UTAOGOPA ! MAAJABU YALIOMO KWENYE MSIKITI HUU ZANZIBAR "MSIKITI KICHAKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 814

  • @jayblack4313
    @jayblack4313 4 ปีที่แล้ว +60

    Uchawi tu ndo maana hatuendelee subuhallah may Allah have mercy on us

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 4 ปีที่แล้ว +3

      Walahi tena inasikitisha tena sana mwenyezi mungu atukinge na mambo kama hayo

    • @rashidmwambala7104
      @rashidmwambala7104 3 ปีที่แล้ว +1

      Usenge uo babu

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani kila wanapotoa history wanageuza wanaenda fanya mchawi

  • @bayaanhumud4328
    @bayaanhumud4328 4 ปีที่แล้ว +43

    Subhana Allah hao ni washirikina inna lillahi wa inna ilayhi raji3n Allah atujaalie mwisho mwema

  • @rashadmurshid
    @rashadmurshid 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huo si msikiti bali ni kiringe
    Katika msikiti huabudiwa mungu na si mizimu na majini.
    HICHO NI KIRINGE CHA UCHAWI NA WACHAWI.
    SIO MSIKITI
    ELEWENI MAANA YA NENO *MSIKITI*

  • @fatumaadam354
    @fatumaadam354 3 ปีที่แล้ว +13

    binafsi sikuwahi kufikiria kama kutaweza kua na msikiti namna hii.. Allah atunusuru kwa kila kisichokua cha uhalali kwake... Allah tusamehe makosa yetu

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +152

    Hakuna msikiti wa aina hiyo washirikina wakubwa

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 4 ปีที่แล้ว +36

    Ya Allah wasamehe waja wako na uwaongoze njia ilionyooka .hii ni shirk wala hakuna shaka ..maskin hawajui walitendalo.nawaombea Allah awasaidie.

    • @ramadhanmtetu1947
      @ramadhanmtetu1947 4 ปีที่แล้ว +1

      Masanamu hayo

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      Bora mmejionea wenyee wanavyo hangaika nauchawi

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 4 หลายเดือนก่อน

      Toka huko dada yangu umepotea

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 3 ปีที่แล้ว +16

    Innalillah wainnailaih rajoun اللهم إني أعوذبك ان 😢أشرك بك بما أعلم ومما لا أعلم

  • @hashilfarahani4024
    @hashilfarahani4024 4 ปีที่แล้ว +12

    Innaalillahi wainnaailayhirajiun,Ewe mzee usiutie aibu uislam na zanzibar kwa ujumla naomba badilisha jila la hiyo nyumba na acheni hiyo shirki kwani hiyo ndio moja ya madhambi makubwa mbele ya Allah.

  • @AbdallahSalleh-v2s
    @AbdallahSalleh-v2s 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mzee ni mshirikina msikit hauna mambo hayo

  • @nastehaniss4210
    @nastehaniss4210 3 ปีที่แล้ว +3

    Astaghfirullah, msikiti gani huwo, wacheni umalaya. Washirikina wakubwa

  • @yusoboy_tz
    @yusoboy_tz 4 ปีที่แล้ว +28

    Allah atuepushe na haya pamoja na mengine anayoyachukia

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 ปีที่แล้ว +81

    Hio ni shirki tena kubwa
    Allah atustiri

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 4 ปีที่แล้ว

      Amin

    • @shammoha5297
      @shammoha5297 4 ปีที่แล้ว +1

      Ameen yaa Rabbil allamiin

    • @halima2549
      @halima2549 3 ปีที่แล้ว

      Wallah ni shirk kubwa Sasa hvyo vitambaa ni vya nn hapo ndni mnaharibu maana ya Jina la msikiti haina sofa hzo. Iteni tu kichakani

  • @salamahamadisudi1912
    @salamahamadisudi1912 4 ปีที่แล้ว +19

    Si mskiti uwo ni pangoni kwa kwenda kuomba mizimu, Allah ni epushe na hayo

  • @Useniassani
    @Useniassani 9 หลายเดือนก่อน +11

    Allah ni mkubwa naomba likes zenu

    • @SHOMARYHIMIRY
      @SHOMARYHIMIRY 4 หลายเดือนก่อน +1

      Unamaanisha nini

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว +53

    Dah MTIHANI MKUBWA sana, ALLAH awaongoze

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 4 ปีที่แล้ว +15

    Astaaghfirullaaah! Wacheni mambo ya shirki hayo. Allah akuongozeni kwa kweli. Na sisi pia tunaomba uongofu kutoka kwake, but nyinyi mmezidi. 2020 bado kuna ujinga wa aina hii? 😭😭😭

  • @mamahafsa2867
    @mamahafsa2867 4 ปีที่แล้ว +15

    Inalillah wainna ilayh raajiuun hiyo nishirk Allah atuongoe inshaa'Allah

  • @ismailallykhamis3314
    @ismailallykhamis3314 3 ปีที่แล้ว +1

    SubhanaAllah Innalilah wainaillah Rajiun Shirki hizii tuziachenii janabi haifai

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 4 ปีที่แล้ว +28

    Mzee wangu rudi kwa Allah acha kusimamia shirki

  • @mamysubhanallhhhzenj4783
    @mamysubhanallhhhzenj4783 4 ปีที่แล้ว +27

    Wachawi wakubwaa wachen ushirikina muogopen Allah mukumbuk km kuna kiama jmn mhhhh

  • @MwanaidiTwaha-my6mz
    @MwanaidiTwaha-my6mz 21 วันที่ผ่านมา

    Allah awaongoze tufate dini km mtume wetu S.A.W alivyo tuongoza

  • @natashahussein5191
    @natashahussein5191 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuongowe mzee wetu usijekufa na ushirikina wako

  • @bintymwinyi580
    @bintymwinyi580 3 ปีที่แล้ว +3

    Subhaana'Allaah huo sio msikiti ni mzimu kwa nn hakuokotwi kitu

  • @NaemaSulieman
    @NaemaSulieman 24 วันที่ผ่านมา

    WACHAWI, Ushirikiana,ikisha HAWANA ELIMU 😢 ALLAH awaongeze Ktk kher

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Daaa kweli uislam ushirikina

    • @NuruAmina-h1q
      @NuruAmina-h1q 27 วันที่ผ่านมา

      Koma Tena komasana

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 27 วันที่ผ่านมา

      @NuruAmina-h1q ni kome nn Kwan uongo😂😂😂😂😂

  • @omarimbarakamikidadi1314
    @omarimbarakamikidadi1314 4 ปีที่แล้ว +4

    Hapo Wacrist ndipo anapo Shangazwa na Imani ya Dini yangu ya Islam. Wacheni Upuuzi Wamakunduchi

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 4 ปีที่แล้ว

      Umeona ee

    • @khadijaahmada2544
      @khadijaahmada2544 4 ปีที่แล้ว

      Jaman nyumban kabisa dah wamakunduchi wenzangu mnakwama wapi 😭😭😭😭😭yani nishakwenda makundichi mara nyingi ila sjawahi fika hii sehem

  • @ikhtihsaanomari5447
    @ikhtihsaanomari5447 4 ปีที่แล้ว +12

    Aaah rudini kwa Allah (s.w)

  • @fadhilmohamed5096
    @fadhilmohamed5096 2 ปีที่แล้ว

    peace ,love and understanding will make this man remembered by underprivileged society world wide Jah Rastafarah.

  • @esaumahundi5076
    @esaumahundi5076 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aliye hai sf zake nataka mjue watu wote wadini zote mungu aliye hai aliyeumba mbingu na nchi na city vyote hashirikiani na majini Wala mashetani Wala falaki yoyote hizo ni elimu ngeni Kama dini yako inashirikiana na majini na falaki hiyo ni jehanam

  • @IbrahimAli-vi9ep
    @IbrahimAli-vi9ep 4 ปีที่แล้ว +6

    Wao wenyewe shida tele wanazo watamsaidia nani

  • @barnabasanga7552
    @barnabasanga7552 3 ปีที่แล้ว +2

    Uislamu wa kweli huo

  • @EVAKESSY-f5h
    @EVAKESSY-f5h 24 วันที่ผ่านมา

    Mpeni YESU maisha yenu muokoke

    • @MwanaidiTwaha-my6mz
      @MwanaidiTwaha-my6mz 21 วันที่ผ่านมา

      Hii ni kutokuwa na elimu tu lkn dini yetu imelekeza vzr tu kumuabudia Mmoja tu ambaye ni Allah kwahiyo usichukulie huu udhaifu kusema watu waje Kwa yesu sie kwetu hatuabudii yesu kwakuwa yesu ni Nabii tu km manabii wengine sie tunaabudia Mmoja ambae ni Allah na hata wakristo nao wanamapungufu kibao makanisan wengine wanasali kanisan uchi mara masister wanazaaa na mapadri lkn ni madhaifu tu isiwe sababu kusema eti njoon Kwa yesu we Baki tu huko Kwa yesu wako na hawa waliopotea wanahitajika tu dua Allah awaongoze waiabudu dini km inavyotaka

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 ปีที่แล้ว +14

    Allah.
    Atuhidi.
    Amiin.

  • @omarabdallah372
    @omarabdallah372 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah. Funga Safari nenda Makkah na madinnah huko ndo kuna miskiti yenye fadhila kubwa

  • @mubarakhemedmajid2661
    @mubarakhemedmajid2661 4 ปีที่แล้ว +5

    Mtihani kwa kweli Allah atuongoze na atudumise katika hakki

  • @dastaniguni5599
    @dastaniguni5599 4 ปีที่แล้ว +2

    Heee Maajabu haya
    Mzee kakomaa Ooooh ni Nsikiti
    Mzee mrudie Mungu wako

  • @saidbwanaalimwanaharakati7508
    @saidbwanaalimwanaharakati7508 3 ปีที่แล้ว +4

    SubhanaAllah....

  • @DonMapesa-yy1zl
    @DonMapesa-yy1zl 8 หลายเดือนก่อน +1

    Humo ni uchawin c mskit

  • @selwanmohmmed8792
    @selwanmohmmed8792 4 ปีที่แล้ว +10

    Kaz yenu kuchafua uislam tuuuu Allah anakuoneni mtakwenda kumjibu muogopeni Allah jamani

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh panatisha sana🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️

  • @chiefmahucha6847
    @chiefmahucha6847 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji una SAUTI ya DHAHABU isee..!
    Big up..! Natamani siku moja nikusikie BBC,VOA,DW, CNN, ALJAZEERA, Radio Japan n.k
    Inshallah

    • @muhammedaliy9416
      @muhammedaliy9416 3 ปีที่แล้ว

      Ana sauti ya dhahabu lakini nakwita weye na mimi katika chuma kichafu kilokomaa na kuchu

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 3 ปีที่แล้ว

      @@muhammedaliy9416 hajatualika tukaswali bhana, kasema tukajonee

  • @fatmasaid3683
    @fatmasaid3683 4 ปีที่แล้ว +17

    It’s a complete shirki cause hakuna msikiti unaokuwa na vitu Kama hivyo....jamaa anazuga mshirikina.

    • @sulealim7336
      @sulealim7336 4 ปีที่แล้ว

      hizo jadi zao ni shirki tupu na ndomana mwaka kwao ni kitu kikubwa na hufanyika maasi ya kila namna ukiwauliza hii mmepata wp hawana jibu

    • @ramadhansadallah9894
      @ramadhansadallah9894 4 ปีที่แล้ว

      Mh upo bi Fatma?

    • @abumuhidin6842
      @abumuhidin6842 3 ปีที่แล้ว

      Ndiyo sheriki

  • @JonasAmisiheradi
    @JonasAmisiheradi 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana Sauti Biogo, tume kufwata vizuri sana kabisa tokea Lubumbashi Wantashi DRC CONGO Allah akulipe.

  • @fatmaabdi7192
    @fatmaabdi7192 หลายเดือนก่อน

    Hakuna msikiti wa aina hii toka dunia ianze SUBHANNALLAH

  • @nassirmohd6850
    @nassirmohd6850 4 ปีที่แล้ว +21

    Jamani tumuogopeni Allah ( s w) tuwacheni shriki hata kama mtajaribu uitetea vp lakini hiyo ni shriki.

    • @aminahamis9343
      @aminahamis9343 4 ปีที่แล้ว +2

      Ni nijumba cha mizimu sasa amenaswa kua ni mshirikina sasa anasema ni msikiti mshirikina mkubwa watu kama hawa ndio wanaofanya waisilamu tukaambiwa tunaabudu majini.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 ปีที่แล้ว

      @@aminahamis9343 tena sana ,uwa wananihudhi, Allah anisamehe

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 7 หลายเดือนก่อน

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI QABRI.............

  • @mohammedrajab595
    @mohammedrajab595 4 ปีที่แล้ว

    Na hawana tofauti na wale washirikina waloingiza masanamu ndani ya alqaaba na uislamu ha u na kuendeleza jadi wala mila zisizo na kumtakasa Yeye Mungu(Allah)

  • @hadijahamisi5918
    @hadijahamisi5918 3 ปีที่แล้ว

    Subhannallah, Allah awanusuru kutokana na bidhaa zao, huo ni upotofu wa hali ya juu, Ushirikina mkubwa mno, hamna msikiti ulo na nembo kama hizo, ungeanzwa kuwekwa wa mtume SAW mwanzo.

  • @zeitunkullow5198
    @zeitunkullow5198 3 ปีที่แล้ว +2

    Usiiiiite msikiti huu si msikiti mumezidi kweli hamuogopi mungu 😭😭

  • @ABDICOM-xu3dr
    @ABDICOM-xu3dr 3 ปีที่แล้ว +2

    This is the shirq of association 🙏🙏🙏🙏

  • @ZenabPp
    @ZenabPp 5 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah Yarabi tujaalie mwisho mwema utuepushe na shirki

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    Subhuana Allah mungu pekee ndio ataweza nitatulia shinda mckiti uyo ata ikiingia uwezi swali kwa roho kkupasuka hujui nni kitakutokea mmmh mungu anayaona yale wanayo mcgizia kwa kuficha yao ipo cku kila kitu kitakuwa wazi ulewao ule wao wale wanao mcgizia mungu

  • @fatimahhassan5904
    @fatimahhassan5904 3 ปีที่แล้ว

    ASTHAGH FIRU ALLAHU ADHWIM WA ATHUBU ILAYHI ..
    ALLAH SUBHANA WA TAALA ATUONGOZE SOTE UMMATHY MUHAMMAD SWALLA ALLAHU ALAIYHI WA SALAM.

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 3 ปีที่แล้ว

    Innalilahi wainnailaih rajiun, mashekh waje wayasikie haya watolee fatwa sijawahi sikia msikit wenye masharti km huu

  • @Shaheeda-fn2pr
    @Shaheeda-fn2pr 12 วันที่ผ่านมา

    Inna Lillahi wa inna Ilehi rajiun...hii ni shirk kabair!!!....wasi seme mskiti, hii pango!!!!.

  • @naseer.shariff
    @naseer.shariff 3 ปีที่แล้ว +1

    SUB HAANA ALLAH. UTAKATIFU NI WA ALLAH PEKEYAKE. HUYU MZEE KITU CHA KWANZA HAUJUI UISLAM. LA PILI HAYO SIJUI NI MASANAMU AU NI WATU NA KAMA NI WATU ITAKUWA AJE MWANAMKE NA MWANUME WATAINGIA AJE PAMOJA? TENA MWANAMKE AKAE MBELE NA MWANAUME AKAE NYUMA. HILO HALIWEZEKANI KABISAA KWANI HUO NIUSHIRIKINA ULIO WAZI KABISAA...

  • @biebaraka3258
    @biebaraka3258 3 ปีที่แล้ว +1

    Washirikina hawa. Musiuwaribu uislamu. Yasikitisha sana Allah atawahukumu vibaya sana. Ebu msikiye huyu mtu mzima ooovyooooo. Kuja hapa na kuuuthalilisha uislmu

  • @husnaali1610
    @husnaali1610 2 ปีที่แล้ว

    Subhanaallah,jamani mtihani Zanzibar ss tunaogopa hiyo ninyumbayambungu mnafanyaivo

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 ปีที่แล้ว

    Subhanna llah Yarab Wape fahamu hawa waja wako, Wanaswali hawajuiwalitendalo,msikiti gani unakichuguu cha watu wawili then kitambaa cheupe na Chekundu Allahu akbaru, ni ushirikina

  • @aishaabdallah7422
    @aishaabdallah7422 3 ปีที่แล้ว

    Subhana llah mtihani mkubwa huo hiyo ninyumba yakuabudia?tumuogope mungu kesho tutaenda kuulizwa.hayo mambo yajadi hayamo ktk uislam

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 4 ปีที่แล้ว +7

    Inna Lilah ondosheni hivyo vitu hakuna mskiti was aina hio wandugu

  • @mamadestiny8467
    @mamadestiny8467 3 ปีที่แล้ว +1

    Shetani yuko kazini mungu wetu wa rehema tumrudie

  • @rizikisuleiman7820
    @rizikisuleiman7820 4 ปีที่แล้ว +7

    Huo sio msikiti hiyo ni nyumba ya mizimu tusidanganyane

  • @rosejoely4518
    @rosejoely4518 3 ปีที่แล้ว +1

    Igekua kuwa wakristo wagesema wanaabudu sanamu je? Hizo mlizozieeka si sanamu 😂😂 tumwachie mugu tu maana duniani kunamambo muni za pale zinamaana 😂hatali dank ya mango la musikiti kichaka

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wazanzibar na mila za hovyo wanaongoza, misikiti mnaihusihaj na mambi ya hvyo, unaswal huku kuna makitu km mizim ya watu ndan, muogopen Allah

  • @MwinyihamisiNgoloweta-ek5ye
    @MwinyihamisiNgoloweta-ek5ye 9 หลายเดือนก่อน

    Inshallah Mwenyezi Mungu atauharibu

  • @mimitijara4806
    @mimitijara4806 3 ปีที่แล้ว

    Subhanaallah dunia ime kwisha mungu atatuazibu kwa matendo yenu Allah tupe nusuru waja wake Allah karém

  • @khadijaal4910
    @khadijaal4910 4 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna aina ya msikiti kama humu hii ni shiriki Allah awasamehe hamjui mtendalo

    • @berthaworner5936
      @berthaworner5936 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa misikiti tunaoijua aiko hivyo, hivo vitambaa vyekundu ni uchawi kabisa

  • @fatmayusuf9631
    @fatmayusuf9631 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah mungu awaongeze jamii hiyo

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 4 ปีที่แล้ว +3

    Wangapi Wameuelewa Msikiti Kichaka

    • @twahahango3968
      @twahahango3968 3 ปีที่แล้ว +2

      Nahisi ni sehem ya jadii lkn pia yafaa kuswaliaa....ila mushkili wake ni hivo vinyago kandoni mwa qiblq

  • @hajimohamed7007
    @hajimohamed7007 4 ปีที่แล้ว +2

    washirikina wakubwa mungu wajaeka vitu hivo walatume hajaweka vitu kama hivo ingelikua kuna ulazima wa misikiti kutukuzwa watu kwakuwekewa vitambaa hivo angwekewa nabii muhammad

  • @ibramalofa9913
    @ibramalofa9913 4 ปีที่แล้ว +3

    Washirikin wkbw nyie laana ziwe juu yn In shaa allah

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 4 ปีที่แล้ว

      @@sahimm4767 una busara sanaaa Allah akuzidishie AMIN Allah awahidi atuhid na sisi yarab

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah kumbe wanautumilia kwa mambo yao ya jadi mwaka kogwa.

    • @nawwarsultwaan6404
      @nawwarsultwaan6404 3 ปีที่แล้ว +1

      Subhanallaaaaaaaaaaaah wallah Astaghafirullaah Astaghafirullaah

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      @@nawwarsultwaan6404 mtihani mkubwa

  • @allykhalidy1992
    @allykhalidy1992 3 ปีที่แล้ว +1

    Huo ushirikina hakuna msikiti hapo mmeweka masanamu midoli Allah awatoe ktk ujahil

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 4 ปีที่แล้ว +22

    KISHA KUA KILINGE CHA UGANGA HICHO SAFISHENI NYUMBA YA MWENYEZI MUNGU

    • @wangonamuhange8218
      @wangonamuhange8218 4 ปีที่แล้ว

      Sio nyumba ya mwenyezi mungu mungu hana nyumba.sema.nyumba.ya.ibada

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว

      yani kuna watu wanapenda ligi!!!???

    • @aminaally2014
      @aminaally2014 3 ปีที่แล้ว

      Mtihani ALLAH atustiri hadi leo watu hawaamini imani ya kiislam

  • @mozahpretty1030
    @mozahpretty1030 3 ปีที่แล้ว +1

    Subuhallah Allah Duuuuuuuuuuh kwan inyo ni musikit ao🤔🤔🤔🤔

  • @halimasalim3985
    @halimasalim3985 3 ปีที่แล้ว

    Ina lillahi waina ilehi rajiun. Kama ni kuabudu Allah mbona hizo mifano. AsbiAllahu wanemal wakeel

  • @yasmiinmire1016
    @yasmiinmire1016 4 ปีที่แล้ว

    Wana ji tengenezie mskiti Yao na sanamu nyenye Wana abudu subhanallah mungu atu samehee. Wame fahamu dinii ya ki islamu vibaya. Wa islamu hawaabudu vitu muna abudu. Hiyo Ni dambii kubwa sana na haiwezwi kuu samehewa. Ime semwa kwa Quran. Miskiti Ni pahali pa kuu abudu mungu si sanamu na hiyo Ni shirki. Na shirki ime semwa kwa Quran mwenye aki fananisha Allah na vitu zingine hata wahi samehewa

  • @mioszpiotrowski1467
    @mioszpiotrowski1467 3 ปีที่แล้ว

    Sahihi kabisaa nishiriki kubwasana nawanapatadhambi kubwasana na uislam haukufundishahivo ndani yamsikiti muweivoo astaghafirullah laadhim Allah tunusuru naimanihii huu nimsiba mkubwasaanna inahuzunishasana

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 4 ปีที่แล้ว

    Innaalillaahi, wamakunduchi acheni Mila za kishirikina muogopeni ALLAAH

    • @masharubundevu3765
      @masharubundevu3765 4 ปีที่แล้ว

      Wenyewe mnaenda hukohuko na kusifu mwaka kogwa wanafiki zbar ndo kz yenu ynafiki tu, wengine mnazini na wake za watu wengine na waume za watu

    • @ramadhanimbulu6716
      @ramadhanimbulu6716 4 ปีที่แล้ว

      We asha mbona nishawahi kukuona msikiti kichaka?

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 4 ปีที่แล้ว

      Ramadhani Mbulu basi haay

    • @ramadhanimbulu6716
      @ramadhanimbulu6716 4 ปีที่แล้ว

      @@aishamuhammad7785 msihamaki jamani, maana halisi ya msikiti ni nyumba ya Ibada,na ibada Ziko nyingi, kuna misikiti ya mashia,kuna misikiti ya wahindi wanaabudu sanamu, wengine mizimu, wengine jua,mashetani nk.Kama wangeuita masjid ningeenda kuuvunja, masjid ni nyumba ya Allah, msikiti kichaka uacheni uendeleze ibada Zake.

  • @dumejengo4308
    @dumejengo4308 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnaenda mizimni alaf mnasema msikitiii....wamakunduchii mjitathmin zaidi baadh yenu. Na wengi wetu tujitathmin tuachane na ibada za mizimuuuuu

    • @wangonamuhange8218
      @wangonamuhange8218 4 ปีที่แล้ว

      Ww jena lako jengo ilo.jina LA jengo ni jina LA.mizimu kama unge taka.ivo usijiite jengo jiite majina ya.kitumwa au.ya.kialabu ili.uwe.sahihi

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 3 ปีที่แล้ว

    Msitutie ila mbaya ktk Uislam hakuna msikiti huo.Subhanaallah.Ww mzee mrudie Mungu wako,kweli msikiti ndani yke mna matambaa yamizimu na masanamu na huko nje umezunguukwa na matambaa mengine?
    Wacha kuficha ukweli,Uwo ni mzimu 100%.
    Na nyny watangazaji msituoneshe tena kitu kama icho wachilieni wenyewe na shirki zao.

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 ปีที่แล้ว +12

    Ushirikina huoooo!

  • @shababygirlshambuwa8388
    @shababygirlshambuwa8388 4 ปีที่แล้ว +4

    Subhana llah

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว

    Wameweka sanamu ndo wanachoabudu Eee M/Mungu wasamehe waja zako🙏🙏🙏🙏

  • @salimndicu7083
    @salimndicu7083 9 หลายเดือนก่อน

    Waaa Ndio gani tena hizi.. innallillahi wainna illaihi rajiun.

  • @mussamakame411
    @mussamakame411 4 ปีที่แล้ว

    Mskiti hauna shrt km hz za shirki hv vitambaa va nn na mski hauna vit hv jaman mungu atustiri kwa kila kt amin

  • @ppandenassoro6666
    @ppandenassoro6666 2 ปีที่แล้ว

    Washirikina hao.Ibada hiyo kaifundisha nani???Allah awarudishe ktk njia ilyonyooka.

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 5 หลายเดือนก่อน

    Msikiti wa mwanzo usiokuwa w haki wa mwanzo ni ule masjidi dhirarah, kwa hiyo sio ajabu kusikia jina linaitwa msikiti, lkn mbele ya Allah sio msikiti, utabakia kwao wao tu.
    Allah atuongoze kwenye haki.

  • @rayaseif7226
    @rayaseif7226 8 หลายเดือนก่อน

    Innalillah waina ilayh rajoun
    Mtihan mzito 😢

  • @nurutv1322
    @nurutv1322 4 ปีที่แล้ว +1

    haukuna msikiti hapo ni ushirikinatu wafanya kupitia dini ya mwenyezi Mungu

  • @MasoudNyoni-g8o
    @MasoudNyoni-g8o 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsate Sana Kwa ujumbe mzuri

  • @saumjengi8184
    @saumjengi8184 3 ปีที่แล้ว +2

    Subhannallah

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 4 ปีที่แล้ว +9

    Mwandishi tumia weledi wako ili watu wajuwe hili tukio linafanyika wapi na unamhoji nani

  • @ismailallykhamis3314
    @ismailallykhamis3314 3 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo wanaabudia hao watu mbona Uislamu tunapptosha ndomana wakiristo wanatuambia tunafuga majini huo sio msikiti ni Shirki ya wazi kabisa SubhanaAllah

  • @tadeikapinga2905
    @tadeikapinga2905 3 ปีที่แล้ว

    Waislamu ndiyo zetu, mwaipop uko wapi😅😅😆😆

  • @aminahusein6236
    @aminahusein6236 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh imamu wake nani huo mckiti,laa tushrik billahi inna shirka ladhulmun 'adhiim

  • @mabrouksaleh2472
    @mabrouksaleh2472 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wacha shiriki ndani ya misikiti ya Allah nyiny ni wa kutiwa adabu

    • @aminahamis9343
      @aminahamis9343 4 ปีที่แล้ว

      Wakachapwe vibiko kwa kudhalilusha uisilam halafu hicho kinyumba cha vigango kichomwe eti vitu vya jadi mmmmmh mshirikina huyu Babu aibu nimemshika mkono.

  • @zenaycechanzinho6702
    @zenaycechanzinho6702 3 ปีที่แล้ว +1

    QALU innalilah wainna ilayh rajoon

  • @marcntwari4012
    @marcntwari4012 3 ปีที่แล้ว +1

    Damu ya yesu itembeye ndani