Pumzika kwa amani baba yetu Rais Ali Hassan Mwinyi. Tutakukumbuka daima. Umeondoka bila deni kwetu. Tunamahukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yako kwetu. Pumzika kwa amani.
si ndio alisema watuwema hawafi? kauli aliyomwambia rais samia? nawatu wakatafsiri kua inamaana alimuongelea magufuli au lkn yote kwayote mungu ampe rehemazake huko aendako ameen
They were happily talking about death and what even hurts me most is that both are now gone. May God protect our leaders and grant them long life. We Kenyans are with you during this difficult time
Innalilahi Wainnaailehi Rajiounn Sote Tutarudi Kwa Allah Nikilamtu Atalipwa Alicho Kichuma... Subhallah Allah Tustiri Tujaaliye Tuwe Wenye Kujakuzungumziwa Vizuri Na Mazuri Yarabiy Yarabiy Yarabiy.. Subhallah Allah Akujaaliye Yarabiy...
Babuu wa mababuu wewe ni jicho la wa tz binafsi nakupend tunkupenda. Great egmaree nenda karuandalie makao. Rais wetu tunajua we ni mhusudu wetu. Nakupenda baba Mwinyi nakupenda ❤
Mzee Mwinyi na mm nakuusudu ww sana. Mungu akupe kauli thabit ,upokee kitabu chako kwa mkono wa kulia na ajalie kaburi lako liwe baridi kwako na akuruzuku pepo bila hisabu.
Pole sana Tanzania kwa msiba mzito nakumbuka mzee Mwinyi kule songea nilimpenda sana jinsi alivyokuwa akiongea.Full respect mzee mwinyi hatuta kusahau RIP Mwamba wa Tanzania.
We asked you to grace the opening of Angaza, to add your strong voice as we struggled to combat HIV and AIDS. Ukaja, ukasema nasi, ukawa mfano. Kwa ujio Wako vijana wakaja kupima, kuchenki hali zao na kupata taarifa sahihi. Upumzike kwa amani. Go in peace, Mheshimiwa raid mstaafu, Ali Hassan Mwinyi. 🙏🌹
Pumzika kwa amani baba yetu Rais Ali Hassan Mwinyi. Tutakukumbuka daima. Umeondoka bila deni kwetu. Tunamahukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yako kwetu. Pumzika kwa amani.
Mungu awaondolee adhabu ya kaburi ishallah
Mzeee mwinyi akuwa mnafiki alimpenda sana magufur
Kweli kabisa dada nakuunga mkono nikiwa mkenya
Kabisa kweli kabisa yaani
Kuna tatizo kumpenda kiongozi jasiri na mzalendo kama JPM?
si ndio alisema watuwema hawafi? kauli aliyomwambia rais samia? nawatu wakatafsiri kua inamaana alimuongelea magufuli au lkn yote kwayote mungu ampe rehemazake huko aendako ameen
@@meshackmanofgod8151Yusuf makamba ndo aliropoka kwenye mkutano mkuu wa CCM, mpa Samia akamwombea radhi.
Madaraka yanalevya plus roho mbaya.
Sijuiti kupewa jina la mzee MWINYI
Wewe ni hadhi nzuri ❤ Ruksa
Lala salama mzee Mwinyi, na mzee Magufuli
Huyu Alikuwa Kiongozi mzuri sana, Mkarimu, Mpole, Hana Makuu. Mungu Amsamehe Dhambi zake na Ampe Pumziko la Milele kwa Amani.
Amiin
Amiin
Ameen summa Ameen
Amin ni kweli kabisa ni mzury aana❤❤
Huyu hakuwa na dhambi hata moja
😭😭😭pumzikaa bb Allah apelekee safari yako iwee nyepesi ukabiziwee kitabu chako kwa mkono wakulia tunakupenda Allah kaupenda zaidi ameen
Asante sana ayo kwa kutupa ujumbe huu ,historia itabaki kuwa historia ,hakika Asante sana
Mwanga wa milele umamwangazie marehemu mzee mwinyi apumuzike kwa amani amina vita umevipga vizuri mwendo umeumaliza
My favorite ❤2 Presidents ( MWINYI & MAGUFULI ) I have pure love for them R .I.P to them.
Mimi Pia Ndio Wapendwa Wangu Hao 💔🕊️
@wema3619 Hata mimi❤😢😢
Vizur vimeondoka
2M
Baba wa Taifa❤❤❤
Tumewapoza Marais wetu wazuri Sana na wenye weledi.M/mungu awalaze mahali pema peponi 🤲🤲🤲 wazee wetu
"Maisha ni hadithi tu". RIP mzee wetu AHM "Ruksa". Truly he was a leader. Very humble. Pumzika pema peponi.
Amina❤❤❤
Poleni ndugu watanzania. Tena pole sana kwa Mama Mwinyi na watoto.
Asante wewe wa nchi gan
?
Rwanda@@Fesary
They were happily talking about death and what even hurts me most is that both are now gone. May God protect our leaders and grant them long life. We Kenyans are with you during this difficult time
Thnx
Masha allah akiwa katika ubora wake akitumia pumzi vzr kwa kuwasihii watanzania na kutufunza kuishi vizuri kwa kutengeneza historia nzuri.
Innalilahi Wainnaailehi Rajiounn Sote Tutarudi Kwa Allah Nikilamtu Atalipwa Alicho Kichuma...
Subhallah Allah Tustiri Tujaaliye Tuwe Wenye Kujakuzungumziwa Vizuri Na Mazuri Yarabiy Yarabiy Yarabiy.. Subhallah Allah Akujaaliye Yarabiy...
😢😢😢😢😢MWINYI NA MAGUFUL. ALLAH AWAJALIE PEPO YA JUU INSHALLAH ❤❤
Watu wanakufa kila xku kuna mijitu haitii akili, inaonea watu inatesa watu,
Babuu wa mababuu wewe ni jicho la wa tz binafsi nakupend tunkupenda. Great egmaree nenda karuandalie makao. Rais wetu tunajua we ni mhusudu wetu. Nakupenda baba Mwinyi nakupenda ❤
Poleni Sana familia ya. Mzee. Mwinyi mwenyezi mungu amjaalie janaat firdaus iwe ndio makazi yako yaarab safari ya wotee hiyoo
Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele msalimie sana mzalendo na mwanamwema wa kweli Magufuli tunamkumbuka sana 😢🙏
Pumzika kwa amani mzee wetu
Amina❤❤❤
Amin Yarrab 😢
Mzee umemaliza mwendo salama mungu amekupa neema ya kuishi miaka mingi hatuna Cha kukudai bwana ametoa na bwana ametwaaah
Mzee Mwinyi na mm nakuusudu ww sana. Mungu akupe kauli thabit ,upokee kitabu chako kwa mkono wa kulia na ajalie kaburi lako liwe baridi kwako na akuruzuku pepo bila hisabu.
Allah amrehemu mzee ruksa 🙏
Magufuli was the greatest president in entire Africa .I really miss magufuli.
Napendaga Sana hayo maneno,,maisha ni hadidhi tuu,ingawa sio wote wanakuelewa
Ujumbe uliosheheni mwongozo mzima wa maisha ya mwanadamu Punzika salama baba yetu Ali Hassan Mwinyi Mungu akupunzishe
Salama
Two great legends...RIP
Huu hapa wimbo Maalm wa kumuenzi mzee wetu Mwinyi
Mwinyi nakupenda 😂
Kweli maisha ni hadithi tuuu ,,acha Sasa tukuwe hadithi nzuli 👏🙏RIP Mzee Hassan
😢😢innalillah wainnaillah lajiun
Innalillahi wainna ilayhi rajiun poleni kwa msiba familia jamaa na marafiki na watanzania
Mungu akakupunguzie adhabu ya kaburi Mzee wetu Baba yetu kipenzi Cha watu
Mnyenyekevu,mpenda Kiswahili,mchekeshani.hana uroho was madaraka
ALLAH, akuzidishie amali mzee wetu, siku ya umlikhiyama uingie peponi
Inalilah wainalilah rajighun poleni sana ndugu zangu mwenyez mungu ampe kauli dhabiti
Poleni
WaTanzania
Wenzangu
Wote
Mungu
Awape
Nguvu 6l
Daima tutaku kumbuka babu yetu mungu kaku penda zaidi🎉
Asante baba kwa ujumbe mzuri hakika tutakukumbuka upumzike kwa amani
Rest in peace my brother in Islam Kaka Mkubwa Ali Hassan Mwinyi. Allahu maghfir lahu warahamuhu Wasikanahu fijana
Kazi ya allah aina makosa pumzika kwa amani mzee ruksa
Humble man ever❤
Innalillah wa inailaih rajiun kazi ya Allah haina makosa.
Bora yeye ameula hasa kuliko Magufuli
Hapa akili ndogo ndo ilipofikia
Huo ni kweli hata mm nafikilia kama magufuli angekua kastaafu angalau Hata miaka 10 ilivyo pita hii nchi ingekua ya kushangaza tungepiga hata sana
Mnampangia Mungu muda wa kumchukua kiumbe wake? @@jenyyusuph4973
MUNGU NDIO MPANGAJI
Alizurumiiwa Nafsi yake,ila wote tutakufa
Mungu,ailaze,roho,ya,raise,wetu,Mahal,pema,pepon
Magufuli Daaa baba kwann ume tuacha 😢😢😢 r .I .p man's 😢😢😢
Wote hawa wamekuwa hadithi nzuri kusema la haki. Mungu aiweke roho yake pema peponi amin 🤲
Baba pumzika kwa Aman Rahis wetu Ali Hassan mwinyi mungu akutunze uendako
Wote hao marehemu inallilah waina ilayhi rajeeun ya Allah tujalie mwisho mwema
#Innalilahwainailehrajiun
One of the best... Alikuwa Raisi wa awamu ya Pili, ila Raisi mzuri jameni kwa watanzania!
Pole sana Tanzania kwa msiba mzito nakumbuka mzee Mwinyi kule songea nilimpenda sana jinsi alivyokuwa akiongea.Full respect mzee mwinyi hatuta kusahau RIP Mwamba wa Tanzania.
Mungu awape subira wafiwa na Tanzania kwa ujumla wetu. INNALILAHI WAINA ILAYHIM RAJIUUNA.
Aisee! Wakweli wapo wallah Tena Allah Ampe Mwisho Mwema huko aendako🤲🏿
Rest In Peace President Mwinyi and Magufuri 🙏🙏
Allah akujalie kaburi lako liwe miongoni mwa viwanja vya peponi
Amin amin
aaamin
Asnte, Mzee kwa hotuba yako mambo mengi tuliyaona kwa wale walioona, Mungu akuweke pema uungane na wenzako waliotangulia, Amina
RIP mwinyi hukuwa mnafiki magufuri ulimpenda sana
Daaah uliongea point sana mzee wetu mpumzike kwa aman jmn mungu awapunguzie adhabu ya Kaburi Magufuli & Mwinyi😢😢😢
Umemsahau kumwombea Nyerere
Innalillah wainnailah rajiun. Pumzika kwa aman mungu akuepushe na adhabu za kabur
R.i.p mzee wetu pumzika kwa aman mzee ruksa sote njia yetu moja 😥😢😥🇹🇿🇹🇿🙏
😢😢😢 Allah akupunguzie adhabu ya kaburi na akupe pumziko la amani
Daaah ni kazi ya mungu
Wow! Rest in eternal peace our retired president ! We'll truly miss you dad😭! I thank God for your life 🙏!
Daaaah..Magu na Mwinyi 😢
Babu jamaniii❤. Nenda salama na mtuombee
Mungu ailaze roho yake mahari pema peiponi
Dah! Mzee umemaliza mwendo vzr..PUMZIKO LA MILELE MUNGU AKUPE.
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun ,,Allah akupe qauli hhaabity,, Masha Allah,,maneno ya hekma japo na uzee wake, mimejifunza kitu
Hekima ya Wazee,humbled Himself.
R.I.P the race well done
Pumzika kwa Amani❤❤
Mungu awape pumziko jema ,magufuli na mwinyi
Rambirambi zangu Kwa mama wa taifa mhe Samia,mama mwinyi na familia yote ya mheshimiwa raisi hayati mwinyi.tunawaombea mungu awavute machozi.🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
Pole sana familia na taifa tunahuzunika pamoja nanyi. Mzee wetu pumzika kwa amani tutakutana ahera Mungu atakapopenda.
R.I.P Mzee wetu japo mabaya uliyafanya kipindi chako But Mungu ni mwema
Alitutoa kwenye ukale wa kugambania bidhaa madukani. Mwenyezi Mungu amsafishie njia ya kwenda Mbinguni.
Mungu akupunguzu adhabu mwinyi
R I P Both of you sleep tight in peace
❤❤❤ you are the good person
Akapunzike Kwa amani mzee wetu inshallah
Maneno kuntu Mzee wa Rukhsa Allah akupunguzie adhabu ya kabri na akusamehe makosa yako dua.
Mungu amlaze mahali pema peponi
Rest in peace mzee wetu. 🇰🇪
Poleni sana wajane wa mzee mwinyi 😭😭😭😭😭
NAkupenda sana mzee na babu w2
Habari 🤚ndugu na wa dada wenzangu wa nchi ya Tanzania 🤝 Hongera kwa rais mwinyi 🙋ukitenda mema kuna baraka za Mungu 🌱🇰🇪
Shukrn ndugu tupo pamoja
Mwendo umeumaliza Baba,hekima na busara zako,zitabaki katikamasikio yetu.Roho Yako istarehe Kwa amani.
R.i.p.mzee wetu ruksa😢
Inna lillahi waina ileyhi rajiuun mola amrehemu pahala pema peponi mzee wetu umetuacha kiwili wili ila mawazo na vitendo bado tuko navyo daima
RIP To them, May Almighty God by his Mightier hand keeping their souls in a good place 🛐🛐🛐🧎🧎🧎🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pumzika kwa amani Mzee Ruksa 😢😢😢
Pumzika kwa Amani Baba yetu. Kweli maisha yetu ni hadithi tu
INNA NILLAH WA INA ILEYHI RAJAIOON ALLAH hu AKBAR io ni dalili ya muumin ki imani pia ha nayo ALLAH RAHMA ❤
We asked you to grace the opening of Angaza, to add your strong voice as we struggled to combat HIV and AIDS. Ukaja, ukasema nasi, ukawa mfano. Kwa ujio Wako vijana wakaja kupima, kuchenki hali zao na kupata taarifa sahihi. Upumzike kwa amani. Go in peace, Mheshimiwa raid mstaafu, Ali Hassan Mwinyi. 🙏🌹
Masha Allah babaetu innalillah wainna ilayh raji un
Pumzika kwa Amani Baba
Rest in peace legends
Maneno ya hekima
Watuwema hawadumu. Tutakukumbuka daima . Mzee RHUKSA , Dr. MAGU RIEP.
RIP Mwinyi, greetings to JPM
😘