Kisa Cha Mama Mkwe Kuitwa Mchawi | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @nicksonshoo429
    @nicksonshoo429 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mch.Kimaro hili jambo limeniumiza sana sana.Hawa MANABII wanachonganisha sana watu hata zaidi ya Waganga wa Kienyeji.

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 6 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa kweli hizi tabiri chonganishi sio nzuri sana,Amina

  • @user-oy2fi5qz9n
    @user-oy2fi5qz9n วันที่ผ่านมา +1

    Nawachukia sn wanawake wa style hii, yaan wakiolewa wanawadharau wakwe zao,wanasahau kuwa bila kusomesha hao waume zao,wasingewaona, ila malipo ni dunian,unawasahau wazazi wako kisa mwanamke😢😢

  • @user-tn3oe6ig8w
    @user-tn3oe6ig8w วันที่ผ่านมา

    Asante mchungaji kwa ujumbe mzuri nikweli nisingemzaa huyo mme angempata wapi na kwanini nimroge mjukuu nisimroge baba yake

  • @JulianaChacha-k5b
    @JulianaChacha-k5b 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmhhhhhh mungu awaone hao wanaogawa familia za watu!wawe wakamwana au wakwelima! M/mungu asiwacheleweshe kuwalipa ubaya wao😮

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 6 วันที่ผ่านมา +2

    Bwana Yesu akubariki mchungaji akuinue zaidi na zaidi,roho chonganishi zimetenganisha familia

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli hao manabii baadhi wamekua wapiga lamuli wanaotumia jina la yesu wanaomjua wao SI yesu kilisto wa nazareti aliye hai miji mikubwa imevamiwa sana tunaomba mungu wakweli aonekani bila hivyo kunamadhala makubwa sana asante mtumishi kwa mafundisho mazuri ameni

  • @TumpeFord-om1wv
    @TumpeFord-om1wv 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie

  • @felistamwashibanda7764
    @felistamwashibanda7764 6 วันที่ผ่านมา +4

    Nikweli kabisa!! nimeshuhudia mama yangu mzazi alivyotupambaniapaka baadh yetu tunafanikiwa,lakini baada ya mafanikio vikainuka vikwazo vyaibilisi mama yangu akaugua akafa😢😢😢😢😢 bila kula matunda ya watoto wake 😢hakika inauma

    • @neemataris3273
      @neemataris3273 3 วันที่ผ่านมา +1

      Acha tu mama yangu pia yaani niliumia sana kama mshale aliondoka

  • @restitutapetro4705
    @restitutapetro4705 6 วันที่ผ่านมา +1

    Amen, Nayakubali maneno yako, na mimi nina mtoto mmoja, Mungu anikumbuke!!

  • @neemakijazi2363
    @neemakijazi2363 วันที่ผ่านมา

    Amen Mungu anisaidie na mimi sasa hivi naitwa mchawi ninaua watoto wa mwanangu wa kwanza wa kiume mwanamke anayeishi naye ananiita mchawi hivyo sithubutu kwenda kumhona mjukuu wangu japo moyo unaniuma na anadai amekwenda kwa nabii akamwambia watoto wako Wanatogwa na mama wa mwanaume wako. Mungu atusaidie.

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pole sana pole Tena naelewa mapito yako,Kaa utulie ukihisi maumivu Sali,majibu watayaona! HAYA mambo yapo sana Tena Kwa wingi

  • @user-sv4wj5be1b
    @user-sv4wj5be1b 4 วันที่ผ่านมา

    Inaumiza kwa kwelii

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 4 วันที่ผ่านมา

    Malipo ni hapahapa dunian

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 วันที่ผ่านมา

    Kabisa mchungaji kama siyo mama wewe ungemkuta huyo mume wako? Jamani kumbukeni wa mama waliozaa hao waume zenu.

  • @tinamwashilindi6807
    @tinamwashilindi6807 6 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli

  • @sonicaghendewa9886
    @sonicaghendewa9886 6 วันที่ผ่านมา

    Sina hamu na hao wanaojifanya wanaona
    Wanagombanisha watu sana muda mwingine

  • @fleviahella9818
    @fleviahella9818 6 วันที่ผ่านมา

    Tikskwcpa
    Hfujfjtfuaw

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d วันที่ผ่านมา

    Haya mambo yapo kwa kuhani mussa

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Apandacho mtu ndicho anacho vuna utavuna tu

  • @happiness_713
    @happiness_713 6 วันที่ผ่านมา

    🥹😭😢🥺