KIJANA MASIKINI ATOKEWA NA MUUJIZA 💔 BAADA YA KUACHWA NA MPENZI WAKE KISA HANA PESA 😭❤️ |Sad Story
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2023
- #bongomovie #swahilimovie #dontatv #mapenzi #peteyaajabu #babakijacho #2023movies #movie #masikini #kijanamasikini #penzilajini #bodabodamalaya
Nice movie mnanielimisha vizuri kazi ndugu zangu mungu Awabariki nawapenda ❤❤❤😂
😊ongera Sana kevini nakupenda BURE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
very nice movie napenda sana movie zenu. alafu nampenda victoria ako mrembo tu sana
Hongera kwa movie nzuri. Kaka Kelvin ,dada vick.kwa filamu hii nimejifunza ukweli umwrka mtu huru,pia tuwapende wenzetu kwa kuhakikisha FURAHA zao zinatimia Kama Wanav yotatajia.
Wanaume waongo sana eti nimezunguka dunia mzima ata bukoba apa fahamu mr Kelvin bwana wewe mwamba baba🇿🇲💞
Wote ni waongo
Mmmh pole kama Usha danganywa mtani
😂😂😂
Kaka kevo nakubali Kasi zako uko sawa broo ❤❤❤from kenya
Kelvin ❤❤❤ God bless you so much and have bressed in all your work 🙏🙏🙏🙏
🎉🎉Kelvin brother natamani tupambane wote pamoja ir ndo hivo unaweza unanikumbusha mengi san
Moviee ili ipendeze zaidi broo inabidi uteseke na maisha sio demu arudi kirahisi ivooo mzeee unafeliii
Najikuta nakesha. Kufatolia mov zako kaka🎉🎉❤❤❤❤
Natamani saaaaana sikumoja nionane Na Kevin yani anipe mashauri zaidi kuusu izi muvi zake Namu penda sana kabisa yéyé nimuigizaji wakukamilika amenifunza mengi sana ❤❤❤❤❤
Inapendeza sana. Kazi nzuri wana Donta TV. Kenya Watching, twapenda
Dah, kweli kelvin na team yakoo mnafanya kazii nzurii sanaa👍👍 team vicky na keviii 😋😋
Kelvin wewe ni jembe kakangu hongera sana n mola awazidishie nyoteni 🎉🎉❤
Vicky nimuongo hyo jamaa ety amezunguka dunia nzima 😀😀😀😀😀hajafka kwetu Kenya hahaaha
😂😂😂😂😂 adanganya
😂😂😂😂😂😂😂mwambie
Mwambie ajafija kanairo😂😂
Hajafika kwli hyo Kuna wtto wazuri sanaaa
😅😊hajafika India nilipokuwa kumsubiria😊😊
Kervini nakupenda sana mouvi zako tamu sana❤❤❤❤❤
Daah kanumba kapata mrisi Kev unajuwa Kuriko wote bog❤❤
Kelvin hongera kwa film zako nzuri hadi natamani.nikuone laivu❤
Ila dgoo apooo ❤❤❤❤
Kazi nzuri bwana kevin
Very nice mov napenda sna kufuatilia mov zko kelvin juu najifunza mengi kwko kaka❤❤❤❤❤❤ nakupnda bure karbu Kenya
Movie nzuri sana hongereni
Movie nzur san yeny mafundisho❤❤❤
Victoria acha hizo bwana mpende Kelvin usimwaje ni vyema umasikini
Napenda saana movie zenu zenye mafunzo jaman❤
Kelvin bana wee kijana mwenye mafundisho na rafiki zako natamani nquone onesmus walker from Kenya 🇰🇪
Vicky wa leo sio kama wa zamani ila hya n maisha kelvin
😂😂😂😂😂😂 wimbo tamu aje Kevin lakini leteni kila movie na sehemu ya pili tafadhali i ❤❤ ur movies keep it up❤❤❤❤❤
Mafundisho mazuri aki nawapenda sana❤
😊😊😊nimecheka kikubwa , unaimba vizuri sana kevin .😊😊😊big up
huo wimbo wa Lady Jaydee unaujua
Pole kaka mapenzi yanauma, na mke wa mtu sumu Tena mpende akupendaye usije penda ukakosa kupendwa barikiwa sana Kelvin
Sema Jamaa ni mtunzi sana bravo 👏
Movie nzuri Sana yenye mafunzo ya kuelimisha asanteni sana guys
Kazi nzur sana ❤️
Nakupenda sana kelvin❤❤❤❤❤❤❤❤
Viki acha uchamba jmn iyo heren puan vipi yan mama vile umetoka bush jana 😂😂😂😂😂😂 mpaka aibu kwan awo akina loveness hawakishaur jmn
Proud of you ❤😍🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Pole kijana uko vizuri sana box
Kazi nizuri sana kevo na Vicki mungu awa bariki sana
Kaká kelveni Noma brother ❤❤❤unatisha ❤❤❤
😂😂😂😂 aki mapnz jmn pole kelvin ndio maisha nimechk hatari😅😅😅😅😅😅😅😅
Kazi poa❤❤
Mapenz isia jaman pesa makaratas tu. Good job🔥🔥🔥
Woooiiii kelvin jitie nguvu broo
Kazi kelvin
Kazi nzuri uchelewa kuagalia lakin nawapenda sana mnaelimisha jamii
Pole kelvin Dunia Ina mambo mungu atakusaidia
Kelvin good. Work God bless❤❤❤
Mnajitaidi nawapenda bure ❤.
Movie nzuri wapenzi iko na mafunzo
Thanks for your move nimejifunza mengi
Hongera kwa movi zako kelvin zinamafunzo mazur sn ila unajua kuimba ww daah😂😂😂😂
Kaka endelea kutikisa bongo tunafatilia mov zako
Nice job mkubwa
Kazi nzuri sana, napenda kazi zenu hasa kevin
Naipenda sana
Nawapenda sana ❤❤ si mkuje mtembee kwetu kenya
Kazi nzuri
Kelvin najifunza meng kupitia movie zko ❤❤❤ongeren
Kelvin umefanyiwa ile kitu😂😂😂😂😂mapenzi yako na wenyewe kelvin 😂😂😂😂
Wanamuonea Kelvin wangu 😂😂😂
Kazi nzuri sana na ina mafunzo mazuri sana
Kazi nzur kaka nimeipenda one love ❤❤
Nmependa sana movie zenu😊😊😊
Jamani hiyi sasa TAMU kabisa
Mmmmh Mr et Dunia nzima,jamani 😂😂😂.Hongereni kwa kazi nzuri
umenikosha nahako kawimbo nikajihisi nimimi kabisa❤
😂😂❤
Najua hamjaona huyo Mdadie alivyonyoa ndefu pande moja😂😂😂sasa Mimi nalia ninitena😢😢😢😢
😂😂😂😂alafu kaeka dye
@@luobae4128 😂🤭
😅😅😅😅 nimecheka wah
Big up sana bro kelvine
Lovely❤
Movie nzuri sana na inaelimisha🎉🎉🎉🎉
Khan una sauti nzuri 👍👊👍👍👍👊
Igizo hili lina mantiki.Kuna cha kujifunza hapo,big-Donta Tv team
Kazi nzuri kk. ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Kazi nzuri kevo na vicky ❤️❤️❤️🇰🇪
Nawapenda saaaaaaaana❤
Khan kwan wew ni mwanamziki pia,....
Munazingua kudadek zenu tengenezeni filamu so hizi munazo weka fupi fupi au hamuna aidia ola munazingua kinoma yang fanya kama dada wa kz au kijana masikini au kesho yangu nyie vp ola munazingua sana 😊
Ongeleni sana nice
Apa wewe bro umefanya kosa kali kabisa, mbona ungemwacha aende,huyu mkewe ni malaya bro
Nakubali sana mov zako sana mkuu
Kazi nzuri sana.
Dhaaaa huyo vcktora amevumilia menge sana huyo ndomwanake unaeza ishinaye kwamudawote
Mzima nakupenda sana ila mungu anakupenda zaidi
Kiukweli kijana unanifrahsha sna kwakila unacho fanya jamn pia unajuwa kulilia ilooo penz ipaswavyooo ongera kwa ilooo
Very nice 😮😮😮😮
Amin ya kwamba hawa n walim wa jamii katika maisha so nawa❤ san
Nakupenda mno Kelvin
❤❤❤❤ movie pouwa kwangu shikilia tuu😅😅😅😅
Hongela sana
Nawapendaga sana Hawa watu
Duu nakukubali sana kaka kelvin khan
Hey that my favorite song mboni ichafukapo
Nampenda sana Kelvin
Kaka mmetisha sana
Sana mwamba kazq movis zuriy nafatilia sana movis zako
Nice movie❤
Kaka Kelvin unaweza kuimba 😁😁👌
Definition of true love
Bravo calvin
❤❤❤❤❤ nawapenda pule ak
Hicho kilio vipi mapenzi shikamooo
From Qatar Jameni Ivi Kelvni Move Zako Tamu Sana Je We Mwenyewe Mtamu Au😂😂😂😂😂
When you talk about love in the world , you just touch almost 💯%of the people