Toka mwaka uanze mpaka unaenda kufika mwisho sijawai kusikiliza interview nzuri na yenye impressive kama hii hongera sana mwandishi hakika unaitumia vizuri karo yako haikwenda bure kabisa na hongera nyingi kwa Mr Mulla kwa elimu nzuri na yenye tija Allah awasimamie kwenye kila hatua yenu inshallah
Mwenyezi Mungu ambariki huyu kijana (mwanangu ,he is the same age as my son ,he is in USA) aweze kupata mafanikio zaidi. Alichonifurahisha hakuonyesha ufedhuli au majidai pamoja na mafanikio aliyoyapata.
Mashallah tabarak Rahman. He is a visionary young person with a lot to give and contribute in teaching others who have passion in making their living ahead wisely. Although it is not easy to follow his steps, unless you have means to do do so, however there is a lot to lean from the strategies he has taken forward the family business towards success. Wishing him all the best of continuing the business! May Allah guide him forward!
Maudhui mazuri, vijana smart,dah kweli elimu haiongopi, i appreciate crown media kwa elimu hii, jamaa yuko vizuri, wasasi tuwekez kwene elimu zenye tija, huyu jamaa ana upeo mkubwa sana ulio jengwa kupitia wasasi na elimu, ee mwenyezi Mungu tupe watu smart wengi Tanzania like Crown media and the guest Mulla. Inshallah ikawe heri kwetu kupitia eleimu hii.
Wow niliona hayo maonesho wakati naenda Dodoma sikuelewa sasa Mr Nawid umenifungua macho zaidi you are doing great job aksante kwa taarifa nzuri sana sijutii bando langu
Sijawahi sikiliza interview nzuri kama hii, mwandishi anajua maswali na mhojiwa pia. Kiufupi wote ni watu wenye elimu. Hata Kiswahili chao sio cha mitaani.
napaswa kukuheshimu sana kwa hiki nilichokiona hapo umenifunza na umewafunza wengine yote yametokana na usubutu kwa kile alichokujaalia mungu ingawa sina uwezo wa kuandaa iyo project ya aina iyo ingawa ipo ndani ya moyo kua ni ndoto sahihi kwangu ila nitazidi kukuombea kwani iyo ni ishara bora na uboroshaji wa kuelewesha kua na elimu ya juu na kuandaa maisha mengine na yenye ulazima katika maisha yetu mungu akuzodishie maisha bora zaidi ili tupate kuyatambua mengi sana
Bonge la Interview, Madini ya kumwaga..... Asanteni Crown Media. Good Job, I have really enjoyed the content and watched all 2 parties without a stop. Mr. Mulla is very well accustomed to the project and I would not mind voting for him in Political position if he ever decides to take that route, we need open-minded people like him in this country where all the youths wants to be Chawas.
Pongeziii..zangu ziwaendee nyote;Mwanahabri na mgeni wa kipindi kwa maswali na majibu sanjali, mwanzo wa pachko sikutegemea rangi ya mgeni kutililika kiswahili rafiki.Binafsi nimehamasika haswaa hiyo kauli mbiu yko"kilimo ni maisha ya Utulivu": salaam toka mwanza 🐟
Hii ni moja ya interview bora sana. Temi ameonesha weledi katika kuhoji bila kutoka nje ya key lakini bila kuwa mjuaji nadhani amefanya pre study nzuri. Naweed, ametoa details vyema sana tena amekuwa honest sana. Nimeenjoy
Nashukuru sana kwa documentary hii, hakika ina madini makubwa sana, mi naomba tu contacts za huyo anayeshughulika na cattle guest house, amemtaja kuwa ni Sandra kama sijakosea, ahsante sana.
Nakufatilia sana bro nishafika hadi mbarali napenda sana mambo unafanya ndoto yangu kabisa kupitia interview zako napiga hatua siku tutakutana inshallah
Wengi wajifunze matumizi ya lugha ya kiswahili kwa ufasaha kama wa Mulla ,anazungumza kiswahili kwa ufasaha kuwashinda watanzania wengi wenye lugha yao
Tunashukuru nyote mliopenda maudhui haya, usisite kushare Link hii kwa wengine ili wengi wapate kujifunza zaidi.
Kazi mzuli crown
The guy is brilliant
Jamaa anaijua kazi yake..na kichwa kimetulia sana...
really awesome project,nice work. nice interview. can we get the contacts for the ranch?
Big up crown media kwa watangazaji mahiri wenye kujua kuuliza maswali ya msingi keep it up
Madini kama haya vijana ndio tunayataka crown mnajipambanua
Pakubwa sanaa
Toka mwaka uanze mpaka unaenda kufika mwisho sijawai kusikiliza interview nzuri na yenye impressive kama hii hongera sana mwandishi hakika unaitumia vizuri karo yako haikwenda bure kabisa na hongera nyingi kwa Mr Mulla kwa elimu nzuri na yenye tija Allah awasimamie kwenye kila hatua yenu inshallah
Mwenyezi Mungu ambariki huyu kijana (mwanangu ,he is the same age as my son ,he is in USA) aweze kupata mafanikio zaidi. Alichonifurahisha hakuonyesha ufedhuli au majidai pamoja na mafanikio aliyoyapata.
Tunahitaj kujifunza kwenu baba yangu
Mashallah tabarak Rahman. He is a visionary young person with a lot to give and contribute in teaching others who have passion in making their living ahead wisely.
Although it is not easy to follow his steps, unless you have means to do do so, however there is a lot to lean from the strategies he has taken forward the family business towards success. Wishing him all the best of continuing the business! May Allah guide him forward!
Mashaallah
Nimependezwa na ujitahidi kijana. Tutakutafuta kwa ushauri
Shule ni bure mchawe ni bando tu ❤
Maudhui mazuri, vijana smart,dah kweli elimu haiongopi, i appreciate crown media kwa elimu hii, jamaa yuko vizuri, wasasi tuwekez kwene elimu zenye tija, huyu jamaa ana upeo mkubwa sana ulio jengwa kupitia wasasi na elimu, ee mwenyezi Mungu tupe watu smart wengi Tanzania like Crown media and the guest Mulla. Inshallah ikawe heri kwetu kupitia eleimu hii.
Huyu jamaa ana akili sana na amesoma na anahela. Ujana sio madisco tu, ujana shambani pia ❤❤
Wow nimejifunza Sana vitu vingi❤❤❤ big up Mbogo Ranch🎉
Mkiendelea hivyo,Crown Media itakua unbeatable
This real life crown midia is the best
Pendelea kuwasikliza watu wenye akili utakuja kunishukuru
The kind of interview I can watch without skipping a single minute!!
I'm so impressed by his commitment and dedication to that project!🎉
jamaa anajua inshort
Wow niliona hayo maonesho wakati naenda Dodoma sikuelewa sasa Mr Nawid umenifungua macho zaidi you are doing great job aksante kwa taarifa nzuri sana sijutii bando langu
Ntaman n like ata mara100.. Vile npenda vitu iv
Nikweli maana somo zima lipo kwenye point ya mafanikio ni makubwa yanashawishi
One word RESPECT!!!! 👊
Sijawahi sikiliza interview nzuri kama hii, mwandishi anajua maswali na mhojiwa pia. Kiufupi wote ni watu wenye elimu. Hata Kiswahili chao sio cha mitaani.
Kabisa aisee. Hata mimi nimefurahia hili
napaswa kukuheshimu sana kwa hiki nilichokiona hapo umenifunza na umewafunza wengine yote yametokana na usubutu kwa kile alichokujaalia mungu ingawa sina uwezo wa kuandaa iyo project ya aina iyo ingawa ipo ndani ya moyo kua ni ndoto sahihi kwangu ila nitazidi kukuombea kwani iyo ni ishara bora na uboroshaji wa kuelewesha kua na elimu ya juu na kuandaa maisha mengine na yenye ulazima katika maisha yetu mungu akuzodishie maisha bora zaidi ili tupate kuyatambua mengi sana
Huyu jamaa smart sana ma sha allah....mm pia nimezaliwa dec 1991 safi sana yuko makini hata anavyongea!
Safi sana mimi napenda sana mazingira na kilimo pia
Big up Crown Media. Interview ni nzuri nimejifunza mengi na kupata hamasa.
Bonge la Interview, Madini ya kumwaga..... Asanteni Crown Media. Good Job, I have really enjoyed the content and watched all 2 parties without a stop. Mr. Mulla is very well accustomed to the project and I would not mind voting for him in Political position if he ever decides to take that route, we need open-minded people like him in this country where all the youths wants to be Chawas.
Mawasiliano hamjatupa wakuu ni Elimu nzuri sana
Kaka Muller Hongera Sana. Crown Media Tu nashukuru Sana kwa Interview Bora Sana. Naamini vijana we go Sana Wamehasika. God bless you
Mashallah vizuri sana akhuyi ❤❤❤❤
jamaa anjua sio poa
Safi Sana hapa unajifunza kiukweli
Pongeziii..zangu ziwaendee nyote;Mwanahabri na mgeni wa kipindi kwa maswali na majibu sanjali, mwanzo wa pachko sikutegemea rangi ya mgeni kutililika kiswahili rafiki.Binafsi nimehamasika haswaa hiyo kauli mbiu yko"kilimo ni maisha ya Utulivu": salaam toka mwanza 🐟
Big up sana Crown kwa kutusogezea taarifa muhimu kama hizi,shukrani nyingi pia kwa Mr. Naweed kwa ukarimu wake na kufunguka haswaa
Big up sana brother
Hii ni moja ya interview bora sana. Temi ameonesha weledi katika kuhoji bila kutoka nje ya key lakini bila kuwa mjuaji nadhani amefanya pre study nzuri. Naweed, ametoa details vyema sana tena amekuwa honest sana. Nimeenjoy
Asanteni sana CrownmediaTz kwa hakika tumepata madini sana hii kitu ni moto tumejifunza haswa 10:44
Kazi nzuri Crown Media fanyeni E03 ambayo ni mtakuwa kwenye mabanda tu tuone wanyama tu.
The guy is deep and he knows exactly what he is doing. Ahsante sana kwa madini mazito na taarifa/fursa.
Mashaallah mwenyezi mungu akuzidishie kila la kheir na uwe mfano kwa vijana wetu.
Huyo boss Naweed na mtangazaji yaaani wote nawaona wako watu poa sana hiyo sehem nitakuja kuangalia
Kilimo biashara/Angrobusiness.Faida tupu,ukizingatia kutrust prosess.
Asanteni sana CrownmediaTz kwa hakika tumepata madini sana hii kitu ni moto tumejifunza haswa
Life changing interview
Allah akuzidishie kwenye kila utafutaji wako inshallah huyu kaka anajua kuelimisha aisee tumefaidika pakubwa
Nimependa sana interview hii,crown msifuate tu wakulima/wajasiriamali waliofanikiwa, ninyi muwe chachu yakuwaibua wadogo na nyinyi muwakuze.
Hii safi sana
Leo nimeona mtu aliyenufaika na Elimu. Pili kuna Tundu ambalo Elimu yetu ya Tanzania inahitaji kuliziba. Hongera sana Muwekezaji
Excellent ,keep shining
Nashukuru sana kwa documentary hii, hakika ina madini makubwa sana, mi naomba tu contacts za huyo anayeshughulika na cattle guest house, amemtaja kuwa ni Sandra kama sijakosea, ahsante sana.
Waoooo. Ndugu mwandishi upo vizuri,hauna kimemo wala iPad mkononi
Anasimu kaweka kwenye paja Hapo anapitia kdg japo naungana na wewe yupo vizuri
@@mosesmdindile332 nimeona mwishoni
Qyt impressing .Am inspired asanten sana crown media for the Awesome interview with the Investors.
Very interesting topic.
So good in data analysis.
Big up Crown
Sasa hz ndio tv tulikua tuna subir na vipind Bora sio zil zin tumalizia umeme
haya ndo mambo tunayotaka kuyasikia sisi vijana hongera sana Crowm Media Mmeanza vizurii
Daaaaaah asante sana Crown Media., darasa la bure kabisaaa... good job brothers
Hey Naweed, I enjoyed this very much and am remembering our field trip to your farm when you were a student at HOPAC.
Hivi ndio vitu vinatakiwa kwenye media🎉
Temidayo umeupiga mwingi sana,big up kwa Host (Mbogo) amekuwa sio mchoyo wa kutoa madini.
Inzi njo habari😊
Best interview.hongereni sana Crown mmetufaa
Congrats bro
Haya ndio mambo tunahitaji kuyasikia kwenye media
Mahojiano ni mazur sn na nimepata elimu 💪
Asante crown Naweed
Hongereni sana Crown
Crown ndio media ya kuifatilia
Asante sana maelezo mazuri ya msingi kabisa
Temidayo jembe❤
Ahsante crown media, jikiteni kwenye habari kama hizi zinazo tufungu vichwa vyetu
Shukrani sana kwa madini,
Naomba mawasiliano ya Brother hapo
Yaani nimefatilia part 1 mpk 2 bila kuchoka Asante sana
Mash Allah na Alhamdulilah kwa kutupa elimu Allah akuzidishie mwanangu kwasababu umri wako nakuzaa.
Nice one congratulations kwa kipindi
Hongereni sana Kwa kazi kubwa hii. Mungu aendelee kukunyanyua zaidi
Uwekezaji mzuri sana. Nimependa mahojiano haya. Nimejifunza mambo mengi
This is incredible
One lifetime best interview
Naweed unaakili nyingi saana ila sifa kubwa nikwawazazi wako walikuandaa vyema
Subscribed....Good channels...hizi ndio contents za kwenda hewani zaid
Kujifunza kwa vitendo kunasaidia sana ❤❤❤
This is powerful 🙏
Mashallah watu kama hawa ndio wanaitajika zaid nimevutiwa
Very inspiring
Very impressive
🎉🎉🎉,Ma Sha Allah
Hongera Naweed,nataka kufugiwa, nipe maelekezo.
Nakufatilia sana bro nishafika hadi mbarali napenda sana mambo unafanya ndoto yangu kabisa kupitia interview zako napiga hatua siku tutakutana inshallah
Good interview
Inahamasisha Big up
Mawasiliano jambo limesahaulika
Nimependa Sana hongereni. Guest keeping is the best for starters
Mashaallah allah akuhifadhi na akubarik kwenye kazi zako inshallah mashaallah mtt huna kibri umelelewa mashaallah mungu akuhifadhi
Daah kweli crown mnajua kutafuta habari wapo wapi hawa jamaa
Interview nzuri sana nimejifunza mengi.
Hongera sanaa. Ni kitu kixuri sanaa kwa kweli. YAANI INAPENDEZA.
Hongera sana crown media. Content ya maana sana
Wengi wajifunze matumizi ya lugha ya kiswahili kwa ufasaha kama wa Mulla ,anazungumza kiswahili kwa ufasaha kuwashinda watanzania wengi wenye lugha yao
Umeisema vile nigesema,mombasani!!!!
Nimehama sika sana ❤❤❤
Mtangazaji unajua kuuliza 😊😊
Nilikuwa nasubiri kwa hamu kupata mawasiliano, kwenye interview yote part 1&2 sijaona. Nimevutiwa na kipengele cha mfugaji mgeni, mawasiliano please!
Mashaallah. Allaibarik feek.
Nilisoma Agriculture nikawa napiga picha za Ukubwa huu lakini mazingira yakanisonga songa
Sahivi nauza tu bandles❤
Mungu ambariki sana
Crown mta fika mbali sn mungu hawa bariki sn❤❤❤❤❤❤❤
Elimu nzuri na bora
Mwenyezi mungu akujalie wewe kijana mwenye kampuni .ni mwekezaji mzuri sana
Hongera sana kwa kuthubutu umetengeneza ajira
Hakika ni interview bora kabisa kuwa kutokea
somo, tukianzisha jambo tukijengee mazingira ya kukiendeleza.