MKOBA WA MAMA Episode| 1 |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 306

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 7 หลายเดือนก่อน +115

    Haya maisha ni hatari sana... Ujumbe mzuri sana. Kuna filamu za wazungu ambazo wanaigiza stori za kufikilika kama akina super man. Wanavaa nguo za kufikirika n.k na sisi tunaweza kufanya ubunifu wa kuvaa mavazi ya kustiri miili yetu vizuri kisha tukafanya kazi mwanzo mwisho kuonesha ubunifu....❤

    • @A7films255
      @A7films255 7 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli kabisa

    • @Andreaediga
      @Andreaediga 7 หลายเดือนก่อน +4

      Ni kwel tdn😂❤❤

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 7 หลายเดือนก่อน +3

      @@A7films255 shukran sana ndugu yangu ❤

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@Andreaediga shukran kwakuliona hilo ❤

    • @zubeirkheir2882
      @zubeirkheir2882 7 หลายเดือนก่อน +1

      Good 👍

  • @MATOPESAFI46
    @MATOPESAFI46 7 หลายเดือนก่อน +17

    Actors wa clam vevo ndio wamenileta hapa mnaigiza virur zana. Twawapenda kutoka kenya 🎉

  • @directorkakoso
    @directorkakoso 7 หลายเดือนก่อน +58

    Kazi nzuri 💪

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 7 หลายเดือนก่อน +2

      Nikuulize kakoso tanu ndie yule alie nyonya damu ya mbuzi kwenye big bos au wamefanana?give me answer.

    • @LovelyDachshund-lh6cc
      @LovelyDachshund-lh6cc 7 หลายเดือนก่อน

      Good job

    • @mamichelton
      @mamichelton 7 หลายเดือนก่อน

      Bom trabalho

    • @AyshaAysha-s5g
      @AyshaAysha-s5g 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @Assani123
      @Assani123 7 หลายเดือนก่อน

      Kakoso nakupenda sana.

  • @GasoreJuma
    @GasoreJuma 7 หลายเดือนก่อน +10

    KIM vevo unaniangusha,mwenzio nakupenda kisha unampenda Tanu kisa kakutoa ubinti!tusikitike kwanza . tyu tyu tyu tyu.

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 6 หลายเดือนก่อน +4

    hili kundi aiseeeee liko powa sanaaaaaa hongereni kila mnapo tutikisa mashabiki zenu mnatupata teleeeee hingereni tunawapenda

  • @Gainoz27
    @Gainoz27 7 หลายเดือนก่อน +15

    Team kapara wana man

  • @Maryam-ye2xg
    @Maryam-ye2xg 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mwakatobe nina matatizo jaman nisaidie mganga wa maana kabisa❤

  • @sengomk
    @sengomk 7 หลายเดือนก่อน +14

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuli sana kaka Tanu unajua mpaka unajua tena mie naogopa😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉

  • @Mwinyi_yanga
    @Mwinyi_yanga 7 หลายเดือนก่อน +8

    Me namkubali sana sandra

  • @IkramYassin-k9k
    @IkramYassin-k9k 7 หลายเดือนก่อน +14

    Akili mtu wangu: utakuja kulivaa vazi ambalo hautalivua maisha yako yote it means Maradh

  • @AshuraHamadi-kb7ne
    @AshuraHamadi-kb7ne 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nawapenda sana group Kim vevo naitwa anifa namiaka 16❤❤❤❤ hatamimi na weza kuigiza nampenda sana sengo na kipara wana man pamojana sauda pamoja sn

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 7 หลายเดือนก่อน +9

    Mwakatobe=zinga =zinga= best, Mwakatobe wewe ni bingwa na kesho 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @omarsalim6575
    @omarsalim6575 7 หลายเดือนก่อน +4

    Big up brother TANU 💪👊 kipara Wana man nakubali man👊

  • @LaReinezuenaZuena-ih2kd
    @LaReinezuenaZuena-ih2kd 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hhhh ninapenda jinsi mganga anavyo jibu Solokondo kobo😂😂

  • @teddysananga
    @teddysananga 7 หลายเดือนก่อน +25

    Ila mwakatobe na meno yake anachekesha😂😂😂 anavyocheka

  • @KambaleMagherya-hs1td
    @KambaleMagherya-hs1td 7 หลายเดือนก่อน +4

    Sorokondo kobo😂😂😂😂😂😂😂 mwakatobe wewe ni mnoma sana

  • @AsmaMpojo
    @AsmaMpojo 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kaz iendleee amn kulaza damuu🎉🎉🎉

  • @RamadhanOmar-uz2vr
    @RamadhanOmar-uz2vr 7 หลายเดือนก่อน +8

    Team clam vevo gonga like kwao ❤❤bi migomba hatari

  • @HabibaKassim-ot3jg
    @HabibaKassim-ot3jg 7 หลายเดือนก่อน +14

    Ila Mwakatope eti solokodo kodo😂😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 7 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wa clam mnjw sana km bosi wenu❤❤❤🎉🎉🎉

  • @DirectorFonga
    @DirectorFonga 7 หลายเดือนก่อน +8

    Kaza Mzee kazi nzuri

  • @Hanstz-kp5oc
    @Hanstz-kp5oc 7 หลายเดือนก่อน +7

    Hii move inaonekan ni kali hatari😂😂

  • @neemasabuni6164
    @neemasabuni6164 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi kazi

  • @jasminirajabu6865
    @jasminirajabu6865 7 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂 macho matano

  • @JudcBen-ye9cy
    @JudcBen-ye9cy 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mwakatobe me hoi😂😂😂

  • @ZainabuSalehe-hi2pw
    @ZainabuSalehe-hi2pw 7 หลายเดือนก่อน +3

    move nzuriii

  • @ngabungabrain6574
    @ngabungabrain6574 7 หลายเดือนก่อน +29

    Kipara Ni zaidi ya clam vevo mchunguze vizuri nipeni like zangu

    • @rehemajoseph-ng9gv
      @rehemajoseph-ng9gv 7 หลายเดือนก่อน +1

      Clam ni hatari❤

    • @JohnBwija-xg5pf
      @JohnBwija-xg5pf 7 หลายเดือนก่อน

      Uko bazimu clam vevo nimwamba sana naanajuwa sana clam vevo anagamupinzani

    • @emanuelchanya5182
      @emanuelchanya5182 6 หลายเดือนก่อน

      Punguza matusi

    • @nimaali4986
      @nimaali4986 5 หลายเดือนก่อน

      Clam yuko vzry zaid

    • @husseinallyshego4915
      @husseinallyshego4915 4 หลายเดือนก่อน

      Yeah nikweli

  • @gabrielmnangala7822
    @gabrielmnangala7822 7 หลายเดือนก่อน +3

    Sandra n mrembo aiseeee sio pw mwenyew sipingi

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 7 หลายเดือนก่อน +8

    Salakanda kaba 😂 Mwakatobe 😂

  • @Kenyanboy-v6s
    @Kenyanboy-v6s 5 หลายเดือนก่อน

    Kipara kwa kizungu chake anatisha kwa kweli hongera❤

  • @AbdulyRashidi-x7w
    @AbdulyRashidi-x7w 7 หลายเดือนก่อน +7

    Goods jobu

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 7 หลายเดือนก่อน +10

    Team furus team WiFi naomba tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @umaima1178
    @umaima1178 7 หลายเดือนก่อน +7

    Sandra macho matatu🎉🎉🎉

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 7 หลายเดือนก่อน +11

    😂 TANU ulikuwa na SADRA kwenye UFUO naona na huku tena unataka kumchukua 😂 Huyo mdogo wako Tanu namkubali sana amekaa kiupole upole. Anapendeza sana scene za ustaarabu, ushauri na mke bora. ❤ Hongera kwake, Tatizo jina lake sijalikalili.
    Tamthilia hii imechangamka, Tanu piga kazi kaka.

    • @DottoZawadi
      @DottoZawadi 7 หลายเดือนก่อน +1

      Km ni yule mdada anaitwa sauda

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@DottoZawadi ewaaaa! Ahsante sana kwakunikumbusha. Anaitwa SAUDA 🤝

  • @umaima1178
    @umaima1178 7 หลายเดือนก่อน +7

    Sandra 😂😂😂😂

  • @SalmaChaulembo
    @SalmaChaulembo 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kiukweli nimefrah wadau one day

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kim nampenda sana

  • @ZainabuStephano
    @ZainabuStephano 5 หลายเดือนก่อน

    Napenda Sana mwakatobe anavyoigiza 😂😂😂😂

  • @772moana
    @772moana 7 หลายเดือนก่อน +39

    Tunaosoma comment huku tukiangalia tujuane😂😂😂

  • @bensemweofficiall
    @bensemweofficiall 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kaka mkuu🎉

    • @tanuplus
      @tanuplus  7 หลายเดือนก่อน +1

      Nakusubir tufanye kaz

    • @bensemweofficiall
      @bensemweofficiall 7 หลายเดือนก่อน

      @@tanuplus mapema father✊️✊️

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 7 หลายเดือนก่อน +6

    Et macho 5 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila kipala m snaga tabia zaumbea umbea

    • @GasoreJuma
      @GasoreJuma 7 หลายเดือนก่อน +2

      Sio michongo yangu,nishaachaga.

    • @zaykham155
      @zaykham155 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@GasoreJumaI'm sorry! I'm sorry! I'm so sorry😂😂😂🙌 kibara jaivah😅

    • @GasoreJuma
      @GasoreJuma 7 หลายเดือนก่อน +3

      @@zaykham155 😂😂😂😂😂😂Kipara mwaka huu ni mwaka wake.😂😂😂😂😂.
      Aaah mimi tena,unaniuliza taarifa nimepata wapi?Sinaga tabia za umbea umbea.

    • @zaykham155
      @zaykham155 7 หลายเดือนก่อน

      @@GasoreJuma 🤣🤣mm mchezo nikimuona kipara naenjoy san ila mda mwengne umbeya wake unanikera km kweny snake boy aaagh nataman niingie muda mwengne anavoboa🤣🤣🤣🤣😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 5 หลายเดือนก่อน

      Sio michongo yangu nishaachaga😂

  • @ChristianImaniChristian
    @ChristianImaniChristian 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wa tanzania munapenda uchawi sana

  • @SMelodyKhan-yt3ye
    @SMelodyKhan-yt3ye 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera kaka pia tunashukuru kwa kuikuz tasnia yetu ya filamu Tanzania hakika mnapambana sana

  • @HvgUgg-w1p
    @HvgUgg-w1p 7 หลายเดือนก่อน +5

    Sinaga tabia za umbea umbea nishaachaga kma wampenda kipara gonga like apa

  • @JasintaSalum-p9k
    @JasintaSalum-p9k 3 หลายเดือนก่อน

    Ila jamn me tanu nampenda sana

  • @JustinGama-qy1tp
    @JustinGama-qy1tp 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ila Kipara😂😂😂😂😂

  • @MwaishambaKipanga-bu9sz
    @MwaishambaKipanga-bu9sz 7 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani kipara 😅😅

  • @MarthaObadia
    @MarthaObadia 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kipara my favorite ❤

  • @KarimoMussaamade
    @KarimoMussaamade 7 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana movie

  • @IdiAlly-j1s
    @IdiAlly-j1s 4 หลายเดือนก่อน

    Vizuri zana

  • @AtuPojoni
    @AtuPojoni 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwaisa unaweza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @markpetersen1448
    @markpetersen1448 2 หลายเดือนก่อน

    Mwakatobe, sengo, Zumba, and mbwela tha main actor
    Congratulations Buddies ' ve been subscribed to your channels the movies are Awesome Congratulations 👏 👏 or sorry and kipara jaiva.

  • @AmericomateusMateus
    @AmericomateusMateus 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kipara no Noma sana

  • @SaudaMbuya
    @SaudaMbuya 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hujawahi kupoa wala kuboa ❤

  • @DullaxIssaAbdala
    @DullaxIssaAbdala 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nampendasana video viamakatombe ❤love😊😊

  • @husnamasanja3885
    @husnamasanja3885 6 หลายเดือนก่อน

    Mwakatobe anajua. Kuigiza xana❤😂🎉🎉🎉🎉🎉😮😅😅

  • @BatuliAdam-q1m
    @BatuliAdam-q1m 4 หลายเดือนก่อน

    Mikoba ipo mingapi jomoni🤣🙄au Kila mtu na mkoba wake na mm nataka tuanzishe ya kwetu jomoni kikapu cha mama mkwe😂🏃🏃🏃

  • @DorcasManety
    @DorcasManety 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaz nzur❤

  • @VailethJohn-c4u
    @VailethJohn-c4u 3 หลายเดือนก่อน

    Nampenda bi migomba hasa anavoongea❤

  • @MujongaSelemba
    @MujongaSelemba 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi zuri san❤

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤❤❤❤

  • @MudrickMtinginya
    @MudrickMtinginya 7 หลายเดือนก่อน +1

    Muko vzr san

  • @aviation.operationsflight
    @aviation.operationsflight 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu Sandra kavaa jezi ya Kipara ya Astropay😂😂😂😂😂 mnatucheza kweli.

  • @RahmaWazir
    @RahmaWazir 6 หลายเดือนก่อน

    Ayo machungwa si bora unipe mm nikawape wajomba zako wapate vitamini c😂😂😂😂😂

  • @DottoLwambo
    @DottoLwambo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi iko vizuri ❤❤❤❤❤ much love story mr Tanu

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 7 หลายเดือนก่อน

    Mola Azidi kuwasaidia mfikie Malengo,tusiache ibada# kazi ni nzuri team Tanu+

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @graffinamisi
      @graffinamisi 7 หลายเดือนก่อน

      Samahani tumezila zote

  • @Thesilvaplatinumz
    @Thesilvaplatinumz 7 หลายเดือนก่อน +3

    Solokondo koboo

  • @Zeldaommy
    @Zeldaommy 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechelewa sana Leo bt umefika kazi nzur sana kaka Tanu nimefurahi kumuona kaka mbwela 🎉🎉❤❤❤

  • @MWANATIMEATHUMANI
    @MWANATIMEATHUMANI 6 หลายเดือนก่อน +1

    Big up kazi nzuri aiseee❤❤

  • @NgekiMgara-zw8bw
    @NgekiMgara-zw8bw 3 หลายเดือนก่อน

    Usikute huyu jamaa kweli ndo mganga ndelee😜😜

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂Yani Tanu unamuhonga pisi kali machungwa😂😂😂😂😂

  • @ZawadiMnara
    @ZawadiMnara 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tanuuu kaka🔥🔥🔥🔥🔥

  • @RuthNicodemo-bc5uo
    @RuthNicodemo-bc5uo หลายเดือนก่อน

    Umepigaje hapo!!!

  • @MaryamkherKherjuma
    @MaryamkherKherjuma 7 หลายเดือนก่อน +3

    Cute❤

  • @PeninaOdino
    @PeninaOdino 4 หลายเดือนก่อน

    Tupooo wasomaji

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 6 หลายเดือนก่อน

    Mmmh tanu si umuoe uliemtoa bikra 😂😂😂😂😂ila wanaume puuuuh

  • @MalaikaBaby-in1un
    @MalaikaBaby-in1un 7 หลายเดือนก่อน

    Movie nzuri kiukwel kipara Sina tabia yaumbea kwel ameuwa

  • @Princelatnah
    @Princelatnah 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kama tumeanza wote filamu hii basi naomba2 subscription tukiendelea ntashkuru sana kila mmoja wenyu

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 7 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉

  • @rhamlaally6930
    @rhamlaally6930 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa km wachawi kweli

  • @nelsonandanyi
    @nelsonandanyi 6 หลายเดือนก่อน

    I like the unity among you people how you support each other...

  • @menaatz
    @menaatz 7 หลายเดือนก่อน +4

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂Nimemuona bwana mmoja mwenye madevu ,mwili km nn 😂😂😂😂jmn kipara 😂😂😂😂😂
    Mbona Tanu mzuri tu

  • @berthelmichael
    @berthelmichael 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kipara nyie hachezi mbali na ubora wake

  • @MasaluShilangila
    @MasaluShilangila 7 หลายเดือนก่อน

    Aise Hawa jamaa ni noma sanaa

  • @saudasaide5410
    @saudasaide5410 2 หลายเดือนก่อน

    Mnakoseaga kwenye hizo nyumba. Nyumba mbele inaonekana ina mango wa mbele na nyumba lakini watu wameenda nyuma ya nyumba tunaona haina mlango

  • @KuluthumuMsuwakollo
    @KuluthumuMsuwakollo 5 หลายเดือนก่อน

    Yan mwakatobe 😂😂😂😂

  • @umaima1178
    @umaima1178 7 หลายเดือนก่อน +5

    Asante 🎉🎉🎉🎉

  • @Sobo740
    @Sobo740 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kipara km kipara

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 6 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh et mashamba ya urithi yauzwe jmn wanawake mmmh

  • @OffcialKp
    @OffcialKp 7 หลายเดือนก่อน

    Unayempenda naye kampenda mwingineee haya mapenzii nouma kweli

  • @PendoKomba
    @PendoKomba 7 หลายเดือนก่อน

    Nomaa❤❤❤

  • @sisiproductiontz
    @sisiproductiontz 7 หลายเดือนก่อน

    Safiiiiiiii sanaaaaaaaa

  • @MwanaidiAbdallah-rp3vm
    @MwanaidiAbdallah-rp3vm 7 หลายเดือนก่อน +1

    Like move

  • @RivaTata
    @RivaTata 7 หลายเดือนก่อน +1

    Clan Vevo wa star wako ni atari twa kupongeza sana Bron

  • @manaxelukama2926
    @manaxelukama2926 7 หลายเดือนก่อน +1

    Series nkimuona sada2 ❤️❤️❤️❤️

  • @EduardoErnestoTome
    @EduardoErnestoTome 4 หลายเดือนก่อน

    Akili njingi kwenhe kazi

  • @AmanaK-u7z
    @AmanaK-u7z 7 หลายเดือนก่อน

    Duuh 🥺 hii noma sana kwa kweli