5761
    @annamtapila5761 3 ปีที่แล้ว +9

    Ahsante baba kwa kututia nguvu na moyo wa maombi.
    Pumzika kwa amani baba.

  • @sophiamapunda9054
    @sophiamapunda9054 2 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana, hongera kwa lasi nzuri. tutakukumbuka baba yetu mpendwa.!

  • @lydiagray3323
    @lydiagray3323 2 ปีที่แล้ว +1

    Ntakupenda daima baba angu mungu akulaze mahali pema peponi 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @piusthomas3865
    @piusthomas3865 2 ปีที่แล้ว +1

    Tulikupenda.sana daima tutakukumbuka umetuachia usia baba mbele yako yuma yetu

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu aibariki Tanzania na watto wa Tanzania 🇹🇿 by Fosill nikiwa jijini Nairobi Kenya

  • @jumamstapha9558
    @jumamstapha9558 7 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢😢😢😢 dah umetisha bro sanaaaaa mana bado anaishi myoyoni mwetu daima 😭😭😭😭😭

  • @esternyamhanga8556
    @esternyamhanga8556 ปีที่แล้ว +2

    Ee mwenyezi Mungu umulaze hayati baba yetu mahali pema peponi sababu ameleta mabadiliko makubwa Sana nchini nitakukumbuka Sana magufuli!

  • @user-yh3oo7yt3h
    @user-yh3oo7yt3h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mpunzika Kwa amani rais wetu magufuli

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza5813 3 ปีที่แล้ว +9

    Hakuna president aliyekuwa akisema ukweli Na kumcha Mungu kama wewe Mkuu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭I can't stop my tears😭😭😭😭🇰🇪😭😭😭

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 3 ปีที่แล้ว +13

    This was the Man of the people truly...rest in peace late Magufuli

  • @JovithaGeorge-zq5dh
    @JovithaGeorge-zq5dh ปีที่แล้ว +1

    Pumzika Kwa Amani,mungu akuchague kulinda malaika wake,maana mungu anaitji walio safi wa moyo🙏🙏🙏 tutakukumbuka sana.

  • @user-iv4eg1cv2f
    @user-iv4eg1cv2f 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ni muwazi sana uyu baba

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +68

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!

    • @rwenenahomechannel1634
      @rwenenahomechannel1634 2 ปีที่แล้ว +6

      I really like your comment brother.

    • @mutijimacedrick1622
      @mutijimacedrick1622 2 ปีที่แล้ว +4

      in this generation ,no one like him....African hero...we miss prophet ....been killed by big men of this world criminals

    • @simonedward244
      @simonedward244 2 ปีที่แล้ว +1

      I real love president

    • @mashambosheby2063
      @mashambosheby2063 2 ปีที่แล้ว

      @@mutijimacedrick1622 💯

    • @jeanbaptistetwizerimana3149
      @jeanbaptistetwizerimana3149 ปีที่แล้ว

      House yyhhgguuuu;; uo3se,08inpnbhubn?❤v❤❤😢tyuyuu1uujllsdaaasqqhbhhefyipo9umiuui😂àuuykoàatà k 1bbhjaslllkkfyuv ❤,

  • @user-ys7li6cg7l
    @user-ys7li6cg7l 4 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi mwenye bidii na mchapa kazi poleni sana ndugu zetu wa tz mungu awarehemu sana na ailaze roho yake mahala pema kule aendako Amen.

  • @joycemgaya1605
    @joycemgaya1605 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu akupe pumuziko la milee

  • @RashidiEusebio
    @RashidiEusebio 4 หลายเดือนก่อน

    Tunakukumbuka mwamba wetu mungu akuwekemahala pema peponi aamin

  • @user-wq8th9jv8e
    @user-wq8th9jv8e 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulaze pema pepon makufur

  • @Myboy_1032
    @Myboy_1032 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daima tutakukumbuka😢😢😢😢

  • @rosaliebati8493
    @rosaliebati8493 3 ปีที่แล้ว +8

    Quel sagesse Mr le Président, t'es unique,lala salama

  • @user-mq4fv7mi9o
    @user-mq4fv7mi9o 10 หลายเดือนก่อน +1

    tumekumis baba god bless u

  • @veronicalucumay26
    @veronicalucumay26 9 หลายเดือนก่อน +2

    baba ulemtanguliza Mungu uliyekuwa unamsikiliza kila mmojaaa ulijalii utu kuliko chochote 😢tutakukumbukaaa kilaaa mara

  • @darusiulenge3348
    @darusiulenge3348 ปีที่แล้ว +2

    Kazi yake mola haina makosa mbele yake nyuma yetu hakuna atakayeishi milele maisha baada ya kifo Mungu anatosha Mungu wetu sote

  • @emmypeter3593
    @emmypeter3593 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah kila nikisikia sauti yako baba yetu John Joseph pombe magufuli nafarijika Sana kwa kwli mungu akuweke mahalo pema peponi:RIP magufuli 😭😭😭

  • @richardhonomou3743
    @richardhonomou3743 3 ปีที่แล้ว +3

    Rip Dady we love you from guinea Conakry 😭😭😭😭😭😭😭

  • @teresiamwita1788
    @teresiamwita1788 3 ปีที่แล้ว +7

    Pumzika kwa amani Tutakukumbuka Daima

  • @wilhelminajob3581
    @wilhelminajob3581 ปีที่แล้ว +12

    Life has never been the same since you left us Tanzanians

  • @JohanesJosephati-uj8fh
    @JohanesJosephati-uj8fh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki

  • @okunguisaiah4462
    @okunguisaiah4462 3 ปีที่แล้ว +31

    R.i.p rais wherever happened on earth also in heaven people love you not only in Tanzania but also in other countries the love you show to your people also will be shown in heaven that the meaning of God's prayer whom Jesus Christ tought his disciples God accepted you same as people accepted you allover the world R.i.p till we meet again in glorious God amen

  • @joycemwandola4826
    @joycemwandola4826 3 ปีที่แล้ว +8

    R.I.p.baba kweli umeniuma we baba

  • @charlessymussa4460
    @charlessymussa4460 ปีที่แล้ว

    Hata mimi naungana na ninyi kumukumbuka kila nikisikia Sauti yake mungu amuweke mahala pema peonies aminaa R.PJ

  • @tausimgasa4322
    @tausimgasa4322 3 ปีที่แล้ว +5

    Jmn, mlio baki ebu mjifunze kupitia magu, hekima na busara, mnapopata, madalaka ya kuongoza basi fateni nyayo zake ili vizaz vinavyo bak viishi kwa Aman pia Tanzania yetu iwe Salama.

    • @gersonmsoffe5817
      @gersonmsoffe5817 3 ปีที่แล้ว

      Haufananishwi na chochote uncle magu tunakuombea upumzk kwa Aman!!! Mama samiha suluh nakuomb uwe mfano kwetu cc watanzania ukafanye alo yafanya hayati doctor john pombe mahuful

  • @joycephillip8926
    @joycephillip8926 3 ปีที่แล้ว +9

    Mungu wewe ni mwanzo na mwisho wetu ,pumzika kwa amani baba yetu kipenzi,safari yako baba ilianzia hapa kwa muonekano wa huzuni kubwa inayojidhirisha usoni

  • @monilaumutoni1843
    @monilaumutoni1843 3 ปีที่แล้ว +17

    A life well lived &worth to celebrate 💔🕊🙏🏾 only God knows why our good great leaders with good intentions goes too soon 💔