Hongera sana mama Olotu.hata mimi niikwend a kwenye PHD nikiwa na miaka 53 nikaulizwa iwapo ninaenda kutafuta Kitu chakuongezea kwenye Obituary. Namshukuru Mungu nilimaliza kwa miaka 3 kamili nikawa na miaka 56
Hongera mama nami nimesoma uzeeni na sijajutia hilo na niko kwenye program ya master japo ninasitasita naamini nitaimaliza tu kwa uwezo wa mwenyezi Mungu 🙏
Hata mimi nimesoma uzeeni mama. Nikiwa na miaka 22 ya kumaliza form four. Nilimaliza SUA na GPA 3.8. Pia MSc GPA 4. Mungu alinipigania sana. Nilienda degree ya kwanza na last born wangu. Ukimtumaini Mungu yote yanawezekana
Hongera sana mama Olotu kwa kutuonyesha mwanga na ushuhuda wa kutuonyesha kila kitu kinawezelana kwa kila mwenye kiu na chochote la msingi ni kutumaini na kumweka Mungu kuwa nsfasi ya kwanza kwa kila kitu.
Ohhh congratulations 47yrs hapa na niko na program ya masters sema nasitasita ila umenipa moyo ngoja niifufue labda huko mbele itanilipa km ilivyonilipa bachelor.... Barikiwaa sana
kuna kitu mnakosa kufahamu kama wakristo. Degree, Masters, PhD nk. kamwe hazitakupeleka kwa Bwana Wako Yesu Kristo. Tadhadhali toeni Uhuhuda za Kumpata Mungu, Kujazwa Roho Mtakatifu. kuzaliwa upya, kumtumikia Mungu, mabadiliko ya Kiroho uliyopata katika maisha yako. elimu utaishia kupigiwa makofi tu.
@@kastoriooko7157msheke sana elimu na usiache aende zake.Mungu anataka watu wasome pia.Vitabu vya injili vinatueleza kuwa Injili ya Luka Mtakatifu iliandikwa na Daktari.
Shikamoo Mama Olotu. You are lovely indeed. Mungu azidi kubariki huduma yako Mama. Salaam za upendo kwa Washarika wote hapo Kijitonyama na nyumbani, Tegeta Bethania.
@@abellabv Kusoma Uzeeni inategemea unalenga nini!!! Unataka kuelekea wp😆 Juhudi za Binadamu za maendeleo ni tofauti. Mfano tu, Matajiri wengi Duniani waliofanikiwa hawana Elimu😳 Na wanawatumia hao wenye Elimu ktk Kazi zao.
Fwatilia kisa cha Wana wa Israel Jangwani,walipotenda Maovu na Mungu akataka kuwafutilia mbali,Musa alimuomba Mungu asifanye hivyo....na Mungu akasikia OMBI la Musa
Hapo mama umeningusa hata mm nasoma sahivi from two mwaka huu nafanya mtiani wa necta naomba uniombe niweze kufanya vizur kwenye mtian wa from two nectar mwaka huu namba yako mama Naomba
Hongera Sana Mama yetu. Kijana mwenzangu bado hujachelewa!! Hongera kwa CBE kwa kumpokea huyu mama!! Neema na rehema zina wateule wake!!!
Hongera sana mama Olotu Big Up Mungu atakunyanyua siku ikifika
Mama hongera umenikumbusha mbali sana kwa sababu hata mimi nilisoma uzeeni .Mungu ni Mkuu sana hakuna kukata tamaa
Hongera sana mama na Mungu akufungue macho zaidi utende mambo makubwa
Hongera sana mama Olotu.hata mimi niikwend a kwenye PHD nikiwa na miaka 53 nikaulizwa iwapo ninaenda kutafuta Kitu chakuongezea kwenye Obituary. Namshukuru Mungu nilimaliza kwa miaka 3 kamili nikawa na miaka 56
Kwa sasa unafanya kazi gani mpendwa katika buana? Huu ndo ushuhuda natakiwa kuusimamia
Hongera sana
Wowooo wowooo Glory to God
Hongera mama nami nimesoma uzeeni na sijajutia hilo na niko kwenye program ya master japo ninasitasita naamini nitaimaliza tu kwa uwezo wa mwenyezi Mungu 🙏
❤❤
Hongera sana mama.,Dah ngoja nami nijitafakari upya! Mungu akubariki sana.
Hongera mama Olotu umenibariki kwa ushuhuda wako. Kweli hakuna kukata tamaa katika maisha, uthubutu ni uhakika wa mafanikio. Ubarikiwe sana.
Hata mimi nimesoma uzeeni mama. Nikiwa na miaka 22 ya kumaliza form four. Nilimaliza SUA na GPA 3.8. Pia MSc GPA 4. Mungu alinipigania sana. Nilienda degree ya kwanza na last born wangu. Ukimtumaini Mungu yote yanawezekana
Hongera sana best ushuhuda wako kidogo unaeelekea kufanana na mimi ,
Mungu akubariki sana mama Olutu
Hongera sana mama yangu.Umenitia moyo sana na kunifundisha kwamba wapo watu kazi yao nikukatisha wengine tamaaa.❤❤❤
Hongera sana mama Olotu kwa kutuonyesha mwanga na ushuhuda wa kutuonyesha kila kitu kinawezelana kwa kila mwenye kiu na chochote la msingi ni kutumaini na kumweka Mungu kuwa nsfasi ya kwanza kwa kila kitu.
Nashukuru Mungu nimemaliza Masters Nina miaka 59 na PhD miaka 68.
Hongera sana. Nasi wengine hata 40 bado tunaona tumechelewa. Asante kututia moyo.
Ohhh congratulations 47yrs hapa na niko na program ya masters sema nasitasita ila umenipa moyo ngoja niifufue labda huko mbele itanilipa km ilivyonilipa bachelor.... Barikiwaa sana
Usisite ndugu, jipe moyo, wengi ni kushangaa na kukatisha tamaa, wachache(muhimu) watakuhimiza...
.
kuna kitu mnakosa kufahamu kama wakristo. Degree, Masters, PhD nk. kamwe hazitakupeleka kwa Bwana Wako Yesu Kristo. Tadhadhali toeni Uhuhuda za Kumpata Mungu, Kujazwa Roho Mtakatifu. kuzaliwa upya, kumtumikia Mungu, mabadiliko ya Kiroho uliyopata katika maisha yako. elimu utaishia kupigiwa makofi tu.
@@kastoriooko7157msheke sana elimu na usiache aende zake.Mungu anataka watu wasome pia.Vitabu vya injili vinatueleza kuwa Injili ya Luka Mtakatifu iliandikwa na Daktari.
Mungu akupe umri mreeef mama,Asante kwakututia moyo wanao binafs nimebarikiwa na ushuhuda mzuri
Wow! Umenitia moyo Sana Leo Mama yangu kipenzi! Nitasonga mbele kwa Neno lako 🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Asante mungu alinde mama huyu kanipa moyo🙏🙏🙏
Mama hongera sana.Ushuhuda wako umenitia moyo katika mambo mengi maishani.Mungu akubariki.
😂😂😂😂😂 kura yangu umepata mama yetu mbunge mtarajiwa!!!! Absolutely beautiful woman and beautiful soul. God bless you mama! 🙏
Mama nimekupenda bure, Mungu akubariki
Wow hongera mama ume nipee changa moto
Shikamoo Mama Olotu. You are lovely indeed. Mungu azidi kubariki huduma yako Mama. Salaam za upendo kwa Washarika wote hapo Kijitonyama na nyumbani, Tegeta Bethania.
@@abellabv Kusoma Uzeeni inategemea unalenga nini!!! Unataka kuelekea wp😆 Juhudi za Binadamu za maendeleo ni tofauti. Mfano tu, Matajiri wengi Duniani waliofanikiwa hawana Elimu😳 Na wanawatumia hao wenye Elimu ktk Kazi zao.
Mungu akubariki Mama. Umeinua mioyo ya wengi iliyoinama na kukata tamaa.
MUNGU NI MKUU sana, congratulation my mumy for your courage, umewashinda vijana vilaza wengi wa miaka hii
Mama ubarikiwe sana na Mungu akupe umri mrefu zaidiiiii
Hata mimi sikati tamaa kwakweli ,asante mama kwaushuhuda huu
Hongera sana mama Olotu.Nimekupenda bure na Mungu akubariki mpaka ushangae.
Nimefurahishwa na hii shuhuda ,Mungu sio mwanadamu ❤
Hongera sana dada yangu, hakika uthubutu ni silaha ya kufikia lengo. Mungu akupe umri mtimilifu my dear
Mungu akubariki sana mama
Hongera sana dadangu. Mungu akutunze
Hongera sn mama Mungu ni muweza
Hapana hapana hapana. Mungu ashauri na haijawahi na haitatokea M.Mungu kushauriwa. Ila M.mungu huombwa tu kwa jambo utakalo lifanyike.
Soma biblia utajua
Fwatilia kisa cha Wana wa Israel Jangwani,walipotenda Maovu na Mungu akataka kuwafutilia mbali,Musa alimuomba Mungu asifanye hivyo....na Mungu akasikia OMBI la Musa
Ushuhuda wa nguvu nyingi jamani. Mungu akuinuwe sana mama. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera sana mama ushuhuda wako uwanijenga Sana MUNGU akutunze zaidi
Rais Ampatie Mama Olotu ubunge wa kuteuliwa ,Ampe uwaziri ni mzuri sana atajenga nchi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Namshukuru Mungu kukutana na hili somo na huyu mama maneno yake yamenitia moyo naomba namba jaman
Wajumbe watu wabaya sana Ila mama songa mbele huu mwaka wa kufosi mpaka kieleweke na Mungu akutangulie
Nitasoma kwa Jina la Yesu Kristo amen
Ubarikiwe sana kwa ushuhuda wako. Umenitia moyo
Very interesting on this.Glory be to Mighty God
Hongera sana mama kwa ujasiri na ushuhuda wako Mungu akubariki sana
Nimeinjoy 😂😂😂😂 nimejifunza vitu vzrii
Hongera mama...natumaini nitakua na ushuhuda siku moja
Mungu azidi kukutunza Mama Kwa Ushuhuda wako Wenye Kutia Moyo Wa Kujifunza Zaidi,,,,,Vitabu hivyo naweza kuvipata.?
Ukifanya
Kitu
Kwania
Kila
Kit
Kinawezekana
Hongera
Mama
Hongera mama YANGU, Mungu akuzidishie HEKIMA HIYO
Mama hongera sana umenitia moyo aiseeee
Very interesting story!! Hongera sana mama.
Ubarikiwe sana Mama yetu umenitia Moyo sana.
Mungu nisaidie siku moja na mm nirudi shule😢😢😢
Mama leo nimecheka nimefurahi 😂😂😂 hongera sana mama Olotu
Hongera Sana mama . Kwa kweli Elimu Haina mwisho
Hongera my dada mataka kitabu
Wao hongera sana mama ❤
Prof kaijanante alinifundisha pale CBE,,,alivyomtaja nimethibitisha,,,big up mama,chami mwenyewe amesoma pia CBE,
Hongera sana KNOWLEDGE IS POWER KNOWLEDGE IS AN ASSET.Keep on moving
Hongera sana dada yangu,,,natamani kupata na ya mama huyu,,kuna jambo amenitumia nguvu.
Ni shanagzi yangu huyu,kama hujapata namba yake utaniambia
Nasali nae miaka mingi sana kijitonyama hii siku sikuwepo😂😂😂
Mimi naomba namba yake@@julianajonathan3060
Mama Hongera sana,unamoyo wa kipekeee
Pongezi kwako mama na Mungu akutunzee ili kuendelea kutimiza kusudi la Mungu na ushibe miaka ya kuishi
Mama shikamoo,nikupe hongera kwa uthubutu
So inspiring ..much to this mom😊😊
Yaan mama umenimotisha mnooo Mungu anikutanishe na watu sahihi
Mama a.k.a Mbuge aliepungukiwa kura 😅
Mungu akuzidishie kwa zawadi ya kitabu kwa tunaitaji fursa
Hongera sana mama umenifanya nijue kuwa na mimi naweza
Kweli Mungu alisema atarejesha siku zako kama tia
KWELI huu ushuhuda unajenga sana hakuna kutaka taama
Asante mama kwa kututia moyo,Mungu akubariki
Mama barikiwa ushuda wako uko nanguvu🙏
Education has no end 🙌🙌🙌 mama congratulations 👏 💖 🎉
Hongera sana sana
Hongera sana mama MUNGU akutunze ❤️
Hongera sana mama mungu anaweza
Hongera sana mama kipenzi
Wow, I'm speechless🎉🎉🎉🎉❤
Hongera sanaaaa Mama🥰
Hakika usiishie njiani Mungu anaweza
Hongera sana Mamá
Hakika Umetutia Moyo
Wajumbe siyo kabisa. Wewe mama ni shujaa. Mungu akubariki
Umenitia moyo uwiiiii❤❤❤
Oooh God is so good
Ooooooh Mungu wangu ni mkubwa sana sana kabisa
Naenda Shule mimi sitaogopa umri wangu tena😂
Nimependa ,,, hongera sana mama Olotu
Congratulations mom
Still mum ur very beautiful,
She is inspired me in advance
Amenitia moyo nimefeli mbaya nilipata zero lkn kweli kusoma hakuna umri kwakweli kuamua tu
Turudi darasani ndg yangu
Ameniii
HONGERA SANA MTUMISHI WA BABA MUNGU!!!
UMENIPA NJIA.
Asante kwa ushuhuda I have already give up but kupitia ww ntaenda kusoma
Nimeipenda iyo nywele ya uyo mama
Dada MUNGU akubariki kwa viwango vya juu
Mama you are a hero
Naomba no. Ya mama Tafadhali.❤🙏
Ukipata namimi nipe
Yes we need her,,,please
Mungu ni mwema kwakweli na omba namba
Hongera
Mama haya yote ni kwa neema tu
Hapo mama umeningusa hata mm nasoma sahivi from two mwaka huu nafanya mtiani wa necta naomba uniombe niweze kufanya vizur kwenye mtian wa from two nectar mwaka huu namba yako mama Naomba
HONGERA SANA MAMA🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Congratulations, my wii, sijasahau ulivyonitia moyo kusoma. Nimefuata nyao zako. Ubarikiwe sana dear❤
Ushuhuda huu ni mzuri sana.
Hongera mama hujapeana no ya cmu