KK kelvin nakku bal sana kwa kz yko upo good sana bloo unpokuwepo ww kwnye move huwa nikuna ladha nzul Sana ykutzma move hongera 🎉🎉🎉🎉 sana bloo kwa utndaj wko kaz .GOD BLESS YOUR JOB.we love ❤❤❤❤❤ so much our brother kelvin
kazi yako Kelvin iko poa sana tena Sana nakwauku kusini umewakamata Sana mana mishighuli zangu nikuuza muvi asa kwauku muvizako zina fatiliwa sana Kama hii kesho yangu .penzi la dad wakazi. vampire Love ingawa haiendelei. nazingine kibao kaza buti mzee
Nakubalii Mr khan nilikuwa nawazaga sana Bro Sharhukh umri umeenda ntapata wapi tena vitu vyake ila naona miondoko yako ni ile ile mwanng ...Salute❤️❤️🙏🙌🙌🙌
Uigizaji wenu una mafunzo mengi nawaombea mola awajalie neema katika maisha yenu mzidi kupa watu moyo kwa movie Kama hizi nzuri Mimi wenu mwalimu Clinton Omabene kutoka kenya❤
Nahitaji kuiona next episode mapema sana my love 💕💕🎉🎉🎉 yaan kila nilifikiri jinsi ninavyowapenda waigzaji wa donta tv nakosa cha kutype juu yenu itoshe tuu kusema nawapenda sana msalimie Victoria kendy na love ❤❤❤❤❤
My favorite team yaani Kuna muda Huwa nawaota ety nisipowatia machoni hata siku tatu tuu my loves please muwe mnawahisha lkn😢but nawapenda sana DONTA TV ❤❤❤❤❤🎉🎉@@Dontatv255
Kaka mambo vp asee mi nishabik yako ya tme yko yote nashukul ile ya kijana masikini nimeimaliza sasa nipo ktk hi ya kesho yangu ila nimeishia eps 10 ya 11 kila nikitafuta nakosa kaka
Hongereni sana watu wangu kuwa na nguvu ili tupate hayo mashauri kutoka kwenu lakini victoria sijui kapotelea wapi bain kelvi amerudi kama mwanzo mbalikiwe nakingine na ❤
KESHO YANGU PART 02💞 Love Story th-cam.com/video/1H_IJyqQNaw/w-d-xo.html
How I wish ningekua mmoja wenu😢
Mnazingua hamjamaliza vampire love mshaanza project nyingine mnatuangusha sana. Nenda step by step bwana kelvin khan. Otherwise mnazingua
nakukubali broo
Kelvin nakupenda ❤❤
Nakupend ulivyo handsome ivyoo wanikosha nadat hatali
Tunao mpenda Kelvin na team yake naomba like jamani twakupenda Kevin be blessed 🙏
Thanks
Silaha Ni Maneno Mawili Tu,Asante Na Samahani 💯👌
KK kelvin nakku bal sana kwa kz yko upo good sana bloo unpokuwepo ww kwnye move huwa nikuna ladha nzul Sana ykutzma move hongera 🎉🎉🎉🎉 sana bloo kwa utndaj wko kaz .GOD BLESS YOUR JOB.we love ❤❤❤❤❤ so much our brother kelvin
Asante
Mungu azidi kuwapa nguvu ndugu zangu, tuliopitia haya maisha walaah mmetugusa sana😰😰 respect to you👏👏👏 so reality move
Thanks
Yaan kwa kweli nisipo muona kelvin aki sinag amani, bt punde, tu nikimuon na furahia xna kwa upole wke hongera sana, n pia vampire pia mlet
Vampire sio imeisha
Hawafwatiliyagi ndomana😂
woow my favorite character kelvin na kupenda bure jamani hongera sana
Leo sijuwi kamanime chewa nipe ata 10 tuu from Zambia 🎉🎉🎉
Chawama bro
So emotional just from the beginning it has already revealed the real life situation... Nice on Mr khan
Thanks
Kaz nzuri sana naomben like ❤❤❤❤❤
Live Babu nimeipenda iyo
Gys move tamu aiseeee❤❤❤
Number 2 nipo naomba like
mr calvin unapenda kutumia mkono wa shoto mpaka unajisahau🤣🤣🤣sema big up broh
TRUE KELVIN HAYO MANENO N KWEL KABSA🎉❤❤❤💪🙏💪COGRATULATION 🎉🎉🎉🎉 KEEP SHINNING 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mpewe maua yenu 🎉🎉 kelvin na timu yako🎉🎉🎉 nawapenda sana ❤️❤️❤️
Duh nikiona kelvin khan na brown najuaga ilo n boge la movie,,, 🇰🇪 pamoja kaka
Hatari
Umeckiliza mashabiki na umebadir jina la mov ❤❤❤❤
Sawa
Part 2 pliiiiiiiz ikuje haraka ❤❤❤
Yeahh it's xo good
Wa tatu jmm naombe like 10 ❤❤❤❤
Movie Kali linaeleweka kabsa🔥
nakupenda sana kelvin na upole wako sijuh ni kwasbabu unaekit tu sijua ata ukiwa hom ndo ulivo nakupenda sure❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
kazi yako Kelvin iko poa sana tena Sana nakwauku kusini umewakamata Sana mana mishighuli zangu nikuuza muvi asa kwauku muvizako zina fatiliwa sana Kama hii kesho yangu .penzi la dad wakazi. vampire Love ingawa haiendelei. nazingine kibao kaza buti mzee
Yani umekumbusha mbal san kaka kushindia maji kutwa zima inauma sana asee
I'm in love with the song❤❤❤
Hongera sana kelvin napenda jinsi mnavo igiza Mungu awaongezee nguvu kabisa❤❤❤
Nakubalii Mr khan nilikuwa nawazaga sana Bro Sharhukh umri umeenda ntapata wapi tena vitu vyake ila naona miondoko yako ni ile ile mwanng ...Salute❤️❤️🙏🙌🙌🙌
Wow napenda San anavyoigiza kunambi
Uigizaji wenu una mafunzo mengi nawaombea mola awajalie neema katika maisha yenu mzidi kupa watu moyo kwa movie Kama hizi nzuri Mimi wenu mwalimu Clinton Omabene kutoka kenya❤
Asante sana
Kelvin unanifundishaaaa mengiii Sanaa AHSANTE
Kevin mbona lavenes simuoni kwa hii movie yupo wapi jamani?
Nahitaji kuiona next episode mapema sana my love 💕💕🎉🎉🎉 yaan kila nilifikiri jinsi ninavyowapenda waigzaji wa donta tv nakosa cha kutype juu yenu itoshe tuu kusema nawapenda sana msalimie Victoria kendy na love ❤❤❤❤❤
Move kali sana sijawah ona inafunza sn maisha like zako kelvn kunambi nyote munafany kaz vizur mungu wadumishe kwenye urafik wenu
Hii sasa ni bega kwa bega nimeipenda hii tuko pamoja sana nimewakubali kwa hii
Hii kiboko 🙏🙏🙏
Sijampenda brown kabisa, sipendi kuona kevi anateseka, much love from Kenya ❤
Number 1 nipo apa naomba Ata like 10 basi
🎉🎉
@@Dontatv255 kelvin Khan mbona umebadili jina kelvin Acha yaleyale majina maxur sana
Kabisaa anatuchanganya pia kuna Donta TV ingine @@ashuraabbas5856
My favorite team yaani Kuna muda Huwa nawaota ety nisipowatia machoni hata siku tatu tuu my loves please muwe mnawahisha lkn😢but nawapenda sana DONTA TV ❤❤❤❤❤🎉🎉@@Dontatv255
Tunakupenda sana cavin bunweza kucheza michezo yako yanafunza maisha
Pole sana Kelvin utapatatu mungu atafunguwa mlango nilikuwa Nimekumisi sana Kelvin khan mungu atakuinuwa kiwango Cha juu utàinuka tena
Kazi njema Sana , naombeni liké,, watching from lag's N🎉🎉🎉
Nimewai jameni😢like tano tuy
Wow tuko pamoja ❤❤❤❤❤ much love 😘 that's true maisha bila changamoto huezi vuka lzm mitihani ikupate hongera saana Mr kelvin 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦
Mimi wa 7piga lake ♥️ hapo mimi mu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
tafuta pesa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 liké sangu ☝🏻 de
Kazi nzuri sana tunawapenda❤❤❤
Najifunza kitu kwa hiyo movie ❤❤
Kwakweli kelvin unamafunzo mazuri mungu azidi kuwapa nguvu
Nawapenda san 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Am watching from kenya Ilove all acteters
Movie without Kelvin is like smart phone without bundle 😍👌
Thanks
🤣🤣🤣
@@نيجي-ن1د 😂😂😂
@@Dontatv255🎉🎉🎉tanteeee
Wow kelvin my favorite good job my brother ❤❤❤❤
Zenji hapa
Naam
Much love your movie from Kenya 🎉🎉🎉🎉 congratulations kelvin
Nawakubali sana
Waooooh leo mpenz wangu Khelvin Khan yupo hapa😂😂❤❤ mambo ni moto 🔥🔥🔥🔥
Kerivin nagupend san napiya kazinzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ benitha gutok Burundi napia huku Burundi tunawapenda sanaa
Hongela San kunambi
Habari njema ....kwa siku ila ni vigumu kama hamna mwanzo😢Mungu Fungua Njia ya Kesho....Maana Ni.Wewe ndiye unayejua kesho yetu
Kenya Watching, twapenda
Yaani haya ndo maisha ya watu wengi sana, hongereni sanaaaaaa
Napenda sana kufuatilia tamthilia zetu ila sasa najalibu sana kutafuta hi KESHO YANGU eps 11 sizipati
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
Thanks
Conglatution my brother muko kazini MUNGU Awabaliki
Vp
kumbe nawewe unampenda kelvin na team yake hata mimi pia nawapenda sana
@@Dontatv255 habari yako kelvin so kiufupi napenda jinsi mnavoigiza ningependa niwe mmoja katika timu yako brother
😢😢😢😢masikini movie nzr san ila huruma kwa kelvin dah 😢brown huruma kidgo basi😢
Hongereni Sana maigizo yenu yanamafunzo Sanaa kalvin uko vzr
Nmewai jameni 😢like Tano tuy
😂jmn mbin twago mbania kupea like twazipe leka wap? hat nami wakininyim nakua nama kasirik😒😀
@@mumyelias6093 🤣🤣🤣
😊😊😊😊😊
🎉🎉🎉🎉 Nawapenda sana watu wangu ❤
Thanks
Chema na kizuri hupewa sifa. Anti Nasra umependeza umeumbika Mashaa Allah. Nigependa uwe wangu nipe nafasi.
kali ❤❤❤
Mmenenepa jamaniiii kevi na brown adii mashavuu 🤣🤣 ilaa good job
Nawaambiaga watu humu TH-cam donta family ndo mafundisho yapo yooooote hawaniamini
Embu like zenu watu wa mungu tujifunze vitu muhimu😢😢😢
Maneno hayo 💯 kwa 💯
Tunaomba utoe chap chap kama house boy ya kunambi ilinoga sana kumbuka unavochelewesha inakosa utamuu❤
Marafiki wa aina hii wapo wengi sana, huijui kesho ya mtu, Rafiki mnafiki sana, wapo weng sana
Mi nakipaji jamani ila sijui nani wa ku ni support
I'm from Congo Drc
Nimependa ubora wenu jamani muko vizuri....naombeni likes zenu❤
Jaman niliwaona mbezi kazi nzur sana mnajua❤
Asante
Kaka mambo vp asee mi nishabik yako ya tme yko yote nashukul ile ya kijana masikini nimeimaliza sasa nipo ktk hi ya kesho yangu ila nimeishia eps 10 ya 11 kila nikitafuta nakosa kaka
Ni kweli Kelvin ni Bora kujua kusema Asante au samahani.❤❤❤
Tumeanzaaa mpyaa❤❤❤❤❤❤❤❤😂
Mbona munataka like nyie tuu tia hapa
Hi
Umekosa kabiza
ok!!!!!!!!!!!!!!!🤓
😂😂😂
Team donta kama unamkubali nasra gonga like anajua sana .team nasra tujuane mapema
Hongereni sana watu wangu kuwa na nguvu ili tupate hayo mashauri kutoka kwenu lakini victoria sijui kapotelea wapi bain kelvi amerudi kama mwanzo mbalikiwe nakingine na ❤
Wow ,so encouraging
Mlete pia vampire love part 4 💓❤️
imeisha😊... episode 3 ndo ilikua final
Jamani imenitoa machozi 😢😢😢😢much love from saudi ❤❤❤
Nakubali sana kazi zene ndugu zangu
Mnanikumbusha mbali ety
Nawakubali kinomaaaa kelvin na brown,twawapenda san mungu awape miaka mingi,❤
Wapili naombeni like zangu😅😅😅
Aki nawapenda sana na kazi zenu nzuri zenye funzo❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nafurahi kwaku rudidi kwa Kelvin kwasababu alikuwa ametu miss ❤
Kelvin saf sana kwa kazi nzuli
Duh kunamb kumbe uku umekua na roho mby boy😂😂
Waoooo nasra❤❤
Katisha
Kaka mungu azidi kufungua njia zako maana hayo ni maisha ambayo tunayapitia na Mimi nimepitia hayo maisha Kaka ahsante
So emotional hii nkiona hivi nakumbuka wakati mgumu wenye nmepitia
Much love from Kenya....NAKUKUBALI SANA mr khan
I love your movies,,,they teach us more about life and how to handle some challenges,,much love from kenya💖💖
Waone kazi kubagua tu wa kuwapa like😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Kazi safi my people.nawapenda Bure.❤❤❤
Naona jina la movie limebadilishwA
Bora hata lilivyo badilishwa Alishatowa move nyingi kijana maskin
❤ hii filam kwakweli ni nzuri nimeipenda
Hii nimeipenda sana🌹🥰
Kelvin tulikua tume Ku miss we na Victor mmpepoteya sana ujuwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri san mr kelvin khan nawapenda sana kutok Kenya ❤❤
Much love from Kenya
Kazi safi sana kelvin nakupenda tu bure 🇰🇪🎈
Much-love from Kenya 🇰🇪 like zangu hatakama ni tano 😅😅😅😅😅😅
Nayo nikali kweli ❤❤❤❤❤
Kunambi ngoja upewe biskuti ulewe😂😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂
😂😂😂