MKASA WA KUTISHA KUHUSU MTOTO ANAETOA MOTO MWILINI MWAKE HUKO PEMBA ”MPAKA MSIKITINI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 740

  • @bijumafundi1737
    @bijumafundi1737 3 ปีที่แล้ว +67

    Hakuna kubwa kwa Allah Na Mithihani tumeumbiwa sisi wanadamu QURAN Ndio DAWA!! Inshallah!! Poleni

    • @maryammohammed7472
      @maryammohammed7472 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @swalhashuaibu8149
      @swalhashuaibu8149 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa Quran ndio dawa wamsomey surat baqara kila siku bitakwisha

    • @khamidaamir8271
      @khamidaamir8271 3 ปีที่แล้ว

      Mwana mdogo uyu kqwakoseq nini asa mufanyie ubayq uwo mungu qtakuponyq inshallah

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 ปีที่แล้ว +87

    Ni matatizo tena Makubwa maskini wee Allah awaondolee Ya Rabbi amin amin

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 3 ปีที่แล้ว +18

    Huyo Mlevi Allah amuongeze Inshallah manake imani yake ni nnzuri kuliko hao wasio kuwa walevi walio mfungua kwenye banda la makuti ili moto uwake afe kabisa, ubainaadamu kazi

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว +2

      Alafu Zanzibar kuna hili tatizo sijui ushirikina

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 3 ปีที่แล้ว +2

      Walevi wanakuwaga verysmart sometimes

    • @LeilaWilfred-zc7gn
      @LeilaWilfred-zc7gn 8 หลายเดือนก่อน

      Lailaa ilah antaa.....

  • @benitamusembi9278
    @benitamusembi9278 3 ปีที่แล้ว +3

    Wooiih najua imaniyenu nitofauti na yetu sisi wakrhisto, lakini ninasho jua Mungu nimoja, Mungu ulie mbinguni msaindie Mtoto huyu anateseka, Hana makosa ni shetani na hashindwe katika njina la Yesu krhistu amen amen amen kilakitu kitakua sawa, nimetokea Kenya

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 ปีที่แล้ว +10

    Ishallah ALLAH atakusaidi mola hatupi mja wake cha msingi usitoke kwenye I'm an yako ukaenda kwa kumshirikisha mola dua na visomo vya ruqya

  • @fatmaabdalla8543
    @fatmaabdalla8543 3 ปีที่แล้ว +9

    Kilio chako Allah kashakisikia na imani yangu inanambia yatakwisha hayo, pole sana

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 3 ปีที่แล้ว

      Huo nimtihan mkubwa haswa inshallah Allah akujalien subra ya dhati moyon mwako

    • @juliusmfangavo2926
      @juliusmfangavo2926 3 ปีที่แล้ว

      Mleteeni Penuel International Mistry Kimara mwisho Dsm atapona Kabisa hakuna linaloshindikana kwa Mungu hii ni mitihani tu lakini msife moyo lililoshindikana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 3 ปีที่แล้ว +34

    Namuomba Allah akufanyie wepesi kwenye uzito huo..minkulu hasidin..minkulu Sahirin ..minkulu ainin Ameen yarabil alameen.

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 9 หลายเดือนก่อน

      Huyo mtoto hitaji lake NI kufunguliwa wala sio lufanyiwa wepesi huyo jini. MOTo haondoki Kwa kufanyiwa wepesi wala nini ataondoka Kwa kuliitia jina la yesu pekee Mimi mwenyewe nilifunguliwa Kwa jina la yesu

  • @fatmaabdalla8543
    @fatmaabdalla8543 3 ปีที่แล้ว +9

    Mshitakie Mwenyezi Mungu yy pekee ndie alie na uwezo. Mbele ya Mungu hakuna lisiloshindikana. Pole sana Dada Allah ndie muweza wa yote

  • @mohamadmaulidngava1510
    @mohamadmaulidngava1510 3 ปีที่แล้ว +19

    Poleni sana.Mungu yupo kila lenye mwanzo halikosi mwisho.

  • @sharifachepchirchir8863
    @sharifachepchirchir8863 3 ปีที่แล้ว +9

    Yaa Allah 🙏 nakuomba wafanyie wepesi familia hii.🇰🇪 😭😭

  • @asfarsham9037
    @asfarsham9037 3 ปีที่แล้ว +8

    Nchi yangu maskeen.kila siku majanga.Ndugu zanguni kwa pamoja tumrudieni Allah tumuombe msamaha.
    Pole kijana wetu Allah shafii

    • @Abuueldel
      @Abuueldel 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabsa yan huu ni ukumbusho kwa wenye akili turudi kwa Allah s.w

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupe ujasiri mamaangu zidisha ibada sn za usiku na visomo hadi kwenye maji yake atapona inshallah

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 3 ปีที่แล้ว +16

    Subhna allah ..ALLAH AWAODOLEE MTIHANI HUU YARABB..MTIHANI MKUBWA MASKIN

    • @salimkombo4849
      @salimkombo4849 3 ปีที่แล้ว

      Mama mungu akujaalie. uingie nanat firdausi

    • @salimkombo4849
      @salimkombo4849 3 ปีที่แล้ว

      Mama mungu atawaondolea matatizo

  • @fat-hiyaali4723
    @fat-hiyaali4723 3 ปีที่แล้ว +9

    dah nahisi kma yamenikuta mimi wallah allah atufanyie wepesi

  • @hawa-luumiwrty3144
    @hawa-luumiwrty3144 3 ปีที่แล้ว +29

    SUBUHANALLAH🙏, MWENYEZI MUNGU AMSAIDIYE

  • @shaibuabdalah5884
    @shaibuabdalah5884 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mdogo wangu hii hali yako nimekusikiliza, nimejikuta nalia ila Inshallah mungu yupo pamoja naww atakufanyia wepesi utapona

  • @alisalum7036
    @alisalum7036 3 ปีที่แล้ว +20

    Una sifa za kua mama Bora Allah akuzidshie mama na awafanyie wepes

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 ปีที่แล้ว

    Subhannallah. pole sana ndugu zangu kiukweli sina la kusema kabisa zaidi ya kwaomba muwe na subra na endeleeni kumuomba Allah SW awafanyie wepesi. yaani sijui hata muende Hospitali akafanyiwe vipimo yaan sijui hata nishauri nini naona huzuni tu imenijaaa

  • @mohammedmatumla538
    @mohammedmatumla538 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah akbaru Allah akbaru, hakika Allah ni muweza juu ya Kila kitu.
    Yaa RABBI naomba umuundulee uzito huyo kijana na Familia yake. Na uwaze subra katika nyoyo zao, aamiin

  • @EvelinaHaule
    @EvelinaHaule 9 หลายเดือนก่อน +12

    Polesana yupo mmojatu anayeweza kumponya naye ni Yesu kristu. Mwana wa Mungu aliehai. Mpeleke kwenye kanisala Efatha Zanzibar. Naye atakutanana Mungu huko atamponya Amen

    • @liylahahmed829
      @liylahahmed829 5 หลายเดือนก่อน

      Noooo Allah anatosha

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 4 วันที่ผ่านมา

      Yesu mwenyewe alikuwa anasaidiwa na Mwenyezi Mungu halafu ww unasema Yesu awasaidie watu, yeye ni Mungu?

  • @charlesmwaminifu5196
    @charlesmwaminifu5196 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana mm ningekua kalibu ningemsaidia bule kabisa mm niko Dr salama atakae weza anitumie nauli na mm nimeajiliwa endapo nikipata mtu akanishikia kazini bas akitona nauli naeda

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 ปีที่แล้ว +20

    Kila pahali wekeni ayatulkusiyu kwenye nyumba yako. Ikisha yachukue maji uyasome umpe anywe au msomee ruqia nzuri sana itaondoka ni hasad hizo.

    • @aminafesaliaminafesali8105
      @aminafesaliaminafesali8105 3 ปีที่แล้ว +3

      Tena sio moja moja wamsomee sira hizo elf 1 moja kila sura kwanzi al hamdu surat nas na fafalaq na hayat al kurs na lukaiya ase majibu watayapata siku hiyo hiyo na mwe kumfanyia hivo anangamia sku hiyo

    • @eliyampesa4352
      @eliyampesa4352 ปีที่แล้ว

      Yesu Ni mponyaji mpelekeni kanisani

  • @lilianwesonga6716
    @lilianwesonga6716 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwaaaah maskini mtoto mdogo sana majaribu makubwa kweli poleni

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 3 ปีที่แล้ว +4

    Subhanallah...Kwa kweli inauma sana , insha'llah M/mungu atawafanyia kila wepesi.

  • @kautharmohammed8474
    @kautharmohammed8474 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atupe subra kwenye kila matihani .
    Uyasikie tu usiombe yakutokee nimakubwa kushinda ivo anavoelezea ila Allah kakushagua ww kukupa kwasababu anajua unaweza inshallah utafuz kwa mtihani huu

  • @mussamlewa2178
    @mussamlewa2178 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mtoto anahitajia visimo vizito sana japo kwa week nne mfululizo inshaallah Allah atamfanyia wepes

  • @yusrakhamis9109
    @yusrakhamis9109 3 ปีที่แล้ว +5

    SUBHANALLAH 😔😔😔Imeniuma sanaa ..... nawaza jee ingekua ni upnde wangu hiki kituu YAA RABBI WASAIDIE WAJAWAKOO 😭😭😭😭😭😭😭,Natamani ningekua nawez kumsaidia😪

  • @allyhamad9665
    @allyhamad9665 ปีที่แล้ว +4

    Allah ndio suluhisho la maisha yetu

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 3 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana Allah atawavua na mtihani uo kisomo kwa wingi na duaa

  • @fatumamohamed8203
    @fatumamohamed8203 3 ปีที่แล้ว +2

    In shaa Allah kama Ni sihri in shaa Allah kama ni Jini lamfwata Mwenyezi Mungu Awahepushie hayo majanga HASBUNALLAH wa NEEMAL WAKIIL.

  • @faustineemmanuel3597
    @faustineemmanuel3597 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani poleni sana ndugu zangu watanzania wenzangu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +7

    Subuhanallah Allah akufanyie wepesi upone kikubwa Dua msiendekwenye shilki

  • @fayzanassor4582
    @fayzanassor4582 3 ปีที่แล้ว +11

    Allah amjaalie shifaa..poleeni jamni

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 ปีที่แล้ว +31

    Uhasid hee loo Hasbiallah waniimat lwakiyl Allah awaondoshee mtihan huo

    • @zahorsalum663
      @zahorsalum663 3 ปีที่แล้ว

      unauhakika km uhasidii? unazisha fitna tuu.mbona haya nimatatizo .ppt yanaweza kutokea bl ht kuhusika mtuu.kwaufupi sisi tumefika eneo latukio nakuhoji vzr.hl nitatizo lao lakijadii.

    • @ummimohammed9359
      @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว +1

      hasad ipo,uchawi upo lkn tunachotakiwa ni kusoma dua na kufanya rukya yalobaki ni kumuachia Allah。Allah amuondoshee mtihani huu huyu kijana Allah amjaalie apone aishi kwa aman ktk dunia ameen。

  • @nassorkss5521
    @nassorkss5521 3 ปีที่แล้ว +7

    Allah akufanyie wepesi wepesi inshallah akuondoshee mitihani amn

  • @mudigames5479
    @mudigames5479 3 ปีที่แล้ว +5

    Pengine ni Neema iyo Mungu amemtunuku na Anataka kuionesha Nguvu zake kupitia kwake Ila Tu inatakiwa ishuhulikiwe kuwekwa Katika utaratibu wake..SUPER POWER HUMAN ARE REAL..Sio Spiderman or Superman peke yao, insha'Allah atasaidia 🙏

  • @uwlaalmas7727
    @uwlaalmas7727 3 ปีที่แล้ว +1

    Lahaula wallakuwata illah billah. Poleni Allah hashindwi na jambo, tumuombe yeye na atawataulia shida hii. Amin

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 3 ปีที่แล้ว +36

    Hakuna mtu Anayewaka moto, Mpelekeni kwenye Maombi, Mapepo hayo sio Moto.

  • @amrihamis5420
    @amrihamis5420 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu Ata mnusuru uyo anatakiwa duwa tu atapona ishalha kama upo uwezekano kunisaidia gharama za kwenda uko naweza kwenda kufanyiwa duwa

  • @saidhamad7550
    @saidhamad7550 3 ปีที่แล้ว +10

    Ewe M/Mungu (SW)wafanyie wepesi waja wako kwenye hili.

  • @nadiaomar2189
    @nadiaomar2189 3 ปีที่แล้ว +1

    Bismillah rahmaani Raheem, poleni Sana na musichoke endeleeni kumfanyia dua Allah atamuafu na wewe mama Allah atakulipa pepo inshaallah kwa jitihada zako, Allah nimuweza wakila jambo, twakuombo waja wako umponye kijana wetu huyo 🙏🏼

  • @meresianawere5715
    @meresianawere5715 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mdogo Wang

  • @nasraissa5763
    @nasraissa5763 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah pole sana msichoke kuhangaika kwa uwezo wa mungu inshallah atapona

  • @ibrahimyussuf1705
    @ibrahimyussuf1705 3 ปีที่แล้ว +2

    NAMUOMBA ALLAH AMUONDOLEE KIJANA HUYO HUO MTIHANI.
    AMIN

  • @maisaalawy4512
    @maisaalawy4512 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi akuondolee kuna mshekhe wamsomee dua hakuna kinachomshinda mwenyezi mungu.

    • @zulfahaji4666
      @zulfahaji4666 3 ปีที่แล้ว

      Allwa atakuondosheeni poleni. Na mitihani

  • @americanbelgium9639
    @americanbelgium9639 3 ปีที่แล้ว +13

    Subhana Allah, Patience is the key to tranquility

  • @khadijahilal3016
    @khadijahilal3016 3 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah 😭😭ya rabbi mstir mtoto huyu.wallahi tunateseka sana ss wenye mabilis ewe mola tupe subra

  • @MaryMuigai-zj8fz
    @MaryMuigai-zj8fz 9 หลายเดือนก่อน +2

    .mpelekeni nyumbani mwa BwanaYesu hayo yoote yatamwondokea mtoto wenu mukiamini yooote yawezekana kwa imani Amen.

  • @asmandunda3639
    @asmandunda3639 4 วันที่ผ่านมา

    Mpeleke kwa mashekhe afanyiwe duwaa majini hao,, inshaallah atapona

  • @rosemzava5149
    @rosemzava5149 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyez mungu atakuponya mdogoangu mitihan nisehem yamaisha🙏🙏🙏. pia mama mdogo mumgu akupe maisha marefu naafya njema unaroho yakipekee🥰

  • @FatmaAyoub-p1c
    @FatmaAyoub-p1c 8 หลายเดือนก่อน

    Assalamuleikum Poleni sana allah awape subira, piampelekeni akasomewe RUQYA amiin.

  • @happyamos5258
    @happyamos5258 3 ปีที่แล้ว +13

    Ni Yesu tu anaweza kumponya kutoka hayo makini na mapepo. Mpelekeni katika kanisa linaloamini wokovu ataombewa na kufunguliwa Kwa Jina la Yesu.

    • @taleboychannel9448
      @taleboychannel9448 8 หลายเดือนก่อน

      Amini ww tu hzo imani pemba hatuna hayo mambo sisi tunamuamini Allah (s.w)

    • @Josephmwambe-r6n
      @Josephmwambe-r6n 17 วันที่ผ่านมา

      Bc nyinyi endereeni na imani zenu kikubwa apone ila sisi tunaamini ayo ni mapepo japo nyinyi mnayaita majini mema na majini mabaya mnayausudu kwenye dini yenu

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 15 วันที่ผ่านมา

      @happyamos5258 sisi Waislamu hatumtegemei kiumbe Yesu sisi tunamtegemea Mwenyezi Mungu alieumba mbingu na ardhi. Atasomewa Ruqia atapona kwa uwezo wa Allah In shaa Allah.

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 15 วันที่ผ่านมา

      @Josephmwambe sio sisi tunaosema kuna majini wabaya na wema amesema Mwenyezi Mungu mtukufu. Kumbuka Majini hayakujiumba yameumwa kama sisi binadamu, Malaika , Wanyama na vitu vyote unavyo viona na usivyo viona Duniani na mbinguni vimeumbwa na Mwenyezi Mungu. Yes kama ni Jini mbaya atasomewa Dua za kisheria atatoka kwasababu sisi Waislamu Alhamdulilah tunamefundishwa Dua zote na tiba zote. Atapona In shaa Allah kwa uwezo wa Allah. Hakuna kinacho mshinda Allah Subhuana wa Taala.

  • @jamuhurialiwazir4685
    @jamuhurialiwazir4685 8 หลายเดือนก่อน

    Alhau akibar ,
    Ya Alha wafanhie wepesi juu ya mtiani UU Amin amin

  • @saida5091
    @saida5091 3 ปีที่แล้ว +3

    Majibu yote anayo Yesu ndiye aliyekuwa akitoa mapepo, na watumishi wake hutoa mapepo pia;
    Kwa Jina lake Yesu, mapepo hutoka, Kwa jina lake Yesu, watu hukombolewa, Kwa jina lake Yesu, watu hupona,
    Kwa jina lake Yesu, watu huokolewa
    Kwa jina lake Yesu, watu hufunguliwa
    Kwa jina lake Yesu, watu hujisikia huru,
    Kwa jina lake Yesu, watu husalimika.
    Kijana anamuhitaji Bwana wetu YESU KRISTO, ndiyo mpango wake Mungu. Amen.

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 ปีที่แล้ว +4

      Mwenyezi Mungu pekee ndie muweza wa yote

    • @rayakhelef4509
      @rayakhelef4509 3 ปีที่แล้ว +1

      Allah pekee ndo kimbilio letu...kwa mwenye akili timamu

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna alie na uwezo isipokuwa Allah pekee

    • @liylahahmed829
      @liylahahmed829 5 หลายเดือนก่อน

      Allah pekee

  • @amirkhamis3162
    @amirkhamis3162 3 ปีที่แล้ว

    Poleni xaxa mama mungu atawasaidia matatizo yatakwisha nimitiani ya kidunia

  • @blandnakonkii7470
    @blandnakonkii7470 3 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana miujiza mingine yakusikitisha mungu toa miujiza yko kwenye family

  • @KhasimuSwalehe
    @KhasimuSwalehe 8 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ombeni mungu mtapata wepesi inshaallah

  • @saidmatikti2783
    @saidmatikti2783 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah Yarabbi wape wao wepesi na sisi pia, huo ni mtihan wallah cha msingi huo ni ushirikina fanyen jitihada za kupata tiba na visomo Allah atawasaidiaa

  • @levisdickson8388
    @levisdickson8388 3 ปีที่แล้ว

    Jaman hata muvie amuangalia kama fantastic, gost rider nk watu wanakua na uwezo wakuwaka moto jaman iyo inawezekana ni super power

  • @farhatvuaisuleiman500
    @farhatvuaisuleiman500 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhana llah mungu mkubwa mungu akuondeshe mtihan Kama no ya mungu upone na Kama no ya mtu mungu amuoneshe na yy

  • @neemajobu62
    @neemajobu62 3 ปีที่แล้ว +9

    Dash! Jaman huruma had roho imeniuma jaman mungu mponye huyu mtoto

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 3 ปีที่แล้ว +5

    Mtihan wallah, mama allah atawaondoshea huo mtihani. Qur an ndo shifaa

    • @salmasaid6862
      @salmasaid6862 3 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi Mungu isimamishe hiyo family katika Imani Allah waondelee huo mitihani

  • @an-fatiddi8305
    @an-fatiddi8305 3 ปีที่แล้ว

    subhanallah swali swalatul hajja umshitakie allah ndie pekee mwenyew uwezo hakuna mwengine zaid yake na inshaallah Allah atakufanyia wepes

  • @yussufumohd8803
    @yussufumohd8803 2 ปีที่แล้ว

    pole sana kijan mwezetu mungu atakuondole man huwo mtihani hiiii

  • @sommohd7903
    @sommohd7903 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa baraka za m.mungu na mitume yake insha'Allah Yatakwisha matatizo yote 🙏😭

  • @hashimmzee9109
    @hashimmzee9109 3 ปีที่แล้ว +1

    Allaah awahifadhi na awalinde kwa kila shari za hao majini na sihr za wachawi...Mungu atamshinda huyo kiumbe anaewaashia moto na madhila mnayopitia..

    • @dorisebennezer8462
      @dorisebennezer8462 3 ปีที่แล้ว

      Mpelekeni kwenye kanisa la kipentecoste wakemee hayo majini wamtoke awe salama naye pia aokoke. Namuombea lijana huyo neema Kwa Mungu katika jina la Yesu awe mzima. Amina Yesu anawapenda nyote muokoke. Amina

  • @JastiniKimaro-x6z
    @JastiniKimaro-x6z 14 วันที่ผ่านมา

    Jaribuni maombi yakanisani maana munguniwetusote poleniiii sanaàaa

  • @arikasisolution2253
    @arikasisolution2253 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah maskini Mungu atakulipa mamã unamoyo Wa ajabu sana

  • @isayakajigili1390
    @isayakajigili1390 3 ปีที่แล้ว

    Wadigoo ni mwisho na tunajijuaaa manguli wa mapenzi. Afrika mashariki na kati💥💥

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 3 ปีที่แล้ว +5

    Mitihani mungu awafanyie wepesi inshallah

  • @zammillunally4497
    @zammillunally4497 3 ปีที่แล้ว +8

    Haya mambo yanafanana na yetu ivi ivi😭😭😭poleni jaman Subhana llah hasbiyallahu wanig'hma lwakil

  • @raykhalamour3666
    @raykhalamour3666 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhannallah.😭..mtihani..poleni sana ..Allah akuondosheeni mtihanii huu....someni sana Ayatulqursiyu...ni ayanzuri sana kwa kinga dhidi ya shytwaan...ilimyeyusha shaytwaan...Allah alimuamrisha jibril amuambie Mtume (SAW) aisome pindi aliposimamiwa na shaytwan ...basi alifumba macho na kuisoma kujikinga...alipofumbua macho sheytwaan aliyeyuka na kua kama rojoo...muhimu ni Imani dhabit🙏

  • @OMARMOHD-ji2qt
    @OMARMOHD-ji2qt 7 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana Allah atawafanyia wepesi

  • @Josephmwambe-r6n
    @Josephmwambe-r6n 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu atakua upande wenu na maombi yetu mungu atayapokea ameni

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 3 ปีที่แล้ว +1

    SubhanaAllaah
    Allaah amzidishie Afya njema

  • @mgenisuleiman56
    @mgenisuleiman56 3 ปีที่แล้ว +3

    Subhanaallah mungu awape wepesi inshaallah 🤲🤲🤲🤲

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex 9 หลายเดือนก่อน

    Polen sana lakin mungu yup tafuta kanisa wakamuombee atakaa sawa uciangalie mambo ya din mpereke akaombewe tunampenda sote din badae amina

  • @tegemeakyangenyenka3110
    @tegemeakyangenyenka3110 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani pole sana mama,mlete Dar esalaam kwenye maombi usichague dini, atapona na mtashangaa kabisa

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      Jomon malaika wamungu akutete uchawi wamemtengenezea ooh mwenyez mungu mtetee huyo mtoto inaniuma sn amina

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtihani huu Allah inshallah atawaondoshea lkn kwa hali alonayo huyo kijana sasa kwanza apelekwe hospitali atibiwe kichwa manake anaonekana km kapata pia matatizo ya akili kwa ajili ya mawazo na dhiki manake hii kupiga piga asije ua mtu tena yakawa Mambo mengine. Wakati huyo kijana yuko hospital ndo madua kwa ajili ya huo moto yaendelee inshaallah yatakwisha hakuna linashindikana kwa M.mungu

  • @ramadhanally3240
    @ramadhanally3240 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa uwezo wa mungu atapoa poleni sana

  • @mussamaalim8363
    @mussamaalim8363 3 ปีที่แล้ว

    Dah pole sana dogo mungu atasaidiaaaaa

  • @IbrahimMohamed-yy2il
    @IbrahimMohamed-yy2il 9 หลายเดือนก่อน

    Human Torch wazungu wakijua wanamchukua.. Fantastic Four in reality duh😮

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhana Allah ya Rabbi huu simtihani mdogo Allah ndio mjuzi wa yote Allah amfsnyie wepesi yeye ni mwingi wa huruma na rehma hashindwi na lolote haya mambo makubwa sana

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 3 ปีที่แล้ว +8

    Huyo slieshiriki.katika hasadi hii Allah amuazibu azabu atoke wadudu kila sehemu yake ya mwili inshallah

  • @mohamedbabuhija-fq7fv
    @mohamedbabuhija-fq7fv 8 หลายเดือนก่อน

    Asalam alykum aky Poleni sana😢 ila me nnachotaka kukisema Kila wakati ashike udhu na aeke Imani kwamaana. Udhu ni Kinga kutoka kwa Allah

  • @suwelemashur6093
    @suwelemashur6093 ปีที่แล้ว

    Aslaam Aleekum ndguzsngu mtafute wasomi wakisawasawa wadini naAllah atwasaidiya ameen

  • @zainabuvyukusenge4487
    @zainabuvyukusenge4487 2 ปีที่แล้ว

    Sbuhana Allah kwakweli allah awatilie wepesi mtegemee allah hakuna linaloshindikana kwake tizama usije ukamkufuru mungu wako mtegemee yeye ataamaliza anapima imani yenu yeye ndie anatowa uhai na kutupa uhai vilevile muamini kwaakini atapona in sha allah 🙏🙏🙏

  • @suyakipile4980
    @suyakipile4980 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awajalie awaondoshee mtian uwo akuna kikubwa kwa mungu🤭🤭🤔

  • @zuhura.suleimanmwamwari3083
    @zuhura.suleimanmwamwari3083 ปีที่แล้ว

    Mashallah huyu mtoto ni kazi ya allah

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 ปีที่แล้ว

    Poleni sana nduguzangu watanzani 👏

  • @mwamvuaally6342
    @mwamvuaally6342 3 ปีที่แล้ว

    Allah awafanyie wepes mtafuteni shekhe sharifu majin awasomee

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว +1

    SUBHANNALLAH JAMANII MTIHANI HUUU POLE SANA ALLAH AKUPE SURHA YA MALEZI KWAMTOTO WAKO JAMANIIII😪😪😪😪

    • @rosemaryminja3299
      @rosemaryminja3299 3 ปีที่แล้ว

      Akaombewe anapepo hilo lipo mwilini kwake mpk likatolewe kwa jina la Yesu pekeee.

  • @dottopasikari2960
    @dottopasikari2960 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana kijana mwezangu napia poleni wana familia

  • @SajdaShaibu-ok9wl
    @SajdaShaibu-ok9wl 14 วันที่ผ่านมา

    Allah awape subra na amuondolee mtihani huyo kijana😭😭

  • @happinessmillanga982
    @happinessmillanga982 3 ปีที่แล้ว +3

    Mpelekeni Kwenye maombi Yesu ni jibu

    • @SAM_163
      @SAM_163 3 ปีที่แล้ว

      Kwa Pemba ni ngumu wakolazi afe kuliko kufuata Uzima uliomo ndani ya Yesu kristo🙏🙏

  • @bintkijangwa4305
    @bintkijangwa4305 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhaanallah pole sana kwa mitihan Allah ataleta wepec

  • @felistafelistamalili8326
    @felistafelistamalili8326 3 ปีที่แล้ว

    Karibuni,kawe kwa,mchungaji,mwamposa

  • @nellyrebiam3095
    @nellyrebiam3095 3 ปีที่แล้ว +3

    Mkimbilie Yesu anaokoa

  • @macadambhanji.2848
    @macadambhanji.2848 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo afanyiwe utafiti...ana nishati muhimu

  • @PriscaKaweka-ih8jp
    @PriscaKaweka-ih8jp 5 หลายเดือนก่อน

    Uyo mlete Dr bunju Kwa kiboko ya wachawi anapona uyo bira shaka