WATU WATATU ARUSHA WAHUKUMIWA KUNYONGWA KWA MAUAJI YA MTOTO, BABA AONGEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 382

  • @Msafirimakini
    @Msafirimakini หลายเดือนก่อน +68

    Nilishasema kwangu sitaishi na wapamgaji,nilishasema utajiri wa kafara bora nife masikini,duniani hapa ukiwa na familia jitaidi kuirinda sana
    La mwisho mungu akipanga basi msalti anaweza kuwa hata ndugu yako wa damu .tumpe mungu nafasi kubwa

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts หลายเดือนก่อน +2

      Tatizo sio mpangaji, hata ndugu, siku za leo usimwamini mtu yeyote, hukusikia baba alimuuza mtoto?hukusikia mjombamtu kumbaka mtoto wa dada yake wa miezi kadhaa? Hii dunia hii ni Mungu tuu atusaidie...
      Zaidi ya ushirikina kuna roho ya zinaa na mauti inaizunguka hii nchi

    • @MaxMungure
      @MaxMungure 10 วันที่ผ่านมา +1

      Pole sana mzee!

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd หลายเดือนก่อน +13

    dah kama unamtoto utajua machungu anayo yapitia huyu mzee dah Nimeumia sana pole baba mwenyezi mungu akutie nguvu

    • @IsayaNgoiva
      @IsayaNgoiva 11 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 หลายเดือนก่อน +32

    Pole sana,mzee wangu! Mungu Akutie nguvu zaidi. Nakuombea!

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op หลายเดือนก่อน

      Pole sana baba mungu hakutie nguvu mungu hatakupate watoto

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 หลายเดือนก่อน +8

    Mzee unajua kujiekeza big. Up🎉 hakimu

  • @faithpius6401
    @faithpius6401 29 วันที่ผ่านมา +2

    Mshahara wa dhambi ni mauti..pumzikeni kwa amani....mwiba wa kujichoma hauna kilio...poleni sana familia...na marafiki...mungu ailaze roho yake pema .

  • @rerisamba
    @rerisamba หลายเดือนก่อน +8

    Pole sana vitu vingine vinaumiza sana yani bila ya nguvu ya Mungu hawa wachawi huwezi wajua

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana mzazi dunia kweli imefika mwisho lakini damu ya MTU haiendi bure

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน +12

    Mpangaj Adui SubhanaAllah

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 หลายเดือนก่อน +6

    Pole sana Mungu azidi kukutia nguvu

  • @GodsonZefania
    @GodsonZefania 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutie nguvu Mzee wangu pia tunashukuru maana umewaokoa watoto wengine Kwa taifa la kesho 🙏❣️

  • @GhardesGh
    @GhardesGh หลายเดือนก่อน +48

    Hakimu apate kiywaji bill juu yangu,hukumu safi sana

    • @Namtumbo
      @Namtumbo หลายเดือนก่อน +2

      Kabisaaaa

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 หลายเดือนก่อน +1

      Tena ya baridi hii kesi naikumbuka maskinnn😢😢

  • @SatwantHoogan
    @SatwantHoogan หลายเดือนก่อน +24

    Arusha! Inaongoza kwa matokeo ya kikatili...Dah!😢 safi sanaa,nimefurahi kwa iyo hukumu!👍🏻

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 หลายเดือนก่อน +1

      Watanyongwa na nani sasa

    • @AllyD-g4y
      @AllyD-g4y หลายเดือนก่อน

      I don't know why jmn😢

    • @فيصلالبادي-ح1غ
      @فيصلالبادي-ح1غ 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@Kutaila99wanachomwa sindano za sumu nasiku yakuchomwa hiyo sindano ikikalibia wanapewa simu wawapigie ndugu zao nakuwaambia kua kaongoe na mkuu wa mageleza atamsaidia kutoka siku Fulani hivyo wasiwe na wasiwasi ataludi nyumbani. Kila mmoja atadanganywa aseme hivyo baada ya hapo watatolewaa kwenda sehemu mbalimbali kutembea wakishawaludisha basi week hiyohiyo ndio watauwawa Kwa sumu ndugu watakaa wakusubili ndugu Yao aludi kama alivyowaahidi wataona kimya wakienda gelezani kumuangalia wataambiwa hayupo kahamishwa geleza ya mbali wakienda huko wataambiwa hajaletwa huko wadanganywa hivyo ila mwisho wasiku watapewa nguo zao nakubiwa washakufa nahiyo yote nikwasabu asaivi ile hukumu ya kunyonga Kwa kamba imefutwa

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari หลายเดือนก่อน +20

    Subhannallah subhannallah subhannallah subhannallah

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 หลายเดือนก่อน +6

    Asante Mungu! Yale mashetwani yamehukumiwa.

  • @Mghaza-m16
    @Mghaza-m16 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sanaa babake.ALLAH AKUPE SUBRA.
    HUKMU YA UHAKIKA!!!!

  • @mwanas2
    @mwanas2 หลายเดือนก่อน +35

    Hivi hawa waganga hawana watoto wao jamani siwawatoe watoto wao khaaaa! Ushirikina kitu kibaya sana jamani na uyu Amin mwanamke alafu mshenzi sana uchungu tu huna roho mbaya shenzi kabisa wanyongwe tukiwaona hadharani wapumbavu hawa.

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt หลายเดือนก่อน +3

      Awawezi kuwa yoga wanatulidhisha tu Mungu mwenyewe atatulipia😭

    • @revocatusawadhi6550
      @revocatusawadhi6550 หลายเดือนก่อน

      Pesaaa pesaa waaafrica sasaiv tumetumbukia kwny wimb la kutafuta pesa za kishirikina kw sbab ya umasikin na kukosa elimu ya kitambua n waz kbs wazungu watutawale

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 หลายเดือนก่อน +1

      Wanawake sisi ndio wabaya zaidi😢Mungu atusaidie sana

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 หลายเดือนก่อน

      Na sahivi Mungu mwenyewe kawachoka anawaummbua kweupee ubwa hawa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +10

    Pole sana baba

  • @OmarGuni
    @OmarGuni 5 วันที่ผ่านมา

    Amina amerubuniwa na ahadi hewa ya pesa akajikuta ametenda kosa pasinakutegemea haya bhanaa mbele yake Amina.........!!""

  • @epema632
    @epema632 หลายเดือนก่อน +1

    Me naona wangechomwa moto wakiwa hai..kunyongwa haitoshi..pole sana baba

  • @MOHAMEDSALEH-fl7kb
    @MOHAMEDSALEH-fl7kb 9 วันที่ผ่านมา

    Pole sana Mzee Wangu

  • @FghgRyy
    @FghgRyy 12 วันที่ผ่านมา

    Subhana Allah pole sana mzee wangu pole sana kwa kumpoteza mwanao 😢

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j หลายเดือนก่อน +20

    Hao waganga wafungiwe vibali wasifanye kazi za uganga wapigwe marufuku sasa kapata faida gani anaozea jela kaacha watoto mwenyez mungu atawaonyesha

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 หลายเดือนก่อน +3

    pole sn mZee ! mungu ametenda haki uwe na aman

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali หลายเดือนก่อน +2

    Innalillah wainna ilàih rajiuna dada

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 หลายเดือนก่อน +23

    SEMA KINACHOKOSEKANA HAPO KWENYE HUKUMU NI FIDIA . INABIDIN WAZAZI WATOTO PIA WANGEPEWA FIDIA KWA HANGAIKA NAPIA KWA GHARAMA ZA MATUNZO YA MTOTO KIPINDI CHOTE WALIPOMLEA. HAOHAO WATUHUMIWA INABIDI WALIPE HIYO FIDIA. HATA IKIBIDI KUUZIWA NYUMBA ZAO ILI FIDIA IPATIKANE. Kabla ya kjnyongwa. Asanteni sana wanasheria.

    • @hosea7919
      @hosea7919 หลายเดือนก่อน +1

      Point

    • @AbuodSeleman
      @AbuodSeleman หลายเดือนก่อน +3

      ht mi pia sio mwana sheria ila umeongea ktu kzuri sana

    • @frankpatrik-fd9gh
      @frankpatrik-fd9gh หลายเดือนก่อน

      😭😭😭zile zinabak kuwa mali za watoto wao kama wapo mana wao wanaenda kunyongwa na watoto wao wata bak bila msaada

    • @jackiefredrick586
      @jackiefredrick586 หลายเดือนก่อน

      ​@@frankpatrik-fd9ghmsaada watapewa na Mungu.

    • @valeriamtenga3384
      @valeriamtenga3384 หลายเดือนก่อน

      Ni sahihi kabisa

  • @FaudhaHamisi
    @FaudhaHamisi 13 วันที่ผ่านมา

    Pole san baba

  • @MasukaWilson-j3r
    @MasukaWilson-j3r หลายเดือนก่อน +1

    Dahhhh pole Sana ,mungu tuepushe na hii dhambi

  • @AsiaAroun
    @AsiaAroun หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana baba Allah akutie nguvu

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب หลายเดือนก่อน

    Pole Sana Mungu akutie nguvu

  • @EphrahimAlfaxard
    @EphrahimAlfaxard หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu huyo

  • @aishamkinini
    @aishamkinini หลายเดือนก่อน

    So painful Pole baba najua machungu unayo pitia tumuachie mungu ahukum

  • @goodluckkamaghe3871
    @goodluckkamaghe3871 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutie nguvu baba YANGU mwee.

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla หลายเดือนก่อน

    Alhamdullah Allah anatoa hukmu kwa wakati wake na wanaendelea kufanya haya ipo siku mutadhalilika na kuaibika na mtakufa kama walivokufa hawa washenz kwani Allah pekee ndio mwenye haki ya kutoa rouho za waja wake mnaingilia kazi yake na kuwaumiza watu wasio na hatia

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs หลายเดือนก่อน +7

    Inalilah wainnailaih rajiun pore Sana Baba binadamu jamn unachinja kama kuku

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 10 วันที่ผ่านมา

    Subhananllah 😢

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 หลายเดือนก่อน +2

    Dah pole sana baba

  • @FatumaAbdalah-sj3dz
    @FatumaAbdalah-sj3dz หลายเดือนก่อน

    Pole sana hakuwa imetendeka

  • @isaackemanuel3712
    @isaackemanuel3712 หลายเดือนก่อน +11

    Ila polisi nao walichangia pakubwa sana maana wangeweza kutrack simu ya Amina kabla ya kuuawa.

    • @HadijaOMARY-q5m
      @HadijaOMARY-q5m หลายเดือนก่อน +3

      Yaani hata wasingesubir hayo masaa 24 kulikuwa na uwezo wa kumkamata kabla tukio kubwa halijafanyika,inaumiza kwakweli 😢

  • @FauziaAthumani
    @FauziaAthumani 13 วันที่ผ่านมา

    Pole.baba.mung.atawaukumu

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 หลายเดือนก่อน +3

    hii sheria ya mtu kupotea polisi wanakwambia tusubilie masaa 24 irekebishwe aise maana tunapoteza ndugu wengi kwa kusubilia masaa 24 uwenda tukaokoa uhai watu wengi kwa kuanza kuwatafuta immediately baada ya taarifa.

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 หลายเดือนก่อน

    Baba pole sana Mungu akutie nguvu

  • @kwiligwamashauri5662
    @kwiligwamashauri5662 หลายเดือนก่อน +3

    Maamzi mazuri kwa serkali hao watu wanyongwe.

  • @janerukobya3637
    @janerukobya3637 หลายเดือนก่อน

    Pole sanaa mzee hakika ulikuwa makini sanaaa na mwanao ila shetani alijiinua

  • @KoleRashidi
    @KoleRashidi 12 วันที่ผ่านมา

    Tumuombe allah atuongoze kwenye njia yake na tufanye toba ya kweli na tumlilie mola wetu atughufirie aamin

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 หลายเดือนก่อน +1

    Ooh my God! 16.3.22 hukumu kutolewa leo 10.2024 watoto wanauliwa std 2 sm Sanawari. Hivi kweli wachawi wanaweka wapi roho na mbona hata utajiri ni upi. wasiojulikana wanajulikana wamo tu ndani ya jamii. Poleni wafiwa baba na mama na . 😊

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana 😭😭

  • @MwajabuAbed
    @MwajabuAbed หลายเดือนก่อน

    Pole sana dah😢😢😢

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! 🤦‍♂️ Inatia simanzi sana kwa kweli! Aisee...😭

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน

    Daah haki kweli imetendeka ila wangetoa na fidia kwa mzazi wake ila tuseme Alhamdulillah

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda kazi unayo mkoa wa arusha mbaya Sana wauwaji wengi wezi wengi matukio yote ya ukafir yapo uko faya kanya kaz wanyooke

  • @Ney_kweyamba
    @Ney_kweyamba หลายเดือนก่อน +2

    SubhanAllah

  • @davidkobero6977
    @davidkobero6977 หลายเดือนก่อน

    Daaa..Mungu atunusuru

  • @shamimuabdul7497
    @shamimuabdul7497 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka.Inaumiza sana jamani.Siku za mwizi ni arobaini

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 หลายเดือนก่อน +1

    Pole baba.

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 หลายเดือนก่อน +2

    Yani uoutajili wa miaka hii tunaumizwa wengi sana ila Mungu yupo ataukumu kwa haki 😭😭😭

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g หลายเดือนก่อน +22

    Hukumu Safi Sana maadui hawa

    • @johasaeed391
      @johasaeed391 หลายเดือนก่อน +1

      Kama wameuwa tena mtoto hana hatia bora angekuwa mkubwa wangefanya uchunguzi

    • @khabibahussein7239
      @khabibahussein7239 หลายเดือนก่อน

      Pole Sana baba binadamu wamekuwa wakatili mnoo,mwenyezi Mungu amlaze mahala pema pepon

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo sasa tz yetu hawanyongi 😢😢😢watakaa jela miaka kadhaa wenye kutoka kwa msamaha wa rais watatoka wenye kufa huko jela watakufa 😢😢

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน +1

    Duh Yesu tusaidie

  • @ms-kyle
    @ms-kyle หลายเดือนก่อน

    Subhanallah, kuna watu katili sana jmn

  • @Aiuoex
    @Aiuoex 24 วันที่ผ่านมา

    Africa imelaniwa na Mungu!!! Naumia sana kwa ili tokeo

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 หลายเดือนก่อน +1

    Dah pole baba. Na yule dada wa Mbezi sijui nae vp watoto wake ya Rabbi waliotekwa na mfanykazi na mumewe yaani inauma mno

  • @raajtz8073
    @raajtz8073 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 safi sana

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 หลายเดือนก่อน +3

    10days aftr mtoto kutekwa nikajifungua my second born eeeh binadamu mbona hamna huruma unauwa jambe utaishi milele😢

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 หลายเดือนก่อน +2

    Watu hawajui tu Mganga hana tofauti na mchawi ,watu wanaenda kuroga na hata kuua wenzao huko kwa waganga,, wote ni wachawi tu...

  • @GoodluckYusuph-q5c
    @GoodluckYusuph-q5c หลายเดือนก่อน +1

    Kiama kinakaribia jamani tumrudie mungu

  • @JoelSono-wu5wb
    @JoelSono-wu5wb หลายเดือนก่อน +1

    Inauma

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 9 วันที่ผ่านมา

    Mirrad Ayo tunaomba Namba za mzee kwa ajil ya pole mpesa tgo pesa wherever

  • @ClarenceGaudence
    @ClarenceGaudence หลายเดือนก่อน

    Polee sana mzee. Mimi imeniuma sana aisee. Apumzike kwa amani mtoto jamani. Karma ipo

  • @KhadijazabronMwajombe
    @KhadijazabronMwajombe 16 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢Pole. Baba 😢😢😢😭😭😭😭😭

  • @AgnesMakunege
    @AgnesMakunege 24 วันที่ผ่านมา +1

    Watanyongwa kweli?

  • @Nyaboke-123
    @Nyaboke-123 14 วันที่ผ่านมา

    Wanyongwe kabisa wafe

  • @RahemaJumany
    @RahemaJumany หลายเดือนก่อน

    Ayuwaaaaa hii ndy hukumu yakuuwa sasa perfect ili kusiwe na mauaji zaid na xaid

  • @VeronicaPaul-l8m
    @VeronicaPaul-l8m หลายเดือนก่อน

    Mzee anauchungu mkuu SEMA anajikaza kiume. Mungu ailaze roho ya katoto mahala pema peponi. Adhabu ya kunyongwa mpaka kufa imewastahili hao mabeduhi

  • @ModestaStephano-y7j
    @ModestaStephano-y7j หลายเดือนก่อน

    Hukumu nzuri sana mengine nimesikiliza 2 lkn hyo hukumu hakimu ale nyama kilo na altar 2 bili juu yangu

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi หลายเดือนก่อน +6

    Hao wakafie gerezan

    • @MariaKananaa
      @MariaKananaa หลายเดือนก่อน

      Yarrabi nitangulie na kizazi changu

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 หลายเดือนก่อน

    na wao wanyongwe tu!!!

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw หลายเดือนก่อน

    pole sana

  • @KabulaJuma
    @KabulaJuma หลายเดือนก่อน

    Nmeumia sana

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 หลายเดือนก่อน +24

    Hii sheria ya polisi akipotea mtu aambiwa angoje masaa 24 hebu iondoshwe sababu wakichelewa kumtafuta ndo wabaya wanafanikiwa kutekeleza mauwaji

    • @TheresiafaustineMeela
      @TheresiafaustineMeela หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa

    • @kanankirannko6174
      @kanankirannko6174 หลายเดือนก่อน +2

      Na Mimi nimeichukia sanaaa

    • @HadijaOMARY-q5m
      @HadijaOMARY-q5m หลายเดือนก่อน

      Kabisaaa otolewee

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 หลายเดือนก่อน

      Ni nchi zote hata uku Ulaya ni ivo ivo

    • @Miriam-m2b
      @Miriam-m2b หลายเดือนก่อน

      ​@@vanessalaizer4363yakurekebisha inaumiza

  • @HabibaBb-d3s
    @HabibaBb-d3s หลายเดือนก่อน

    😢😢😢pole san kaka yang

  • @DohaQatar-w4t
    @DohaQatar-w4t หลายเดือนก่อน

    Wàtu hawana Imani wallah mtoto Yani Hana ata hatiya mnamkata daa huzuni kwa

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu baba yangu, na mimi nataka Mungu anilindie watoto wangu

  • @teddymassawe3583
    @teddymassawe3583 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani huyo mama ana roho ngumu sana,sasa Amina unaachiwa mtt na unamuuwa jamani,hata roho haijakuuma

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน

      😭😭😭😭😭😭😭

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari หลายเดือนก่อน +2

      Wajua nini. Nilivyosikiliza hakuambiwa kuwa watamuua alienda babati alijua atatolewa nyota hiyo kisha atarejea nae .ila walipomuwekea kisu kifuani akaona bora mtoto afe. Daaah inauma aisee

  • @OthmanIssa-io8bz
    @OthmanIssa-io8bz หลายเดือนก่อน

    Daaa arusha kunann jmn lkn mungu tusaidie

  • @latifaayubu-i6m
    @latifaayubu-i6m หลายเดือนก่อน +1

    eee mungu baba tutunzie vizazi vetu

  • @Lolandmwantona
    @Lolandmwantona หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe nguvu faza🙏

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o หลายเดือนก่อน

    Wacha na wao wafe auaye kwa panga nae afe kwa panga..✅🙏 MNGU amsamehe mtoto mwema 😢

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija หลายเดือนก่อน

    Kwanini tz kuna waganga wengi wakienyeji??Alhamdoulillahi Burundi hayo mambo hamna kabisa 😢😢

  • @YumnaBurhan-q6h
    @YumnaBurhan-q6h หลายเดือนก่อน

    Duuuuh,mungu tusamehe sisi tumepotea

  • @shuwanaliloka3816
    @shuwanaliloka3816 3 วันที่ผ่านมา

    Nakuomba usiseme tena alichinjiwa wapi. Inatuumiza sana. Mzazi naumia kuskia hivyo.

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu หลายเดือนก่อน +5

    Arusha ,arusha ,Arusha,Arusha,Arusha, nimewaita mara ngapi hivi Nyie Arusha mna nn jamani 😢😢 Why nyie kila kitu😢😢😢

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt หลายเดือนก่อน +1

      Utajili umereta shida

    • @hamzaibrahimu
      @hamzaibrahimu หลายเดือนก่อน +1

      @@Judy-dy4zt kwel itakua ni tamaa ya mali kwa nn kila siku wao

    • @JumaGendeye-sv6yl
      @JumaGendeye-sv6yl หลายเดือนก่อน +1

      Why

    • @Lee-ng5wh
      @Lee-ng5wh หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 หลายเดือนก่อน +1

      Tuombee

  • @abdullali1789
    @abdullali1789 13 วันที่ผ่านมา

    Pole mzee.bt.huyo mtoto mamayake uko wap?

  • @goodluckstephanmasige3450
    @goodluckstephanmasige3450 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi kumbe waganga na nguvu zao nao wakiona polisi wanagwaya na kubwaga manyanga...

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota หลายเดือนก่อน

    duh kumbe amina unanyongwa 😢😢

  • @EsupatKivuyo
    @EsupatKivuyo 28 วันที่ผ่านมา

    Kwadee papalai😢 oooiiii

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 หลายเดือนก่อน

    Ua kabisa

  • @dingadinga6674
    @dingadinga6674 หลายเดือนก่อน +3

    Wanyongwe

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 12 วันที่ผ่านมา

    Sawa sawa ukija na moto tunakuja na moto

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 หลายเดือนก่อน

    Jamani mwenyezi Mungu tusaidie na uzao wetu

  • @obadiahnkwale124
    @obadiahnkwale124 หลายเดือนก่อน

    Mwili wangu umepata ganzi😢 pole sana mzee wangu