FROM BEST FRIEND TO GIRLFRIEND 💞❤️ New Bongo Movie |Swahili Movie | Sad Story | Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 779

  • @petronillamotari1754
    @petronillamotari1754 ปีที่แล้ว +55

    My fellow Kenyans tunao fatilia donta TV jmniii kiss my comment tukizonga ❤❤❤❤❤❤

    • @SosiSaeed-y6i
      @SosiSaeed-y6i 3 หลายเดือนก่อน +2

      Sisi wakenya hatuchelewangi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @housemanagmentfinishing1151
    @housemanagmentfinishing1151 ปีที่แล้ว +33

    😂😂😂😂😂😂 jamani nimecheka mbavu sina hakika mmetisha sana donta tv kwenye hii move mme buni 🎉🎉🎉🎉chukueni maua yenu

    • @HeppyMken
      @HeppyMken ปีที่แล้ว

      Kwakwel wapewe maua yao❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ProjestusNovat
    @ProjestusNovat ปีที่แล้ว +33

    Baba wewe ni kanumba wa pili baba piga kazi mzee nakuombea mungu

  • @abdulazizkanyame6368
    @abdulazizkanyame6368 ปีที่แล้ว +19

    Me nacoment kwenye uvaaji, msipende kuvaa mawigi sana kwa wadada , serious nyingine muwe hata mnasuka , mitindo ipo tofauti tofauti, unajua muonekano na uhalisia wa movie inavutia sana mashabiki, naona kila movie mawigi tuu ,, huo ni mtazamo wangu mim tuu kama ushauri

  • @remmyless
    @remmyless ปีที่แล้ว +34

    Jamani kwenye hii episode usipocheka aaah unamatatizo😂😂😂😂 kipindi kinapendeza..basi na mm mnipe likes

  • @sharifamuosa5063
    @sharifamuosa5063 ปีที่แล้ว +20

    Jaman sijawahi koment ila Leo lovenes na kelvin mumenitoa mbavu nipen maua yangu 😂😂😂😂😂

  • @Berylakech7
    @Berylakech7 4 หลายเดือนก่อน +9

    Haki nyie lavenes na kelvin munapendeza weee Leo jameni mnaniuwa na kicheko wapi likes zangu🤣🤣

  • @Zouzouzoena
    @Zouzouzoena 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wamwishoo Burundi oyeee Kam mnapenda Burundi naomben like 🎉🎉

    • @monicakilua2347
      @monicakilua2347 2 หลายเดือนก่อน

      Naamin loveness na Kevin nyie ni mwyamba sanaaaa nawapenda sanaaaa ndugu zang❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MaryMueni-e8y
    @MaryMueni-e8y ปีที่แล้ว +18

    Nyie bona mwanitia majaribu ya kupenda tena❤

    • @GLove-i7i
      @GLove-i7i หลายเดือนก่อน

      Yaan we dada umenifurahisha, utadhani mapenzi yote yapo hivi.

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby3697 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 saaii umetuletea comedy Kelvin na loveness big up sana guys congratulations ❤❤❤❤❤

  • @mobastian5050
    @mobastian5050 ปีที่แล้ว +104

    Nyie sio wa kwanza ila Niko mwanzoni sana nipeni like zangu leo😂😂😂

    • @janemaisiba6508
      @janemaisiba6508 ปีที่แล้ว +5

      Nmekupaliana na wewe😂

    • @mobastian5050
      @mobastian5050 ปีที่แล้ว +3

      @@janemaisiba6508 🤣🤣🤣🔥

    • @NuruJuma-yz1eh
      @NuruJuma-yz1eh ปีที่แล้ว +4

      More love from Kenya❤❤❤❤

    • @mobastian5050
      @mobastian5050 ปีที่แล้ว +3

      @@NuruJuma-yz1eh ❤️❤️❤️

    • @AsebaleylaDavid
      @AsebaleylaDavid ปีที่แล้ว +3

      Like muna uza wapi

  • @AliNassoro-r9d
    @AliNassoro-r9d 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bd sijachelew from kisiwan naomb like japo kdg

  • @meritepromahamba2805
    @meritepromahamba2805 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nime penda sana kwa sababu hii îme nikumbusha mbali kama nahii isha wayi nitokea n'a kubali sana muvi zako wewe ninoma Calvin.❤❤

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 หลายเดือนก่อน

      ulikuwa una iba miwa ya Watu au mapera au embe za Watu Mnakimbia au ukitumwa mahala mkachza hadi mkasau mliivo tumwa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 ปีที่แล้ว +7

    Hakika love nes unajuwa na unajuwa sanaaaa kucheza uhusika 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LUKASNGOMBANIZA
    @LUKASNGOMBANIZA 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie watu hamna baya, naipenda kazi yenu nanitazidi kuipenda forever and ever.

  • @GastoDismass
    @GastoDismass 3 หลายเดือนก่อน +2

    munatukumbusha mbali walio pitia hiii kitu gonga like apa

  • @franciscar7153
    @franciscar7153 3 หลายเดือนก่อน +3

    Maskini kumbe kelvin alikua yuampenda loveness 😢😢❤❤❤❤❤

  • @FlorahKapinga
    @FlorahKapinga 4 หลายเดือนก่อน +2

    aaah leo na comment kwa mara ya kwanza aaah kweli mmejua chukuen maua yenu donta tv mmejua kinifurahisha🥰🥳

  • @BarakaZahigaJospinking
    @BarakaZahigaJospinking 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaaaaaaaaah épisode hii nzuri sana kabisa, imetucekesha n'a imetupa mashauri mengi mungu awabariki

  • @StephenMuhehe
    @StephenMuhehe ปีที่แล้ว +7

    Laveness n actor mzuri

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 11 หลายเดือนก่อน

      Sana anajua kiukweli pia ni kazuri Kenyewe

    • @FaithJanee-r6x
      @FaithJanee-r6x 4 หลายเดือนก่อน

      tena sana

  • @AngelIsaya-x2d
    @AngelIsaya-x2d 26 วันที่ผ่านมา +1

    waoo mnapendezana sana

  • @PriscaKagendo-w7q
    @PriscaKagendo-w7q 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana love 🎉 Kwako mamii

  • @AnnvyonneWangechi
    @AnnvyonneWangechi 3 หลายเดือนก่อน +1

    True love 💕💕💕💕 yaaaaaaani umenifanya nikali mtoto wa baba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 kama Dunia kulikuwa na mapenzi kama haya atungekuwa na dhambi yeyote waaaaaaaaaash loveness 🥰

  • @Kamba_Boy
    @Kamba_Boy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dah😂😂😂😂😂usipocheka hapa una mapungufu yako😂😂😂😂

  • @HappyHappy-uo8hj
    @HappyHappy-uo8hj ปีที่แล้ว +3

    Kelvin na loveness mwaniua jamani nimecheka yangu yote i love you guys from Kenya 🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr ปีที่แล้ว +3

    Yaan kwel mmejua kutufurahisha nmecheka kwa vituko vya kelvin na lovenes😂😂😂 much love donta Tv ❤

  • @calvinkobelo4335
    @calvinkobelo4335 ปีที่แล้ว +6

    Lovness is already a star... Dada anajua sana

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi munapendeza sana kweli munatuuwa na kicheko ebu muanze maliza ma mouvie zenu donta tv kwani kwa wiki moja munapenda mtu afwate mouvie ngapi jamani !!!!!!!!!!!!!!

  • @moronayou5148
    @moronayou5148 ปีที่แล้ว +13

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @KisafiHamisi
    @KisafiHamisi 4 หลายเดือนก่อน +4

    Love mauwa yako ayo mummy ❤❤❤❤❤❤❤😂😂

    • @Mendradikilowoko
      @Mendradikilowoko 3 หลายเดือนก่อน

      Love mauwa yako ❤❤❤❤❤❤🌴🍃🌺🌺🍃🌴
      💛🌻🌻🌻🌻💚
      🌻🌻 😍 🌻🌻
      🌻Love YOU🌻
      🌻🌻 🌹 🌻🌻
      💚🌻🌻🌻🌻💛
      🌴🍃🌺🌺🍃🌴

  • @HusnaMasenga
    @HusnaMasenga ปีที่แล้ว +3

    Nimecheka 😂😂😂alafu nimelia 😢😢😢mulipo nipo kutoka omani nawapenda sana ❤️👌

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani Kelvin simuoane huyo Loveness . Mmependezana kwa kweli.Movie nzuri.

  • @Saraphina-y5o
    @Saraphina-y5o 3 หลายเดือนก่อน

    Nmecheka atari loveness jaman nakupenda sana mummy pamoja na kevo wako ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @MariamuhamzatiHasani
    @MariamuhamzatiHasani หลายเดือนก่อน

    Yaanii mbavu zangu nyie loveness na kelvin mmetisha💐💐

  • @VeronicahVeronicah-i7p
    @VeronicahVeronicah-i7p 15 วันที่ผ่านมา

    Kevin mbona tina yy kila movie anapenda kuackt kama mwamke mwenye tamaa sana kama ile zanaa yenye mlicheza victoria akiwa dada wa kazi tina na loveness wakiwa wenye tamaa sana ila kazi nzuri mungu awatangulie tuwaombea mungu 🙏🙏

  • @Zakayochui-d8f
    @Zakayochui-d8f 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yan brother mnaigiza lakn kwa hii mmejua kuchekesha watu😂😂😂😂

  • @geraldkapinga611
    @geraldkapinga611 ปีที่แล้ว +7

    Love bahat yako 😂😂 kwny penzi la mdada wa kazi nilkuwa nakuchukia ww 😂😂 kumbe n movie bhn 😂

  • @IddyMfanga-vn1sx
    @IddyMfanga-vn1sx 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmetisha kelvin na laveness ❤❤❤

  • @Nne5oo
    @Nne5oo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Daah Hadi Raha Ani me naomben tu kujua walipochezea move❤❤❤❤

    • @HadiaFumuamee
      @HadiaFumuamee 5 หลายเดือนก่อน

      😱😱😱😱😱

  • @geraldkapinga611
    @geraldkapinga611 ปีที่แล้ว +2

    Leo nmekupenda buree loveness 😂😂 co kipind kile ulivyomtesa kelvin

  • @AmneHabshy
    @AmneHabshy 7 หลายเดือนก่อน +2

    I really love this 2 girl's lovenes your the best mamaa keep it's up ❤I love the way your talking like you want or not🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌

  • @asmandunda3639
    @asmandunda3639 ปีที่แล้ว +1

    Nyie mnatuchosha,,, mnabakana to hampigani kelvini achaaaaa wehu nawe unapenda to sauty ya loveness

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 ปีที่แล้ว +14

    Much love from Kenya ❤❤❤❤

  • @SaidJuma-n5d
    @SaidJuma-n5d หลายเดือนก่อน +2

    Kelvin utaniuya mtu wangu

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 3 หลายเดือนก่อน

    Aki mwachekesha,ati nisubiri uko, lakin napenda sana kelvin na ❤ness mwakaa kambae n mtu na mdogo wake

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza หลายเดือนก่อน

    Ata uwe na asira gani kwenye mouvie iyi lazima tu uceke ki ukweli kazi nzuri sana

  • @tangazatv
    @tangazatv 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanaume na mwanamke wezi 😂😂😂😂😂😂😂 wamekimbia na miwa na kuacha makonteina ya maji😂😂😂😂😂

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza หลายเดือนก่อน

    Asa mulijisikiya je kutucezeya ma mouvie za ivi Kelvin na lonvress mutatumaliza na ceko kweli

  • @EliasYolam
    @EliasYolam 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nawakubali saan leta vingine vupyaa❤❤

  • @MargaretNdurya
    @MargaretNdurya 3 หลายเดือนก่อน

    Weee jameni nimecheka siwezi oooh lovenes na kelvine mumenimaliza.

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 3 หลายเดือนก่อน

    daaaaaaah Lysa umemuacha Kelvin kwa njia panda Kelvin amekosa jambo lakukujibu Lysa

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is ปีที่แล้ว +1

    Wow mumejua sana kunifurahisha na wapenda sana kelvin na loveness ❤❤❤

  • @tatu6484
    @tatu6484 ปีที่แล้ว +2

    Kelvin ongera sana leteni party 2

  • @halifaalhabsi9883
    @halifaalhabsi9883 2 หลายเดือนก่อน +3

    Usimdanganye mwenzio mchumba sindio huyu sasa

  • @RobbertMkenda
    @RobbertMkenda ปีที่แล้ว +3

    WA kwanza mimiiiiiiiiiiii🎉🎉🎉

  • @Smileface-h3y
    @Smileface-h3y 8 หลายเดือนก่อน +1

    You guys you broke my ribs today 😂😂😂am watching from Kenya big up kevin and ❤ness

  • @asmandunda3639
    @asmandunda3639 ปีที่แล้ว

    Hayo mavazi love ndy ya kitanga ,,,,,,,nilikua nashangaaa mtanga gan wew unajifos na mavazi ya kibongo,,,, waachie wabongo pigo zao

  • @NasimiyuEverline
    @NasimiyuEverline 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana kev na love mungu akipenda siku Moja muoane tu muwe mume na mke🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 ปีที่แล้ว +3

    Mnanifurahisha Sana afu mnanifundisha pia,mungu akuze kipaji chenu nawapenda

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq ปีที่แล้ว +2

    Lovely kwl unafann na ayo maisha yaan mmetishaaa😂😂😂

  • @ChepkorirMercy-w1r
    @ChepkorirMercy-w1r 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤aky nyie Kevin na laveness kwa kweli mnifurahisha kabsa

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri ปีที่แล้ว

    Yani Loveness And Kelvin Munanicekesha Kbx🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 หลายเดือนก่อน

    Kelvi 😂❤❤kumbe alikuwa anapenda lavesi
    Wameshutukiza iyo nikumbusho

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 2 หลายเดือนก่อน

    Ama kweli na wapenda loveness na kelvin❤❤❤😂😂

  • @brave_tz
    @brave_tz ปีที่แล้ว +3

    utunzi wa story mzuri sana jitahidini msiharibu mbeleni

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j 2 หลายเดือนก่อน

    Yani kelvin n loveness acha tu😂❤nawapenda buree

  • @HashimuMalunga
    @HashimuMalunga 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kelvin unajua asa ukiwa na huyo dada una tisha

  • @RoseJemima
    @RoseJemima 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 nimependa hiiii akh😂😂😂😂

  • @MwanajumBeyawa-j5w
    @MwanajumBeyawa-j5w 3 หลายเดือนก่อน

    Haki kelvin na rafiki yako mko sawa haki nimeipenda hiii hongereni

  • @MwajumaShabani-b6v
    @MwajumaShabani-b6v 3 หลายเดือนก่อน

    Loveness na kelvin mnapendezana sana mm kama shabiki yenu

  • @SandreAlhlwah-bv1cx
    @SandreAlhlwah-bv1cx ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂kimeuman kelvin ...much love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤

  • @TabithaNekeesa
    @TabithaNekeesa ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣 aki loveness na kevo c mumenichekesha leo sana😅😅

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana movie zenu zanibamba kweli jaman🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @halifaalhabsi9883
    @halifaalhabsi9883 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakumbuka Meacha ndoo njiani😂

  • @ElizaGusenga
    @ElizaGusenga 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kama munachekesha kwr wanao wapen gongo like🎉🎉🎉🎉

  • @MwajumaJ4-sg6gk
    @MwajumaJ4-sg6gk ปีที่แล้ว

    Jamni loves umeweza ongera sana mungu azidi kukuza kipaji chenu

  • @halifaalhabsi9883
    @halifaalhabsi9883 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wapenda nao mnavituko kweli😂

  • @GeorgesSindani-o4c
    @GeorgesSindani-o4c หลายเดือนก่อน

    Djamani nawa penda sana mu endeleye fanya kazi pamoja ❤

  • @BrigitNamarome
    @BrigitNamarome 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini Kelvin na loveness aki!!!!🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @TumainiNgogo-lu9nd
    @TumainiNgogo-lu9nd ปีที่แล้ว

    Jmn mnanikoshaaaaa kelvn na loveness ❤❤ much love guys

  • @ruthmkutano1862
    @ruthmkutano1862 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂mwaniumizaa mbavu zangu mie Celvin na Loveness😊

  • @taharamohd4853
    @taharamohd4853 ปีที่แล้ว +4

    Da movie mzur sana amjawai kutuangusha ❤

  • @AtujeKisoma
    @AtujeKisoma หลายเดือนก่อน

    Yaan nmecheka sana jaman😂 Kelvin na lovenes hebu achen michezo hyo jamn mweee ila hongereni sana kazi yenu ni njema Mungu azidi kuwa bariki sana.

  • @AnnvyonneWangechi
    @AnnvyonneWangechi 3 หลายเดือนก่อน

    Good job wazani wa Tz God andamane nanyi Ady dakika wa mwisho. Napenda saana video zenu inafutia zaidi na imetufunza jisi ya kuishi katika mapenzi la ukweli

  • @NasimiyuEverline
    @NasimiyuEverline 2 หลายเดือนก่อน

    Lovenes and kelvin the best actors waawu

  • @Kashigwavideomedia
    @Kashigwavideomedia 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dah, jamani hata kama unalia lazima ucheke nimefulahi sana jinsi kelvin na love walivyoigiza

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 ปีที่แล้ว +6

    Much love from Burundi❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @halifaalhabsi9883
    @halifaalhabsi9883 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sema ukweli tu ❤

  • @JacklineMbonea-f7b
    @JacklineMbonea-f7b 26 วันที่ผ่านมา

    Waooo kazi nzuri kaka yangu nimeipenda sana

  • @AgnesDaniel-e9z
    @AgnesDaniel-e9z 2 หลายเดือนก่อน

    jamani lovenes na kelvili mnaweza mpka mnaweza tena jamni 😂😂😂❤❤

  • @PurityCharo-rh4ph
    @PurityCharo-rh4ph ปีที่แล้ว +2

    aki kelvin unanimbamb, much love frm Saudi

  • @HussenJuma-y8y
    @HussenJuma-y8y ปีที่แล้ว +2

    wakwanza nipeni like zangu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki ปีที่แล้ว +3

    Mambo ni 🔥🔥donta TV hakuna kulala ❤

  • @ramadhanirashidi2716
    @ramadhanirashidi2716 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana kazi mnaiweza natamani nifike mlipo lispecty

  • @josephinemichael8804
    @josephinemichael8804 ปีที่แล้ว +3

    🎉🎉🎉🎉kazi nzuri sana Kelvin na team yako

  • @Huda-fy1xr
    @Huda-fy1xr หลายเดือนก่อน +1

    Nimependaiyo hongeren ssana

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 9 วันที่ผ่านมา

    Wangapi wanaitazama 2024 aki nimecheka😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 3 หลายเดือนก่อน

    Kelvin mmejipa zoezi yakutosha kwa anjili ya kuiba mua kwa shamba la wenyewe daah mna bidii wte mmekua wezi Kelviv na Lysa

  • @JladyKadzo
    @JladyKadzo หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂si mnanichekesha jamani😅

  • @bayahsamuel3201
    @bayahsamuel3201 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂hii episode bana loveness kwa kweli uliweza,,