Kwanza natoa Pole kwa ndugu na Familia kwa ujumla kwa msiba huu mzito, Pili, ningeomba sana ndugu wa Marehemu wajaribu kwanza kuangalia uchunguzi wa Daktari umesemaje kuhusiana na kifo cha Marehemu, kwa mtazamo wangu ni kwamba kwa vile wakati anafanyiwa uchunguzi ndugu wa karibu wa marehemu alikua ndani na wakati anatoka nje kumpa taarifa Daktari hakuuliza masuali yanayoashiria kwamba labda alifanyiwa fujo, badala yake aliuliza kuhusu kama alikua ana maradhi ya kuanguka na ya moyo, wajaribu sana kujiuliza hili suali wanafamilia, isije kua dhana zinaenda upande mwengine ambao sio sahihi, hilo moja lakini upande wa pili ni kwa hawa ambao ni watu wa mwisho kumkuta katika hali hiyo, suali ni kwamba jee walimkuta katika mazingira gani? watatuhakikishia vipi kua hawakumdhuru wao? jee iwapo wao ni raia wema saaana tu ambao walikua na nia ya kumsaidia wamewezaje kuzipita hospitali mbili (Alrahma Hospital na Marie Stop Hospital) bila kumuwahisha huko kwanza halafu yake ndio waanze kupeleka taarifa nyumbani kwao kwa familia yake kama kweli hawakutaka afe? na iwapo kama walijaribu kumpeleka hospitali na wakakataliwa kwa vile hakuna PF3, kitu gani kiliwazuia kuchukua PF3 pale Madema au hapo karibu na kwao (Kituo cha polisi Mazizini) ? Jee wamempeleka Kwao kwa madhumuni gani kama walikua na nia ya kuokoa maisha yake? inawezekana ni kifo cha kawaida labda, lakini watujibu hayo masuali yenye utata ONYO: Ushauri wangu kwa Jeshi la polisi Zanzibar, waangalie last call za marehemu, watu alio ongea nao,ikiwezekana GPS mahali alipokuwepo kwa mara ya mwisho, message zake alizochart, DNA katika nguo zake, DNA za walio mleta pia zikusanywe, vile vile waruhusu wana familia kufanya uchunguzi binafsi kwa mwili wa marehemu pindi ndugu zao wanapo uwawa, pia kwa wanafamilia inapotokea ndugu kufariki kwa kifo cha utata, tusiharakie kuzika kwanza, tunaweza kuchukua muda kuufanyia uchunguzi mwili, najua kwa sheria za dini ya kiislamu hairuhusiwi kuuweka mwili wa marehemu saana, ila kwa kutafuta haki na kuepusha wauaji kuondoka na dhima ya kuua bora kwanza kuvuta subira Iwapo ameuawa Naamini haki itapatikana, Iwapo ni kifo cha sababu nyengine Mungu atupe moyo wa subira Mungu ailaze pema Peponi roho ya Marehemu Fahad, Aamin
Innaalillaahi wainna ilayhi raajiun. Pole sana maa. Kwa hakika haki ya mwanao utaipata hata km utakua ushatangulia utaskia kwa mchunga mbuzi. Mwenyezi Mungu amjaalie wazungunzaji wema kaburini mwake. Na hao wafanyaji hii roho ya ndugu yetu itawaranda maisha yao yote
Inalilah wa ina ileh rajion poleni sana wazazi wa marehem ndugu yetu Fahad inshallah Allah amweke peponi ameen na kama kadhulumiwa na watu au kitu chochote kwa uwezo wa Allah malipo yatatoka hapahapa duniani cha muhimu ni kumshukuru Allah kwa yalio tokea na kumuombea marehem zaidi amsameh kwa lolote alofanya sio zuri ameen
Jamani nmeumia Sana moyoni mwangu daah wanafamilia washilazi wenagu Allah ndie mtoa hukumu katika kipindi hiki kigumu Tumtanguluze Allah kwa kill hatua... Allah mpunguzie adhabu ya kaburi ndugu yetu . Allah akbaru
Katika mapenzi ya Allah kwetu ni kutupa mitihani. Tuukubali mtihani huu. Tushukuru tuvute subra. Lakufanya kwa wazee wa mtoto ni kusali rakaa mbili na kumuomba Allah kwani dua ya kudhulumiwa hairudi nyuma inatakabaliwa. Waombe wanavyotaka. Tujue tu hakuna faida kwa mwenye kudhulumu ila hasara. Tunakuomba Allah kama kadhulumiwa Fahad basi wabainishe walofanya hivyo na wape kinachostahiki kabla ya mauti yao Amin.
Amina amina mungu ikubaliee duwaaa za wazazi na waumini wotee. Walio gushwa na kitendo hiki cha kinyamaa kuzurumu uhai Wa mwanadamu mungu waonyeeshee hapa hapa duniani
Innalilahi waina ilahi rajiun mama pole Sana mama. mm imeniuma Kama mzazi maskini wame mdhulumu bure Mwana wa mwezao Allah ampe makazi mema peponi ya rabbi...na walio mdhulumu Allah atawadhibu kwa vitendo vyao Inshaallah
Innalillah wainna ilayhi rajiun😭😭😭. Allah ampe kauli thabit. Allah awape ujira ulio mwema wazazi wake, awajaalie subra, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki zake. Ila binaadamu kwa kweli tumejawa na unyama, ila malipo ni hata hapa duniani.
Mi km Mzazi Machozi yanitiririka, Pole sn Mama ila malipo yapo hapa hapa km kumdhurumu wangechukua vitu kwa sababu vitu vinatafutwa na Roho yake wangemwachia Naomba Chozi la Wazazi wake likageuke jehanam yao hapa Duniani, Poleni sn ndg jamaa na Marafiki, Mungu ampunguzie Adhabu ya KABURI Kijana wetu🙏🙏🙏
Allah ampe killma thabbitt indullkabri,kakazetu wacheni kujionesha, kuna wazuri na kuna wabaya,hakuna mnye kumpendelea mnzake mazuri,na kujionesha imekatazwa mpaka kwenye quraan,allah amuepushe na adhabu ya want.amminn
Innalillahiwainnailailahiraajiun ALLAH S.W atujaalie kila la kheri inshaallah katika mwisho mwema amlaze kaka yangu mahali pema peponi kwa upendo wake na rehma zake amin amin Alhamdulillah...
Mm narudia tena jamani poleni Sana hata sina lakusema wallahi imeniuma Sana tena Sana Allah awape subra Inshaallah..jamani imeniuma mm sijui naskiaje kwenye nafsi yangu natamani ningekua nauwezo wakawakamata au kuwajua hao walio mdhulumu Mtto wa watu bure..sijui kwann nafsi zime badilika kupita kiasi ulimwengu huu wa sasa Allah atunusuru ss na kizazi chetu ya rabbi
Imenigusa sana hii ndo znz yaleo. Innalilahi wainna ilaihi rajiun. Allah awape subra wafiwa wote. Inasikitisha sana. Mama pole mtegemee Allah tu atakulipia juu ya dhulma iliofanyika. Allah atustr YAA RABBI
Mwenye Enzi Mungu awape Subra Wazazi.. Ikiwa Amedhumiwa kwa Uwezo wa Allah atakuwa Ahly Jannah... Pia Sarekali lazima uchukuliye hatuwa kali juu ya mauwaji haya.. Maana kwanza mnazidi kuharibu sifa na Jina la Zanzibar. Nchi ilokuwa ya amani na utulivu.. Watu wakipendana na kulikuwa hakuna mambo kama hayo ya Kijambazi...
Innah lilah wainah illeuh ..Allah awape subra kwa wakat huu mgumu Nmsiba huu mgumu.. n.a. pia cc tulioko huku majuu tukirudi makwetu tuwache ufahar wa kujiomesha media sasa ona madhara yake kijana mdogo wametoa uhai kisa watu wana tama za hela alizo jituma maskin ....Allah atuongoze ...n.a. amrehem ampe kauli tabith
Mungu akiondoa jambo huweka jengine badala yake .... Insha Allah wazazi wa mwenda na zake Allah atawapa faraja iliwaze roho zenu na muwe na subra kuamini kuwa Allah amempokea mja wake ktk pepo yake ....Amin
Pole sana familia yani imeniuma kwa kweli ,hak binadamu wabaya Aaaaah! Mungu atalipa ,had nimeogopa kutembea nkifika home juu naenda vaction pia kutoka Dubai mungu anilinde n watu wabaya ...Mungu awafarij familia
poleni sana familia nzima ya marehemu baba mama na wengine mungu hawape nguvu katika msiba mzito haisee unauma sana , hao walimkatisha uhai wake mungu atawaukum inshaallah
Innalillahi Wainnailaihi Rajiu'un.Poleni sana wafiwa Allah awaja'alie Subra katika mtihani huu mzito.Ushauri wangu kwa vijana wenzangu "Tusipende kutangaza neema tulizonazo, tuwe wa siri, kwani; walimwengu wameharibika".Asante KTV TZ ONLINE.
Polisi imeshindwa vipi kupeleleza suala hili? Simu alokuwa nayo huyu kijana mara ya mwisho usiku aliwasiliana na nani? Je! WATU waliomleta walijuaje kuwa alikuwa akikaa hapa nyumbani?
Innalillah wainaillayhi rajioun Wamemdhulum bure maskin Allah atamlipa kilicho bora kwake na pia tungeomba awo police wakipelekewa kesi wafatilie kiundani ili wazazi wake wajuwe ukweli .
inalillah waina ilehyi rajiun Allah atawapa subra wakati huu wa huzuni...Allah ampe kauli thabit uko aendapo...Allah amjalie awe nimiongoni wa wenye kupewa kitabu chake kwa mkono wa kulia👐
SubhnaaAllah innaillah wainaillah rajiun daah inaumaaa sanaa wallah polee sanaa Mama katika kipindi kigumu inauma sanaa mwenyezimungu ampee kaury Thabiy Amuondoshe Adhabu za kabiir daaah inauma wallah poleen sanaa katika kipindi iki kigumu katika wakati uu mgumu mama pamoja na family yotee inauma sanaa😪😪😢 wallah
Abdulhamid Abalkaram kabisa hata juz kuamkia jana huku Kenya yuko aliekufa alitoka juz alhamis arabuni siku hy hyo usiku akafa bila kuumwa wala amepokelewa na family yake vizur usiku wa saa saba akafa...kifo kikiwadia hakiwez kuepukika na kila mmoja atapitia
Inna lillahi wa inna ilei rajiun, allah amsameh amjaalie pepo miaiti na amfanye mwenye maisha mema kaburini. Insh allah akupen nguvu, subra wafiwa, hususan baba na mama, msiendelee kunyongeka sana, insh allah atawaruzuku anachokitaka cha kheri kwenu, ameen.
Ni kweli vijana muwache tabia za kujionesha watu Africa masikini sana rafiki yako uliyemuacha siye yule wa zamani atakuuza tu kwa hiyo mufanye mambo kwa siri
Tatizo kujionesha liko wapi kwani? Watu wa nyumbani wavivu kazi zao kukaa barazani wakasengenya na kuingia mitandaoni wakiomba na kufanya utapeli. Kazi hawataki wanaona Bora utapeli na dhulma.
Salaaam Mungu akuzidishie Ufahamu ndugu yangu watoto wetu tunawakanya na mambo ya RIAAAA hawatuelewi mambo siri ,wazee wetu hata wakitoa pesa mbele ya wake zao tuu walikua wanageuka nyuma wakatoa ile anayo itaka ,watoto wentu wamekua na fahari na riaaa kubwa ,wengi wanatoa comment za ajabu lakini Ukweli hawasemi watoto wetu jamani wacheeni Riaaa mtu akisafiri kupost ,akipata kitu kupost hatari jamani macho mabaya yana shari Mungu amsamehe makosa yake ya kibinaadam na wazee wake awape subra Inshallah
Dunia hii jamani wanadamu tumefuka waapi?tumrudie Mwenyezi Mungu na kuziacha njia zetu mbaya ndipo Mungu atakapoturehemu.Roho ya Marehemu ilazwe mahali pema peponi Amina
Innalillah wainna ilayhi rajiun,,Allah awape subra wafiwa wote na pigo kubwa kupoteza nguvu kaz yataifa letu,wamemdhulumu na Allah amlipe malipo mazur siku yakesho kiama na sisi atupe mwisho mwema,Amin
Kwanza natoa Pole kwa ndugu na Familia kwa ujumla kwa msiba huu mzito, Pili, ningeomba sana ndugu wa Marehemu wajaribu kwanza kuangalia uchunguzi wa Daktari umesemaje kuhusiana na kifo cha Marehemu, kwa mtazamo wangu ni kwamba kwa vile wakati anafanyiwa uchunguzi ndugu wa karibu wa marehemu alikua ndani na wakati anatoka nje kumpa taarifa Daktari hakuuliza masuali yanayoashiria kwamba labda alifanyiwa fujo, badala yake aliuliza kuhusu kama alikua ana maradhi ya kuanguka na ya moyo, wajaribu sana kujiuliza hili suali wanafamilia, isije kua dhana zinaenda upande mwengine ambao sio sahihi, hilo moja
lakini upande wa pili ni kwa hawa ambao ni watu wa mwisho kumkuta katika hali hiyo, suali ni kwamba jee walimkuta katika mazingira gani? watatuhakikishia vipi kua hawakumdhuru wao? jee iwapo wao ni raia wema saaana tu ambao walikua na nia ya kumsaidia wamewezaje kuzipita hospitali mbili (Alrahma Hospital na Marie Stop Hospital) bila kumuwahisha huko kwanza halafu yake ndio waanze kupeleka taarifa nyumbani kwao kwa familia yake kama kweli hawakutaka afe? na iwapo kama walijaribu kumpeleka hospitali na wakakataliwa kwa vile hakuna PF3, kitu gani kiliwazuia kuchukua PF3 pale Madema au hapo karibu na kwao (Kituo cha polisi Mazizini) ? Jee wamempeleka Kwao kwa madhumuni gani kama walikua na nia ya kuokoa maisha yake?
inawezekana ni kifo cha kawaida labda, lakini watujibu hayo masuali yenye utata
ONYO:
Ushauri wangu kwa Jeshi la polisi Zanzibar, waangalie last call za marehemu, watu alio ongea nao,ikiwezekana GPS mahali alipokuwepo kwa mara ya mwisho, message zake alizochart, DNA katika nguo zake, DNA za walio mleta pia zikusanywe, vile vile waruhusu wana familia kufanya uchunguzi binafsi kwa mwili wa marehemu pindi ndugu zao wanapo uwawa, pia kwa wanafamilia inapotokea ndugu kufariki kwa kifo cha utata, tusiharakie kuzika kwanza, tunaweza kuchukua muda kuufanyia uchunguzi mwili, najua kwa sheria za dini ya kiislamu hairuhusiwi kuuweka mwili wa marehemu saana, ila kwa kutafuta haki na kuepusha wauaji kuondoka na dhima ya kuua bora kwanza kuvuta subira
Iwapo ameuawa Naamini haki itapatikana, Iwapo ni kifo cha sababu nyengine Mungu atupe moyo wa subira
Mungu ailaze pema Peponi roho ya Marehemu Fahad, Aamin
Yote hayo hufanyika katika nchi za nnje sio Tz hawachunguzi watasema ni kifo cha ghafla
Amiin ya ya Allah
Point
umeongea point sana big up
This makes a lot of sense ! Kwann asingepitishwa hospital kwanza ??? Kwel uchunguz ufanyike
Innaalillaahi wainna ilayhi raajiun. Pole sana maa. Kwa hakika haki ya mwanao utaipata hata km utakua ushatangulia utaskia kwa mchunga mbuzi. Mwenyezi Mungu amjaalie wazungunzaji wema kaburini mwake. Na hao wafanyaji hii roho ya ndugu yetu itawaranda maisha yao yote
Innalilahi wainna ilayhi rajioon. Allah awape subra wafiwa.
Inalilahi wainalilahi rajiun mbeleyake nyuma yetu mungu ayilaze roho yake mahala pema pepon amini
Mwenyezimungu awape shifaa wafiwa
Kweli
😭 innalilah wainnailyh rajiun
Subhanallah , inackitisha kwa kweli Allah atustiri na atuongoze waja wake kwenye Mambo ya kher inshallah....Ameen
Aa. Poleni mungu awape subra
Inalilah wa ina ileh rajion poleni sana wazazi wa marehem ndugu yetu Fahad inshallah Allah amweke peponi ameen na kama kadhulumiwa na watu au kitu chochote kwa uwezo wa Allah malipo yatatoka hapahapa duniani cha muhimu ni kumshukuru Allah kwa yalio tokea na kumuombea marehem zaidi amsameh kwa lolote alofanya sio zuri ameen
Poleni sana mungu awape nguvu inshallah
Inasikitisha sana znz ilikuwa sivyo hivyo
Allah awazidishie wazee kuwa na subra
Inna lilahi waina ileih rajiun.....Inna dhulma dhulmati yaumal qiyama
Imenigusa kama vile namjua huyo kijana wakati hata simjui.nawaahauri tupunguzeni kupost pesa na mafanikio yetu online
Allah amuhifadhi
@@dominicofabian2245 MTU AKIFA UNAPASWA USEMI HUU ALLAH AMREHEM. SIO AMHIFADH HII HUTUMIKA KWA ALIYE HAI ULIMWENGUN
Dunia si mbaya ila wanaadamu ndio wabaya
Uchunguzi ufanyike na sheri ichukue mkondo wake kwani vitendo kama hv havivumiliki
@@abdulrashiidmabula8339 akhui haki utaipata kwa ALLAH dunian hakuna hasa zama hz kubwa ALLAH atuhid
Jamani nmeumia Sana moyoni mwangu daah wanafamilia washilazi wenagu Allah ndie mtoa hukumu katika kipindi hiki kigumu Tumtanguluze Allah kwa kill hatua... Allah mpunguzie adhabu ya kaburi ndugu yetu . Allah akbaru
Malipo ni hapa hapa duniani ... Allah ndo hakimu wenu na atawalipia in shaa Allah
Innalilah Wainnailayhi rajoon Poleni sana jaman imeniuma lakini mola ndio hakim wa hakhi
Pole sana mama yangu M/mungu akupe subra japo sikujui imeniuma sana muislam mwenzetu
Amen 🤲
Masikini nyiii rohoo inaniuma
Innalillahi wainna illaihi rajioun poleni Sana wafiwa😭😭😭😭 ALLAH yupo pamoja nawenye kusubiri 😭😭😭
pole sana mamaangu mungu akupe subra
Ktv TzOnline Mola awasimamie ktk kazi zenu. Ameen Ameen Ameen
Amina mwenyezi mungu yu mwema pole mwenyezi mungu Hawatie nguvu😭😭😭😭😭😭😭
Katika mapenzi ya Allah kwetu ni kutupa mitihani.
Tuukubali mtihani huu. Tushukuru tuvute subra.
Lakufanya kwa wazee wa mtoto ni kusali rakaa mbili na kumuomba Allah kwani dua ya kudhulumiwa hairudi nyuma inatakabaliwa.
Waombe wanavyotaka.
Tujue tu hakuna faida kwa mwenye kudhulumu ila hasara.
Tunakuomba Allah kama kadhulumiwa Fahad basi wabainishe walofanya hivyo na wape kinachostahiki kabla ya mauti yao Amin.
Amina amina mungu ikubaliee duwaaa za wazazi na waumini wotee. Walio gushwa na kitendo hiki cha kinyamaa kuzurumu uhai Wa mwanadamu mungu waonyeeshee hapa hapa duniani
Amiin yarabil alamiin
Ameen
Amin yarab
Amiiin yarab
Poleni sana ndugu na jamaa wote mlioguswa na msiba huu. Mungu awape wepesi ktk kipindi hiki kigumu.
From Oman kwakweli nimehuzunika saana kurudi kwao tu umauti unamfika huyu kijana kauliwa na inshaalah watapatikana kwa nguvu za mungu inshaalah
😭😭
KTV tz online kwanza nawapa pole sana ndugu jamaa kwakumpoteza mpendwa waoo inauma sana inaskitsha sana
Innalilahi waina ilahi rajiun mama pole Sana mama. mm imeniuma Kama mzazi maskini wame mdhulumu bure Mwana wa mwezao Allah ampe makazi mema peponi ya rabbi...na walio mdhulumu Allah atawadhibu kwa vitendo vyao Inshaallah
Poleni sana wana familia haki imeniuma allah kareem
Bijuma Kassim
Nikwel habibty.
Nahii tabia ya kujipost mitandaon na pesa au mal yoyote nikujikaribisha na mahasid
poleni Sana wanafamila mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mungu hatawahukumu hapa hapa duniani
Mungu akurehemu akhera ulipo dah siwez kukuzungumzia fahad jumatano nimekuona Ijumaa naletewa taarifa ya kifo chako poleni wanafamilia
Haitham Rubea buhet kumbe unamjua? Mungu ailaze roho yak mahala pema pepon inshallah.. Inauma ila mungu akatuletea ss wanadamu
Polen xna jmn mungu ampe kauli thabiti
Haitham Rubea rlp
Haitham Rubea buhet daaa mm simjui ila naumia kwa kweli
Innalillah wainna ilayhi rajiun😭😭😭. Allah ampe kauli thabit. Allah awape ujira ulio mwema wazazi wake, awajaalie subra, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki zake. Ila binaadamu kwa kweli tumejawa na unyama, ila malipo ni hata hapa duniani.
Dunia Ni njia eemungu niokowe na hii Dunia iliyo laaniwa.niongoze katika njia iliyo sahihi mungu wangu
Mi km Mzazi Machozi yanitiririka, Pole sn Mama ila malipo yapo hapa hapa km kumdhurumu wangechukua vitu kwa sababu vitu vinatafutwa na Roho yake wangemwachia Naomba Chozi la Wazazi wake likageuke jehanam yao hapa Duniani, Poleni sn ndg jamaa na Marafiki, Mungu ampunguzie Adhabu ya KABURI Kijana wetu🙏🙏🙏
Allah ampe killma thabbitt indullkabri,kakazetu wacheni kujionesha, kuna wazuri na kuna wabaya,hakuna mnye kumpendelea mnzake mazuri,na kujionesha imekatazwa mpaka kwenye quraan,allah amuepushe na adhabu ya want.amminn
mungu amlaze mahala pema
Innalillahiwainnailailahiraajiun ALLAH S.W atujaalie kila la kheri inshaallah katika mwisho mwema amlaze kaka yangu mahali pema peponi kwa upendo wake na rehma zake amin amin Alhamdulillah...
Aaaaamin Yaa Rabby. Poleni sana ndugu zetu. Mola akujaalieni subra
Amina amina mungu ampe kauli dhabiti kwenye kaburi lake iwe bustani ya pepo akaee nawajaa weme poleni mungu awape subra
Allah awape subra kubwa wazazi wa Fahad,kwa kweli huu ni msiba mkubwa mzito
Pole sana mama yngu mungu atazid kukupa subra
Mm narudia tena jamani poleni Sana hata sina lakusema wallahi imeniuma Sana tena Sana Allah awape subra Inshaallah..jamani imeniuma mm sijui naskiaje kwenye nafsi yangu natamani ningekua nauwezo wakawakamata au kuwajua hao walio mdhulumu Mtto wa watu bure..sijui kwann nafsi zime badilika kupita kiasi ulimwengu huu wa sasa Allah atunusuru ss na kizazi chetu ya rabbi
Very sad 😞 story hurt me 😔 so much rest in peace mungu awape wepesi family amen 🙏
Inna Lillahi Wa Inna ilayhi Rajioun ALLAH amlaze mahala pema pepon !
Pole Sana. Mwenyezi Mungu atujalie wepesi katika suala hili.
R.I.P swahiba wetu Fahady 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
Kwnnn mnapnd kuujonyxh
Mtihani wallahi...poleni sana wafiwa 😅😅
subhanaallah,tumeskitika sana tuliposkia yalomkuta fahdi kwani tulikuwa nae huku omani ni mtu wa watu.
Alikua anafanya kazi omani ipi jamani
@@majidmousa4557 masikatii azeba
Maskin wapi Oman alikuwa akifanya kazi?
Jomoni😭😭😭😭😭
@@zuweinaalhabsya8773 adheiba
Nimelia badala ya wazazi , dah . inaumiza sana, Mungu awape subra na uvumilivu , mwachieni Mwenyezi Mungu atawalipia.
انا لله وانا إليه راجعون، mama pole kwa kufiliwa na mwanao.
Imenigusa sana hii ndo znz yaleo. Innalilahi wainna ilaihi rajiun. Allah awape subra wafiwa wote. Inasikitisha sana. Mama pole mtegemee Allah tu atakulipia juu ya dhulma iliofanyika. Allah atustr YAA RABBI
Mwenye Enzi Mungu awape Subra Wazazi..
Ikiwa Amedhumiwa kwa Uwezo wa Allah atakuwa Ahly Jannah...
Pia Sarekali lazima uchukuliye hatuwa kali juu ya mauwaji haya..
Maana kwanza mnazidi kuharibu sifa na Jina la Zanzibar.
Nchi ilokuwa ya amani na utulivu..
Watu wakipendana na kulikuwa hakuna mambo kama hayo ya Kijambazi...
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
So Sad kijana mbichi kufanyiwa ukatili, Allah atuepushe na Maovu. Poleni sana Wazazi na wanafamilia
Innalillah waina ilaihi rajiyoun mungu amsamehe zambi zake naampe wepesi ktk makaazi yake mazito
Wamemfanyia dhulma ya nafsi na mali hakika mungu atawaadhibu wote waliohusika,mama pole sana.
😥😥😥may his soul rest in peace,,,,may the killers never know peace
Poleni sana waliofiwa mungu awape nguvu kwa kipindi hiki kigumu
انا لله وانا اليه راجعون اللهم غفرلناو لهم ورحمنا ورحمهم ومسكنه في الجنه ...اميييين يا رب
Mie ata sijaelewa andika kiswahili
@@evachriss5906 hiyo
Ni duwaa tuu ...aliyo andika sio hadith
@@evachriss5906 ni dua hiyo
امين يارب العالمين...قصة حزينة و تخوف العالم
Hasadi zimekithiri huko mtaani kwenu hata hapa mambasa zipo....... Poleni sana ALLAH awafariji
Innah lilah wainah illeuh ..Allah awape subra kwa wakat huu mgumu
Nmsiba huu mgumu.. n.a. pia cc tulioko huku majuu tukirudi makwetu tuwache ufahar wa kujiomesha media sasa ona madhara yake kijana mdogo wametoa uhai kisa watu wana tama za hela alizo jituma maskin ....Allah atuongoze ...n.a. amrehem ampe kauli tabith
kaniliza jomoni uyu kaka mungu umpe kauli sabiti😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 ubinadam umepotea poleni wafiwa
Mungu akiondoa jambo huweka jengine badala yake .... Insha Allah wazazi wa mwenda na zake Allah atawapa faraja iliwaze roho zenu na muwe na subra kuamini kuwa Allah amempokea mja wake ktk pepo yake ....Amin
😭😭😭😭😭😭mungu tubark ss wote tuliokuja oman na nchi nyingine tuliokuja kutafuta maisha mwenyez mungu atuepushe na watu wabaya😭😭😭😭😭
Amin dear
Amiin😭
Yani hadi naogopa kurudi na hela zangu, 🚶🚶🚶
Pole sana familia yani imeniuma kwa kweli ,hak binadamu wabaya Aaaaah! Mungu atalipa ,had nimeogopa kutembea nkifika home juu naenda vaction pia kutoka Dubai mungu anilinde n watu wabaya ...Mungu awafarij familia
INNALILLAH WAINAILAIH RAJIUUN.MBELE YAKE NYUMA YETU😪😪😪😪😭😭😭😭😭
Poleni sana Allah ampe kalima mzur
Inshaallah
poleni sana familia nzima ya marehemu baba mama na wengine mungu hawape nguvu katika msiba mzito haisee unauma sana , hao walimkatisha uhai wake mungu atawaukum inshaallah
Heee Fahady umekufa mamaaaa,,,, Ndo naona leo habar yako jamnii mkaka mchangamfu jamnii umetuaga kumbe waenda kufa khaaaa😭😭😭😭 sawa umetuacha oman watuaga kwa furah jamniiii,,,, mungu akupe makazi memà Fahady jamniii 😭😭
Inna lillah wainnaiyh rajiuwn🙏
Mwenyezimungu awape subra wazazi Poleni sana kwa kuondokewa na Mtoto wenu. R.I.IP Fahad
Poleni sana najua maumivu mliyonayo hayana mfano Allah awape subra.
Innalillahi Wainnailaihi Rajiu'un.Poleni sana wafiwa Allah awaja'alie Subra katika mtihani huu mzito.Ushauri wangu kwa vijana wenzangu "Tusipende kutangaza neema tulizonazo, tuwe wa siri, kwani; walimwengu wameharibika".Asante KTV TZ ONLINE.
Polisi imeshindwa vipi kupeleleza suala hili?
Simu alokuwa nayo huyu kijana mara ya mwisho usiku aliwasiliana na nani?
Je! WATU waliomleta walijuaje kuwa alikuwa akikaa hapa nyumbani?
KTV mko vzr flow nzuri na mnajitahid kuwatafuta wahusika hasa wanaoguswa na tukio hongereni sana
Innalillah wainaillayhi rajioun Wamemdhulum bure maskin Allah atamlipa kilicho bora kwake na pia tungeomba awo police wakipelekewa kesi wafatilie kiundani ili wazazi wake wajuwe ukweli .
inalillah waina ilehyi rajiun Allah atawapa subra wakati huu wa huzuni...Allah ampe kauli thabit uko aendapo...Allah amjalie awe nimiongoni wa wenye kupewa kitabu chake kwa mkono wa kulia👐
Poleni sana Allah atakupeni subra, na Insha'Allah waliomdhulumu Allah atawabainisha biidhinillah
Ammin rabbill alamin inshaallah yaarabi
Inna lilahi wainna ilahi rajiuun M mungu amlaze pahala pema kafa sha
hidi kadhulumiwa lkn Allah ndie ataye yahukumu
Subhanallah! Inna lillahy wainna ilayhi raajioun..Allah Hakeem.Allah awape subra yaraab!
Inshaallah haki itakuja juu hasbiyallah waniimalwakil
SubhnaaAllah innaillah wainaillah rajiun daah inaumaaa sanaa wallah polee sanaa Mama katika kipindi kigumu inauma sanaa mwenyezimungu ampee kaury Thabiy Amuondoshe Adhabu za kabiir daaah inauma wallah poleen sanaa katika kipindi iki kigumu katika wakati uu mgumu mama pamoja na family yotee inauma sanaa😪😪😢 wallah
Innalillah wainna ilayh rajiun wazaz poleni poleni sana Allah atawapeni subra insha'Allah ila imeniuma nami nimzaz pia
Subhanallah yarabiy
Maskin jaman daaaah nashindwa ata lakusema yarabiu
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUUN.
Mwenyezi Mungu amrehemu na ailaze roho yake mahali pema peponi. AAMEEN
Innalillah wainnaa ilayhy rajiun,mungu amlaze mahali pema
Poleni sana baba na mama.inatia uchungu sana
Muda wake wa kurehea kwa Mola Umewadia....IZO ZILIOBAKIA ZOTE NI NGANO TU....Allah Amswameh yeye Madhambi yake na Amuingize ktk pepo yake Amin.
Amin inshaallah
Amin Rabbi amin
Abdulhamid Abalkaram : PESA NI SHEITANI , HIVO TUWEWASIRI TUNAPO ZIPATA SAIVI DUNIA TUNAYOKWENDA NAYO SIYO ILE YA WAZEE WETU HUKO NYUMA
Ameen
Abdulhamid Abalkaram kabisa hata juz kuamkia jana huku Kenya yuko aliekufa alitoka juz alhamis arabuni siku hy hyo usiku akafa bila kuumwa wala amepokelewa na family yake vizur usiku wa saa saba akafa...kifo kikiwadia hakiwez kuepukika na kila mmoja atapitia
Inna lillahi wa inna ilei rajiun, allah amsameh amjaalie pepo miaiti na amfanye mwenye maisha mema kaburini. Insh allah akupen nguvu, subra wafiwa, hususan baba na mama, msiendelee kunyongeka sana, insh allah atawaruzuku anachokitaka cha kheri kwenu, ameen.
Innallillah wainnailaihu raajiuun allah amsameh makosa yake ampe kauli thabit amghufurie madhambi yake kaburi lake liwe nnur yarrab
Mshukurun Allwa ndie Hakim kwakweli inaumiza mtihani allwa amsamehe madhambi yake yasiri nadhahir
Inna lilkahi wainna ilayhi rajiun Allah amlaze mahali pema Ameen
poleni sana kazi ya Allah haina makosa.malipo ni hapa duniani.haswa baba na mama poleni sana muwe na subra...
Mambo ya kujionyesha hayo ndio madhara yake, Kila kitu kuposti kwa mitandao. Allah atulinde
Ni kweli vijana muwache tabia za kujionesha watu Africa masikini sana rafiki yako uliyemuacha siye yule wa zamani atakuuza tu kwa hiyo mufanye mambo kwa siri
Tatizo kujionesha liko wapi kwani? Watu wa nyumbani wavivu kazi zao kukaa barazani wakasengenya na kuingia mitandaoni wakiomba na kufanya utapeli. Kazi hawataki wanaona Bora utapeli na dhulma.
Salaaam Mungu akuzidishie Ufahamu ndugu yangu watoto wetu tunawakanya na mambo ya RIAAAA hawatuelewi mambo siri ,wazee wetu hata wakitoa pesa mbele ya wake zao tuu walikua wanageuka nyuma wakatoa ile anayo itaka ,watoto wentu wamekua na fahari na riaaa kubwa ,wengi wanatoa comment za ajabu lakini Ukweli hawasemi watoto wetu jamani wacheeni Riaaa mtu akisafiri kupost ,akipata kitu kupost hatari jamani macho mabaya yana shari Mungu amsamehe makosa yake ya kibinaadam na wazee wake awape subra Inshallah
Ilo kwel riaaa haifai katka uislam na maisha kwa ujumla lakn kwa ssa tucpeleke lawama kwa mait
Hata km kajionesha kuna tatizo gani si katafuta kwa nguvu zake sasa na wao watafute vyao ili wajioneshe iyo sio sababu
Mungu awape nguvu, poleni Sana. Mungu nj hakimu wa mahakimu
Dah ishaallah mungu amlaze mahal pema mana inaumaa tutakukumbuka sana broo
Poleni sana nduguzangu
Ni namawazo nikirejea nyumbani. Asa tubaki tu huku omani jamani? La hawla wala quwwata illa billahi lghaliyyu lghadhwiim
Sina amani kabisa na kurudi Tz natamani kubaki huku huku Dubai,mwenyezi mungu akupe kauli thabit mpendwa wangu
poleni sana wafiwa,Tumuachie Mungu.Imeandikwa kuwa(Stoleta gharika tena,bali mtajimaliza wenyewe)
Poleni na msiba hata mkijua iweje. Allah awape subira na pia sifa kwenye mitandao tuziache jamani
Inalilah wainailah ilaihi rajiun subuhanallah
Muachieni mungu yote hayo walofanya hivyo kesho kwa Allah wataadhibiwa
Polen san
Innalilah wainna ilayhi Raj"un pole sana Mama angu.
Innalillahi waina ilaihi rajiun
Duh poleni sana
Dah!!! Dalili za kiama watoto wanakufa wazee wanabaki😢😭😭😭...
Najaribu kukivaa kiatu cha huyu Mama hakinitoshi😭😭.. Haki itapatikana tu
Dalili za kiam ni kufa kwa wadogo?? Kifo akichagui hata mtt mchanga wa kuzaliwa leo anakufa mungu amekiweka kifo kwa kila mtu
Amne Mkubwa kazi kweli kweli
Amne Mkubwa .
@@sahifaabdallah9971 naam
Pole mama uchungu wa mwana naujua mwenyewe pole mama angu
Poleni sana mungu ndiye muamuzi wa kila jambo in sha allah
*That's so sad he's my street men and we both practice at the same gym yaaani kifo chake mtihani sana ila all in all mungu kachukua kiumbe wake*
Dunia hii jamani wanadamu tumefuka waapi?tumrudie Mwenyezi Mungu na kuziacha njia zetu mbaya ndipo Mungu atakapoturehemu.Roho ya Marehemu ilazwe mahali pema peponi Amina
Pole sana
Fahad alikuwa zaid ya friend kwangu alikuwa blood kabisa Allah akulaze mahala pema peponi Ameen.........
AHMED pole sana
Amin..pole sana
pole kaka
AHMED Pole Sana Bro Allah akupe subra Inshaallah ww pamoja na familia ya marehemu
Pole Sana Allah atakufanyieni wepec inshallah. Allah atujaalie na cc mwisho MWEMA. Ameen
Poleni sana kwa family....Mungu amlaze mahali pema peponi
Innalillah wainnailaih rajuun vutenisubra hakika ya mungu yupamoja nanyi
Pole sana imeniuma day kazi ya mungu
Nimeumia sana jaman dunia hi😭😭
Innalillah wainna ilayhi rajiun,,Allah awape subra wafiwa wote na pigo kubwa kupoteza nguvu kaz yataifa letu,wamemdhulumu na Allah amlipe malipo mazur siku yakesho kiama na sisi atupe mwisho mwema,Amin
Nimemuonea huruma huyu baba maskini alivyoongea😣😭poleni jamani🙏🏽
Pole sana baba mama na jamaa kupotelewa mwana wenu. Hilo gari, muuzaji waliomrudisha nyumbani wangeeleza
Hapo wadili na waliomleta ndo wanajua ukweli wote. Onyo..... tujitahidi kuwa wasiri maana dunia imeharibika. INNALILAH wainnahillah lajiun
Pole Sana hkk inauma sana
Masikini imenitoa machozi walah poleni wafiwa duh inauma jamani
Pole familia na jamaa inauma snaa, Fahard stokusahau Allah akupe kauli thabit,
Allah atawapa subra
Mmmm mungu ata wasaidia kuupat ukweli