Eweeee Mwenyezi Mungu muumb mbingu na ardhi,natoa Shukra zangu zimfikie pia Mtume wangu Mohamad s.a.w,Mwenyezi Mungu nakuomba tumlehemu ndg Julius K,Nyerere ktk maisha yake ya huko na pia mpe ulinzi Mh Rais Magufuli ili ukamalizie salama swami yake ya pili. Inshallah
Mheshimiwa rais usitoke kwenye ulingo wa kampeni,inasababisha wagombea fulani kuchukua nafasi yako ya kuonekana na hivyo kukupunguzia kura zako.Pia utatunyong'onyesha sana tunaokufuatilia kwa karibu. Tafuta siku zingine ujaribu kuendelea kuongea kwa niaba yetu unatupa nguvu unapoonekana....lakini pia ujue wataanza kukubeza wakisema Mara umechoka,unaumwa nk.
Ukiona mtu analalamika Sana huyo kapigwa sindano Kila mahali kwa sababu walizoea kufanya wanavyotaka,hawakai,hawasimami Wala hawalali na katu hamuwez kumshinda huyu mzee,Kama mnakereka kunywen sumu mfeeeeee,shwainiiii,Hawa wanaotaka urais n wez tu wamebanwa mbavu hawafurukuti.
Eweeee Mwenyezi Mungu muumb mbingu na ardhi,natoa Shukra zangu zimfikie pia Mtume wangu Mohamad s.a.w,Mwenyezi Mungu nakuomba tumlehemu ndg Julius K,Nyerere ktk maisha yake ya huko na pia mpe ulinzi Mh Rais Magufuli ili ukamalizie salama swami yake ya pili. Inshallah
Asante Rais Kwa kazi kubwa unayofanya Mungu akulinde kiongozi wetu mpendwa
Mungu amlinde Magufuli ashinde uchaguzi ili ndugu zetu watanzania mupate Maendeleo AMEEN
Mashaallah Raisi Magufuli pongezi Kwa hotuba nzuri na Bora Leo Chagua MAGUFULI
Mheshimiwa rais usitoke kwenye ulingo wa kampeni,inasababisha wagombea fulani kuchukua nafasi yako ya kuonekana na hivyo kukupunguzia kura zako.Pia utatunyong'onyesha sana tunaokufuatilia kwa karibu.
Tafuta siku zingine ujaribu kuendelea kuongea kwa niaba yetu unatupa nguvu unapoonekana....lakini pia ujue wataanza kukubeza wakisema Mara umechoka,unaumwa nk.
Ingawa mm ni Mkenya but namuombea mungu ashinde uchaguzi maana nafuatilia Sana siasa zenu ndugu zangu
Nyerere akumbukwe kwa mchango wake wa Kalinda amani Tanzania
Sikilizeni ayo madini alafu leo tumwache aiwezekani jpm kaja kuiweka tanzania kama ulaya tumpe kura zote jpm
Jembe
Uhuru na kazi shida yko ww ni hapa kaz tu no uhuru mzee baba lisu oyeeeeeeee
Uhuru gan Zaid ya huu tulionao.
Venture unakoswa uhuru?
Ndo ivyo uhuru hakun wafanya biaxhara wadogo wadogo wananyimw hak zao
Tuwe waelew jaman magufuli kafanya mazur lakn hafuat katiba ya nchi ndo anacho koxea
Mh. Dr. J.P.magufuri
Amani inaitajika ila mbn sielewi
Mwalimu alitofautisha maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu!
Wewe shoga nenda kwa shoga wenzako huku Ni Kazi
Eti maendeleo ya vitu mpuuzi Sana usiyejitambua nenda shambani kalime
A
@@rosetreffert6727 Wewe kilaza grade A, unatukana falsafa ya Mwalimu Nyerere?
Nani kawaroga vichwa havifanyi kazi?
Ukiona mtu analalamika Sana huyo kapigwa sindano Kila mahali kwa sababu walizoea kufanya wanavyotaka,hawakai,hawasimami Wala hawalali na katu hamuwez kumshinda huyu mzee,Kama mnakereka kunywen sumu mfeeeeee,shwainiiii,Hawa wanaotaka urais n wez tu wamebanwa mbavu hawafurukuti.
Get out of here